Tanzania Tanga mzuri Sana kweli nakupenda sana kweli 💖💕💖💕
@fatmasalim82939 ай бұрын
Mashallah jamani tanga raha ❤❤❤❤
@user-gu1lg2zr8s2 ай бұрын
Kweli nimeolewa tanga halafu nawapenda nyote pamoja na mbuzi na kuku zote za tanga... Mapishi ndio kwao halafu kaka yenyu anajua kulea. Nawapa hongera. Mimi mzaliwa wa Kenya.. Ila sasa mimi chai ya nazi kijacho wenyu kaikataa 😂❤