hivi ndivyo sisi tunapenda uimbe mr lover.... 👏👏👏👏👏
@abdthemovieguru3 жыл бұрын
Lava boy awe wa rumba ,rayvany RnB na reggae,zuchu achanganye,mbosso abaki na zake za mapenzi , diamond akue zile za kwake , queen darling hip hop Mac voice alete zake za kuliza.stress unatoa wapi😅
@JavanOnyango2493 жыл бұрын
Am listening to it repeatedly. Kenya well represented. INATOSHA,Bora kila mtu kivyake.Naenjoy raha
Anaeirudia rudia kama mm nani? Wimbo mkali...wa hisia na mambo hayo yapo kweli...big up dogo
@jumadepinbwoy52753 жыл бұрын
For the first time Lava Lava anawasha moto 🔥🔥 Wasafi... Kenya 🇰🇪🇰🇪 pamoja
@danfordmwingira85123 жыл бұрын
Huyu mtu pekee ndo anaeimba mziki unaoishi hat ukiskia miez au mwaka umepita bado unataste ile ile... tofautiii na wenzake but ni maoni yanq... this man is 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 banger kweliiii kweliiiiiiii👏👏👏
@genovevatarimo39823 жыл бұрын
Kwel nampenda saut yake...kam ana mafua hivii...anaimba bhanaaa
@milindiibrahim82853 жыл бұрын
Iyi ni kali sana. Kumbe unajua sana unabaki tunapondeya héla za wcb. Yani mziki iko kibolingo sana. I like it
@orlandovinn25133 жыл бұрын
Sasa ndio rhumba mpini mzima kabisa, mtiririko wa mashairi tu ni 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
@onessmwaura1433 жыл бұрын
Venye tu imeanza nimejua tu ni Hiti💯💯 Heko Lava Lava
When things were at their very worst: 2 Suns, Cross in the sky, 2 comets will collide = don`t be afraid - repent, accept Lord`s Hand of Mercy. Scientists will say it was a global illusion. Beware - Jesus will never walk in flesh again. After WW3 - rise of the “ man of peace“ from the East = Antichrist - the most powerful, popular, charismatic and influential leader of all time. Many miracles will be attributed to him. He will imitate Jesus in every conceivable way. Don`t trust „pope“ Francis = the False Prophet - will seem to rise from the dead - will unite all Christian Churches and all Religions as one. One World Religion = the seat of the Antichrist. Benedict XVI is the last true pope - will be accused of a crime of which he is totally innocent. "Arab uprising will spark global unrest - Italy will trigger fall out" "The time for the schism in the Church is almost here and you must get prepared now" The Book of Truth
@makilimsimu24513 жыл бұрын
Ngoma Kali ya kusafiria safari inafikia bila kujutia dar to mwanza
@daniellengere67623 жыл бұрын
Lava tunakupenda sana LEO umetutowa wasiwasi asante kasi Nzuri sana
@Ibn_Arabi_Sultan3 жыл бұрын
No. 1 fro from kenya... Wapi likes zangu🥺🥺
@mullestv26803 жыл бұрын
Rumba style unaweza Kaka wewe fundi
@mamah53653 жыл бұрын
From Tuachane, Basi tu to this…. Mr love bite makes really good music, soo underrated, Kenyans will make this song on top chats
@abdulyabubakar62473 жыл бұрын
Umeuwaaaaaaa ngoma kali Yani Kali Sana Hongera sana mwamba ujio wako mpya ni mzuri sana
@meiboy48903 жыл бұрын
Aha moto bro...piga like hapo kama unaenjoy as i am with this song..🙌🙌
@lebomagwai92923 жыл бұрын
I am very big fan of this guy❤️ . Sending love from South Africa 🇿🇦
You all think he is underrated but I think you all missing a fact,which is he compete with no one,he has his own style and it's unique and keep up the good work,your consistansy is amazing ❤️
@japhetkyarukambaaristides86983 жыл бұрын
On Point¡! ✌
@msomibora63993 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fXbOhXavppx3Z9k huyu je
@kinyamal82013 жыл бұрын
Where have you been, you're damn right, this guy does his own things at his own pace
@jumakulah87963 жыл бұрын
LAVALAVA IS UNDERRATED!!...This is a hit song...🇰🇪🇰🇪
@7evenlyrics1543 жыл бұрын
Exactly
@braiden-z8p3 жыл бұрын
indeed bro,i love this guy the likes of zuchu are overrated wit weird songs
@nancymoraa43743 жыл бұрын
@@braiden-z8p Zuchu is also good she is not overrated🥰
@ivetsellah88953 жыл бұрын
Very underated! He’s the best 🔥🔥
@braiden-z8p3 жыл бұрын
@@nancymoraa4374 zuchu is overrated nothing much
@hillarymrema62903 жыл бұрын
Mwanagu wa bunju unajua mpaka unajua tenaaa
@BCB15003 жыл бұрын
Inshallah Mungu Anipe umri mrefu na Milango ifunguke nitawahi fanya Wimbo na lava🙏🙏🙏🙏
@moisezekande50353 жыл бұрын
Congratulations bro Lava Lava, una weza kuhimba ROUMBA 🇨🇩 Congolaise. I’m Congolese and I love it 🥰
@k.leopardoscar47583 жыл бұрын
The long awaited ''INATOSHA'' hitsong has finally been released,super-talented Lava Lava... ''Ukiniona navuta shisha usidhani nina stressi,jamani kuwa single rahaa...'' Big up kwa Lava Lava!!
@dieudonne7243 жыл бұрын
tena sana kaka
@msomibora63993 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fXbOhXavppx3Z9k huyu mtoto je
@fadhilrashid41753 жыл бұрын
No one knows how To Narrate Hurt and Happiness of moving on from a relationship through a song like this guy. Yet Another banger
@Lolamika443 жыл бұрын
Kenya hapa ni lavalava, I love your music keep going. More love from +254
@macvoice60983 жыл бұрын
Facts
@msomibora63993 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fXbOhXavppx3Z9k hapa je
@mason28kenya193 жыл бұрын
This' the all time greatest love mystery Teller
@furniturevillagekenya3 жыл бұрын
Aliyesema Duniani hamuna wasafi alikosea😎😂
@mercyndunge35713 жыл бұрын
Nikurudia rudia tu jameni,so sweet
@TheStatesmanDigital3 жыл бұрын
Huu wimbo yaani ndio hit! wazee tulio single let's enjoy 🇹🇿🎙️❤️❤️❤️
@cennahstevozofficial34993 жыл бұрын
Akinipenda mama INATOSHA ....big up broo .... nakubali 254🇰🇪
@pollygakii76003 жыл бұрын
Finally after a long wait🔥🔥🔥♥️nimependa..Niko single naenjoi naparty mpaka asubuhi 💃🏻💃🏻
Lavalava I believe in u and I always pray for you everyday may Allah continue opening new doors for you brother all the best
@williamfrednandy56103 жыл бұрын
Enjoy lava lava INATOSHA VIDEO LYLICS kzbin.info/www/bejne/mXbRYWd4d7ejsNk
@b.k.56593 жыл бұрын
Rhumba trap, kali sana !!
@xharafantz87153 жыл бұрын
Humu Umekwivaa Ladha tofauti Pita pita Tofauti tofauti Utawarudisha waliokimbia IMEBAMBA MJINI YANI
@fatashiboy26533 жыл бұрын
At finally our favourest artist on the air glad 2 hear your lovebite voice
@stanleymbai37813 жыл бұрын
Good music lavalava ♨️♨️Big up sana 🇰🇪🇰🇪
@omaryseleman96663 жыл бұрын
Bonge moja la ngoma 🔥🔥🔥💥💥💥💥💥
@Uchukhan_3 жыл бұрын
Nikwel kabisa akikupenda mama inatosha
@ridhiwanimaulidi94573 жыл бұрын
Nyimbo hii nmeisikiliza zaidi ya mara tatu lakini bado nina hamu ya kuisikiliza.. kaitengeneza kwa mahadhi na vionjo vya kipekee sanaa.. Give like to him plzzzzzz♨️♨️
@TrendingRefresh3 жыл бұрын
Style ya Congolese ✅✅✅ Congratulations 🎉 brada this song is hit 👊 bro and if you're watching this like right now ✅ one of my favorite song
@GoldenFirdausMedia3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/b3zRXph5gb57rck
@kingtoshturbo3 жыл бұрын
I pray for peace love health and wealth to everyone reading this in Jesus name🙏
@STEVOH_K3 жыл бұрын
I literally come to KZbin everyday to check the notification “someone liked your comment’’ and “you have a new subscriber’’ it’s always Make my day🎭⚜️
@remy33113 жыл бұрын
Subscribe
@d4medicaltv5183 жыл бұрын
P
@arqamkhamis13833 жыл бұрын
Hii kali mdogo wangu nimeikubali sana
@erickjohn93453 жыл бұрын
Baada ya muda mrefu, hatimaye Leo umetoa Hit, huyu ndo ww sasa 🔥
@dbornchambilo51283 жыл бұрын
Hunaga kazi mbovu, ila hapa umepitilizaaaa Aaaakinipenda mama inaTosha..! Kazi bora LoVeR
@werrason27183 жыл бұрын
Lets show him love ❣️..ii nayo n hatarii🔥🔥
@douglaskamau19503 жыл бұрын
Big love from Nairobi, Kenya
@edwinkiprop43303 жыл бұрын
Perfect..you choose what makes you happy
@shetijay3 жыл бұрын
Kwa wasanii wote wa wasafi namkubali xana Lava lava,maana sauti yake mpango mzima,kudos lavalava.