LAST BORN - PART 03 [ MWISHO ] - SIMULIZI YA MAPENZI

  Рет қаралды 35,973

Ankojay Simulizi

Ankojay Simulizi

Күн бұрын

Nikasema jambo gani Mzee Masanja Kaniitia.? na kwanini anasema nimsamehe na kwa nini? Mzee Masanja akakohoa kwanza, akasema tony nitakayoenda kukuambia ni makubwa sana na ni siri ambayo imenitesa miaka mingi sana nimeshindwa kuvumilia,siwezi kufa na siri hii.

Пікірлер: 242
@LevinaNikanori
@LevinaNikanori Жыл бұрын
Ankojay bhana yaani kila sauti we humo Hadi rahaa
@ataamansi8941
@ataamansi8941 Жыл бұрын
Lissa Mwala👏, story haichoshi unataka uirudie mara kadhaa, yaani ukisikiliza unaona akilini picha halisi, hakuna mahali popote ambapo hakuna uhalisia, pongezi saaana na Msimuliaji 👏.Msimuliaji kuna waandishi haitendei haki sauti yake mfano story moja aliisimulia, nilivyo ona yeye ndiye Msimuliaji nikaifungua haraka looo simulizi hiyo ilikuwa ya hovywo sana kangu maana ulihusu zaidi maisha yakufikirika 🦮 alikuwa anageuka mtu, macho yanafanana, mara vita, ukweli ilinikera sikuendelea kuisikiliza hadi mwisho,ilinichosha sana ×ו•LAKINI LEO NIMEPATA FURAHA KWA LISSA MWALA wangu, kwakweli huyu dada apewe tuzo 🏆
@LizaLiza-v2m
@LizaLiza-v2m Жыл бұрын
Lisa unakitichako mbingun ukovereee
@Amina0098-i5t
@Amina0098-i5t Жыл бұрын
Naomba lik zangu anko sijachelewa
@zuenahz5514
@zuenahz5514 Жыл бұрын
Anko Jay umeichelewesha hadi nimesahau mwanzo imeanzaje jmn 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
@binthassan9191
@binthassan9191 Жыл бұрын
😂😂😂shwaaa shuuushwaaa😂😂 kumbe Anko jay wajua kichina pia 😂😂 nataka kua mwanafunzi wako kuanzia leo 😊❤
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
😂😂😂😂
@ClaraItembe
@ClaraItembe 7 ай бұрын
Wao❤❤
@girukwishakaclaudine5374
@girukwishakaclaudine5374 Жыл бұрын
Hello Lissa mwalla? Ahsante Ankojay acha ni 🪑🎧🌹😅😂
@catherinemakare4432
@catherinemakare4432 Жыл бұрын
Tony Hana msimamo
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂sababu ya kuonja vitu vingi ubongo umechanganyikiwa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@shadyasalum192
@shadyasalum192 Жыл бұрын
Nilikuwa naisubili hii simuzili tunainjoi na simulizi tamuu mpeni maua yake LISSA MWALLA🌹🌹 MICH U
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Tony uwongo wa kijinga huo utakugharimu sana,jamani tamaa bila msimamo hiyo,utazaa huku na huku hadi ushangae😂😂😂😂😂😂
@wilkisteradhiambo3072
@wilkisteradhiambo3072 Жыл бұрын
Mimi nitaiga mfano wa Pressures, kwa mpenzi mtazamaji, wahusika wa hii simulizi nawashukuru sana.ila Anko hapo kwa kuzungumza ki China umeweza daahhh😂😂😂😂
@stellahrobert5
@stellahrobert5 Жыл бұрын
Nimewai leo wa tatu
@zenaathumani8144
@zenaathumani8144 Жыл бұрын
Asante sanaa ankojay na Lissa mwala kwa simulizi hii moto moto kweli kweli asante sanaa ❤❤❤❤❤😂😂😂😂
@aliyhassan6715
@aliyhassan6715 Жыл бұрын
❤❤❤
@mrsalma6299
@mrsalma6299 Жыл бұрын
Nilivyo imiss iyi simulizi nyie anko j barikiwa Sana❤❤❤❤
@nashaldy1804
@nashaldy1804 Жыл бұрын
Kwa hiyo Tony hakutahiriwa hdi sasa😂
@EdithaJoseph-zt2xu
@EdithaJoseph-zt2xu 10 ай бұрын
🤣🤣🤣 Anachekesha huyu🤣🤣 mjinga kweli
@Rukiaikrima
@Rukiaikrima Жыл бұрын
Nyieee nimewahi leo like senu jaman 🥰
@fahmimohd261
@fahmimohd261 Жыл бұрын
Ankoj fanya mpango wa jini mahaba tujue mwisho wake
@Syviahalex
@Syviahalex Жыл бұрын
Wacha tuskie kitakacho tokea last born
@zenahasan7603
@zenahasan7603 4 күн бұрын
Ndio. Umekosa. Lakini. Anavyo. Zidi. Kununa. Ndoo. Anakugawa. Wee. Mwanaume. Hajaribiwi🎉🎉🎉🎉🎉di msamee. Mwezio🎉🎉❤😂🇮🇹🇹🇿
@zenahasan7603
@zenahasan7603 4 күн бұрын
Wee. Faima. Tulia. Mama. Yako. Kakuvurugia. Usimlaumu. John. Umilia. 🎉🎉🎉🎉sijachelewa. Link
@rayarashid3428
@rayarashid3428 Жыл бұрын
Hatimae imeletwa
@MamuPesa
@MamuPesa Жыл бұрын
Anko j hongera❤ kwa sauti nzuri
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Ahsante 🙂
@MaryygorethSoka
@MaryygorethSoka 4 ай бұрын
Yaan mm naipenda saut ya anko j jmniii natamn nimuone
@victoriaedfonss727
@victoriaedfonss727 Жыл бұрын
Wow atimae Ile siku tulio ingoja kwa hamu imefika,♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🌹🌹🌹🌹🔥
@saumunyadzua
@saumunyadzua Жыл бұрын
Hoyeeeeeeeeeee🎉🎉🎉
@agnesagnes5288
@agnesagnes5288 Жыл бұрын
finally maskini mi nangojea mbka ankoj atume KZbin 😢 be blessed Anko❤❤
@mimi_Elikar
@mimi_Elikar Жыл бұрын
Wakwanza leo
@zenahasan7603
@zenahasan7603 4 күн бұрын
Hurudi tena kwa. Babu. Aliokuokoa. Kwenye. Shimotor
@patriciakyalo3454
@patriciakyalo3454 Жыл бұрын
Ankol jay 😂😂😂fungua lesson za Chinese ntakuwa mwanafunzi wako 😅
@zenahasan7603
@zenahasan7603 4 күн бұрын
Wa. Presh. Ukisusa. Wenzio. Walaaaa😂😂😂ant. Lissa. Mwala. Asante. Kwa. Rahaunazotupaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇮🇹🇹🇿🔥
@zenahasan7603
@zenahasan7603 4 күн бұрын
😂😂😂😂kaa. Huyu. Mzeeewakisukuma. Hatariii. Anafurahisha🎉🎉🎉🎉🎉🇮🇹🇹🇿
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Jambo linazua jambo
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 burudani love you too Ankojay 💕💕💕😂😂😂😂😂😝😝
@binthassan9191
@binthassan9191 Жыл бұрын
Ahsante sana Anko jay ..wacha nisikilize kwanza nitarudi kucomment tena😂
@ZaiZainabu-o4p
@ZaiZainabu-o4p 3 ай бұрын
Asant dj kwa simulizi nzuri🎉
@Salma-zi6hn
@Salma-zi6hn Жыл бұрын
Afazali Asante
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Duu!mwe huyu Tony kwakweli hajakomaa kiakili,hajui hata kuvumili wala kutubu
@peninahmmbone4648
@peninahmmbone4648 Жыл бұрын
Thanks alot Ankojay 🙏 twakupenda bure ❤❤❤❤ 🇰🇪🇰🇪 tuko pamoja
@zenahasan7603
@zenahasan7603 4 күн бұрын
Eee. Uyo. Lika. Ukimwi. Huo. Tuliana. Bby Mama. 🎉🎉🎉🎉
@susansamira8137
@susansamira8137 Жыл бұрын
Nimewahi Leo nipewe like zangu Asante sana Ankojay
@gladnesspapy1423
@gladnesspapy1423 Жыл бұрын
😊p😊
@joycekingazi1896
@joycekingazi1896 Жыл бұрын
@AdmiringGrazingCows-im1kh
@AdmiringGrazingCows-im1kh 7 ай бұрын
​@gladnesspapy1423 😅
@ZinaTanzani
@ZinaTanzani Жыл бұрын
Mashallah tabaraka Allah asante kwa muendelezo tunakupenda sana
@binthassan9191
@binthassan9191 Жыл бұрын
Woyooooo mambo ni FIIIIIIIIIIREEEEEEEE🔥🔥🔥🔥kitu kiko hoooot😊❤
@NancyKwimba
@NancyKwimba Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉 nice
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Thank you so much 😀
@novathdidas9176
@novathdidas9176 Жыл бұрын
Apo umenikosha❤
@aumuelly2909
@aumuelly2909 Жыл бұрын
Ahsante bwana kwasimulizi tam
@bibizainab-fk4bt
@bibizainab-fk4bt Жыл бұрын
Asante kwa simulizi nzuti
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Mhmm,wanaume ni majasili wasioacha asili yao😂😂😂😂😂😂😂
@elizabethlucky8200
@elizabethlucky8200 Жыл бұрын
Asante sana Ankojay kwa simulizi nzuri nafuraia mwisho wake thanks alot Eliza from KENYA 🇰🇪 ❤
@bakarifatuma5004
@bakarifatuma5004 Жыл бұрын
Asante sana Ankojay Kwa simuliz nzuri nafuraia mwisho wake thank alot Eliza from kenya🇹🇿❤❤
@UmmyDaudi
@UmmyDaudi Жыл бұрын
Lissa kiboko anajua kutukosha na anko jay anajua kutuburudisha haswaaaa
@حمدانالحويطي-م8ك
@حمدانالحويطي-م8ك Жыл бұрын
Ila la mwisho usimdhatao mtu kwa kuwa yeye nikapuku choka mbaya kesho yake huijui ila mpanga ratiba ya maisha yakila mwanadamu ni MUNGU tuu leo mie nimwosha choo kwa mwarabu ila kesho siijui vyema kwani yawezekana wanao nicheka ninapo suguwa choo cha mwarabu ilakesho atakavyo niona mimi ni boss kesho katika ofisi yangu ya MUNGU ni mengi ya mwanadamu ni machache
@jokhajj
@jokhajj Ай бұрын
Kabisa dear ❤❤❤
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Duniani kuna mambo jamani wee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
@lucymalindi9527
@lucymalindi9527 Жыл бұрын
Tulisubir xna
@LizaLiza-v2m
@LizaLiza-v2m Жыл бұрын
Asanteee nimekua wa 52 jaman nimeingojea kama masia
@AsdAsd-d7f
@AsdAsd-d7f 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
@bibizainab-fk4bt
@bibizainab-fk4bt Жыл бұрын
Swaa sawa😮
@anunalamin6472
@anunalamin6472 Жыл бұрын
Wah atlast
@Jasmeni-ns9dg
@Jasmeni-ns9dg Жыл бұрын
❤❤❤❤
@elizabethfrank271
@elizabethfrank271 Жыл бұрын
Asanteeee Anko jay ❤️🎉
@nurafedrick378
@nurafedrick378 Жыл бұрын
Mwanaume kama tonny anaitaji moyo mm huo moyo sina yani ulale nahuyu kisha ujekwangu hapana nandomana ulibambikixiwaa mtoto kirahisi. Hayo maisha nayo yakimasikini nakumbe babamtu yuko mmmmmm lkn mwenye makosa ni mamako tuu angekuambia ukiwa mdogo tu ndomana hata vitu vyakuoa alivikataa...😂😂😂😂😂😂😂lkn mwisho mavi yakale hayanukii mumerudiana.. halafu huyu mama nani vile huyo dada wamatusi amesahau alikuita masikini sahii huyo masikini ndoakusaidie😀😀subutu hata peni sitoi
@JescaMuhaya
@JescaMuhaya 3 ай бұрын
Thank. You ankojay😮
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Daaa!Familia hiyo ya Faima!ni mtihani
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Tuone mambo
@AmmyBaby
@AmmyBaby 7 ай бұрын
Daah ila ankoj kichna umekiweza😅😅😅😂😂love so much anko
@MaryMary-kq3nh
@MaryMary-kq3nh Жыл бұрын
Asante sana Anko jy ❤❤❤mwisho wa simulizi hii🎉🎉🎉🙏🤝
@yusrambodze3804
@yusrambodze3804 Жыл бұрын
Alaaah finally tuko hapa xx tumalizie leo nimewahi kiac wa 17jamani munikiss basi😂😂😂😂
@zuhuranadahhinda1366
@zuhuranadahhinda1366 Жыл бұрын
Asanteee saaana Lisa mwala enjoy your day 🎉 👊
@zuenahz5514
@zuenahz5514 Жыл бұрын
Ngoja nisikilize tu huwenda ntakumbuka mwanzo ilianzaje😎😎😎😎😎
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂heee
@masikamohamed1795
@masikamohamed1795 Жыл бұрын
Mambo ni 🔥🔥🔥🤸‍♀️❤
@ClaraMuyengi-ud4be
@ClaraMuyengi-ud4be Жыл бұрын
Much love anko😘
@bakarifatuma5004
@bakarifatuma5004 Жыл бұрын
Much love anko😘
@dormshana3173
@dormshana3173 Жыл бұрын
❤❤❤
@mercynyanjiru7868
@mercynyanjiru7868 Жыл бұрын
Karibu nisahau mahali ulistop😢😢...umekawia sana kuiweka
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Ilikuwa inauzwa
@issanuru9552
@issanuru9552 Жыл бұрын
Atimae ankoy Jay kaamua😂🎉🎉❤❤❤
@yussraSimba
@yussraSimba Жыл бұрын
Jomn tunataka kuiona picha ya Lisa mwala mwalim wetu anae tuelimisha mikasa mbali mbali tunakupenda sana pamoja na Ank jay ❤❤❤❤
@maseleenaesleen8149
@maseleenaesleen8149 Жыл бұрын
Hujaiona kwani c ankojay alimpost siku ya birthday yake
@yussraSimba
@yussraSimba Жыл бұрын
@@maseleenaesleen8149 sijaona 🥹🥹🥺
@shakiramohamed8824
@shakiramohamed8824 4 ай бұрын
Huyu dada fei ana tuzalilisha ss watu wa tanga hatuna mdomo jamani atakum m mbondei😂😂😂😂😂😂😂
@JaneSanga-b5n
@JaneSanga-b5n 8 ай бұрын
Ndo shida ya wanaume jamn wanawak tunapitia mengi nakupenda bur ank jay❤❤❤
@MaryamOthman-i5y
@MaryamOthman-i5y 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 ankojay we basi tena khaaaa iko kichina hatari 😂😂😂😂😂
@beatricesemiti5997
@beatricesemiti5997 Жыл бұрын
😂😂Anko j kiboko Last Born imenichekesha mno sehemu ya mwisho kiboko
@saumunyadzua
@saumunyadzua Жыл бұрын
Daah nimefika kuchelewa lkn nipo ndani
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 6 ай бұрын
Anko j kiboko,mpaka sauti ya mtoto,wew noma 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@EstherJoram-gt4lt
@EstherJoram-gt4lt 8 ай бұрын
Nakupend Anko Jay n madam Lissa😊😊😊
@fortunatachande-ci4rd
@fortunatachande-ci4rd Жыл бұрын
Hongera sana ankojay na ahsante sana kwa madam Lissa
@NoelaJuventus
@NoelaJuventus 7 ай бұрын
Jamani simulizi nzuri
@RaifaMbarouk-wx1kq
@RaifaMbarouk-wx1kq Жыл бұрын
Asant
@Nuru8700
@Nuru8700 Жыл бұрын
❤❤❤
@deborahsau1392
@deborahsau1392 9 ай бұрын
Hii nayo ilikua more fire
@HalimaHalima-rw5os
@HalimaHalima-rw5os Жыл бұрын
❤❤❤😂😂
@AminaChazy
@AminaChazy Жыл бұрын
❤❤❤❤😂
@CK-ri1mo
@CK-ri1mo 6 ай бұрын
Anko jay nikiwa na mawazo huwa yanaishia kwenye simulizi zako ❤❤
@sakianarashid3993
@sakianarashid3993 Жыл бұрын
Oyooo
@EmmaOnalloh
@EmmaOnalloh Жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️
@nahimanajo8993
@nahimanajo8993 8 ай бұрын
Asante Anko Jay simulizi zuri inamafunzo mazuri 👏👏👏🇨🇵🇨🇵
@shantellekwamboka7444
@shantellekwamboka7444 Жыл бұрын
Finally,,,
@emathumani2901
@emathumani2901 Жыл бұрын
, Kichina weweh 😂😂😂😂😂😂😂uje nikufundishe nakijua
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂unaongozwa sala ya toba wakati unajipanga kuendelea na dhambi hiyo hiyo khaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@saumunyadzua
@saumunyadzua Жыл бұрын
Toni mwenyewe hana hata dini
@sadikituji-rd5od
@sadikituji-rd5od Жыл бұрын
Dada Lisa huna simulizi mbovu kwakweli hongera Sana dada nazipenda mnooo
@RakaPk
@RakaPk 7 ай бұрын
Asante sana anko wetu kwa muendelezo wa simulizi yetu tamu sanaa na yenye mafunzo ❤🎉
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 6 ай бұрын
Yamkin mzee masanja ni bab yake tonny
@OscarNyaki-xc3wk
@OscarNyaki-xc3wk 5 ай бұрын
Bonge Moja la simulizi
@MourineJebetkibor-vk9ti
@MourineJebetkibor-vk9ti Жыл бұрын
Napenda huyo bro wako Stephan ju anajua kukukomoa sana
@SarahPeter-e8p
@SarahPeter-e8p 4 ай бұрын
Hicho kichina muhhh 😂😂😂😂
@shamilakalinga437
@shamilakalinga437 Жыл бұрын
anko samahani lakn vp ile simulizi ya nyumba ndogo 😢
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Ile haina part 2, kaisikilize hadi mwisho
@mwanajumamohammed4356
@mwanajumamohammed4356 Жыл бұрын
Ni simulizi ipi jamani mbna nilisahau
@shamilakalinga437
@shamilakalinga437 Жыл бұрын
@@mwanajumamohammed4356 nyumba ndogo upo kwenye anko jay simulizi
@shamilakalinga437
@shamilakalinga437 Жыл бұрын
@@ankojay_ anko itakuwa umesahau tuliishia pale bi mdogo kakataa ndoa yule bi mkubwa alienda kwao moshi kumroga
@tabiasalum3381
@tabiasalum3381 Жыл бұрын
Mbona hile himeicha
SIMULIZI FUPI: UTAMU
1:50:35
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 34 М.
BINTI MORENA - SIMULIZI MPYA YA MAPENZI
3:00:47
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 89 М.
Incredible: Teacher builds airplane to teach kids behavior! #shorts
00:32
Fabiosa Stories
Рет қаралды 11 МЛН
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 58 МЛН
From Small To Giant Pop Corn #katebrush #funny #shorts
00:17
Kate Brush
Рет қаралды 71 МЛН
CHOZI LA MKE LAANA: SIMULIZI FUPI YA MAPENZI.
1:34:09
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 19 М.
PENZI LA MTUHUMIWA: SIMULIZI FUPI YA SAUTI.
50:21
Simulizi Mix
Рет қаралды 318 М.
YANAMPATA MAKUBWA BAADA KUMTOROKA MUMUWE: KIM NA AMANDA P1
8:25
Swahili Stories
Рет қаралды 2 М.
BINTI SARAPHINA
2:30:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 48 М.
SIMULIZI MPYA - LAST BORN
2:50:42
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 68 М.
Jinsi ya kumuandaa  mume
6:59
BEBYMAMA Tv
Рет қаралды 371 М.
MR. LOVE - SIMULIZI MPYA YA MAPENZI
3:00:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 37 М.
SIMULIZI YA MAPENZI - BUSU LA SHEMEJI
3:08:15
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 51 М.
MATESO YA BINTI YOLANDA
3:01:49
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 46 М.