N kweli kabsa mtumishi na mm napenda sana masomo ya unabii,,,GOD be with us until the last of universe,,,ameeen
@jonasjoe36233 жыл бұрын
Maandiko yanasema baada ya majuma sitini na tisa masihi atakataliwa mbali sio kuwekwa wakfu,
@melitusflorence86435 жыл бұрын
Ubarikiwe kaka Machota,, Somo nzuri saana-mimi ninaombi hili-Jaribu kupakia upya video hii kwa sababu Daniel 8:11-12 wakati unasoma kuna sehemu sauti inakata kabisa kwa mda mrefu,,Barikiwa kulifanyia kazi Ombi hili
@stivenmkamba46265 жыл бұрын
Kunatatizo la ktk kudownlod mafundisho yako
@acwc-injili4 жыл бұрын
Sehemu ya 3 sija Iona msaada
@lucasmongo846211 ай бұрын
Mtumishi hujaeleza hilo juma la mwisho kama limeisha au bado na je kwa sasa tuko wakati wa juma gani na matukio ya juma la 70 hujaeleza. Pia kama juma moja ni miaka 7 na hakuna hicho kinachoitwa futurism kwa maana ya kwamba majuma yote yameungana inamaana hili juma la 70 litakuwa lilishaisha siku nyingi sn. Na kama lilishaisha siku nyingi mbona matukio mengi ya juma la 70 bado hayajatokea 😂😂😂. Ulipaswa kufafanua vzr mana bado naona nashawishika kuamini hakuna muunganiko wa majuma 69 na juma la 70 mana zaid ya miak elf mbili imepita tokea yesu 😂😂😂😂