Mtumishi wa Mungu nakuomba usiitoe you tube hii ziara ya Israel binafsi nabarikiwa sana sana
@wahiduitsverycommentmane54213 жыл бұрын
Nakupenda Sana baba angu hakika naamin kunajambo linafanyika ndani ya Maisha yangu leo good bless you baba yangu uwishi miaka yote baba. 💓💓💓🙏🙏
@cvjmp85295 жыл бұрын
I love you so much 🙏🙏🙏🙏
@tedybamba60735 жыл бұрын
Exactly
@deobenedictakyoo31403 жыл бұрын
Baba nmebarikiwa Sana kiukwel
@EdwadiMpidaisayaEdwadiMpida5 жыл бұрын
asante kwa fundisho zur.
@joshuajoshua70925 жыл бұрын
Mngu awabalik jaman kutuonesha hayo maeneo
@joycematonya12415 жыл бұрын
my god hakika mungu ni mwema kwetu
@GeorDavieTV5 жыл бұрын
WhatsApp/Piga namba: +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu. Kwa iPhone au Android Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
@joycematonya12415 жыл бұрын
mungu akubariki sana mchungaji geordevie
@damasmaleo48455 жыл бұрын
Mtuwekee garama za kwenda na kurud na garama nyngne za mawazo na zakulipia kila sehemu