Kabisa kabisa hawawezi kumuelewa. Dogo anapiga classic stand-up comedy. Hana haja ya kupiga kelele wala kubadili badili sauti mara za kike au kitoto n.k
@Summercrif0053 жыл бұрын
Jamaa ni level za mtoni ata wakina mpoki hawafiki anachekesha na kuelomisha
@barakamaliyamungu86893 жыл бұрын
Leonard nakuona mbali mwamba,kaza usiyumbishwe.
@spaice9953 жыл бұрын
Leonard anafaa kufanya comedy za kizungu 🤗
@mungatanamedia51573 жыл бұрын
Nmengoja sana🔥🔥🔥
@TheNewKid_TV2 жыл бұрын
Ila weee jamaa😂😂😂😂
@omarymnuru87463 жыл бұрын
I like the way he deliver his material to audiences
@kividomaster46603 жыл бұрын
our sh00l,,we are proud of y0u....,,🤣🤣🤣
@princejlee70983 жыл бұрын
Nakukubal sana jamaa
@NEXTtz3 жыл бұрын
Master 🔥✊😀🤣
@emmyiddsony68632 жыл бұрын
nakukubali sana
@dolanuhu53253 жыл бұрын
jamaa atatumika sana na wasafi saiv
@ibrahimnadir44903 жыл бұрын
Ndio kwa io ilikua aendelee kufa na kipaji chake au atumike kule kule mbea au vp
@tugabiz42863 жыл бұрын
Sio ofisi yake ilipo sasa kwa kifupi yupo kazini au ulitaka awe analala kwao halafu analipwa mshahara wa bure?
@deusdeodavid53603 жыл бұрын
Yuko cheka tu kwa koi wasafi ni wa bia tu
@marselinosong16562 жыл бұрын
Noma sanaaaa💪💪💪💪💪
@laurynlyatuu69283 жыл бұрын
Ila huyu ni mpuuziii😂😂😂
@alexlyamsema49843 жыл бұрын
Huyu jamaa huwag namsikiliza kwa makin sana man anatumia akili sana katika kaz yake
@slimmuhabesh24003 жыл бұрын
Aaah Usitoe Siri Za Kambi...
@geofreydaud4703 жыл бұрын
U the best....keep it up
@jomiAfrica3 жыл бұрын
Habari za jkt mamaa😁😁😁
@flyracetvkenya2 жыл бұрын
Keep moving forward
@esterdoriye47803 жыл бұрын
Hahahaha apo ndugu wa marehemu jamani nimewahi kukutana nayo tumeenda sherehe ya uzee ya bibi wa miaka 113 ,mc akasema ndugu wa marehemu wasingee mbele weeee ndugu waliwaka
@kiuyl03 жыл бұрын
Mwana noma anajua
@GodsonGracefordChingangili Жыл бұрын
Good
@kidympole19973 жыл бұрын
If god wishes next week we will be together ❤❤
@ericklaura75113 жыл бұрын
This dude got fine delivarence
@paschalmachibya75283 жыл бұрын
Leonardo unajua
@baburiziki35123 жыл бұрын
Jamaa anajua sanaa
@pastoradamgospeltv69793 жыл бұрын
Vert brilliant
@MinisterKatunzi5 ай бұрын
Uwakika,👍👍👍👍
@bonymauzo36732 жыл бұрын
Like you 🙂🙂
@niyakhalid56503 жыл бұрын
Very bright
@Ombanebob3 жыл бұрын
These Tanzania comedians should come for attachment in church hill these episodes are are short
@siloomar76993 жыл бұрын
Unaongea sanna panchi zako zna stori nyng..kk jitahdi
@ibrahimnadir44903 жыл бұрын
Kama unamjua James delicious huendi mbinguni
@agenesmadewa35153 жыл бұрын
🤣🤣🤣🔥🔥🔥
@benalphonce98732 жыл бұрын
🤝🤝🤝🤝🤣🤣🤣
@judysalum43613 жыл бұрын
❤❤❤
@shebyliezermbogo34273 жыл бұрын
Hajawahi kukosea
@jumaally56603 жыл бұрын
Nkbl sana
@miltonmachage24623 жыл бұрын
Uyuu dogo alianza vizury lkn naona shv kama kapoaaaa
@feronandsulubu67113 жыл бұрын
😂 😂 😂
@kondoatown87653 жыл бұрын
DOGO NI MCHEKESHAJI . YUPO POA ANA CONFIDENCE, ANAJUA ANACHOKIFANYA . ILA AKAZE AKAZE , ILE BATRE EDITION ALIPOTEA MBAYA RIGHT NOW KARUDI POA MBAYA , KARUDISHA IMANI ZETU KWAMBA TUTAVUKA MIPAKA ATATUVUSHA TZII KTK ANGA HIZI. BG UP LEO .
Kwa nini HUYU jamaa nguo zake ni nyeusi tuuuuu?????????????????
@babaluxe86263 жыл бұрын
Wengine sio kawaida, maisha sio rahisi Kama nuonavyo
@marysiom63213 жыл бұрын
@@babaluxe8626 iluminate
@moisepascal33 Жыл бұрын
Na Penda sana
@radoliner89513 жыл бұрын
Ni hatari🩸🩸🩸
@vicentbaichak96933 жыл бұрын
Mr.Beneficial mbona hatumbuizi sikuhzi
@batazarmengmeng74243 жыл бұрын
Amepoteana
@abuchiba68693 жыл бұрын
✌✌✌✌
@ggcrank62643 жыл бұрын
Kamfollow James delicious ?
@Bongovlogs3 жыл бұрын
Leonardo bado unaniangusha bado content zako uhandai kwa wakati njoo uchekeshe sio ku-present tu omgeza nyama come with new joke
@djbonfigkby3 жыл бұрын
🇨🇩💙
@josephmeshack31473 жыл бұрын
Tumepigwa apa
@iam_wazzah51373 жыл бұрын
Hakuna mchekeshaji hapa 😂😂😂.. jamaa mpaka ajifikirie… halafu au sio kama zote
@sophiakasana29373 жыл бұрын
😂😂😂
@iam_wazzah51373 жыл бұрын
Huyu jamaa bado sana …. Ana story za kuchekesha lakini anavyoongea hashawishi kabisa… amepoa kinoma.. then kutoka story moja kwenda nyingine mpaka ajifikirie… halafu au sio kama zote … ajitahidi
@salmanadhiru37163 жыл бұрын
Acha roho mbay
@tugabiz42863 жыл бұрын
Hashawishi sababu hapigi mikelele na kubwatuka na kubadili sauti mara ya kike mara ya kitoto. Huyu dogo anapiga classic stand-up comedy ahitaji makorombwezo mengi
@feysalhamis52772 жыл бұрын
Acha ushamba ww unay weza uko wap mbwa ww leonardo n kichwa cha comedy
@sofiashaban60893 жыл бұрын
Aujafanya poa. Andika story zenye mwendelezo, hizo story fupi fupi zitakuangusha.