Kama kuna mtu anaskilza hili goma2024 dondoshaa like ukiwa unaamin shida ztakwisha tu
@Jackson_setek2 жыл бұрын
This song reminds me of the year 2017 when I was struggling with life, I use to work at lexingtone hotel in Narok as a housekeeper, I could walk 4 kms everyday to reach my workplace and had no lunch, salary was 5k and I stay in a room of 3500. After that I started a business of cooking ugali and sukuma wiki and supply it in town with lots of rejections and heartbreaks, sometimes I get no guest to buy my food, my daughter Tiffany should know that his father went through difficulties to put a plate on the table. Thank God now I have a job that can make your life gud, if you happen to read this in 2060 just know that this song cooled my heart.
@hanifahussein2272 жыл бұрын
So sad 😢
@Jackson_setek2 жыл бұрын
@@hanifahussein227 Lakini Mungu yupo
@erickwandera53392 жыл бұрын
Waah!! Pale kondele... I remember my self pulling a mkokoteni ya maji nikimake 250/= a day....na huku naishi pale nyalenda.... girlfriend wangu akaniambia nimusahidii chochote....hadi hata siruali (panti).siwezi mnunulia. Akasema amepata mtu wa pesa, akaenda....right now God is truely good to his son....Niko na kazi kra and I'm satisfied🙏🙏🙏. I'm humbled
@vinniexadv2 жыл бұрын
A reality song ..lost my job indefinitely started okada business (bodaboda) a humbling start ..many made laughter ...my family then with ma boy Lennie Passed thru alot but here we are it was just a journey
@vdjtreysa38832 жыл бұрын
Take heart bro Jackson...this story is more than touching 😭😭
@miriamndunge33873 жыл бұрын
Come late but mboso umetoka mbali Sana. Kazi yako naikubali Sana, kutoka Nairobi. Nipeeni likes jameni za mboso
@faithgloria63172 жыл бұрын
Hii comment si ya Kenya Nairobi😂
@Lilydennis9 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@rukiawanjikuwanjiku9413 Жыл бұрын
88888888888880
@CatherineNjeri-c3z Жыл бұрын
Glo
@aliibrahim458 Жыл бұрын
Mambo
@AlhamduKakayoo11 ай бұрын
2024 huu wimbo bado upo kwenye moyo wangu 😭
@tabybde12876 ай бұрын
Siku zote😢
@JumaOmar-n3x5 ай бұрын
Kweli kabisa hii ngoma inanipa motisha kila napo iskiza
@ireneirungu42552 ай бұрын
Usijali huu wimbo umenipata nikiamka after kufeel na give up
@PhuadOsman-bb7he Жыл бұрын
Reminds me of 2019 ....living with relatives......me and my sibling had nowhere to call home....my mom was always sick ..my dad remarried....yaani ilikuwa shida kila siku but thanks God 4 years later we are all in a better place ....my brother is employed....and I got married to the most loving man ❤Mom is happy she lacks nothing and is also healthy.....trust me there's always light at the end of the tunnel ....don't lose hope❤
@asmaraKaniki-p3y7 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢
@jacktirkolo4 жыл бұрын
Kama unaamini shida zitakwisha hivi karibuni gonga like
@shanililobwa2078 Жыл бұрын
shida ndugu zipo tu uwe tajir au maskini kila mtu anashida zake , mwingine tajir lkn shida yake kisukari
@SumagSimai Жыл бұрын
🎉🎉😅😅❤@@shanililobwa2078
@erickmalala6081 Жыл бұрын
Listening to this song after losing my job and house on 22/08/2023. Now homeless living with friends. I believe in God and I am pushing harder. I believe better days are coming. Next time I will look at this comment I will be better. I cannot lose hope. I will fight. Thank You God for changing my life for better.
@MorinAisha Жыл бұрын
May God remember you
@daboos.s613710 ай бұрын
God is making you stronger believ and depend on him more ,it's true that he will open doors for you
@hezgei83619 ай бұрын
God will bring you another chance don't worry😢
@gracekalunde159 ай бұрын
❤❤❤❤ may God remember you
@ammonkalama7682 жыл бұрын
Huu wimbo unazungumzia maisha halisi ya binamu anayopitia katika safari ya maisha. Mawimbi na dhoruba anazopitia mtu katika maisha yake yameangaziwa Kwenye wimbo huu Kwa usanii wa Hali ya juu sana. Hongera Mbosso.
@gloshyjm23756 жыл бұрын
Huu wimbo unafaa sn kua sound track ya kwny movie....kma zile za wanaigeria. U got the talent man
@regankavishe49465 жыл бұрын
Emungu naomba musaidie. Dogo anaweza
@ugaboycoins54714 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nWiqcoCnZrGElas Talents like mbosso
@sostenesrichard44774 жыл бұрын
Kabsa yan
@kelvinimwaipopo90054 жыл бұрын
Mboso nimkalisananamkubali
@kelvinimwaipopo90054 жыл бұрын
oya lichad @@sostenesrichard4477
@mwikamwika48513 жыл бұрын
Mmoja Kati ya mwanamuziki Bora kabisa hapa nchini. Nyimbo za hisia na zenye kutia moyo zote waziweza. Hata za kufurahisha pia mapenzi ni hatari. Hongera sana Mbosso mshedede
@michaelndiwa5426 жыл бұрын
Huu wimbo wanipa nguvu fulani isitoshe sisi kama vijana tuzikate tamaa kwa vyovyote vile.Like ya nguvu kaka Mbosso
@StarbornDexter7 ай бұрын
6 yrs later I'm back to remind Mbosso the kind of music that made us fall in love with his singing. Sio hizo za kukimbia jameni.
@ابنعثمن2 жыл бұрын
Kaka! Hongera! Machozi yananilenga nikisiliza wimbo huu! Yaani nakumbuka mengi wakati wa shida nyingi,nilipojifunza kuwa kumbe kama huna kitu hata ndugu hawakupendi,hawaji kwako na shida zako ni zako. Alhamdulillah! Mungu amenivusha kiasi nikikumbuka,nikiangalia nyuma,nacheka! Alhamdulillah, angalau napokea simu za wanandugu. TUSIKATE TAMAA JAMANI, MUNGU YUPO.
@fadhilisimchimba5886 жыл бұрын
Huu wimbo jaman silali bila kuusikiliza.Gud message bro nyuma yako tupo pga kazi tutakupa support
@isabelaamani9665 жыл бұрын
Nijipa matumaini nitafute nisichoke, Moyoni nikiamini MUNGU ni wetyu sote. My favourite song ever.....
@shaffiekukuya14686 жыл бұрын
Baada ya Diamond na Harmonize ni wewe number 3 WCB.... Umeweza kaka, you have a bright future, sisi wakenya tumekupokea na kuukubali mziki wako dogo wangu
@jacktirkolo4 жыл бұрын
He is now number 1
@sarahndabi47443 жыл бұрын
You got number one mbosso...your lyrics are on another level, hao wengine wanakulia jina Tu they got not lyrics
@kiagechagara30873 жыл бұрын
Now number 1
@kenyanboy76272 жыл бұрын
Who is diamond?
@khadijakinyala94072 жыл бұрын
Tunao endelea kusikiliza huu wimbo kwa kumalizia mwaka tujuanee hapa 🦓🔥🔥🔥
@MaryShigoli10 ай бұрын
Hii wimbo inanipea nguvu wakati huu Niko kazi ya nyumba na wananidharau sana bt najua mungu atanipatia riziki yangu
@damxylorediamond9 ай бұрын
Hugs dear 😘 hipo siku Mungu ndio kila kitu 💯💯
@vinysmedicosis68246 ай бұрын
Usipe moyo..amini ipo siku
@dennismagudo5520 Жыл бұрын
This song reminds me when I was in Kenya as I looked after cattle.I am at now in Islamic University In Uganda pursuing a degree in Education.I am not yet their but I can see some light.God is with us.
@linetmutie Жыл бұрын
Work hard Dennis
@nadiamagqabi75565 жыл бұрын
From South Africa lakini napenda sana nyimbo za Mbosso,najifunza kiSwahili..Baba wangu anatokea Bongo Magomeni❤❤Ekoo Mboso🙌
@shaqscollection74815 жыл бұрын
Hallow my frand
@ramadhanihamidu44345 жыл бұрын
Pamoja
@antonywanyonyi38004 жыл бұрын
Mbosso acko sawa
@ab3ab3134 жыл бұрын
mbosso.nakupend.bure
@luxuryofficial90584 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pXurYqqjbd6NpM0
@candylejeto106 жыл бұрын
Mim huwa nakuamin xna najua ufany makosa achana na maneno yao mzee big up xna hard work kama vip anguxha goma lingne #mbosso kama wadau mko pamoja nam anguxha #like yako
@lealinenshemezimana33042 жыл бұрын
Hii nyimbo inanipa nguv nitafute sana ajili inamaanisha maisha yangu .Thank you brother Mboso for this song 🙏🙏
@aboubacartraore15776 жыл бұрын
Je ne suis pas tanzanien et je ne comprends pas correctement le swahili , mais les petites notions que j'ai appris sur mes recherches en essayant de traduire le sons après la traduction j'ai commencé a pleuré car mbosso a résumé ma vie en 3 minute 30 seconde ... Merci mbosso pour ce cadeaux que DIEU te guide dans carrière #wassafi_records_a_vie
@JospinMbАй бұрын
Courage
@brianbelengu26025 жыл бұрын
Ni 2019 ila wimbo huu bado waleta hisia. Gonga like ya mboso
@barakamollel2065 жыл бұрын
Daaaa
@charokahindi96475 жыл бұрын
brian belengu morally sanaah ooh shida,,ohh shida ohh shida
@regankavishe49465 жыл бұрын
Nimeumia sana nai yimbo ogela San nakuoenda San iminigusa muno
@ab3ab3135 жыл бұрын
Nc
@hellenmukenya36124 жыл бұрын
Pos sana
@mwanapili-ps3up7 ай бұрын
Huu ni mwaka wa2024 kama unamamini shida zko zitaisha huu mwaka gonga like ukisema amen
@BenedictorMuhalia3 ай бұрын
Amen
@joycejustin88562 ай бұрын
Amen
@theworldtv2432 жыл бұрын
Mbosso still the best in wcb till 2030 we love you Mbosso . Nasikiliza nikiwa Congo 🇨🇩
@iddymohamed16996 жыл бұрын
Mbosso wewe hiyo nyimbo mi sichoki kusikiliza
@harunakon89205 жыл бұрын
uko juuu zaid
@nicoladrienne64954 жыл бұрын
Na mimi
@ugaboycoins54714 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nWiqcoCnZrGElas Talents like mbosso☝️☝️
@umulkheirshivanhassan54644 жыл бұрын
Same here bana
@allannguyaz69213 жыл бұрын
3 years now down the memory but this music still runs through my veins. I feel the pain, message is lit. We Kenyans are happy for you and always say God bless you and more so enrich abundant wisdom.
@bryanmutinda80392 жыл бұрын
This song reminds me of a journey I started back 2014 when I left home for nairobi ,everything was never fine at home and the city too,but God has been faithful
@RitaAndai-uy8zb4 ай бұрын
Huu wimbo wanikumbusha mbali sana, wakati my family ilikua imedharauliwa. Mungu nae ni nani...... Aliwashangaza Hadi Leo hawaamini kama ni sisi, Ile heshima tunapewa ni God wallahi
@jamesnoe2360 Жыл бұрын
This is a clear reminder of my life back in campus 2017, I could even miss meals but I never lost hope, here I am in 2023 living a satisfying life. Never give up guys
@brendahandy9394 Жыл бұрын
In 2023....this song is still a masterpiece...it reminds me of 2019 1st time in Nairobi from ushago...i was still young , coming to a place i don't know ,nowhere to stay,atii kutafuta hustle....but still there's hope 😢
@Kiddayooo6 жыл бұрын
Really love you Mbosso god bless you in life and keep focus to write good song okay man we love you all America people love you so much my brother, I swear to god you are the winner right now bro much love we keep support you my dear brother @mbosso
@edwardmabishi77403 жыл бұрын
This song reminds me how life changed after demise of my dad😭😭😭Continue resting in peace dad
@martialk50092 жыл бұрын
RIP
@princessmo75072 жыл бұрын
😭😭😭
@erickkinjo44532 жыл бұрын
Same case to me,it is very hard to believe how life changes completely after death of a beloved one😭😭
kzbin.info/www/bejne/nWiqcoCnZrGElas Talents like mbosso
@helenwaithaka57996 жыл бұрын
am in tears for sure may God bless you abundantly and may your parents live long to witness as you move from grass to Grace
@nunesantage2452 жыл бұрын
It’s a extremely emotional heart beating song, it reminded my childhood with my beloved brother who made me understanding that life’s a passing place which needs a struggle. Receive a love from Mozambique 🇲🇿 ( country brothers)
@PresenterSilah4 жыл бұрын
nikiwa hapa 2021, bado huu wimbo wanipa moyo wa kuendelea kutafuta riziki nitafuta nitunze mama..... wakenya likes zenu jamani
@mwascate44962 жыл бұрын
And it's well God will intervene..My life was a hell the moment I lost my Dad,but I thanks God things are running smooth now
@PresenterSilah2 жыл бұрын
@@mwascate4496 Amen
@ابنعثمن2 жыл бұрын
Ndugu tafuta. Usikate tamaa, Mungu yupo na anakuona. Nimepitia mengi sana, nikikumbuka na kuwaangalia walionidharau na kunitenga wakati ule,nawaonea huruma. Angalau napokea pokea visimu vya wanandugu siku hizi, zamani nilikuwa sipigiwi,sitembelewi. Pambana.
@PresenterSilah2 ай бұрын
Amen ❤@@ابنعثمن
@hassanmudy14356 жыл бұрын
Uyo Nusder ni producer mwngne wa wcb au😌😌😌, ngoma kali sana
@nalingacomedian38484 жыл бұрын
Ugumu wa maisha ndio umenifanya Nije kuichek hii 😢😢😢😢😢naomben Like namie nijione wa pekee
@barakaamgitu26764 жыл бұрын
Like zitakupeleka wapii baba hahahaha duu
@salamakombo32574 жыл бұрын
@@barakaamgitu2676 nimecheka jibu lako weww
@barakaamgitu26764 жыл бұрын
@@salamakombo3257 haahaha rafiki angu achaaa tyyu vijana hawa
@joelinko66322 жыл бұрын
@@barakaamgitu2676 sindo apo badala akomaee
@geofreyj.19864 ай бұрын
Like za nn ww mshamba
@wasafitv73176 жыл бұрын
Aaah sina ata cha kuongeaa mbossokhan
@josephtvshow74676 жыл бұрын
Pongezi sana mbosso Nyimbo nzuri sana Mungu atakusaidia yote yatakwisha you have the talent.
@mchumbaneema2156 жыл бұрын
wasafi TV naikubal sana Ngoma hii longer sana kaka mbosso
@officialjumashile6 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jH3EZoZ7n9lpe9E
@zumombaruku45175 жыл бұрын
Mh
@hancyngobola55785 жыл бұрын
@@zumombaruku4517umeniliza kaka anguu '100
@loyfordmutugi51327 ай бұрын
This reminds me of 2019 when I was super broke...thank God today I am a civil servant and equally an employer to many and an investor
@isaacbarnabas96082 жыл бұрын
Everlasting Masterpiece #2022 😞 Gonga like kama umepita hapa ✊✍️
@edwardnjuguna84805 жыл бұрын
Ati najipa matumaini nitafute nisichoke........nikiamini mungu ni wetu sote.Baba nakuaminia sana sana khan
@vinceycarlos7376 Жыл бұрын
This song reminds me of the struggles we had growing up. The family was so much struggling,my dad was a har working man but as you know this petty job don't pay well and my mum could sell what she could afford to purchase to raise us but at the end we've grown and atleast we can afford to live well despite us not having most stable jobs. At the end of the day God comes through🙏🙏
@سبحانالله-ح7د6 жыл бұрын
Mashaallah broo. Mungu akujalie kila la kher.akuongoze akufanyie wepesi kwa kila jambo.maneno yako ni funzo na raha sana ukisikia hii nyimbo.na nyimbo zako zote zinanigusa moyo wangu broo kuna machungu na kujipa moyo na mungu atakuwa pamoja nasi.Ameen.
@georgekkavai34376 жыл бұрын
Every time I listene to this song,I really get emotional,hizi shida zitakwisha lini
@muddymtumbi94253 жыл бұрын
Sensitive song thanks mboso khani ur genius mzee kwenye kuandika
@khalidahmed49266 жыл бұрын
Naskia kulia maana huu muziki umehitimu, am somalian I'll always support you bro mbosso.
@kadzitumapesah5622 жыл бұрын
Mbosi,hiu nyimbo imenirudisha wakati niki hustle,beach mara polisi na mimi mbio,alafu nyumba imefingwa no rent but now ithank GOD for this far,blesses mbosso
@lucianjr68076 жыл бұрын
mboso unajua sana naomba uendelee kuongeza juhudi nina imani utakuwa msanii mkubwa #AFRIKA.. pia upo na uongozi makini #WCB
@irenesusan25975 жыл бұрын
Ng'aaa ndugu yangu,unaenda mbali,Mwenyezi Mungu awe nawe
@enockkindole26245 жыл бұрын
Hata niangalie mala 100 hainichoshi kama tupo sambamba gonga like
@janegeogre32345 жыл бұрын
Dunia ni saa mbovu mwana usijeifatishaa...umia upate kovu baba maumivu yatakwisha!... najipa matumaini nitafute nisichokeee moyonikiamini jama mungu wetu soote mm ndo nategemewa nakazana cheza kombilela nikipiga nabutua hewaaaaa...ooooh shida zitakwisha lini!....
@youngkillermsodoki76646 жыл бұрын
Huyu Dogo wakibiti msapotini jamani anatoka kibiti kuiska Dar ili awatunze wa zazi au sio Hebu weka like ya upendo
@msafilibabuu60556 жыл бұрын
Elongo Lusambya 💃🏻
@samwelkazamwananguwemkalel56096 жыл бұрын
anatishaaa xana
@jacksonmussa77136 жыл бұрын
Young killer Msodoki uko vzr kk
@kasimjuma71966 жыл бұрын
Young killer Msodoki hakika
@aminnasalehe45096 жыл бұрын
Young killer Msodoki we wayanga VP naona maji ya shingooo Tim yakoo
@anointedtrumpetofgod665024 күн бұрын
My heart is blending and thats why i looked for this song....when in form 4 i got a lady pregnant and as a man i took up the responsibilities my family turned against me i was forced to fight alone....got a bodaboda early morning by 4 i was up worked till 6 then go do kcse by 4pm am back on the road looking for food the worst part is sometimes i couldn't get anything.......i cant explain all my wife still stands with me now in nairobi no one still wana help including relatives who have opportunities but i trust in God now a driver still looking for a job to sustain me and my family am hoping to be stable one day for a gospel minister sometimes you just have to be smiling but deep down you are dying......anne if you'll ever read this know that i never regret having you but you trully shifted my life ❤❤❤
@evanskubai98482 жыл бұрын
we can all feel the pain, agony and sorrow in Mbosso's voice...so deep.
@achillebaly3865 Жыл бұрын
Only the Lord who knows the future. So don't worry. Hope to the Lord
@iddysware57626 жыл бұрын
Imba mbosso imbaa 👊
@aloycemasunga80426 жыл бұрын
Ibaaaaaaaaaa mbosso
@peterdemesi37495 жыл бұрын
yaniguza kweli
@mickyleneatieno25345 жыл бұрын
apo sawa mboso safari bado
@veronicashafonawi69595 жыл бұрын
Ooh mbosso big up brother
@LenciaWahu Жыл бұрын
Am alwayc on tears every now and then ,, i have no peace bt this song makes me to cool down 😭😭😭😭
@nizyboy25746 жыл бұрын
0:42 mbosso napenda iyi fasi sana mzee baba big up #mbosso like iyi commentaire kwa kumpogenza
@gracekamau31496 жыл бұрын
Keep on bro
@AbasiidiRashid8 сағат бұрын
Shida pia ni njia ya kwenda kweny mafanikio kam huja pitiable shida huwez fanikiwa kwenye huu ulimwengu🎉🎉🎉 oya boss mara yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@kilenamapenai61276 жыл бұрын
Mbosso upo tu juu sana..... In kenya listening to this amazing song. Inagusa nafsi kwa sana..... Kaza mguu baba,mungu yupo nawe
@mebamtoswisdoms75605 жыл бұрын
Hallo
@barwancb57236 жыл бұрын
Daahhh. This is from another planet. Mziki umeenda shule
@faridanuhu97006 жыл бұрын
😭😭😭😭😭we mboso dah hii nyimbo inanifanya nikumbuke maisha niliyopitia dah mungu ni wetu sote
@flubtv4 жыл бұрын
Mbosso nakubali ur work.WAPI LIKES za mbosso
@eliamsonya22896 жыл бұрын
Big up sana mwanang Kazi nzur sana ama hakika unastahili kuwa zaidii ya apo 👏
@abelmwakifwamba92436 жыл бұрын
hapa Mbosso hii nyimbo kweli kweliii umeimbaaa jamaniii shida hadi machoziii ndugu kipaji unacho ama kweliii looh 😢😢😔😔
@yohanagodfrey57756 жыл бұрын
MBOSSO sio wa kufananishwa na aslay, au yale ya kumfananisha alikiba na diamond kumbe ukwel mnaujua simba platnumz ni balaa, mbosso ni mkali aiseeeee
@kalebonyamvugwa64546 жыл бұрын
Kaza buti brother mungu yupamoja nawe
@aloycemasunga80426 жыл бұрын
Wote wakovizuli mungu awazidishie
@ugaboycoins54714 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nWiqcoCnZrGElas Talents like mbosso☝️☝️
@mwikamwika48513 жыл бұрын
Mmoja Kati ya wanamuziki ninaoamini kuwa wanajua kuimba,kutunga na kujiandaa kimuziki hasa. Hongereni Sana wcb group
@m2kumbom2kumbo566 жыл бұрын
Uuuuuwi msijali wanangu wa Kenya 2let but nmefka Shida tumezaliwa nazo si tajiri wala maskin ilimradhi uwe binadam Mboso kaka wewe nakukubal asilia ngap hvi 👉💯💯💯☞♬♬🔥🔥👍
@kevinlands70276 жыл бұрын
M2kumvbo M2KUMBO
@m2kumbom2kumbo566 жыл бұрын
Kevin Lands Sema mwenywe
@abdhallasuleman48175 жыл бұрын
Mbosso mwenyewe unaonaje humalizi pale
@missworld213 жыл бұрын
I love you mbosso unaemba poa sana nakuombeaa maisha marefu I like your song keep up dear
@26chancelor4 жыл бұрын
Merci beaucoup Mbosso. huyu mwimbo una ni jenga saana kila mara niki usikiya, kwenye repeat tena!
@kiluwasalum50026 жыл бұрын
mdogo wangu mboso Daaa unanitoa chozi kaza mungu yupo nawe
@kasimjuma71966 жыл бұрын
Kiluwa Salum new
@mdfdkfb27666 жыл бұрын
Roho yauma mashairi yake yaumiza sana shida haziishi Akhui mpk siku ya mwisho .
@nabilhotth9166 жыл бұрын
hunizidi mm
@josephwevpmzee13846 жыл бұрын
Md Fdkfb Mboss ndugu yangu ndo maisha tutafanyaj sasa ndo mana harmonize akasema kupata kwa zamu lazima 2 itafika tujihidi kusubir mboss usilalamike sana
@sharifaabdallah74736 жыл бұрын
Kiluwa Salum yuko poaa xaaanaa ad anakeraa
@aboubakarmansour11895 жыл бұрын
Nikiisi kuchok na jua kali na pesa Kutok mikonon mwngu huu wimbo ndyo chombezo langu. Samahan jmn like zenu
@jeffofficial56646 жыл бұрын
I shed tears nkiskiza hii Ngoma..it entirely spoke about me
@mccainekirujnr2 жыл бұрын
Riziki Mafungu mawili, kupata, kukoza.... Oooh shida, shida zitakwisha lini?? Hata hivyo twajipa matumaini kutafuta tusikoze... Mungu ni wetu Wote.... Ipo siku🤲❣️
@nassorlidoplt54116 жыл бұрын
mziki wako ni tofauty sana kama unaamini M.mungu ni wetu sote gonga like twende sawa
@juniorhalfani85326 жыл бұрын
nassor lido plt
@sharobtravel55546 жыл бұрын
nassor lido plt nakubal
@robertfabian30306 жыл бұрын
Duh!nimekukubari
@aloycemasunga80426 жыл бұрын
Sanaaaa 🔥🔥
@tonyapollo79446 жыл бұрын
When the silava in your mouths becaoomes bitter and painful to swallow....... This young man killse I feel revitalized each time listen to this song. I love emotional music since birth. Long live mbosso.
@samwelypaulo17696 жыл бұрын
tupo kitambo tunagonga like zako mbosso
@frenkphillemon90446 жыл бұрын
ooooohhhhh shida oooohhh shida shida zitakwisha lini? daaaahh!!!!! dogo anaimba nyimbo za kuvuta hisia sana hongera mboso kaza buti utafika mbali
@marthamartin95763 жыл бұрын
This song just give me motivation to move on everyday thanks mbosso
@benjaminmutua67786 жыл бұрын
..so touching..so emotional..listening from Nairobi Kenya..kazi nzuri kakangu..
@Kiddayooo6 жыл бұрын
Wow mbosso wewe nihatari I was wait for this song for long time man thanks so much Mr.Mbosso my god bless you man
@acksonshadrack86166 жыл бұрын
Christopher Salumu man jaribu kwandika Swahili. Nothing will change if you gonna stick to your mama språk(language) than insulting with the stranger language.
@Kiddayooo6 жыл бұрын
Bro I can say sorry because I live in United state of America I ready forget swahili brother I am so sorry
@Kiddayooo6 жыл бұрын
ackson shadrack if you like this song like
@acksonshadrack86166 жыл бұрын
Christopher Salumu Rubbish. I live in Norway where we don't speak English. But I can't believe someone from USA with this type of grammar and misspelled words.
@Kiddayooo6 жыл бұрын
+ackson shadrack brother I make mistake.
@majorgeneral66863 жыл бұрын
Am so emotional i can't get enough of this song and this is the situation am going through now, being a total orphan is the worst thing you can ever experience in life😭😭
@georgesamwel42163 жыл бұрын
mark 10;27
@kiloposimba20123 жыл бұрын
Pole sana
@isaacbarnabas96082 жыл бұрын
Don't Worry God Always Makes a way for everyone 😞🙏 Don't Ever Give up on trusting him
@toshtoto88512 жыл бұрын
Very true ,,but God ako na reason
@barberickkenya16572 жыл бұрын
Keep pushing 🙏
@braintv40656 жыл бұрын
Utatoa vi2 vinavyogusa na vya qwel keep it up ma broh 1 day yes
@mussahamisi12255 жыл бұрын
nakuona bwana mdogo unapiga kaza
@tairechirima74235 жыл бұрын
Penda sana nyimbo zako mbosso una sauti Masha Allah mungu akuzidishie ju unakumbuka wazazi
@samcirrz1star9776 жыл бұрын
Daaah amazing Sana mbosso unajua sana much respect
@jumasheha31886 жыл бұрын
Samuel Josso
@samcirrz1star9776 жыл бұрын
Juma Sheha
@ibrahimharuna99836 жыл бұрын
samcirrz 1star ok
@berthamasoka51806 жыл бұрын
Nice sana kaka yangu ni nzuri kweli adi nalia kila nikisikiliza wimbo uuuu kweli duuuh God bless u brother
@EstherSalla-l4d3 ай бұрын
Dah hii nyimbo naikubali sana Mungu naomba nisaidie shida zangu ziishe Mapito nayopitia yaisha
@jabartiahmed36624 жыл бұрын
I didnt understood only one word but i though mbosso life story it was verry diffucult. All of us wr from verry low level in life. Plz take this song change you life dont stop keeep going.
@kelvinmusau93894 жыл бұрын
sidhani kama kuna siku inapita bila kucheza huu wimbo.... kazi nzuri Mbosso
@charitymnyazi26336 жыл бұрын
Mbona kwangu sasambu sasambu sipati si usiku si mchana...Ama kitabu changu cha riziki kimeshachanwa...... 😱😱😱😱😱😱
@dorcasnzaluku16044 жыл бұрын
Kali
@dorisjessy59605 жыл бұрын
Sitosheki kuiskia hii nyimbo mboso yamoto kufa ilikuwa Riziki yako kaitenga mwenyezi mungu nakupenda sana mbosso..listening fro 254-kenya
@frankdaniel98136 жыл бұрын
#mboso we noma umenitoa ad machoz brother
@charlesn70202 жыл бұрын
In life lazima you keep pushing no matter what. Let your background not define you. Be the change in your family. Be that rich uncle. Peeeeaace ki mkuru
@walumbedavid255511 ай бұрын
Wangapi tuko hapa miaka mitano baadaye, nipe ishara na alama ya like.
@silvyiamaina33695 жыл бұрын
Mboso toa official ya wimbo huu naingoja nimeupenda sana
@zakiabakari60103 жыл бұрын
Still here 2021 ☝️😓....#❤️
@LadashaLilian6 ай бұрын
2021 was my hardest year ever😢😢😢😢huu wimbo ndo ulikua ringtone yangu ❤