Рет қаралды 4,217
Leo #MariaSpaces : Bunge na Mahakama Vinataka Tujilinde?
Nchi imerudishwa kwa wananchi?
Baada ya Bunge kukataa kujadili utekaji na Mahakama kukwepesha uwajibikaji wa polisi pamoja na ushahidi wa uhusika wao katika utekaji, nini kinafuata? Tunajilindaje?