POSHYQUEEN: HARMONIZE AMESHALIPA MAHARI, UGOMVI WAO, NTAZAA WATOTO WAWILI, KUTOKA NA RICH MITINDO

  Рет қаралды 150,227

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

POSHYQUEEN: HARMONIZE AMESHALIPA MAHARI, UGOMVI WAO, NTAZAA WATOTO WAWILI, KUTOKA NA RICH MITINDO

Пікірлер: 326
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 25 күн бұрын
Nimetokea kumpenda huyu poshy hata maswali anajua kujibu vizur maashallah ❤🎉
@barakamollel8170
@barakamollel8170 25 күн бұрын
Huyu ni msomi ndo maana anaongea vizuri
@barakamollel8170
@barakamollel8170 25 күн бұрын
Hata mimi nimemkubali kumkubali baada ya kumsikia leo.. alafu uwa hapendi kuongeaongea sana. Inabid amcontol konde hasimshikeshike matako public. She is Bright
@hafidhali3020
@hafidhali3020 24 күн бұрын
Dini si dini,kaeni mfanye zinaa mpaka mpaka tuone mwisho wake
@FarahAli-bx6ei
@FarahAli-bx6ei 25 күн бұрын
Uyu dadaa namuona Leo kwa mara yakwanza,ila amekomaa akili, she's calm and mature, lots of love from 🇰🇪
@estherminnahboaz6956
@estherminnahboaz6956 25 күн бұрын
Tatizo wakenya mnahisi mtu anaejua kinge ndio mwenye akili😅😅😂
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg 25 күн бұрын
​huo ni uelewa wako bt huyu dem amejibu kiutu uzima sio wale wakupayuka payuka tuu
@glammummy
@glammummy 23 күн бұрын
sanaaaa anajitambuaaa
@eliasthomas1547
@eliasthomas1547 25 күн бұрын
Anajua kujieleza sana poshyqueen harmonize hongera sana.
@FreeGod368
@FreeGod368 25 күн бұрын
Nampenda sana uyu dada plus harmonize they a re very humble
@user-ui7lb5yc2l
@user-ui7lb5yc2l 25 күн бұрын
Kama ni mnyakyusa mix mnyarwanda basi shape ni yake💯✅🙌
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 25 күн бұрын
Wee umemjua Leo nini
@jeanneandfrancislifestyle1518
@jeanneandfrancislifestyle1518 24 күн бұрын
Yeah rwanda 🇷🇼 njoo zetuuu😂
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 25 күн бұрын
Da Hu nikama mimi hana mambo mengi ❤
@AmadeSalimoSalimo-gw8ij
@AmadeSalimoSalimo-gw8ij 25 күн бұрын
Poshy queen,unajitambua ,mungo akulinde mbaki kunhee mausiano, Mozambique pamoja🎉🎉🎉
@Lanihsarumu
@Lanihsarumu 25 күн бұрын
Mungu awabaliki mufunge ndoa nawapenda❤❤❤❤ poshy na konde boy
@user-mc4kn4vc8c
@user-mc4kn4vc8c 25 күн бұрын
She's Soo pretty and Matured one ❤
@user-kp7em6zt1g
@user-kp7em6zt1g 25 күн бұрын
Daah ndugu yangu uyo mke anajielewa sana mrembo mmakonde usiachie apo waiyooo ndobindobi 🔥🔥🔥🔥
@MohamedMohamed-ry6lt
@MohamedMohamed-ry6lt 25 күн бұрын
She sounds materials mke
@vickykapama8386
@vickykapama8386 25 күн бұрын
Queen Posh kipenzi halali wa Konde Boy Tembo! Nimekupenda sanaa unajua kujibu maswali na unaongea very positive mahusiano yenu. Mungu awabariki sana sana. UMEITENDEA HAKI INTERWIE HII💯✌️🥰🥰🥰💃
@user-dl5ye2gg3i
@user-dl5ye2gg3i 25 күн бұрын
Poshy Queen so cute ❤
@sagudamagerela3414
@sagudamagerela3414 26 күн бұрын
Nampenda Sana Geah habib
@nurumohamed5830
@nurumohamed5830 25 күн бұрын
Smart lady poshy❤❤❤
@RachelJulius-fh9nl
@RachelJulius-fh9nl 26 күн бұрын
Nampenda sana poshy wang❤❤🎉🎉🎉
@happinessstanley592
@happinessstanley592 25 күн бұрын
Huyu dada ni mzuri sana jamani nampenda
@Nikita_8017
@Nikita_8017 23 күн бұрын
Sanaaaaa!
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 25 күн бұрын
Mzalie harmonize binti yangu
@nurumohamed5830
@nurumohamed5830 25 күн бұрын
Hormonize hapa usiachilie kaka kama ni mke umepata😅😅❤
@glory34495
@glory34495 25 күн бұрын
This lady is so amazing 🥰
@user-bm4pv2jw2e
@user-bm4pv2jw2e 23 күн бұрын
Nimekupenda pia mnyakyusa mwenzangu
@zepinashatibu5149
@zepinashatibu5149 25 күн бұрын
We ulisikia wapi heti muachane kila hisi hivi❤❤❤❤
@floramsacky3929
@floramsacky3929 24 күн бұрын
Anajua kujieleza na kuweza kupangua mambo safi sana
@MamaBeben
@MamaBeben 5 күн бұрын
Poshy nakupenda sana na sauti yakoze nyororo
@gladnessmoshi4782
@gladnessmoshi4782 18 күн бұрын
Poshy uko vizuri, unajielewa mama❤🎉
@kanezajoella6663
@kanezajoella6663 25 күн бұрын
Dini ni imani ya kile unacho kiamini sio una aminishwa pia kubadiri dini kwa sababu ya binaadamu Kama wewe ili upate chochote unakuwa umeondoa uwepo wa MUNGU na kumfanya huyo alie kufanya ubadirishe dini kama mungu wako sio vizuri kubadiri dini kwa sababu ya mtu yoyote
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 25 күн бұрын
Imeenda hiyo❤
@Thebaddest255
@Thebaddest255 26 күн бұрын
Me nampenda da gea anavo sapoti 😂😂kinafki 😊
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 25 күн бұрын
Umeona ee😂😂😂😂
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 25 күн бұрын
Wachawiii nyieee Yani mnalogaa adi mitandao
@rehemafeysali4444
@rehemafeysali4444 25 күн бұрын
Eti tuko mbioni kwenda😅😅😅ila gea😅
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 25 күн бұрын
😂😂😂​@@rehemafeysali4444
@Siti_maroneit
@Siti_maroneit 25 күн бұрын
KIBAO ALIPATA😂😂😂😂😂
@agneskibua5653
@agneskibua5653 25 күн бұрын
Aisee poshy❤❤❤❤
@user-sl3bw7jt7b
@user-sl3bw7jt7b 26 күн бұрын
Congratulation, Im watching from 254
@shanihabibu1962
@shanihabibu1962 25 күн бұрын
Kiukweli unajielewa sana hongera umaalufu haujakuharibu
@JazillahAlly
@JazillahAlly 25 күн бұрын
Nampenda sana Da Husna❤
@eggysulle7988
@eggysulle7988 22 күн бұрын
Yupo natural na remba lake hana abar😂😂
@sarahkeivaly3351
@sarahkeivaly3351 25 күн бұрын
Napenda sana vile Poshy anavoongea
@UpendoLangeni
@UpendoLangeni 25 күн бұрын
❤❤❤❤ kawaida ya kina mwaisa tuna shepu .hatutegemei surgery
@ZawadiMwaipwisi
@ZawadiMwaipwisi 25 күн бұрын
Wanyakyusa tupewe ulinzi 😊
@user-en1nj5zw4w
@user-en1nj5zw4w 25 күн бұрын
Kweny dini ya kislam sheria inasema muiskamu huwez kuowana na mtu alie nadini tofaut na dini yako
@AnethMushi-c3e
@AnethMushi-c3e 24 күн бұрын
Kwa hiyo kuzin na din tofaut ni halal?
@kaizachief4912
@kaizachief4912 22 күн бұрын
Poshy queen anajua kujib very matured❤❤
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 25 күн бұрын
Nice interview 🎉🎉
@hamzaselemani209
@hamzaselemani209 24 күн бұрын
Nimefurahi sana kusikia mko pamoja
@WemaYohana-fe2ec
@WemaYohana-fe2ec 24 күн бұрын
Ongela dada angu unajieleza mbaka nimependa❤❤❤
@josephinelucian9699
@josephinelucian9699 24 күн бұрын
Nimempenda bule posh
@user-qm3hb4sz7y
@user-qm3hb4sz7y 24 күн бұрын
Yupo vizur sana poshy.anajitambua
@pendomason8582
@pendomason8582 25 күн бұрын
Hata mimi namprnda wifi yetu wa Taifa jameni
@StevenMunugwa
@StevenMunugwa 24 күн бұрын
Video Editor kachoma, sauti na video haviendani (HAMNA Lips syncing wala audio matching) ANYWAY Poshy YUKO smart
@WemaYohana-fe2ec
@WemaYohana-fe2ec 20 күн бұрын
Anajibu vizuli sana nimependa sana ❤❤❤❤❤
@abujumanne7570
@abujumanne7570 24 күн бұрын
Wewe posh Qwin ni lazima usilimu ndoa ifungwe kiislamu acha chenga chenga bana
@annasolomon9855
@annasolomon9855 24 күн бұрын
Mtoto wa mchungaji huyo ujue
@rachealamimo7786
@rachealamimo7786 24 күн бұрын
Great ! This time young man got a better choice
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 25 күн бұрын
Mm mama yenu wa mbeya mnipe kadi ya harusi
@VailethBarnabas
@VailethBarnabas 25 күн бұрын
❤u my lovely dadaaaaa
@juliethhenrymasanja940
@juliethhenrymasanja940 25 күн бұрын
Kutengeneza ni dhambi kubwa sana kukosoa uumbaji wa Mungu.
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 25 күн бұрын
Mwenzio kasema sio mbaya kutengeneza
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 25 күн бұрын
Kumbuka anachobadilrisha au kinachobadirishwa ni miwili ambao tumeezimwa tu,n'a roho ikiondoka au ikitoka kwenye miwili roho inarudi kwa mwenye mamlaka na' inaendelea kuishi, n'a mwili tuanaacha kaburini,cha kulinda ni roho ,n'a kuamimi kwako kitengeneza mwili ni dhambi kubwa sana huo ni mtazamo wako kuna dhambi zilizotajwa kwenye amri kumi za Mungu Rudi huko .
@abangqo5193
@abangqo5193 24 күн бұрын
@@devothasimbi6495 ..
@Shakira-Nb
@Shakira-Nb 20 күн бұрын
Posh yupo smart sana na hana tamaa kwa maongez yake tu yanadhihrsha yupo hvyo ❤
@tiffanymo9453
@tiffanymo9453 25 күн бұрын
Shes matured ❤.Nice interview.
@chilukigembe1956
@chilukigembe1956 25 күн бұрын
Posh good ❤for Hamonize
@QueenNgai
@QueenNgai 24 күн бұрын
Mashallaah ❤️❤️❤️❤️ nakupenda sana wifi yangu kipenzi kusin kunakuhusu❤❤💯
@shakilaabdallah7890
@shakilaabdallah7890 25 күн бұрын
Poshi nimekupenda bure❤❤❤❤❤❤
@JacquelineMahumbe
@JacquelineMahumbe 21 күн бұрын
Nakupenda
@JacklineMukunzi
@JacklineMukunzi 23 күн бұрын
❤Tunakupenda sana posh Queen wew ni mzuri Una hekma hakiri na unajua kujibu sana wew na makonde muko saw saw . Ujinga wa madini isiwe sababu niukoroni muishi sarama na MUNGU awabariki
@stevenemwakasimba-pt8er
@stevenemwakasimba-pt8er 19 күн бұрын
Mnampenda nani?
@stevenemwakasimba-pt8er
@stevenemwakasimba-pt8er 19 күн бұрын
Mnampenda na nani?
@DamarisDuuTausi
@DamarisDuuTausi 24 күн бұрын
Nampenda sana huyu dada poshqueen anajibu vizuri hata hana Maringo
@JojoMsuya
@JojoMsuya 4 күн бұрын
Upo vzr mrembo
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 25 күн бұрын
Ukitaka kujizonga duniani ishi maisha ya kuect ect na kuiga iga
@KissaMwaibila-xp7io
@KissaMwaibila-xp7io 25 күн бұрын
Kwa kukaja❤❤
@Baira240
@Baira240 26 күн бұрын
Clouds mnafel posh haendani na voice wekeni mitambo ikae poa
@thuraiyathuraiya401
@thuraiyathuraiya401 25 күн бұрын
Mashaallah mwenamke mzuri sana anaongea kwa busara 🎉❤
@user-lu8ny2gu7t
@user-lu8ny2gu7t 25 күн бұрын
Mbarikiwe sana
@abdulmalikali9063
@abdulmalikali9063 25 күн бұрын
👏👏👏
@fuadaladawi1255
@fuadaladawi1255 25 күн бұрын
Wandishi wa habari munapoteza watu.huwo ukweli leo kwa Posh Quen
@tabiafataki6896
@tabiafataki6896 24 күн бұрын
Posh upo vzr unaongea vzr aulingi kama wengine yes no kibao❤😊
@g-zoman1081
@g-zoman1081 23 күн бұрын
Vrt 🐘kapata mke wamaana kbx mzuri,anajua kujib ma swali vizur👏
@Jimson-gm5jv
@Jimson-gm5jv 25 күн бұрын
Wandishi wa habari wa Tanzania ni wambeaaa sana ,utawasikia tuu interview zao
@AnethMushi-c3e
@AnethMushi-c3e 24 күн бұрын
Na wewe ulitokana nao wp?
@umfahad2609
@umfahad2609 25 күн бұрын
Watanzania ithaminini lugha yenu. Mnapofanya interview ongeeni lugha yenu. Mcfagilie lugha za kigeni zaidi pls.
@We_zombie
@We_zombie 15 күн бұрын
Pls ni lugha gani na wew andika kwa kiswahili sema tafadhali
@flinchclassic1531
@flinchclassic1531 25 күн бұрын
Kuna watu walikuwa wanafurahia wao kuachana sijui wataweka sura zao wapi
@HuseniMmunga
@HuseniMmunga 25 күн бұрын
❤❤❤ nc posh quenn
@user-ve7xq9ov9u
@user-ve7xq9ov9u 24 күн бұрын
Naku penda sana dada pochy🎉❤
@johnsonnoah467
@johnsonnoah467 25 күн бұрын
She is Smart
@user-hp4pf9cm4s
@user-hp4pf9cm4s 22 күн бұрын
Poshy ni mrmbo sana ❤❤❤❤
@saidilome-ue2df
@saidilome-ue2df 25 күн бұрын
Dini ya uislam hairuhusu kuishi na mwanamk ambae sio muislam.
@AnethMushi-c3e
@AnethMushi-c3e 24 күн бұрын
Ila inaruhus kuzini na mwanamke asiye muislam?!
@saidilome-ue2df
@saidilome-ue2df 24 күн бұрын
@@AnethMushi-c3e uislam hauruhusu zina kbs hata mziki hairuhusu
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 24 күн бұрын
Posh anajibu vzr sana i seeee
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg 24 күн бұрын
Mnajua kuhoji kiumbea sana
@KituRu
@KituRu 23 күн бұрын
Uko vzur,baki na dini yako.
@Fakama245
@Fakama245 25 күн бұрын
Awezi sema ukweli
@hamzaselemani209
@hamzaselemani209 24 күн бұрын
Mwanzo mwisho nimesikiliza shemeji yetu nimependa sana
@GeorgineBarakaMurairi
@GeorgineBarakaMurairi 8 күн бұрын
Uyu kama ni munyarwanda basi tumemupoteza harmonasi wetu awa wa demu wanauwa wanadamu
@gracelacha16
@gracelacha16 23 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 25 күн бұрын
Harmonize saivi ni kama maji usipo mywa utaoga n.k❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@fuadaladawi1255
@fuadaladawi1255 25 күн бұрын
She suet harmonize golden boy
@kareem1182
@kareem1182 25 күн бұрын
Uyuu demuu ukimuonaa bilaa kuongeaa unasemaa ana lingaa ilaa yukoo pw sanaa
@avelinafurahaoisso5491
@avelinafurahaoisso5491 23 күн бұрын
Sijui lakin🤔
@salhkasmm558
@salhkasmm558 24 күн бұрын
Usidanganye dini sio kila dini lazima usilima kama sihivuo hakuna ndoa ila mnaendelea kukaa tuu na ushetani.
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n 23 күн бұрын
DADA UINGIE DINI YA KWELI UISLAM.USJARIBU KUBAKI DINI YENU SABABU YESU YUKO KARIBU YA KURUDI NA ATAWAKANA KWA HERUFI KUBWA UTANIKUMBUKA😢
@Hawa-fx7gw
@Hawa-fx7gw 23 күн бұрын
😂😂😂😂
@shanihabibu1962
@shanihabibu1962 25 күн бұрын
Gear mungu anakuona kunataka kuharubu mambo utapata nini
@user-rm3wt3zp9o
@user-rm3wt3zp9o 25 күн бұрын
Poshy ☺️
@tonygee5680
@tonygee5680 25 күн бұрын
Kazii iipoo kwenye ndoa lazma mtu mmoja ashuke chini
@rukayyaaliy9713
@rukayyaaliy9713 13 күн бұрын
Akuna ndoa ap
@danielmacharia9603
@danielmacharia9603 24 күн бұрын
Wakenya mjue tuko pia huku 😊😊😊😊😊😊😊😊
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th 25 күн бұрын
wanapenda hela na sio mdogo wangu
@ashaali7154
@ashaali7154 25 күн бұрын
Wewe unampenda nani tumchunguze kama ana pesa au hana? Mkono mtupu haulambwi.
@chesconkwera2005
@chesconkwera2005 23 күн бұрын
Makope
@reemaalwad3ani616
@reemaalwad3ani616 25 күн бұрын
Posh queen❤❤❤❤❤❤
@Die-r5f
@Die-r5f 15 күн бұрын
Beer
@barazamwaja3868
@barazamwaja3868 25 күн бұрын
Posh Ana sura nzito sana
@Hawa-fx7gw
@Hawa-fx7gw 23 күн бұрын
❤❤❤🎉
@theresiamilanzi5907
@theresiamilanzi5907 25 күн бұрын
❤❤
@user-vg1sc6zb2b
@user-vg1sc6zb2b 25 күн бұрын
Kama hubadiri dini .je mwezi mtukufu utaondoka kwenu au?
Just Give me my Money!
00:18
GL Show Russian
Рет қаралды 1,1 МЛН
小丑在游泳池做什么#short #angel #clown
00:13
Super Beauty team
Рет қаралды 32 МЛН
JIMMY WANJIGI EXPLAINS WHY RUTO MUST GO
14:45
Wasos Tv
Рет қаралды 686
Just Give me my Money!
00:18
GL Show Russian
Рет қаралды 1,1 МЛН