Amina kyoruba nawapata sana from kasulu sda kigoma , msalimien Huyu jamaan anaemba Bass nampenda mno mno pia mchungaj wenu
@kyorubacentralsdachoir.113710 ай бұрын
Amina mchungaji, Barikiwa pia sana sana.
@mrogtz827811 ай бұрын
❤❤❤Nzuri nimeipenda sana
@StevenMonanka-s7f11 ай бұрын
Mungu aendalee kuwalida na awape mwagaza❤❤❤❤❤❤
@KingCell-d4n11 ай бұрын
Amen amen 🎉🎉baraka tele❤❤❤
@kyorubacentralsdachoir.113711 ай бұрын
Amina, Baraka tele kwako pia.
@MagigeMakuri-ts3hd11 ай бұрын
Waoooh kazi nzuri ndg zangu from Kyoruba
@kyorubacentralsdachoir.113711 ай бұрын
Ahsante sn Magige, Endelea kubarikiwa na nyimbo zetu. Usisahau Kusubscribe na Kushare kwenye channel yetu ya KZbin kwa jina la KYORUBA CENTRAL SDA CHOIR
@georgemarwa230611 ай бұрын
Waoooo jaman mnanipa Raha Sana kwa nyimbo nzuri lakin Zaid fahari kuona watu wa nyumbani wanaimba vizuri namna hii mbarikiwe Sana sanaa🎉
@kyorubacentralsdachoir.113711 ай бұрын
Barikiwa pia George, Tunaendelea kuomba support kwenye mitandao ya kijamii hasa KZbin bila kusahau kusubscribe na kushare kwenye channel yetu ya KZbin kwa jina la KYORUBA CENTRAL SDA CHOIR.
@AmosMwita-o5e11 ай бұрын
verry nice wapendwa wamungu kwanyimbo nzuli sana nimeipenda mung awalinde kwakazi yenu
@kyorubacentralsdachoir.113711 ай бұрын
Amina sana, Nawe pia Mungu akulinde.
@julianajoseph348411 ай бұрын
Barikiwa sana kyoruba central ❤❤❤
@kyorubacentralsdachoir.113711 ай бұрын
Amina
@iamseronga81511 ай бұрын
Ujumbe mzuri barikiwa sana Kyoruba Central.
@kyorubacentralsdachoir.113711 ай бұрын
Amina
@kyorubacentralsdachoir.113711 ай бұрын
Amina, Barikiwa pia.
@henryemmanuel556111 ай бұрын
Nabarikiwa sana tuendelee kumnoja❤
@cipladapretty861711 ай бұрын
❤❤❤
@kyorubacentralsdachoir.113711 ай бұрын
Amina,
@ryobajohnes640011 ай бұрын
🎉🎉🎉Amina mungu awaongoze
@wilsonmarwa869611 ай бұрын
Balkiwe sana mungu awatie nguvu mafike mbal watu wetu
@JosephNeema11 ай бұрын
Waooooh kila napo sikiliza nyimbo mpya inazidi kunibarik mungu awabrik Sana endeeleen kuhubir kwa njia ya nyimbo❤
@ikwabeinjilitv975811 ай бұрын
Barikiweni kwa good message
@kyorubacentralsdachoir.113711 ай бұрын
Barikiwa pia Ikwabe.
@marysamson120911 ай бұрын
Mungu aendelee kuwainua zaidi Sichoki kusikiliza jmn ❤❤❤❤
@cipladapretty861711 ай бұрын
Amen
@alexandersylivester28989 ай бұрын
Hongereni wapendwa kwa ujumbe mzuri mwenyezi mungu awatangulie katika utume wenu wa wimbaji🎉🎉
@mameltandutta99011 ай бұрын
Mzidi kubarikiwa wapendwa katika Bwana, Amina.
@kyorubacentralsdachoir.113711 ай бұрын
Amina, Barikiwa na ww pia mpendwa.
@iamseronga81511 ай бұрын
Saw mamelta
@barnabasagar407111 ай бұрын
Beautiful singing,a message of blessed hope
@vincentd.odillah569911 ай бұрын
Amina. Ujumbe murwa Sana. Amina🙏🙏
@kyorubacentralsdachoir.113711 ай бұрын
Amina, Barikiwa pia, Usisahau Kusubscribe na Kushare kwenye channel yetu ya KZbin kwa jina la KYORUBA CENTRAL SDA CHOIR.
@Ellyrahab11 ай бұрын
Ujumbe mzuri sana
@kyorubacentralsdachoir.113711 ай бұрын
Amina
@gracekilingo650211 ай бұрын
halelujah
@marysamson120911 ай бұрын
Sjui mnaelewa kuwa kwetu n kyoruba
@kyorubacentralsdachoir.113711 ай бұрын
Tunakuelewa sana Mary, Endelea kubarikiwa na nyimbo zetu.
@cipladapretty861711 ай бұрын
😂😂😂
@iamseronga81511 ай бұрын
Tunaelewa
@StevenMonanka-s7f11 ай бұрын
Amina 🤝🙏🙏❤
@ngochoseronga338311 ай бұрын
Tumebarikiwa sana na ujumbe wa wimbo huu,Mungu awainue.
@FrankSeronga11 ай бұрын
Amina
@Jofuly8 ай бұрын
🎉🎉🎉Amina Kubwa nimependa ujumbe wenu Amina tena waooooo
@deboragisunte954911 ай бұрын
Aminaaaa,Kyoruba central.
@PepyCharles11 ай бұрын
Mmejua kunibless
@kyorubacentralsdachoir.113711 ай бұрын
Amen, Be blessed abundantly Pepy.
@iamseronga81511 ай бұрын
Au sio😂
@linamjema564011 ай бұрын
Hiki kibao kimesimama
@kyorubacentralsdachoir.113711 ай бұрын
Amina
@kyorubacentralsdachoir.113711 ай бұрын
Amina
@enockmoturi60037 ай бұрын
waaaauuu i have no words to narrate
@Sunmonz22611 ай бұрын
Huu wimbo unabariki saana
@victorkalombo225011 ай бұрын
Nzuri sana mbarikiwe
@pendomtemi943910 ай бұрын
Hallelujah!
@kyorubacentralsdachoir.113710 ай бұрын
Amina Amina
@markodhiambo265010 ай бұрын
Beautifull singing
@WashingtonOmondi-q3l9 ай бұрын
I love it good song mbarikiwe
@MAGRETHNGASA6 ай бұрын
Watu wa maaana sana Hawa barikiwa sana
@user-hn1me7pk3y8 ай бұрын
This is the way to heaven....hii choir iko side gani ya Kenya ningependa kutembelea hii choir