Mbowe ni Mwamba hata kama umemshindaa yeye ni hazina ya taifa hilii, the strongest man always stand alone
@MartineJoseph-u6i12 күн бұрын
Hii ni nzuri😊
@Nanga-t6y12 күн бұрын
@@MartineJoseph-u6i nakuambia
@TheodoraAnatory11 күн бұрын
Lema mimi ninakuelewa sana, unatakiwa uwe mwenezi, tabia ya mtu kujifanya mstaarabu wakati Tanzania inaangamia, hapo hiyo busara ina faida gani, watu wanapotea, wanauawa eti mtu una busara🤣🤣🤣😂😂
@ELIAMbise-sy5ue12 күн бұрын
Lema anafaa kuwa Muenezi wa chama. Yupo safi.
@HijaSaid-t6c12 күн бұрын
Sio kumshinda Mbowe tuu, yeye ndie Rais ajae
@Nanga-t6y12 күн бұрын
Ata u Rais ni Lissu
@mussakimaro558812 күн бұрын
MBOWE AKISHINDA NAACHA SIASA WANACHADEMA WOTE MUAMIE ACT
@ELIAMbise-sy5ue12 күн бұрын
Tutapewa maelekezo
@usafiaps31812 күн бұрын
Jamani Tafadhali Muwe Macho.Adui Huja Kuiba,Kuua Na Kuharibu.Tafadhalini Pia Kuweni Macho Na Wizi Na Kura Haramu. Mbinu Za CCM Chafu Mnazijua.
@shabanbisaki12 күн бұрын
Mboe ni mushindi
@EmmanuelMushi-t4w12 күн бұрын
Lema kumbe na ww una propaganda hvyo mbowe anakwenda kushinda utakuja kuniambia
@GraceSiimaAlibalio10 күн бұрын
aiwezekan ndoto za mchana
@MawelaRichard12 күн бұрын
Sugu ukimya wako Asala kwako umezengua kukaa kimya