Movie zenu bro KP nazikubali sana Kama wewe ndie director basi you are professional kwa maana hio movie ina matokeo ya kutisha na si Horror movie ..muko juu zaidi 👍🏾👍🏾👍🏾👍🏾👍🏾
@kenynchaka77078 ай бұрын
we unajua kuangalia movie na sio hao wanaotaka like2
@ClaireGeorge-iw8xi8 ай бұрын
Plzz ekeni pia wamangushi na binti nyoka full episode tudownload much love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@SharonSandeАй бұрын
Likoma nakupenda Bure Yan adi miondoko yako n ya baba kabisa ❤❤❤ nakupenda Bure plus team zebu napenda sana
@kura.the.boy-8 ай бұрын
Nakubali san team kazi tulii enjoy San
@SafiaKezakimana8 ай бұрын
Wakum n'a tatu Léo naomben laiki zang❤❤❤
@aliyahaji85128 ай бұрын
Thank you kb na zebun na all the team ❤❤❤❤❤ 4rm England
@Wanyonyi-m4x8 ай бұрын
Thanks sana kazi nzuri but waiting ingne mpya hujamaliza kuandika
@VanesaJennifer-bm9rf4 ай бұрын
😂😅😅vp
@rynekiswaga45978 ай бұрын
Kp mi nasubiri thamthilia nyngn after last card 😊😊
@MargretUganda8 ай бұрын
Tumengojea season 2 please kwa iyo movie 😊
@CollisBill-mu3zp8 ай бұрын
My best season from team kp. First to Last Kaka na Dada......Benzema....Last card.....Mzee wa giza ....Binti Nyoka.....na Ya mwisho ni Wamangushiii❤ Respect Kip wa aquino
@AbdullahisaBongole18 күн бұрын
Sinema zote za kp ni nzuri sana
@Official-Bee8 ай бұрын
Aky surely na tunangoja next season 😂😪😞
@SkaterTravellerWorldАй бұрын
I'm watching from Burundi Country 🇧🇮 😍 we live your movies and Benzema your blessed 👌 let me with you more blessings 🙌🙌 you're super act.. In Tz
@DanielaFrancis-m6e5 күн бұрын
Singida ni moto tuna adabu na ukarimu Nora umetisha ❤ sema Singida girl hatujui kutunza Siri Nora umemuumbua zebuu
@maryndungu7738 ай бұрын
😮😮😮Asante 🫢 kwa full movie nashukuru
@danielhumble42928 ай бұрын
Leo nilikuwa mlangoni kila kitu nilikuwa na hamu nacho plz like zenyu hata 100 tuu
@DanielKulwa-v7l4 ай бұрын
Kp na
@DanielKulwa-v7l4 ай бұрын
Kp Nyimbo
@danielbenedict-jf1pz4 ай бұрын
Asee kp uko vizuri sana, kp na zebuu mnaendana hatari 🎉
@Dickson208 ай бұрын
Mimi Leo wakwaza naomba likes jamani
@nabahyaombeni-ic4ft8 ай бұрын
Jamanii timu kp na zebuuuu tuna taka move nyingine au session two ya binti nyoko
@NaomiMasindeАй бұрын
Napenda michezo yenu.najikuta hata silali.kp na zebuu hongereni sana .keep.it up
@محمدالقحطاني-ظ3ط1ص8 ай бұрын
Wow Zebu umejua kutoa babako😂😂😂 Chukua hii ❤❤❤kutoka Kenya 🇰🇪
@محمدالقحطاني-ظ3ط1ص8 ай бұрын
Mara kikubwa Mara kidogo😂😂😂😂 baba kp nimekupenda Bure nkiwa pale👉👉👉Kenya 🇰🇪
@kenynchaka77078 ай бұрын
aixeee kazi yenu ni nzuri xanaaa pia mnanivuria xanaaa the way mnaonyexha kupendana kwa dhati namna iyooo,Mungu wa mbinguni awablec xanaaa na upendo wenu uzidi kidum cku zoteeee
@MakaranegoАй бұрын
Gud job naomb mpitie n kazi zetu MAKARA NEGO
@mwajumalubuva3 ай бұрын
Manshallah manshallah kp na zebuu mngu awabariki ❤❤
@FeristerJames8 ай бұрын
Kp jmn toa mpya please kaka yangu 🙏
@nicaisenduwimana42538 ай бұрын
Mimi sililiyi kuwa wakwanza naomba movie mpya
@AbdullahisaBongole18 күн бұрын
Mwenyezi mungu awazidishie kilalaheri mnatufunza na mna tuburudisha
@NancyOchieng-s6p5 ай бұрын
Nilianza na sonaa nkaenda mzee wa giza na last card sai nko kwa binti nyoka ,movie zenu znafunza sana
@Baudouin-Tv8 ай бұрын
Nipo na leo wa kwanza jambo saana ndugu zangu na omba likes zangu jamani wekeni like zangu jamani wekeni like zangu jamani wekeni like zangu jamani wekeni like zangu jamani wekeni ❤❤❤❤
@EshaHamisi-n5g3 ай бұрын
Woow smart ❤ I like the movie KP na zebun
@KursumIbrahim8 ай бұрын
❤🎉kiumakini😳 Zaid maana nyuma nishasahau
@NelsonKiema17 күн бұрын
Kp nakukubali chukuq maua yak🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
@EuniceNyando7 ай бұрын
Lo diboz nakuoa hongera Kwan kazi ndzuri
@JimmyFabian-ci6wr5 ай бұрын
Nimewavulia kofia, mnajua adi mnakela, maua yenu🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹👍
@najmaawadh5108 ай бұрын
Movies bomba kwl big up
@DeborahWafula-ul7kz4 ай бұрын
Nawapenda sana hasa kp zebuu n mzee likoma n wengine nawapenda sana.
@AbdullahisaBongole18 күн бұрын
Tunakupenda sana mzee diboze unatuchekesha mno
@Irankundasadiki-yx1vfАй бұрын
Kp na zebun nawakubali ninyi ni wa chapakazi nawapa ongera🙏🏿🫶🏿
@VanessaMallya-c5v8 ай бұрын
Si mtoe nyingine jamani tumekaa kinyonge
@mwajumalubuva3 ай бұрын
Hongereni kwa kz nzuri Sana wapedwa ❤❤
@BitishoRiziki-z8z2 ай бұрын
Wow that's awesome this is nice 👍
@RufeaAbdalla8 ай бұрын
Hamuja toa mchezo mwengine
@BagumaJulienBagumaJulien-k8g3 ай бұрын
kazi nzuri kp unaakili mingi saana🙏🙏
@OmaryRamadan-m8v8 ай бұрын
😂😂😂 mawasiliano ya njegele ayo mov kari sana
@AbdullahisaBongole18 күн бұрын
Kp na zebuu nawapa saluti noma sana hongereni sana
Mbona kwenye episode ya mwisho ya last card hamkuingia kwenye vyombo vya habari mkatangaze kuwa KP hakuwa muuaji na muuaji alikuwa ni kisai, mkaja kusherehekea ushindi wa KP..........na huko nje wananchi bado wanajua KP ndo muuaji mbona hamkueka KP huru
@Loverboy-i2y2 ай бұрын
Kwa kweli napenda sana kp na babaake
@ElesElias-t8jАй бұрын
Well, you did it 🤝
@JosephineMomanyi-jp8tv5 ай бұрын
Nimefurahishwa kuona binti mwenye ako mwelevu kaa zebuuu
@LUCIANAMWAMBAGI-x2q17 күн бұрын
Mauaaaa 🎉🎉🎉🎉 yako likoma
@AbubakareNyabenda16 күн бұрын
Kweri kabisa nime kubari sana kurage kurage endereya sana
@alexjoseph6445Ай бұрын
Matangazo ni sehemu ya biashara na ndo inafanya tupate hii movi lkn msema la ukweli mnazidisha mtangazo katikati ya movi
@marykanini83123 күн бұрын
Hii imewesa sana❤
@LUCIANAMWAMBAGI-x2q17 күн бұрын
Jaman soo nice shei shei
@ErastoIsmael8 ай бұрын
Uyu mwamba kp nimemkubali na mzee likoma kwa Plani zao
@lilianwawira77598 ай бұрын
aii Mimi nataka season two jameni
@SarahEzekiel-d9n8 ай бұрын
Haya wakwanza leo mnipe likezangu 😊😊
@SharonChepngeno-d7e8 ай бұрын
Leo wa mwisho nipeeni ata mbili bac
@LUCIANAMWAMBAGI-x2q17 күн бұрын
Saf sanaaa zebuuu
@AliceManirambon8 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉 mbon hamtupi mapya?????
@MubayaSelemani2 ай бұрын
Dah Huyu mwamba maarufu kp atakuwa ni msomi mkubwa maana movie zake anatumiya akili nyingi sana.
@Aysher338 ай бұрын
Next season ni lini Kp? Tuambie tafadhali
@MarcIlunga-k4q7 ай бұрын
Jamani hu mzé Noma 😂😂😂
@SumaOmary2 ай бұрын
Brother Cheche ilo tayar😢😢
@MosesArgwings28 күн бұрын
Iko best but wuee! Io ni hatari
@AirinSumeno8 ай бұрын
Wakuu mlianza vizur ila kwenye kumaliza mmetuacha njian huyu dada wa kwanza kwanin aliuawa na mke wa diboz kwanin aliuawa na kwanin kes akabambikiziwa kp kwanin taget ni familia ya diboz
@ZainabuOmary-nt7xf8 ай бұрын
Ata ww kumbe umeona kama mimi ilikuwa bado bwaana mahamani hawakwenda haikuisha vzr
@AirinSumeno6 ай бұрын
@@ZainabuOmary-nt7xf wamezngua
@saumucharo32398 ай бұрын
Kp, nmekumbuka uyu daktar aliishia wap?
@DarpjotpeterАй бұрын
Here you did bro...
@JANJABOYRJB3 ай бұрын
Vizuri sana
@AbdullahisaBongole18 күн бұрын
Asanteni sana kwakutuburudisha
@chunaabdullah13336 ай бұрын
Ndio mana wa fungwa wengi wako magereza bila hatia, ni mambo kama haya
@PrettyCate-vl7ew5 ай бұрын
Kp amecheza vizur
@VanessaMallya-c5v8 ай бұрын
Jaman me wakwanza leo nipeni hata like 10
@AlkadNestory3 ай бұрын
Kp we ni mwamba kabisa
@Annwanjiroombati7 ай бұрын
Movie zuri santen
@HemedAli-h9b8 ай бұрын
kaz mpya lin aloooooo
@BukuruLeoncy8 ай бұрын
Kazi nzulisan inayofwat11 20
@hamzit_bajuniboy0052 ай бұрын
maisha hayo kila mmoja anafaa kujifunza 😟😟😟
@TeodesiaFaustin8 ай бұрын
Tulee nyngne kaka hii tumemqliza bhn
@purplebeast254 ай бұрын
Sha Sha I love u u so pretty
@MtenziZuberi2 ай бұрын
Fp move mpya n Gani inakuja
@josephnzau47046 ай бұрын
Kp bona last card part 2 mtu awezi download
@SylviaJerop-t7x2 ай бұрын
Hapo sasa
@PendoJoseph-vm1oc2 ай бұрын
Move tamu
@NdiwaIvone-eo9hh6 күн бұрын
Jameni huyo kisai wenu anafanya kipindi inaboo Na kuchekacheka kama wazimu
@EuniceNyando7 ай бұрын
VP kp Kwan Binti nyoka hakuna part two
@Finamontez2 ай бұрын
Niseme nini tena,raha naipata kwelikweli kwa filamu zenu,kuna wakati sikulala nilijikuta kwa movie hadi asubuhi