Kwa Mungu, Jitu kubwa linaporomoshwa kwa vitu/watu wadogo kwa namna ya kushangaza sana, kwa maana udogo au ukubwa wa mtu unajengwa ktk uhusiano wake na Mwenyezi Mungu. BARIKIWENI SANA 🙏
@kadodochagama256 Жыл бұрын
Bwana aendelee kuwainua..
@FaithChepchirchir-lg6uw2 ай бұрын
Am much blessed,welcome to eldoret kenya me time🙏
@NeemaMatiku-ne4zx8 ай бұрын
Mnaimba vizur jamn
@KessaKarukalange-jt3ho Жыл бұрын
Jamani huu wimbo unanibariki sana
@monicamwasalemba68192 жыл бұрын
hizi ndo nyimbo za kumtukuza MUNGU, yaani ni bonge la wimbo MUNGU Awabariki watu wa Mungu, msalimie mtunzi MUNGU aendelee kumtumia
@victorbilly86313 ай бұрын
This song blesses me I love the energy. Locked @KE 254
@user-uw1iu3pk7l Жыл бұрын
Jiwe moja tu, halikuhitajika lingine, usihangaike kutafuta mawe mengi kwa ajili ya adui zako, jiwe moja tu kwa imani adui hatoboi, ni yes aliyempa daudi ushindi, jaribu nawe utaona ushindi. Songambele mmenibariki sana, mungu awabariki sana.
@godfreykinogo Жыл бұрын
Nabarikiwa kwa wimbo mtam
@fadhilingumbao15 Жыл бұрын
mbarikiwe wapendwa kwa wimbo huu wenye ujumbe mzito mno.
@user-zk2qh8qn5v Жыл бұрын
Mungu na azidi kuimarisha ndani yenu huduma hii ya Utume wa kuinjisha kwa njia hii ya uimbani injili iaonge mbele
@kadodochagama256 Жыл бұрын
Wimbo huu jamani unaimarisha sana imani yangu..Ushindi wa Bwana hauhitaji dirii,chapeo wala upanga..Imani pekee..Bwana awabariki sana
@mamamaga346 Жыл бұрын
Nyie watu wangu mbarikiwe maana mmenifanya niwe na furaha na kunipa moyo na kusonga mbele Kwa Imani karibu I Tena majengo Moshi mwende mbali nawapenda saaana nyieee
@sarahalphonce8484 Жыл бұрын
nabarikiwa sana na mahubiri kwa njia ya uimbaji wenu....Mungu awainue hata viwango vya juu sana mkimtumikia vema
@user-ji5pb8ro4r7 ай бұрын
Kazi ya mungu inaenda Amin jamani😂😂😂
@mecryjerusha4720 Жыл бұрын
Amen amen amen amen amen mungu awabariki wapendwa katika kristo yesu Kwa nyimbo nzuri sakusifu bwana yasu kristo mubarikiwe wapendwa
@user-zk2qh8qn5v Жыл бұрын
Mbarikiwe watumishi
@irenengao15337 ай бұрын
I am into this with every fibre of my being. ❤️❤️❤️,your composer is talented.
@HASSANLameck Жыл бұрын
Pongezi kwenu songambele
@sanifukamwela7509 Жыл бұрын
Wimbo huu unanitia moyo kiroho
@robatrobat-oe3nd Жыл бұрын
Amen kwa wimbo mzuri utiao moyo kwa safari ya imani iliyojaa dhoruba
@user-we9er4rz2k9 ай бұрын
Mngu awabaliki san ❤❤❤❤❤
@barack17292 жыл бұрын
Ebana ee huu wimbo mtam sanaaa, ujumbe mzr saut nzr Mungu awabariki sana
@LimdaMaliva-yl7pv Жыл бұрын
Huwa sichoki kuwasikiza mpaka wanangu wanawapenda mnoooo, hongereni Kwa uinjilishaji nabarikiwa mnooooo
@AshaKiduo-yw4jn Жыл бұрын
Jamn mbarikiwa nimebarikiwa kupitia huu wimbo❤❤❤❤❤❤❤.
@robertwilliam96599 ай бұрын
wimbo huu umenipa tumain mara nying nimevuka sehem ngum 🙏🙏🙏
@editherkigabo9541 Жыл бұрын
Jamn nimefurahi Mimi nakosa hata Cha kuandika hizi ndo sabato nazosikilizaga Mimi jaman na siku moja nitakuwa msababto naipenda Sana🙏🙏🙏🙏
@thomaskateti3549 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana, mungu akupiganie karibu tusali wote sabato
@janetmbaheze44502 жыл бұрын
Ahsanteni. Nawaombea mzidi ku Songambele watu wangu. God bless you from Kenya-
@rebekajackson72552 жыл бұрын
Mbarikiwe Sana mko vizuri Sana haleruyaaa.
@betterlifetv98122 жыл бұрын
Hii kwaya inanibariki Sana jumbe nzuri sauti zimeshiba Bwana awainue mdumu katika Imani na kuhudumu zaidi na zaidi
@bruceodhiambo8442 жыл бұрын
This is real and blessing...huku Kenya iletimu ingekua inakanyaga hapo mbele
@rademaadema7595 Жыл бұрын
Asante kwa ku in ua Imani yangu na uimbaji wenu nzuri sana nawapenda sana kutoka canada
@geraldogutu Жыл бұрын
Been putting it on repeat ever since I listened for the first time.
@joshuamayakaphilosopher2204 Жыл бұрын
Wimbo mtamu kweli. Huyu ni mtunzi hodari kabisa
@user-jz8gi3xh4u Жыл бұрын
I'm an Adventist every Friday I must listen to the song I just love your singing keep it up and be blessed,, ❤️❤️ chorus wuuuweeh ❤🎉
@jescamirisho4107 Жыл бұрын
Mungu aendelee kuwainua. Mwalimu Lilian Kennedy nakuona katika ubora wako
@essahsaimonmwalwega6097 Жыл бұрын
Mungu umbariki mwalimu wa kwaya hii na wanakwaya wote....mnajituma sana....Yesu awatunze na kuwaongeza miaka mingi..
@GetrudeAmos-ec4oe Жыл бұрын
Jamani mtunzi wa huu ni hatariiii
@joeorwa33592 жыл бұрын
Powerful barikiweni Sana ujumbe lenye nguvu sana
@ziwanisdachoirmombasa2 жыл бұрын
Aminaa wapendwa
@RestutaJulius-mu4kj11 ай бұрын
Mbarikiwe sana watu wa mungu kwawimbo mzuri daudi nakombeo
@wendyjemutai9066 Жыл бұрын
I love this, blessings ❤️ from the united Arab Emirates 😍
@user-cs3bz54 ай бұрын
mungu kweli no mwema,asifiwe milele
@ivanbusumbiro64292 жыл бұрын
Mnakimbiza , hadi goriath tii
@elphusmasongo17492 жыл бұрын
Nabarikiwa na huu wimbo kwa hakika. Tunawangoja huku Ziwani, Mombasa. God bless you children of God.
@kokubanzakijuzi5958 Жыл бұрын
Mnanikosha
@user-bi8xq9nm5x8 ай бұрын
Mko vizuri sana
@emanueljoseph38872 жыл бұрын
Yahaniiii nahisiiii kupaaa kwa wimbo mtamuuuuuuu sauti tamuuuuu barkiweniiiiii
@RehemaMbwambo-yc5ii6 ай бұрын
Watu wa mungu Naomba no ya mwenyekiti wa kwaya
@YasintaOpiy-hk5ic Жыл бұрын
Nime guswa na huu wimbo
@Gsrecords01 Жыл бұрын
WOW SONG OF THE YEAR
@obadiansato1898 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri nabarikiwa sana
@RahabuJoseph-sp5dz6 ай бұрын
Kwa kweli wasabato mko vizuri sana katika uimbaji
@KessaKarukalange-jt3ho Жыл бұрын
Jamani huu wimbo unanibariki mungu awabariki msonge mbele watu wa MUNGU ❤
@rachelwilson5289 Жыл бұрын
Mungu atukuzwe. Mnaikosha roho Yangu
@barantebirahi6165 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana songa mbele kama lilivyo jina la kwaya yenu, ninawaombea