Thank you leonardo all videos in your channel can't wait on cheka tu always...... Best serious comedian 🤣🤣🤣🤣
@TabasamuTV1002 жыл бұрын
Leonard wee huna akili hata kdg 😂😂😂
@missmwayway47042 жыл бұрын
Daaaahhh aiseee Kudadadeki yn hapa Tz kuna watu wahovyo sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Kokomaster262 жыл бұрын
We jamaa ni mbwaa..😂😂😂
@MwasitiOmmary9 ай бұрын
😂😂😂😂
@Eze_Emm2 жыл бұрын
Kumbe ni comedy
@jdizzy5622 жыл бұрын
Daah 😂😂😂pisii naww ujichangnye ufee 😂😂 daah
@heromanmwamba50002 жыл бұрын
😂😂😂
@mkasysaid73842 жыл бұрын
Vichekesho vyote ivyo na bdo yupo serious 🤣🤣🤣
@johnchitete Жыл бұрын
2:16 sipitii kitu😂😂😂
@Yo_tune-tb5sn2 жыл бұрын
Uyu pacha anazingua sana TEZI DUME UNAPIMA MAITI😂😂😂😂😂
@nazlenewambui11042 жыл бұрын
Aaaah this guy though 😂😂😂😂😂 He's a natural
@yasodishonest97922 жыл бұрын
Anapita na pisikali zilizo kufa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@octave88732 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@yasodishonest97922 жыл бұрын
@@octave8873 tena anasistiza zinakua bado zamoto😂😂😂😂
@MwasitiOmmary9 ай бұрын
😂😂😂😂
@yakutitv7272 жыл бұрын
My brother your so talented akiamungu
@timothysanga97462 жыл бұрын
Nimecheka mpaka mbavu zinauma, Sasa kaka itabidi ufanye mpango uje utuchekeshe na huku 🇺🇸, mana tunahitaji sana vitu kama hivi mana stress kazi za huku nyingi mno
@fikirimutambala43302 жыл бұрын
Kweli hata mimi niliwaza ivo tatizo huku kwetu marekani tuko wadogo wakumuleta
@حسن-ح7م1ق Жыл бұрын
@@fikirimutambala4330mlipie ndege aje kama kutembea alafu waaliken wenzenu sehem aje awachekeshe
@kaizilege45252 жыл бұрын
Unajuaa wee jmaaa
@flyracetvkenya2 жыл бұрын
Kali sana aki ,Sisi kutoka Kenya twapenda kazi yako Kaka zidi kabisa mkuu
@kingdeniscrocodile9 ай бұрын
Shenzi kabisaaa 😂😂😂😂😂😂 unajua ww mshenz
@dorothealudovic74802 жыл бұрын
😂😂😂😂😂sipitii kitu😂😂😂
@officialmologa2 жыл бұрын
Sipitii kitu 🤣🤣🤣we mbwa ,mbavu zangu 🤣
@Swahilimuvie2 жыл бұрын
Jamaa mbunifu na unajua sana
@scholarmawala14032 жыл бұрын
Yaaani nimecheka mpk basi bonge la comedian 😃😃😃😃😃😃
@eliahyr52712 жыл бұрын
Kwa komedy hii ni next level.
@azaboicomedy2 жыл бұрын
NIKAMSHINDILIA YA KICHWA 😂😂
@leonardobutindi55012 жыл бұрын
😹😹😹
@ajuahaoowbw32302 жыл бұрын
Hee wallahi nimecheka sana
@ajuahaoowbw32302 жыл бұрын
Ww msikilizaji kimbia mapema
@ankoodeeog85112 жыл бұрын
Kajamaa kako serious kabisaaa🤣🤣🤣
@tausir.mgeleka14332 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
@wizzohclassik1.2 жыл бұрын
Waaaaaah 😳😳😳 wazimu na nusu....oyaaa fanya connection 😂
@maithathoya28832 жыл бұрын
Leonardo,, you are a lunatic 😂😂😂
@حسن-ح7م1ق Жыл бұрын
😂😂😂
@loyceakuku60199 ай бұрын
😂😂😂😂😂lakini wewe Leonard 😂😂😂😂. Love from 🇰🇪
@georgegivan71242 жыл бұрын
Yaani ww n chiz afu upo serious kwenye ujinga et tuna tumia kwa wenye joto🤣🤣🤣🤣
@yummyyummyubuyuchannel11282 жыл бұрын
Hii kazi ni kipaji😁😁
@leonardobutindi55012 жыл бұрын
Haichaguliwi😸
@pezasally82042 жыл бұрын
We Jamaa n Msenge Sana ila sema nini MIZIMU YA KWENU Inakubeba sana Kaka UKO VZR hahahahhaa
@yusuphuhija8 ай бұрын
Umetisha mwamba unajuwa sana😝😝😝😝😝😝😝
@firdausqutty20672 жыл бұрын
Naitwa kazi ya Mungu haina makosa😃😃jamani
@brianmapunda89572 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣you are crzy
@elvispozes6352 жыл бұрын
Love from burundi 🇧🇮 ❤
@kipagomedia68572 жыл бұрын
Na leo mwisho wa mahojiano anaiba kamera ya Milioni 3
@bluechawa34922 жыл бұрын
Hakuna binadamu alie kamilikaa 😂😂😂😂😂😂
@leonardobutindi55012 жыл бұрын
😅😅😅
@slywish40982 жыл бұрын
The way unash2ka dah cio pw 🙌🔥😂
@AndreaPaul-ox6oz6 ай бұрын
Good up Leonard Ila wewe Dada upo single naomba tukutane
@wazirmlogi75322 жыл бұрын
Nilichogundua hapa huyu jamaa siyo kweli mtu wa mochwali bali wameamua tu kutengeneza comedy
@katabaroonlinetv96889 ай бұрын
Kwani wewe humjui huyo ni comedian anaitwa Leonardo
@tozzymchafu13062 жыл бұрын
Hahaha hahaha pisi imeletwa
@msusasandali58332 жыл бұрын
Mudiiii lete nyundooo🤣🤣🤣🤣
@unclepwechnov13812 жыл бұрын
Hiyo ya kumuita Mudi nimecheka mpaka nimedondosha simu, msichana huyo eti 'mamaa nakufaa....'
@nextlevelmusic30062 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 daah nimecheka san
@PatrickJoeboy-jc6lo8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 mfanya kazi wa mortuary 😂😂😂😂
@benjyhud68592 жыл бұрын
😀😀😀 cant believe nimeangalia video yote nikiwa nimesimama.
@deus86292 жыл бұрын
Unataka kukukimbia au?
@PanadolOfficial.2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/poSvcqhrjrl2Y6c
@vickydan28692 жыл бұрын
Kwann hujakaa hahahaha
@dullywa99732 жыл бұрын
dah me napendaga unavoongea kwa msisitizo 😂😂😂😂MAJOKOFU
@leonardobutindi55012 жыл бұрын
Msisitizo 😹😹😹
@PeterMbelah3 ай бұрын
We noumaaa utaniuaa mmbwa Leonard
@marianucambrose56382 жыл бұрын
Hahahahaha mwanangu mwenyewe leonardo 😂😂😂😂😂
@mussaandrea23172 жыл бұрын
Upo vzr sanaaaa comparison haipo kwa sector hii
@tukiokikoti67372 жыл бұрын
So creative and talented
@bentez9112 жыл бұрын
Nakubl kk achia kazi nyingi nyingi shabiki sisi tupo
@yusuphjulius98532 жыл бұрын
Watu ni waelewa sana Kwahiyo mmoja asiturudishe nyuma
@evandosimboro13642 жыл бұрын
Umetisha kinoma noma mzeiya 👊🏿👊🏿😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥🔥
@mohamedkuembelea77252 жыл бұрын
Wewe si misi buza
@unclepwechnov13812 жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆😆😆 Nimecheka kama chizi, a lunatic comedian. Kademu sometimes kanashindwa kujizuia kucheka.
@khalfanifarisy83132 жыл бұрын
Huyu Dada nampenda kaninogea sana! Angekuwa kashika Dini raha sana. Unanitesa moyo wangu
@emmaedger94352 жыл бұрын
Kashike vip din yaan ww umeishika ??
@isaacvtv5472 жыл бұрын
dini ipi bro mbona zote tumefunzwa tu who knows which is the right one, tusubiri mwisho tutashangaa wengi.
@khalfanifarisy83132 жыл бұрын
@@isaacvtv547 Uislamu njia pekee
@manilabonalumanula10142 жыл бұрын
Unajuaje kama hajashika dini? Uzuri wa mtu ni nini? Pia imeandikwa hivi: Amtazamaye mwanamke kwa matamanio, basi amekwisha zini naye. Hivyo kwa mawazo yako hayo tayari umetenda dhambi ya kuzini
@khalfanifarisy83132 жыл бұрын
@@manilabonalumanula1014 Hakuna Dini hapo. Alitakiwa avae hijabu ajistiri. Afanye kazi hisiyo na ushawishi wa kuziniwa kwa macho. Yaani hatari tupu. Badilikeni.
@dullywa99732 жыл бұрын
mary jmn 🥰🥰
@kelvinnicholaus3352 жыл бұрын
Naunga mkono hoja 😆😆😆😆😆
@leonardobutindi55012 жыл бұрын
😅😅bwana tolu
@ericlusavali33422 жыл бұрын
Leonard is a menace 🤣😂🤣😂🤣😂
@leonardobutindi55012 жыл бұрын
Menace to Society 😸🔥🔥🔥
@حسن-ح7م1ق Жыл бұрын
@@leonardobutindi5501😂😂😂 u nailed it though
@abedysteven49302 жыл бұрын
Leonard inachekexha ndgu yang mpaka navunjika mbavu!!
@robinsonipatrick572 жыл бұрын
bro atar Sana💥💥💥
@حسن-ح7م1ق Жыл бұрын
Ati ni kipaji😂😂😂😂
@deograsmbilinyi12142 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣moodiii Leta hiyo nyundoooooo
@egidendayisenga44262 жыл бұрын
Merry nagupend😍
@Jax_all_talents8 ай бұрын
LEO KAMA LEO ❤ IYI NDIO VÍDEO YAKE YA PILI ILIO NIFANYA KUMKUBALI BWANA LEO😊
@MorryUshindi9 ай бұрын
Hahaha marupurupu 😮😮hahahahaha I hope bia n tamu sanaa
@flyracetvkenya2 жыл бұрын
Hahahaha hahahaha Kali sana napenda hapa.
@castonyigo87652 жыл бұрын
Kama uko makini kama mimj like....huyo dada anasoma kwa chini ndio anamuoji leonardo
@fainjohnbosco61822 жыл бұрын
Jamaa ni chizi sanaaaa😂😂
@bettykarume56192 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Chezea pis kali ww
@Prince_Nobodi2 жыл бұрын
Eti sipitii kitu😂😂unaosha maiti mpaka inatoa kile kitu "nntiiii" uyu jamaa anaangaliaga Tom&Jerry
@officialbabaselleofficialb20162 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@calvinmavunde2392 жыл бұрын
Uko vizuri
@sophiajamali87302 жыл бұрын
Daaaah au basi bhana 🙆
@frankmnale19002 жыл бұрын
Hata maiti inahitaji uifadhi, kazi ni kazi
@azaboicomedy2 жыл бұрын
INTERVIEW 😂😂😂😂😂
@irmgardsamia18272 жыл бұрын
Mmetisha🔥
@elnabilbentaleb70082 жыл бұрын
Mwehu 🤣
@hamismbwana85922 жыл бұрын
We jamaa unajua sana
@marthamagota15369 ай бұрын
Hii ni kazi kama kazi nyingine
@mwambarock25622 жыл бұрын
Apo kwenye malengo duuuu 🙊🙊🙊😂😂😂na kadada kana sema Jambo zuli..jaman 😂😂😂😂#999