❤it's 2024 and I'll keep watching this song😊😊..Much love
@JumaMustafajumaJuma6 ай бұрын
Ngoma nitamu me sichoki kusikiliza 2024
@Faith-Nthenya9 ай бұрын
6th April 2024❤❤🎉 I still can't wait to meet the one and dedicate this gem to him🥰🥰
@SaidJuma-ww6vd9 ай бұрын
Kizuri hakichiji jamani naipenda sana hii nyimbo
@leonardmeshack26612 жыл бұрын
2023 still my favorite song ❤! God bless you Jay dee
@mariamathuman4067 Жыл бұрын
Sanaaaa Tamu haichuji
@mariamathuman4067 Жыл бұрын
2023 mwezi wa 6
@sifatiiman Жыл бұрын
forever 28 jul 2023
@merrym9 Жыл бұрын
This brings fresh memories🤗🤗❤🎊🎉
@MwajumaAlly-d1v Жыл бұрын
❤❤❤
@lindandyetabula46839 ай бұрын
2024 niko hapa na bado yatima wa mapenzi naipenda sana ahii nyimbo😂😂😂😅
@abdilkaremshaaban27179 ай бұрын
😅😅
@JoshuaKhombe-v8d3 ай бұрын
@@abdilkaremshaaban2717 proud of u
@MimahAlly20Ай бұрын
Tukoweng mayatima 😂 wimbo huu upo kweny playlist yng
@Shalomgospelsgdtv5 жыл бұрын
2020 hiii ngoma kama imetokaaa janaa bado kwangu hot song kwa 2020♥♥♥
@subrinamfaq36844 жыл бұрын
So hot kama king kiba
@plasinapius54213 жыл бұрын
2021 bado npo
@irenesalumu8 жыл бұрын
shikamoo jide. Mungu akusimamie hivyohivyo, you deserve all the happiness
@wacundirangu16618 жыл бұрын
IRENE SALUMU absolutely!
@joycrkomba36708 жыл бұрын
acheni kumchana gadna jaman acje kujinyonga
@janewacera78128 жыл бұрын
IRENE SALUMU is v
@michaelmpabangaya93538 жыл бұрын
IRENE SALUMU haaaaahaa
@nasmarasheed88577 жыл бұрын
hahahaha
@PriscaDeus-bj1zy9 ай бұрын
Naielewa sana
@leonardmanyanza10584 жыл бұрын
Hajatokeaga mwanamuziki wa kike wakumfananisha na jide huyu ni fund wa mafund aliyefuzu ufundi wa wakufunzi wa mafundi ilove you my no1 artist in country
Mungu acha aitwe mungu..amekupa mume mwema huyu atakufuta machozi yako..nawaombea kwa mungu awaongoze shetani apite mbali.m
@MariamuKassimu-p6x11 ай бұрын
Today is February 2024 😊 still love this song 😊
@hamisibabu1948 Жыл бұрын
Ii Kali saaaana
@DeborahZamiru9 ай бұрын
Nyimbo nzuri sana haichoshi kusikiliza we belong together❤❤
@maxzitatu16178 жыл бұрын
nyimbo nzuri ila tatizo ni moja tu, hii nyimbo ni nzuri sana
@omand17617 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂;hattarii
@farajakamwela32016 жыл бұрын
iko vizur hata mi naipenda sana
@annashio39586 жыл бұрын
tatizo gan?
@aishaabdul13606 жыл бұрын
Max Zitatu ua so funny😂😂😂
@olaiseliaman97146 жыл бұрын
nice boy and girl
@eliamsongole79064 жыл бұрын
Naipenda sana kama naww unanipenda mpaka saiz 2020 gonga like
@khadijamalifedha47864 жыл бұрын
Mm kila siku lazima nisikilize ♥️
@queenslandemile25364 жыл бұрын
Njo mumewake
@esterkimenyi65894 жыл бұрын
Elia Msongole naipenda sana
@shalifashabani17034 жыл бұрын
Naupenda sana huu wimbo
@resahnamlanda85048 жыл бұрын
wow wimbo mtamu na mtulivuu sana. ...am encouraged to love again. ...ila ninae mpenda hajui kama nampenda naa yeye kanipenda ila kashindwa kujieleza jamani 😢😢😢how will I tell him we belong together
@reggiehusna10358 жыл бұрын
Resah barasa 😊 jamani
@carolinemukami94847 жыл бұрын
woyie
@jamespaul5037 жыл бұрын
Resah barasa be strong and explain your feeling to gim
@cpakandrewkahindi44217 жыл бұрын
just go ahead my dear,,,kimbuka,mapenzi kikohozi huja kwa nguvu za tsunami,,,njia nyeupe...
@elizabethnyaga3957 жыл бұрын
Resah barasa just be open and tell him
@indiansonglomanticlove84933 жыл бұрын
Hii ngoma mpaka mwaka huu 2021 bado naiona ndo Bora kwangu
@AnnithaMgawe3 ай бұрын
😭😭😭😭😭 nimelia kwanza duh mapenz!!!!!!!
@Annie-st5hh16 күн бұрын
😂😂😂unalia nn
@AnnithaMgawe16 күн бұрын
@Annie-st5hh nimekumbuka mbali sana pind hiko Kuna Mtu nlitokea kumpenda San half hakujali
@abuukiogwe68065 жыл бұрын
Kama umerudia hii nyimbo mara kumi like hapa yaani haichoshi
@sarahfaustine82994 жыл бұрын
Ngoma kali sanaaaa
@rapturegeniuz25598 жыл бұрын
watoto wakalale ni muda wa wakubwa zao ....hii so kawaidah...jiedee utatuua mama eemm legeza kidogo
@mercyrobert53067 жыл бұрын
😃😃😃😃😂😂😂😂😂
@jaquegod30247 жыл бұрын
huhuhuh
@lulendamilu82657 жыл бұрын
Rapture Geniuz
@neemaadammakiponya83197 жыл бұрын
Watoto wengine hawasikii kabisa watataka kuangalia v2 vya W-2 wazim ila Ni HV Weka mbl na watoto kw7bb Ni zaidi ya noma sana
@farajakamwela32017 жыл бұрын
umeonaeer
@idrissajuma11878 жыл бұрын
kila ugumu unaokutana nao jua faraja inafuata mbele yako....hongera! fanya muziki sasa.
@cheichei45056 жыл бұрын
idrissa juma apo ni juu2sana
@djonetz27305 жыл бұрын
Nyimbo nzr sanaaaaa kama unaikubali dondosha like kama zote
@jaydenayubu1068 Жыл бұрын
Nasikiliza ngoma Kali 2023🎉🎉🎉
@janeadhiambo13458 жыл бұрын
amakweli mapenzi matamu ukimpata anae kupenda! big love from 254
@rhodamoraa31668 жыл бұрын
Jane Adhiambo exactly my dea😘😘😘😘
@janeadhiambo13458 жыл бұрын
+shantel shantel yeah! thanks dear
@MariamsLifestyle7 жыл бұрын
Jane Adhiambo kweli kabisa
@kennymmari8 жыл бұрын
Dah....Huu wimbo sio wa kawaida kiukweli. Nimeangalia mara 267, 849 hadi jioni ya Leo.
@rhodamoraa31668 жыл бұрын
Kennedy Daima Mmari ur not serious😂😂😂😂😂
@teacherhaddy.23458 жыл бұрын
you are not serious at all😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@kennymmari8 жыл бұрын
shantel shantel 😂😂😂😂
@kennymmari8 жыл бұрын
princess rehema 😂😂😂hahahah
@janemwesh21408 жыл бұрын
Kennedy Daima Mmari same here @Ken feelings is real...wewe ni wangu tu uuu..We belong to together..I like that
@sheilaschelken9267 Жыл бұрын
Only two months remaining tuingie 2024🎉still enjoying this love ❤️ song 🎶
@SalminaOmary9 ай бұрын
Napenda sana natoa mawazo mie jaman
@abuukiogwe68064 жыл бұрын
Hii nyimbo nzuri mpaka imepiliza nampenda sana mke wangu kupitia nyimbo hii nimejifunza mengi
@azzdacrish10768 жыл бұрын
Wanasema ukimuona nothing na wewe kwake hujawa something. Ukiona cha nn watu wanajiuliza watakipata lini. Respect kwako jide
Kama unalipenda hili song Kama ninavyopenda Mimi gonga like ❤
@elishathomas28054 жыл бұрын
Charity Julius Together!
@joycemalisa38814 жыл бұрын
Kama unapenda kama mm gonga like
@jenniferjuma65124 жыл бұрын
Naipenda sichoki kuisikiliza🔥
@runsheegmediaa59904 жыл бұрын
@@joycemalisa3881 @@aaaa@@a.a a.aaaa.aa@Ala a aaa..aaaa@@@@@@@@@@.
@elikanamaninje55034 жыл бұрын
M mda wotee yan
@sibilinapeter8341 Жыл бұрын
Tamu sanaaa
@hellenngonde37044 жыл бұрын
05 April 2020 still listening this song .. kiukweli dada ulitisha ..na bado nyimbo Ina hit sema Sasa shemela cijui Yuko wap
@petronilatimoth92414 жыл бұрын
Hii nyimbo ni nzuri , ila tatizi moja tu hii nyimbo nzuri saaaaaanaa
@gisilalikomba39808 жыл бұрын
Hii ngoma haina ubishi iko poa chemistry zimeenda sawa,unayebisha kwamba ngoma iko poa ww ni mchawi TOGETHER iko poa
@chomzie40218 жыл бұрын
viazi vyangu vitamu vikae kado kwa mda. Nataka niusikilize kwa mara nyingine bila usubufu
@halimatanzani85875 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@alexmakundi50068 жыл бұрын
This song is dope...especially for those who are in love...wao ndio wanauelewa hadi kwenye maini...Haters gonna hate...
@rhodamoraa31668 жыл бұрын
Alex Makundi eti maini😂😂😂😂😂am dead
@tusekonga30308 жыл бұрын
Alex Makundi umenena kweli..this song is dope
@edithnguruwe94218 жыл бұрын
Duuu Kamando umekomesha! we ni noma! Good Song and Hongera kwa kupata ..........good one more than ........
@marychacha8258 жыл бұрын
hatari
@annwambui67777 жыл бұрын
Alex Makundi hadi kwenye maini, apo ndio kuna 🔑
@salmazuberi67794 жыл бұрын
Yani wimbo no mzurii sana kwa wapendanao
@wasajo5 жыл бұрын
Wimbo bora wa mapenzi kuwahi kutokea duniani hauchoshi kusikiliza
@felicitykathina49394 жыл бұрын
2021 and still watching can't get enough of this song
@veronicadismas38488 жыл бұрын
Kwa kweli nimeupenda huu wimbo mpaka nahic kuchanganyikiwa.💏💏💏💏💏💏 Ila namwomba tyu hyu jamaa asije kumliza dada yetu
@anthonyngonyani91355 жыл бұрын
Hahahahahaha
@janethmwakingili43286 жыл бұрын
Yani Dada yetu katuletea shemela wa ukwee mwache yule x apumzike tu afu dada anazd kupendeza siku hadi siku
@queenslandemile25364 жыл бұрын
Njo mume wake uyu
@ndaulinendaulina57154 жыл бұрын
Mbona simsikii tena huyu shemela?
@queenslandemile25364 жыл бұрын
Sijuwi kakwamia wapi
@prischaralex59174 жыл бұрын
Tujuan 2020 tunaosikiliz wimbo huu mzuli san umetulia hauish ratha good my sister
@irenesammo37175 жыл бұрын
😘😘😘😘 huwa sichoki kuangalia huu music my commando jide
@lugusi143Ай бұрын
ngoma kali mpaka basi
@globalnewstv324 жыл бұрын
Mpaka leo sijapata kuona wimbo mzuri Kama huu 🔥
@babyanneytvshow30688 жыл бұрын
kama namwona Gadner anavyosema duh huyu mwanaume ana mwonekano wa kiume zaidi yangu,you look lovely together
@rahmaramadani25578 жыл бұрын
baby anney umeona ee
@carolinemshanga69768 жыл бұрын
Ckuwez wewe c kwa uchokoz huo ila kweli shemela mkali kweli kweli
@mauapearson59848 жыл бұрын
Dada angu kajua kumsomesha namba
@babyanneytvshow30688 жыл бұрын
hahahahahaha nomaaa Caroline Mshanga
@babyanneytvshow30688 жыл бұрын
maua pearson umeona eh
@michaelboniface7003 Жыл бұрын
2023 paka leo nyimbo bado inaish
@venswai43118 жыл бұрын
ama kwel mung hamtupi mja wake..jidee my love mung akusaidie ..uzidi kuwa na furaha daima..nice song
@hadijapazia6845 жыл бұрын
Kuiskiliza siachi Hawa wa2 wali2lia sn🔥🔥🔥🔥
@gisellebusime65785 жыл бұрын
HADIJA PAZIA Namimi sijawahi kuhichoka yaana ni nzuri kupita maelezo kilasiku napashwa kuhisikiliza na kuhiyona ata mara 20 kwa siku moja tu, Spicy na Jide walijuwa kuutendeya aki sauti ziko powa sana
@hadijapazia6845 жыл бұрын
@@gisellebusime6578 Saaanaaa👌👌👌👌👌
@mariajulius9435 жыл бұрын
Huu wimbo kila wakati natamani kusikiliza Tu nipo na Mume Wangu tunakula bata Tu Ahsante kwa wimbo mzuli
@kelvin_papaa_ya_warembo83138 жыл бұрын
hii siyo nyimbo ya kumdedicate dem wa kila siku hela ya saloon,,hii ni kwa wale wote weny mapenz ya kwel only
@janewacera78128 жыл бұрын
Kelvin Kimaro true
@mariamzukas5008 жыл бұрын
Kelvin Kimaro hahahah
@bettylozie90388 жыл бұрын
Kelvin Kimaro Exactly my umeonaaaa......hata kwa pia kwa waume wale wanapenda fumuafumua tuu wasio na maono yoyote zaidi ya kufumua.. ukimkatalia eti wapo wengi....
@snippertonight84598 жыл бұрын
Mariam Zukas yeah,I luv this song s much
@judithmsuyahahahahaaawewan94758 жыл бұрын
hahahaaaaa mbav zang mie
@dominakimario40798 жыл бұрын
kumamake gadner ona mwenzio anavyodekezwa utajuta kuleta usenge heheeeee
@ilovejesus93038 жыл бұрын
Domina Kimario
@beatricikiteu81768 жыл бұрын
atajua ali semachanini wakati wengine wanasema sikugani nitampata
@catherinefredrick90288 жыл бұрын
a ha ha ha ha
@monicasanga92048 жыл бұрын
zama yake Gardner kulia kama MTOTO.....ata akijikaza lazima atie adabu....hii Namba kubwa kuliko yake loooooh......
@bettylozie90388 жыл бұрын
Monica sanga Umelionaaa hilooo
@gerrychuwa19008 жыл бұрын
we ni wanguuu tuuu baby we belong together, 🎼🎼🎼 mi ni wakoo tu Mimi we belong together 🎶🎶🎶 I belong to youuu...you you we belong together..🎹🎹🎹🎼🎼🎼🎶🎶🎵🎵🎤 and you belong to me you you..we belong together! nice song lovely sister jaydee and spicy u made it!
@Mjukuuwanombo8 жыл бұрын
noma sana huyu dada
@hatangimaviviane45218 жыл бұрын
nice 👑👑👑👑👑👑👑
@jackietogwa73607 жыл бұрын
Jide uiiiiiiiiiiiiii unajua Dada angu lv u
@JoshuaAgutu7 жыл бұрын
geraldina dominick dope kweli
@reginaphilimon7823 жыл бұрын
2021 mwe3 tareh 15 ndio naanglia naupenda San hi yimbo
@Rizikiyzawadi13218 ай бұрын
Bado iko sawa hi ngoma
@dominamabebe89123 жыл бұрын
2021 and still watching and enjoying the good music
@martinfrancis73908 жыл бұрын
asante jide heshima yako tunaona iko palepale juu...beutful song and amazing
@hawaiddi6247 жыл бұрын
Francis martin nyimbo imenichanganya mpaka basi kama kunamtu anasema nyimbo mbaya ubongo uitikisika naajali ya gari
@azizaswalehe4017 жыл бұрын
yani sichoki kuungalia huu wimbo, naupenda ile kupitiliza.
@narxtz4 жыл бұрын
Nampendaga huyu dada jaman 🥰
@ashykipajihaalandtz35732 жыл бұрын
Hi ngoma kila nikiingia KZbin naiangalia cjuw kwann
@nifaeltesot6291 Жыл бұрын
My favorite song i think there is no any other song naeza nikapenda kuliko hii kwa maisha yangu🥰🥰🥰🥰🥰🥰📌
@carolinemshanga69768 жыл бұрын
wewe n wangu tu my baby boooo keep it u my komando Jidespicy
@dr.sarahbusongo8 жыл бұрын
Aki Jay dee katika huu wimbo ni wewe mzimaaaaa. Much love
@monicasanga92048 жыл бұрын
acha kabisa jide we kibokoooo......kila kitu kizur in it
@welcomeorange7357 Жыл бұрын
Wa jameni wimbo mtamu 2023 nani yupo anaangalia
@salmadalaquimane53036 жыл бұрын
Daaah nime ikumbuka tena hii leo
@shabaniasha63638 жыл бұрын
weeee ni komando miaka 10000 love you wakuacheeeee
@adaajulius41974 жыл бұрын
Nikimsikilizishaga mke wangu huwa ananiuliz"where did you get that song"i just laughing and tell her just keep listening good music
@swaumuleonard95288 жыл бұрын
ooh mungu so wa MTU mmoja kwa kweli , nimefurahishwa sana na hii couple
@pauloadam37205 жыл бұрын
Kwel kabisa
@sirpurkinje28362 жыл бұрын
Still watching 2022,,,,,,,if we are together,,,,,,,hands up
@neyjohn80956 жыл бұрын
Nakukubali sana Dada Judith, kazi yako huwa inapendeza siku zote
@benezethbenedict68418 жыл бұрын
Ongera jdee we si mchezo mchezo good music
@roughanddustysafaris8 жыл бұрын
this is love.... nice... may this relationship last forever.... I fell in love with you the moment I saw your pictures... may God bless you always
@kibetchelogoi55685 жыл бұрын
Emma Mroso it kills me a lot esp when with my love
@husseinkilawa32248 жыл бұрын
wimbo mkali, video kali
@RehemaSamwel-ki7ji3 ай бұрын
Am here still listening 2024🎉 ila JeyD apa alizama daaah, mapenz shkamoo😢
@wardaYohana-fp8vb6 ай бұрын
❤❤❤kizuri ni kizuri tuuu 2024
@emmanuelnyansiro76428 жыл бұрын
Chezea wanaume wakibongo Lady Jaydee kaumizwa, kaamua kukimbilia Nigeria kujaribu bahati yake, wabongo kazi kufunua na kufunika utazani wanachagua maparachichi Ngoja tuone labda huko ulikokimbilia utapata pumziko Nawatakieni kila la kheri
maparachichi au machungwaa😂😂😂😂,nimecheka hadi tumbo linaniumaa;sasa na wewe lkn si ni mwanaumeee😂😂au!!
@nistarfrank19628 жыл бұрын
Emmanuel Nyansiro usitake ncheke mid dah bongooo wataalam was kufunua
@emmanuelnyansiro76428 жыл бұрын
tatizo wabongo mapenzi Yetu huwa yana expire date
@nistarfrank19628 жыл бұрын
Emmanuel Nyansiro tatizo mnamacho jujuu hampitwi
@brigidmua95588 жыл бұрын
congratulations. .... nimesinzia kwa kweli. .good job gal child
@upendojohnson31436 жыл бұрын
.
@economistsarafina80852 жыл бұрын
2022 and I'm here, my favorite song of all time ❤️
@happynyalusi8852 жыл бұрын
Same here
@salmadalaquimane53036 жыл бұрын
Nakupendaga sana we kka daaah ndio bac kesha wai kamanda j
@tsunami66286 жыл бұрын
I love u jide hakika ww ni komando hongera unasaut tam sana mung akulinde na mabaya na akuepushe na husda za walimwenga nyimbo nzur zana nikiisikiliza nasikia mwenye furaha na aman telee
@stellastella37718 жыл бұрын
God is good umetoka mbali nice song I'm enjoying frm Middle East
@DaveHumphrey25148 жыл бұрын
STELLA stella do you guys speak swahili there?
@fatmajambia49688 жыл бұрын
STELLA stella we are together
@abdulrahimnassor19048 жыл бұрын
+Dave Humphrey in Oman we do.
@priscillafred94938 жыл бұрын
me too
@chancemigisha18587 жыл бұрын
ila jeed unaona.tunavyokupenda? yani kila mtu anakutakia good luck na love wako, iam your fan for ever
@lizyrimoh43948 жыл бұрын
Cant stop playing this song its so sweet ,full of romance much love from kenya
@athumanramadhan78017 жыл бұрын
Shem wangu upon juu
@trendystyles4215 жыл бұрын
I'm not ashamed of listening to this song 2019
@dorcaskivamba46645 жыл бұрын
Good
@victaprince9 ай бұрын
One of the best song of all time but underrated 😭😭
@realsam2017 Жыл бұрын
Gonga like 2023 tujuane
@NoelNgonyani8 жыл бұрын
Keep replaying this song. We miss this stuff from Komando Jidee...
@eileenseki8098 жыл бұрын
Noel Ngonyani Yes indeed I miss Dar.... I will offer to style Lady Jaydee any day sweet pie Good stuff
@NoelNgonyani8 жыл бұрын
Eileen Seki Haha Looking forward for that Eileen..My addiction baby though not my words but Spicy's.
@remijamwita26337 жыл бұрын
Noel Ngonyani nice
@sirpurkinje28362 жыл бұрын
I never get tired of this song.
@happymamputa34818 жыл бұрын
in love with this song sichoki kuuckiliza au kuangalia.... 😘😘
@davidkokomushagalusa6566 Жыл бұрын
Touch of a legend ...2023🔥🔥🔥👌
@agnesjohn9382 Жыл бұрын
Wimbo wangu pendwa nautazama tena 2023 wangapi waliofanya hivyo kama mimi
@mobimbawilliam71988 жыл бұрын
Gardiner Mbona anaumia tuu hakuna namna, nice song and le shemela ni kisu 😍
@joanwacira64648 жыл бұрын
yakufunga mwaka #kalikinoma
@shafiiwajad4578 жыл бұрын
damn this shit is dope nzur sana ukiskiliza na mtu wako
@JoshuaKhombe-v8d3 ай бұрын
I like this😍😍 seven years passed but still love indeed