Ahsante Sana Kwawote Mliouliza Maswali Muda Wangu Umeisha Nawapenda Sana kwasiobahatika kuwajibu Mnisamehe Sana Msg Ninyingi Nawapenda Sana 😘😘😘
@Salma-pf3kh7 жыл бұрын
Lava Lava nice
@sadamali417 жыл бұрын
Lava Lava tunakupenda sana +254 yani hapa tushachoka kuona kwenye utube na sasa tunataka bonge la show in nairobi kenya +254 bomas more fire lavalava
@shabanihamza38307 жыл бұрын
Lava Lava nakushauri unapofanya video jitahidi kuiangalia kamera yaani naona sehemu kubwa ya uso wako unaonesha hisia lakini macho unayaficha sana
@lovenaagervaa87497 жыл бұрын
😘😘😘😘😘
@lovenaagervaa87497 жыл бұрын
😘😘😘😘😘
@sukarikidogo0013 жыл бұрын
It's pain to love somebody who doesn't love you,,,,, once happened to me 😭😭😭kilio,,,,,wapi like ya Kenyans ndani ya ngoma👍👍👍👍👍
@mebakariabdallah23173 жыл бұрын
❤️❤️💃💃💃💓✌️✌️👌👌👌💕
@jovintamiheso98283 жыл бұрын
Manze
@cassieleticia38723 жыл бұрын
Take heart
@danblak63143 жыл бұрын
Pole sana bro,, mapenzi ya nyakati hizi yamechina yananuka.
@stephenhabwe52953 жыл бұрын
Mimi huwa najiulizaga mapenzi nini juu unampendaye hakupendi
@HusenRehan-du8iq8 ай бұрын
Tulio sikiliza hi nyimbo 2024 tujuane
@Rose-jl7sp6 ай бұрын
Hello
@fosiahahmed78433 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@GuniKamwenga2 ай бұрын
Nko nangalia tu sana Mombasa kenya
@goldenfox41857 жыл бұрын
Goma kali kinyama, WCB4LIFE 🔥🔥🔥👏👍💪💪💪🇹🇿❤
@pablomoses95917 жыл бұрын
Wa Toto wa Mond awashikiki 🔥🔥🔥🔝🔝🔝🎤
@alvinmubiai63197 жыл бұрын
Pablo Moses ahhhhh lava lava is killer
@funnyvideosTVapolinaryshavunza7 жыл бұрын
hahaaa ukiwa kwenye chemchem utatoa maji tu
@francineomari55957 жыл бұрын
Pablo Moses like Father 😙like son👦
@kruverthmasanula99147 жыл бұрын
Pablo Moses watoto wa simbaaaaaa
@hoseanobocka45337 жыл бұрын
ukikaa wasafii hata kama we mgumu kuelewa utaelewa tu
@MariamuAdiinАй бұрын
hii ngoma kwangu haijawah kuchuja kwangu nitaipiga hadi 2025 mpk 30 nikiwepo inshaallah ngoma kali sana hiiiii❤❤❤❤
@khamismachemba76007 жыл бұрын
acha bongo fleva iwe yao wcb....😢😢😢👉🔥🔥🔥🔥
@mwanahamisiabdallah38197 жыл бұрын
Mashairi yametulia jamani lava lava ww utaniuwa ....luv u wcb254
@NotepadOriginals7 жыл бұрын
Tazama tamthilia mpya fupi(dakika 11) ya kitanzania hapa kzbin.info/www/bejne/oHPXfn-doLisaLM
@davidwakarindi23372 жыл бұрын
Ningekuaa na uwezo ningelipa lava lava awe mwimbaji wangu binafsi...aniimbie asubuhi, adhuhuri, jioni na hata usiku...love him and his talent too
@aishaabdion98027 жыл бұрын
moyo Wang baado............ mwambie asiokomaze.......... kwan mm bado ............ mwambie acnikomazeee.... mteke mteke 👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥
@RomanusTv7 жыл бұрын
Lavalava Kila siku unaachwa wewe tu, pole ndugu yangu, wanawake siyo watu wazuri
@najmamohamed60607 жыл бұрын
Romanus Tv 😃😃😃😃😃
@niaanthony95887 жыл бұрын
Romanus Tv hahaha
@francineomari55957 жыл бұрын
Romanus Tv hahahahsh😅😅😅😅
@tatut38897 жыл бұрын
Romanus Tv 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀naww umenichekesha
@niaanthony95887 жыл бұрын
Romanus Tv EEE kila siku anaachwa yeye tu nayeye ajifunze kuacha sasa
@NahimanaJeanPierre-m8w5 ай бұрын
Lava Allah azidi kukulinda na kukulindiya sauti y’a Zahabu ❤
@mreallashy35257 жыл бұрын
Usikose usingizi BBY npo njiani naja don cry hun nice song 👌👌👌👌👂👂💘
@derrychaula39937 жыл бұрын
Ngoma qal %%%%%
@benimas74277 жыл бұрын
+Derry Chaula Ngoma kaly sana...
@ibrahimmzee32377 жыл бұрын
Narudia tena kusema I see u to the top mwanangu
@EuphremeKabalamaАй бұрын
Una juwa sana 🇨🇩 njo anaku penda
@kemmypius86197 жыл бұрын
Duuuuh Lavalava hatuachi salama....... Love u brother
@djgthehotstepper7 жыл бұрын
Mmmmh huyu jamaa hata sana hata Ali kiba harambi kitu. Mr love bite we ni balaa lingine kabisaaaa. #WCB4LIFE.
@ericballack8219 Жыл бұрын
Till now 2023 I'm still feeling this banger
@saidtvonlinecnd26897 жыл бұрын
Ngoma Kali sana Canada mpo like hapa twende sawa 🙌🙌🙌
@bienvenunono40203 жыл бұрын
Mapenzi yanaumiza saaana asa pale unapoutowa moyo wako kwayule umpendaye alafu mwisho wa siku ukagunduwa kwamba ana ata time nawewe kweli inauma, Thanks for the messages Lava lava, love u from DRCONGO ❤❤❤
@janethkomba4485 Жыл бұрын
Sanaaaa 😭😭😭😭😭
@Natashamwende057 ай бұрын
Akii kwelii
@moharhusayn31843 жыл бұрын
Huyu lavalava asiesuka alkuwa on fireeee💥
@AlexMumoMalonza3 жыл бұрын
Lava lava is the Most underrated artist in Africa....He is the best
@gatimarwa7525 Жыл бұрын
Jaman icho kigoma apo mwsho na lavalava anavotetema.....hatar saana nmekamis ikabid nirud apa October 2023....
@kelvinchaula22037 жыл бұрын
kali yaooo lavalava 🔥🔥🔥🔥🔥 wcb for life
@Nickojunior7 жыл бұрын
Wa tatu hapa sijachelewa 😅 Ngoma tamu sana
@wanenetv96727 жыл бұрын
woyooooooooooooo
@mashakasamwel19717 жыл бұрын
Poa
@mashakasamwel19717 жыл бұрын
NickoJunior BJMUSIC okpoa
@mamatuishi-mamatuondoke88227 жыл бұрын
Bora uachane na mapezi kama mimi lava lava wangu
@ezechielgervas52107 жыл бұрын
NickoJunior BJMUSIC you ready know
@zagabe9055Ай бұрын
Nice and meaningful song from this genius
@munashabanimunashabani99767 жыл бұрын
yaanii unanyooshaa kiswahili vizuri sana adi raha kusikia wimbo wako ongera sana daimond ongera sana kwakuwa pamoja na vijana wako
@brianlot6174 Жыл бұрын
This touches the deepest part of the heart kwanza uwe uliachwa ama kupenda anaye penda mwingine ... Hongera wenye roho ngumu coz the Oscar is yours.
@Footballcityspy11 ай бұрын
2024 na still nasikiza hii ngoma moto
@Halila-wz2cr4 ай бұрын
2po wengi
@abdallahswedy62277 жыл бұрын
Kama unamkubali lava lava basi kesho views 1M twende sawa achia like yako WCB mwendo wa fire🔥 🔥 🔥
@NotepadOriginals7 жыл бұрын
Tazama tamthilia mpya fupi(dakika 11) ya kitanzania hapa kzbin.info/www/bejne/oHPXfn-doLisaLM
@gbisonidevid71594 жыл бұрын
every body say wcb for life
@destinybello14607 жыл бұрын
Hello guys i 'm from nigeria but live in germany i don't understNd what he sing but this music make's share tears..much love from nigeria..
@alfredycheyo88477 жыл бұрын
Destiny Bello He's talk about love........he is loving someone and he don't see any one who can love like who is loving this now!!
@destinybello14607 жыл бұрын
Masungwa Masungwa thanks for explaining..
@alfredycheyo88477 жыл бұрын
Without Thanksful
@jumasaid88925 жыл бұрын
Wimbo huu uliutendea haki hongera sana Mungu akubariki sana
@tsumajullo50946 жыл бұрын
Shenzi,hii nyimbo inamaliza bundles zangu.can't get enough of it,si data si charge,wacha niskize ikiwa kwa socket.
@djatm13197 жыл бұрын
My Boy bado unatamba..... Love from Nairobi Kenya
@isayananyaro89447 жыл бұрын
Tibisi
@JefreyKings6 жыл бұрын
DJ ATM Bless
@tatuomar88616 жыл бұрын
Lava lava duuuh yani kwangu zaidi yakiliyo unajuwa kabisa😘😘😘
@fosimbwana83437 жыл бұрын
Yaani huu wimbo unaniacha nikitokwa na machozi kila ninapouskiza yaani wacha tu! LAVALAVA inshallah Mungu akulinde, Mombasa Kenya wewe ni wetu.
@fathimaali80396 жыл бұрын
Hapo chaaa shem
@imasonjohn38106 жыл бұрын
Yaaaan nalia kabsaaaa
@rogermillar16962 жыл бұрын
To the person listening to this song: Even though I don’t know you, I wish you the best of what life has to offer ❤
@priscahchep4592 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭
@sixstarsshisundi1056 Жыл бұрын
Amen 🙏! You too
@HansSeverin-yp9mw Жыл бұрын
Amen
@LaForceDuClub9 ай бұрын
De même pour moi ❤
@davidmutindaofficial9522 жыл бұрын
This guy sings better than most, underrated but still on top,nakukubali
@nelsonamonyo17317 жыл бұрын
WAtu wa kenya tukuje pole pole Na kamusi hii kiswahili hatutaelewa .. tumezoea mambo ya nakukata wembe na jigijigi
@mannuh_chacha43577 жыл бұрын
Nelson Amonyo 😂😂😂itabidi wasee wamejipanga
@iqrafatuma84427 жыл бұрын
Hahahhhaha
@kevinatinda22424 жыл бұрын
Most lyrical artist wa WcB, ila kazalilishwa. Nyimbo hii inanifariji sana. 2020 tupo hapa.
@PsychCentralKE11 күн бұрын
From 2018 fastforward 2024 nani bado tupo hapa disemba 🎉
@Calsonmugodo2 жыл бұрын
The person who did heartbreak this man did a nice job, i love the chemistry
@sgb94512 жыл бұрын
I also feel so
@bakarhussein96782 жыл бұрын
😂😂😂
@sixstarsshisundi10562 жыл бұрын
Aaah mashairi ya ukweli
@emanuelkvannyii82687 жыл бұрын
Majuz tu nimetoka kuumizwa na aliye kuwa mpenz wangu,nilijarib kumtuma rafiki yang akaniombee msamaha lakini akatimuliwa, lakini nilipomtumia2 huu wimbo watsapp gafla ameniomba msamaha et turudiane!! Kwel lavalava umerudisha furaha yangu big up wcb#👏👏❤❤🔥🔥
@hassanovajunior69727 жыл бұрын
Emanuel K vanny II 😂😂😂😂👏
@فيصلفرج-ر2ه7 жыл бұрын
Emanuel K vanny hahaha
@sherrysalim507 жыл бұрын
Emanuel K vanny II 😂😂😂😂
@balbinarayson22707 жыл бұрын
Emanuel K vanny II 😂😂😂😂😂😂
@gloryosias66727 жыл бұрын
Emanuel K vanny II hahhahaha dooh
@florencekolie43284 жыл бұрын
Kaka Lava Lava dah dah,,ningekupa na uwezo wa kuutoa moyo wangu haya basi ningeutoa nikupe bdo yakuishe maumivu na ukupanguze machozi ya upweke,,,,ninachokiweza kwa sasa n kukuombea kwa Mola akujalie kipenzi Hadi mwenyew ushangae na Wasafi wore wakuonee wivu,,💝💝💝
@DEGESTAR7 жыл бұрын
Mwaka mpya na mambo mapia.. Big up lava keep it up I love your 🔥 voice
@alenmagese50456 жыл бұрын
Kaka tumefana siwezi lala bila kusikiliza kilio
@evekirschrosh7 жыл бұрын
Moyo wangu bado mtekemteke.... Asinikondeshe., 👌👌👌👌
@adamranje62796 жыл бұрын
evekirschrosh eve umetishaaaa mdada
@naomimypicture33336 жыл бұрын
weee noma
@happinessbageya90694 жыл бұрын
Unajuaaa
@rahimaaaaa56824 жыл бұрын
Pole sana njoo kwangu jmn maana ww wakusalitiwa2 🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗
"" Mwambie kuachwa mateso nasulubiwaaaaa ...... kilio ooo kilio ngoma tamu sana safi sana lavalava!
@laurenkalonga22864 жыл бұрын
Moyo wangu mutekemuteke limenigusa safi sana kaka tangu niaze safali yakupenda ni kilio kilio nifanyeje mimi!!!!!!
@abdallahlyimomrwana91347 жыл бұрын
kawaida yetu .... #wcb tunaunzaga mwaka hivi #imlavalavaKILIO
@goldenfox41857 жыл бұрын
Iyooo laizer beat kali san, gud job
@godlistenpatrice31297 жыл бұрын
Golden Fox sana
@fellowshiphub.7222 жыл бұрын
Ones Mbodo.Kenyans we are here full house.Penda anayekupenda kikweli
@alinemialano91957 жыл бұрын
Iyi kali kama nini❤❤❤
@princemichael30237 жыл бұрын
Aline Mialano rahaaa sanaa
@youngkillermsodoki76647 жыл бұрын
Aline Mialano I love you you are my Everthing
@geofreymagobole20217 жыл бұрын
mambo
@selinalawrence91737 жыл бұрын
lavalava uko dug Sana nice song
@NotepadOriginals7 жыл бұрын
Tazama tamthilia mpya fupi(dakika 11) ya kitanzania hapa kzbin.info/www/bejne/oHPXfn-doLisaLM
@salmayusuf41207 жыл бұрын
when he sings I believe every word he says,..!! Masha Allah. Keep up the good work.
@williammwachawale86597 жыл бұрын
mambo ni moto nakupenda sana
@alexkilamlya17236 жыл бұрын
Hiyo Kali vijana mnaimba kweli ila wote mnafanana sauti mnaiga kwa SIMBA diamondi yaani wote
@jerrjamary26492 жыл бұрын
ILA kila mtu anakabuli lake
@HassanOmedo2 ай бұрын
Baba mr lovebit tupe vitu nime miss kulialia ❤❤❤❤❤❤❤
@goodnewsberneth3087 жыл бұрын
Though I don't understand what he's saying but I still love this music. More love WCB. More love Tanzania.
@sirmwangangi44976 жыл бұрын
From Nairobi-Kenya, i really love you kind of Music, so precise and dedicated to your work,,,,unanikosha sana kakangu.
@allijumanne20906 жыл бұрын
sir
@angelineoriango908227 күн бұрын
Heartbreak 2024 november...the pain ...naogopa
@lovenaagervaa87497 жыл бұрын
Nice song Lava ake.. Inabamba sana kitaa.👏👏
@MariamsLifestyle7 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana👌🏾👌🏾 wasanii wa diamond ni wapo talented
@harunaally54456 жыл бұрын
ngoma nzuri sana
@winnyathanas28576 жыл бұрын
Mariam's Lifestylen
@babutalent24766 жыл бұрын
nc
@teresahadara2396 жыл бұрын
Sichoki kusikiliza nyimbo hii hunitoa machozi nikikumbuka mpenzi wangu mm najitahidi kutafuta mahali aliko yeye anagawa tu uroda hata kunijulia hali ni ngumu. BIG UP LALA LAVA
@barberickkenya16577 жыл бұрын
The big tune in town...lavalava am ur biggest fun in kenya..tupa lyk kibao
@mohammednjumbwike37146 жыл бұрын
mashallah
@youngkillermsodoki76647 жыл бұрын
Wimbo huu ni mzuri sanA pia hau choshi kuuskiliza lkn umetokea label gani WCB 4life ziko wapi +254 like za East Africa Artist ?
@lydiakoki88394 жыл бұрын
Yarabi Mola wangu ,🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲Ninavyokupenda wewe kaka. Mungu peke yake ndo anayejua
@abbasmlowez37367 жыл бұрын
Kazi nzuri ndugu yangu ..I like U pa1 na kaz zako bro
@suleyhesua7157 жыл бұрын
Umeleta Mwamvuli wa Mvua Hii asubuhi na mapema, Gud song lakini from +255. Gonga Like za kutosha kwa lava lava
@inokizabel480822 күн бұрын
Kilio 2024
@abdulkinana67747 жыл бұрын
Nishaanza kumchukia sasa Mr. Lava lava. Haiwezekan mtu kila nyimbo unayoachia ni kali, hizi sasa ni sifa na mm na mtu wa sifa siendani nae. hahahahahah! Acha like yko hapa km unamkubali hyu jamaa!! 🔥 🔥 🔥, wale wenzang wa upande wa pili subirin hadi 2020 ndio Kibakuli kitamwaga mchuzi
@paulinashirima96336 жыл бұрын
Abdul Kinana aj
@ayoubmngarishaji60316 жыл бұрын
Lava hii ngoma ulitisha mzee,nani anaitazama hii ngoma mpaka leo????
@subirajohn7285 жыл бұрын
Ayoub Mng'arishaji 2019!!!!!
@JastiniTimoteo Жыл бұрын
Mimi mwenyewe naipenda sana
@hapymachiussweetbert1844Ай бұрын
Hii Hadi nioe kabisa
@sadamsellem30374 жыл бұрын
Mapenz ugonjwa nimezidiwa 😭😭😭😭kilio n penzi Lang hurum hanaa will always love u 😘
@LionsProductions7 жыл бұрын
love the way African culture has been displayed. true signs of a king in the making. push on brother
@omaryhussein2972 жыл бұрын
Saf
@angelavenassi18314 жыл бұрын
I am from America but I truly love this music keep on going my brother that’s a good step I do appreciate it I like that love you my name is Jenny
@naomikhayanga25987 жыл бұрын
Wimbo tamu sana ulio na ujumbe mziyi,big up@Lavalava
@cedricnitunga4687 жыл бұрын
Jamani kiswahili muaachiye waTz!! Duuh ngoma tamu ila sijasikia hata nusu, namii ndo naongea kiswahili hmmm
@jut11617 жыл бұрын
Cevx Duck pole sana. Mm mswahili wa pwani hasa nimeelewa kila kitu
@wambaamwambaje12727 жыл бұрын
Cevx Duck hahahahaha
@luis92867 жыл бұрын
Si hati wakenya hawaelewi kiswahili.Accent ndio tofauti na sheng mingi ,so usijali msee.
@miss_small_face_killer24457 жыл бұрын
Nimependa part ya "yy ndio barafu nilie mlia yamini......marashi yngu mwilini....nakumbuka mbali😊😊
@burnaboy17857 жыл бұрын
miss_small_ face_killer ninyimbo nzuri lavalava big up
@allyfatma73594 жыл бұрын
Pole
@saidsimalee66664 жыл бұрын
me too😙
@Spoilerss2544 жыл бұрын
Oooh that's great check out spoilers 254 and subscribe plzz
@mayasakitambwa41867 жыл бұрын
daaaaah leo nimejitahidi kuwahi japo nipo kwenye 88uko ila sikuizi unatoa vitu mfururizo 😂😂😂😃😃😃
@elizeusbinamungu40906 жыл бұрын
Huyu dogo Lava Lava anajua sana kuimba. Hasa katika huu wimbo wake wa kilio. Akiendelea hivi kuna watu watawapoteza kwenye game!
@ommythegreatblog70407 жыл бұрын
Bonge la nyimbo....😍
@legeciii7 жыл бұрын
Best song of 2018 #Kilio
@shadyarif6534 ай бұрын
Back in 7yrs and the song is still hit,it hits diffrent ukiachwq😭😭😭kubali ukatae na ulike
@hakeemaleeckshow98727 жыл бұрын
Always killin as wid yo melodies sound n etc.. large up bro
@christinearotso88376 жыл бұрын
napenda sana song zako lava lava kuna song yako mmoja ilimfanya mpenzi wangu kunirudia nilipo mtumia asante sana hadi waleo still hatujaachana niko na yeye sana huo wimbo ulimgusa l say.
@godfreywambura14915 жыл бұрын
Drums na mashairi yako poa sana ila umeniacha hoi unavyochezesha mabega big up Mr lava lava
@fikratimamubusaradaima62375 жыл бұрын
Hii kali kweli →chanzo ya #Kilio, pole sana kk tunawapa kweli mateso saana, Mola anatuona kwa vitendo hayo yote: 1:45 “Napata tuu habari anagawa #uroda”
@ruwaidamohd19657 жыл бұрын
Huyu jamaa yan zaid yafundi unabisha au kama umemkubal gonga like yako hapa twende sawa
@mzeemnyonga64817 жыл бұрын
Safi Sana
@mzeemnyonga64817 жыл бұрын
Safi Sana
@judymuthike99572 жыл бұрын
😭😭😭😭😭 lemmi first cry..penzi limeshavu Mwambie mapenzi ugonjwa nimezidiwa
@eddymbinda13703 жыл бұрын
HUYU JAMAA SAIVI KWANI AFAEL WAPI AISEE DAH 😭😭
@mtemielley31314 жыл бұрын
Daaa😭😭anayo fanya kweli soo Sawa.. Mapenzi apa Nairobi yahitaji nguvu zaidi 😢😓🤣
@getrudesumoni34974 жыл бұрын
Kabisaa
@twahandoreraho50796 жыл бұрын
Bonge ya nyimbo babukubwa naisikiya c choki big up Dogo. Mbonge ya sauti
@humblebeauty59607 жыл бұрын
Uimbaji wako umenifanya nikupende toka moyoni, keep it up lava namuona star mkubwa sana mbeleni and save this massage for me siku itakapofika ukumbuke nilikwambia nini na utanishukru baadae, kikubwa usilewe sifa na uniepushe na scandal za mapenzi na mengine ili yasikurudishe chini! Otherwise you are a good man i love the way you are
@iamlavalava7 жыл бұрын
Cherry Martini shukran sana nakupenda pia
@alineolivia23924 жыл бұрын
humble beauty huu niushauli mzili sana natena nikama kauzingatia LavaLava hana scendo zakipumbavu
@salimyaa99484 жыл бұрын
@@alineolivia2392 oooh
@agnesnyangaresi97204 жыл бұрын
♥️♥️
@lapozzydone52037 жыл бұрын
Yeye ndie barafu nilie mlia Yamini pemba karafuu marashi yangu mwilini...gonga like kama umependa huu mstari.
@edwinolenkarie85525 жыл бұрын
kw mpigo
@semeykaserekamwikya78612 жыл бұрын
Nashukuru m'y Friend l'ava lava,m'y congratulation to lavava
@junemuchiri6094 жыл бұрын
Nimeamka leo nik8waza huu wimbo aki.love from Nairobi
@nishadeakin96837 жыл бұрын
I can't stop listening to this song......🙌🙌🙌grt job lava but pliz can u do a lyrics video..love from Uganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
@bangocentric2544 жыл бұрын
I though am da only one dat lavz it in ug
@briankandah4 жыл бұрын
Unalilia nini @matovu nishel
@ogarogetate97005 жыл бұрын
I love this song...must have composed based on true story...the emotions going thru
@goodluckswaibu78286 жыл бұрын
mungu awape heri maana upatano wenu n kiungo kimojawapo cha kufanya vizuri heshimianeni mkubwa n mdogo ili mjengo umoja
@rushdyentertainment36017 жыл бұрын
Matarajio ya mwaka mpya ni mazuri kaka, InshaAllah huu mwaka wako boss 🔥🔥🔥
@marthanater98393 жыл бұрын
This song almost removed my intestines out it's more of feelings bravo to the artist