Kweli Udom kiboko!Ebu ona first year wanavyoshangaa maajabu ya chuo kikuu cha Dodoma.

  Рет қаралды 32,300

UDOM AMBASSADORS

UDOM AMBASSADORS

Күн бұрын

Пікірлер: 22
@jilalamaligisa4854
@jilalamaligisa4854 4 жыл бұрын
Ni mwanaUDOM 2014-2017 shahada ya Sanaa na Elimu (Kifaransa & Kiswahili), tujitahidi sana katika kujieleza, tutumie lugha moja kama ni Kiswahili basi kiwe Kiswahili na kama ni Kiingereza basi kiwe Kiingereza na sio kuchanganya, pia tujitahidi suala la matamshi. Kumbuka: Vipande vya video kama hivi vinatazamwa na dunia nzima hivyo tujitahidi kuhakikisha tunatoa taswira nzuri ya chuo chetu hiki na nchi yetu kwa ujumla. Tuko pamoja Dumu daima UDOM
@SalimHassan-w3d
@SalimHassan-w3d 20 күн бұрын
Pazur kwel mung anijalie nimweny kuchaguliwa mwak2024
@fadhilifantastic5032
@fadhilifantastic5032 4 жыл бұрын
Udom Ambassadors we on fire 🔥
@neemachongolo6498
@neemachongolo6498 4 жыл бұрын
Let us proud UDOM to the world
@magrethrichard5653
@magrethrichard5653 4 жыл бұрын
kwelii n chuo kizurii,mchaka mchaka wa coz work ad raha😘
@ramadhanyahaya5737
@ramadhanyahaya5737 4 жыл бұрын
Msome sana hapo sio pa mchezo mchezo
@rehemabruno484
@rehemabruno484 4 жыл бұрын
Udom to the World 🔥🙏
@davidbombeki5797
@davidbombeki5797 4 жыл бұрын
We on 🔥🔥🔥
@dsusuma1875
@dsusuma1875 4 жыл бұрын
I'm udom ambassador
@paulchalela3925
@paulchalela3925 4 жыл бұрын
Fire
@evancetilya5140
@evancetilya5140 4 жыл бұрын
Udom THE best university
@lazarolazaro308
@lazarolazaro308 4 жыл бұрын
Gud
@coolruler6820
@coolruler6820 4 жыл бұрын
Sawa chuo ni kizuri,,,sasa tujitahidi mitaala ya masomo ipatikane ktk lugha yetu ya Kiswahili,,mambo ya you know,,you know,,of coz na ushenzi ushenzi wa kizungu tuachane nao,,,wasomi hao wanaofundisha vyuo vyetu sasa ni wakati muafaka wa kukitumia Kiswahili kwa manufaa ya taifa letu,,,napendekeza Kiswahili ndiyo iwe lugha ya Kwanza kufundishia,,nyingine ziwepo Ila mama awe kiswahili. Ili watu waelimike barabara ni lazima utumie lugha mama yao kuwaelimisha,,tuache kuchanganyana mwisho wa siku wahitimu na washahada ndiyo kama hawa tunaowaona kichwani hakuna chochote zaidi ya kuzungumza kiingereza tena kisichoeleweka. Tunahitaji kuona wahitimu wenye uweledi wa kueleweka na si wahitimu wa kujidai wanazijua lugha za watu ingali kwao hakuna akijuacho
@princessbetty2
@princessbetty2 10 ай бұрын
wazo zuri na ndivyo inavyotakiwa natamani hata mimi iwe hivo
@ramadhanyahaya5737
@ramadhanyahaya5737 4 жыл бұрын
Ngojen muanze kutafuta coz work 😯
@mfumbuzionlinetv
@mfumbuzionlinetv 4 жыл бұрын
😂😂😂😂 moto mwingine huo 😂😂😂 patashika shati kuchanika😂😂
@kadikmctv7578
@kadikmctv7578 4 жыл бұрын
ni Shkopaaaahhhhh ✌
@marynjiku2066
@marynjiku2066 4 жыл бұрын
UDOM noumaaa!!
@jacobmakono389
@jacobmakono389 4 жыл бұрын
..wanafunzi chuo kikuu mnashindwa kabisa kujieleza!you can't express yourselves correctly and precisely...a lot of misuse and mispronunciations of words..both languages Kisw&English..
@udomambassadors9051
@udomambassadors9051 4 жыл бұрын
Umepata ujumbe lkn
@tanzanianboy
@tanzanianboy 4 жыл бұрын
Binafsi nimejisikia aibu
@estherjoseph4939
@estherjoseph4939 4 жыл бұрын
Fire
HUYU HAPA MWANAFUNZI BORA ALIYEONGOZA UDOM/SIYAJUI MAPENZI
7:47
A DIGITAL TZ
Рет қаралды 68 М.
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 20 МЛН
DAY 17 ENVIRONMENTAL WORLDVIEWS
9:56
SocSciclopedia
Рет қаралды 13
ANGALIA MAISHA HALISI YA WANACHUO.
6:47
NANA TV
Рет қаралды 3,7 М.
UDOM First Year Orientation 2023/24
5:08
UDOM TV
Рет қаралды 2 М.
MAISHA YA CHUO  | LISA epsode 01
11:14
KEPOH MEDIA
Рет қаралды 5 М.