No video

LEMUTUZI afunguka kuhusu kazi ambayo amewahi kuikataa akiwa Marekani

  Рет қаралды 64,904

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

8 жыл бұрын

LEMUTUZI afunguka kuhusu kazi ambayo amewahi kuikataa akiwa Marekani

Пікірлер: 78
@leaherasto929
@leaherasto929 Жыл бұрын
Pumzika kwaamani William John Samuel Malecella Mungu akurehemu Amen. This case is closed
@davidlukumay2226
@davidlukumay2226 Жыл бұрын
Dada hongera sana unajua kuuliza maswali pamoja na kumpa nafasi mtu ,nimesikiliza mpaka mwisho inavutia kwa kweliiiii
@kwisa4899
@kwisa4899 Жыл бұрын
I love this man he was very Honest RIP
@shau78
@shau78 6 жыл бұрын
Zamaradi watu watakukimbia. You are very smart. Le Mutuz you are so relaxed and very smart. Big up man
@georgedaniel4962
@georgedaniel4962 Жыл бұрын
Marekani sio ulaya bhana mbona unatuchanganya.
@graceneemaramadhaniabdalla7734
@graceneemaramadhaniabdalla7734 Жыл бұрын
Anajua kuzungumza aiseee. Nimempenda anavyozungmza tena kwa kujiamini
@graceneemaramadhaniabdalla7734
@graceneemaramadhaniabdalla7734 Жыл бұрын
Nimejifunza sana, I learned a lot from this man, he was such a kind man
@hilarymapula
@hilarymapula 7 жыл бұрын
Nimekuelewa sana. ni kweli matajiri hawapendi kukaa na watu wanaolilia shida.
@pillyolsen6346
@pillyolsen6346 Жыл бұрын
Mungu akupe kauli zabiti kwenye nyumba yako ya milele kweli kifo dakika tu jina linabadilika sasa unaitwa marehem 😭😭😭
@salvatorymtunga5906
@salvatorymtunga5906 Жыл бұрын
Huyo jamaa tumecheza naye sana banana, quarter za airwing majumbasita tukiwa wadogo tukiwa shule za msingi.
@yahyakitenge5802
@yahyakitenge5802 8 жыл бұрын
bonge la shule.maisha ni safari.👏👏👏
@lauchungu1295
@lauchungu1295 6 жыл бұрын
I like your story from your bagraund...you can make its everywhere you a. never lose hope never give up great things take time
@uhuru23
@uhuru23 8 жыл бұрын
very educative interview...
@jovitakikoti2205
@jovitakikoti2205 6 жыл бұрын
good speech!!!!!!!!
@kaukaofficial1813
@kaukaofficial1813 6 жыл бұрын
I just learned more from you guys
@adelaidedaycareprenurseryk6324
@adelaidedaycareprenurseryk6324 7 жыл бұрын
Lemutuz you are a hard worker
@shau78
@shau78 6 жыл бұрын
MATAJIRI AU VIONGOZI HAWAPENDI MATATIZO. Nimeipenda hiyo
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
Nyie kifo hiki jmn RIP lemutuz
@leaherasto929
@leaherasto929 Жыл бұрын
Rest In Peace William nimerudi kwenye hii interview 6 years back kifo nifumbo
@mrfestomsyangi1305
@mrfestomsyangi1305 Жыл бұрын
Rip very smart 🙏🏾🙏🏾
@shadmad1000
@shadmad1000 8 жыл бұрын
Thanks brother.. Sasa nimekuelewa vizuri!
@wardamgembe6582
@wardamgembe6582 8 жыл бұрын
wooow akili kubwa sana nimekuelewa bro.
@tumainimassawa3474
@tumainimassawa3474 8 жыл бұрын
Great interview.....
@amanijolam4140
@amanijolam4140 8 жыл бұрын
jamaa yuko makini, Zaidi life style yake nimeipenda sana. Ni mfano wa kuigwa
@ukweliniamani1988
@ukweliniamani1988 7 жыл бұрын
le mutuz nimepata faida kubwa sana ktk interview yako big up mzee.
@shaqdizo7678
@shaqdizo7678 Жыл бұрын
Maisha ya nje kila mtu ana njia yake ya kutoboa kimaisha , Kuna watu wengi tuu tunaishi marekani tumejiajiri, maisha magumu kila sehemu duniani, conclusion ya maisha yake hawezi kuwa conclusion ya maisha yangu naishi marekani maisha yanaenda kupambana mwanaume lazima
@humphreynyimbo2710
@humphreynyimbo2710 8 жыл бұрын
Lemutuz anajitambua sana,safi sana.wapi mabebez hahahaha.mtu anae jitambua lazima uwe na sehemu ya kukaa,sehemu ya kupatia hela na kula.sio kupiga kelele na unalala kwa mjomba.
@adelamwalubunju4168
@adelamwalubunju4168 6 жыл бұрын
Humphrey Nyimbo
@claratemba44
@claratemba44 Жыл бұрын
Hii sio bestraft hat Matthias anaweza kuwa mtoto wako
@princekagame8203
@princekagame8203 Жыл бұрын
Zamadi kumbe mrembo hivi naomba no zako jamn😍😍😍
@graphixmaster6146
@graphixmaster6146 6 жыл бұрын
27:55 - 28:12 is my best part from this interview😀
@samsonmwakikuti5318
@samsonmwakikuti5318 Жыл бұрын
Pumzika kwa amani brother!
@rosestigeneriksson8387
@rosestigeneriksson8387 Жыл бұрын
Hizo kazi zinalipa tuna nyumba ulaya na africa,yeye ana nini!kazi ni kazi ni nzuri na zinalipa vibaya sana
@kwisa4899
@kwisa4899 Жыл бұрын
kwani kasema azilipi ?
@daud405
@daud405 Жыл бұрын
rip Lemuruz, u are a great guy and educative
@Boaz22
@Boaz22 Жыл бұрын
Watoto wengi wa matajiri hua wanasaidiwa na wazazi wao,wakitoboa wanakuja kutudanganya kua wali hustle 😁
@20200p
@20200p 7 жыл бұрын
alirudi na dollar 1000 bt elimu aliyo ipata ulaya ndio imemfikisha hapo alipo
@BigZhumbe
@BigZhumbe 7 жыл бұрын
lily Tom ata sielewi aseme kweli huyo
@marciakassimkassim2012
@marciakassimkassim2012 8 жыл бұрын
dah Zama uilipata mjib maswal...jamaa anaakili
@mauwachale
@mauwachale 8 жыл бұрын
Hahahahha. ukachomoka ndefu.Aisee Best umeongea Point mnooo.Pole sana kwa ulio pitia
@snsxsnsx3144
@snsxsnsx3144 6 жыл бұрын
Yeap you learn how to hold Yourself / Real Big up.
@isaackbm1935
@isaackbm1935 6 жыл бұрын
Lemutuz nakuelewa sana
@bossandingy412
@bossandingy412 Жыл бұрын
Hayo anayoongea nikifikilia ni mtoto wa malecela najiuliza WHY?
@sashalamar8215
@sashalamar8215 8 жыл бұрын
Muachen le mutuzi wetu kabisa eti kasema malekan Kila ulimi uteleza
@ibrahimmkoko5850
@ibrahimmkoko5850 8 жыл бұрын
Malekani duuuh hahahahahaahah
@graphixmaster6146
@graphixmaster6146 6 жыл бұрын
😁Ukiacha kibamia chake jamaa anaupeo mkubwa, though lifestyle yake inawaboa wengi
@gottaboy4178
@gottaboy4178 8 жыл бұрын
jamaa anaupeo mkubwa sana was mambo
@mularomar3101
@mularomar3101 8 жыл бұрын
parabens para boa intrevista le mutuz naçao le akili grand mas por k me bloqueou?
@jamesmethuselafredrick6064
@jamesmethuselafredrick6064 6 жыл бұрын
Mbona huyu jamaa anaonekana kama anatupa chai hv😀😀 hakuna real expression ya anachokizungumza na face expressions Mmmm?????🙆
@erastotweve2586
@erastotweve2586 Жыл бұрын
Le jituzz!!
@TheSalma1999
@TheSalma1999 Жыл бұрын
Anaongea ukweli kuhusu ulaya sio rahisi weh wale mataahira wanakutia bonge la kabari weh acheni tu tunavyoteseka
@mbonishabani1399
@mbonishabani1399 8 жыл бұрын
kweli umeelimisha kaka
@tunsumegideonmwamboneke9639
@tunsumegideonmwamboneke9639 8 жыл бұрын
yah, hiyo kazi ya kuwacare mataahira ndiyo kzi inayowatoa watu wanaohusle ulaya, mfano kumuangalia na kumuhudumia taahira kwa saa moja unalipwa pound 9 mpaka 12 kea uingereza, kama mtu anafanya hiyo kazi masaa 10 kila siks anatngeneza shillings ngapi? ni zaidi ya hata menveja wa bank.... just thinking loud man!!!!
@klaussteiner94
@klaussteiner94 Жыл бұрын
Tunsuuuuuuu 🙏
@claratemba44
@claratemba44 Жыл бұрын
Sie sind kitu cha kucheka
@adelaidedaycareprenurseryk6324
@adelaidedaycareprenurseryk6324 7 жыл бұрын
SONGA MBELE LEMUTUZ , KIKUBWA KAKA JARIBU KU CONTROL MWILI ILI KUEPUKA HEART ATTACK USIYAPE NAFASI MAJUNGU MUNGU AKUTETEE
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Жыл бұрын
Maskini ulimtabiria ...dah...rip
@rahimamkamba5032
@rahimamkamba5032 8 жыл бұрын
malekani?????
@wardamgembe6582
@wardamgembe6582 8 жыл бұрын
wooow
@samamuri8172
@samamuri8172 8 жыл бұрын
I'm so proud of you brother your the men lemutu big up for giving the true story
@rukiahussein9737
@rukiahussein9737 8 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@revinastephen1702
@revinastephen1702 6 жыл бұрын
Nimecheka kwa sauti ila dah kumbe tabu sana
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 Жыл бұрын
Eti kulea matahira duh
@rosestigeneriksson8387
@rosestigeneriksson8387 Жыл бұрын
Huyu alikuwa mvivu ndio maana ni basi Huyu ni mvivu ndio maana ni masikini ulaya uchagui kazi
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 Жыл бұрын
Mzee vitu vitatu ulivomalizia umeniinspire vibaya mno
@shabanihamisi115
@shabanihamisi115 3 жыл бұрын
Wangapi tupo leo 2021 kusikiliza elimu mtaani ya big lemutuz? Naamini ni degree tosha ya maisha, tusubiri vyeti tu.
@thuweintheprince882
@thuweintheprince882 8 жыл бұрын
mhh
@renaldakamugishazeramulake940
@renaldakamugishazeramulake940 7 жыл бұрын
ndo kulivyo! siendi
@mdakilwa1170
@mdakilwa1170 7 жыл бұрын
show off
@mohamedimohamedi8029
@mohamedimohamedi8029 6 жыл бұрын
Nonsense
@dvdmaro903
@dvdmaro903 6 жыл бұрын
mange
@ayoubaadil6385
@ayoubaadil6385 7 жыл бұрын
kuna uongo flani
@TheBlkk100mk
@TheBlkk100mk 8 жыл бұрын
umeanza kujisifia kwamba umo kwenye kundi la watu wenye akili. juu umeishi kwa miaka 25 bila kutambua kuwa kumbe nipo utumwani! kwenye maelezo yako unajisahau, unasema ni ngumu kutengeneza pesa lakini hapo hapo unajisifia kwamba ulikuwa unalipwa vizuri kuliko mtanzania yeyote na ukafanikiwa kutengeneza pesa. wenye akili wapo silicon valley wanafanya mambo na wengi wao wageni na wao ndio wameweza hata kuwasomesha watoto wao kwenye skuli ambazo miaka ya nyuma wakisoma watu weupe wa kimarekani. kwa miaka 25 umeweza kufungua blog tu hahaha wenzio wanafanya kazi wanasoma na wanasaidia wazee na jamaa... wewe umeishi kivyako tu.
@TheBlkk100mk
@TheBlkk100mk 8 жыл бұрын
source of income babaaa ndio utapata pakukaa, kula la kuvaa kwa hiyo usijaribu kutowa tafsiri ya capitalism ambayo haipo. Donald trump anavaa suit na matajiri wengi tu... wewe unawapotosha hawa vijana wa Tanzania wasio jitambuaa
@wardamgembe6582
@wardamgembe6582 8 жыл бұрын
wooow akili kubwa sana nimekuelewa bro.
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 24 МЛН
SCHOOLBOY. Последняя часть🤓
00:15
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 11 МЛН
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 28 МЛН
Бутылка Air Up обмани мозг вкусом
01:00
Костя Павлов
Рет қаралды 1,6 МЛН
Mkasi - SO5E12 With Majuto
28:26
MkasiTV
Рет қаралды 691 М.
JIRANI S2E2: LEMUTUZ afunguka kuhusu ugomvi wake na Mange Kimambi
26:01
Mkasi - SO5E07 With Sajuki
28:12
MkasiTV
Рет қаралды 281 М.
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 24 МЛН