LEYLA BINTI 'GENIUS' ALIYEPATA SCHOLERSHIP INDIA ARUDI na UGONJWA MWAKA 1 KABLA ya KUHITIMU - ALIA!

  Рет қаралды 73,538

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

LEYLA BINTI 'GENIUS' ALIYEPATA SCHOLERSHIP INDIA ARUDI na UGONJWA MWAKA 1 KABLA ya KUHITIMU - ALIA!
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
Ni huzuni kwa binti Leyla Shabani Mrosa (23) binti mwenye ndoto kubwa aliyefanya vizuri kwenye masomo hadi kupata 'Scholership' na kwenda nchini India kusomea Udaktari, Leyla amejikuta kitandani kwa miaka takribani mitatu baada ya kuugua ghafla akiwa masomoni huko India hali iliyolazimu akatishe masomo na kurudi nchini Tanzania kwa ajili ya uangalizi wa karibu na matibabu. Leyla bado hajapoteza tumaini, kwa sasa hawezi kusimama wala kukaa ni mtu wa kulala kitandani huku mikono yake ikiwa haina nguvu hali inayompelekea kutumia ulimi kwa ajili ya kujisomea mambo mbalimbali kwenye simu na kuhangaika kutafuta msaada. Leyla anapitia wakati mgumu, unaweza kuwa sababu ya kumfanya arudi tena kama zamani na aendelee kupambania ndoto zake kwa msaada wako wowote. Wasiliana na mama yake mzazi:
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 714
@globaltv_online
@globaltv_online 7 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@meyuuabdallah4674
@meyuuabdallah4674 6 күн бұрын
Jamani namba ya kwanza mmekosea mwishoni,, mchango utaenda kwa mtu mwengine, mama alivotaja namba ni tofauti na mlivoandika kwenye title
@meyuuabdallah4674
@meyuuabdallah4674 6 күн бұрын
Jamani namba ya kwanza mmekosea mwishoni,, mchango utaenda kwa mtu mwengine, mama alivotaja namba ni tofauti na mlivoandika kwenye title
@meyuuabdallah4674
@meyuuabdallah4674 6 күн бұрын
Jamani namba ya kwanza mmekosea mwishoni,, mchango utaenda kwa mtu mwengine, mama alivotaja namba ni tofauti na mlivoandika kwenye title
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
@@meyuuabdallah4674 asante tumeweka sawa
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
@@meyuuabdallah4674 NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@bamag-021
@bamag-021 7 күн бұрын
Mungu akupatie uponyaji dada yangu, hata mimi niko india nasoma. Nimeshuhudia marafiki zangu wakisumbuliwa na magonjwa ambayo wakati fulani wakipimwa huku hawapatiwi majibu sahihi. But kwa kumtumainia Mungu na kusali sana wamepona. So nakusihi muamini Mungu na uombe . Mungu akupatie uponyaji kwa jina la Yesu .Amen
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@floramathias5113
@floramathias5113 6 күн бұрын
Mzaliwa wa kwanza ana vita kubwa sana Mungu Fanya muujiza wowote kwa Binti huyu Mponye kwa jina la Yesu
@TrapQueen-j6o
@TrapQueen-j6o Күн бұрын
Kivip
@MeshackMayenga
@MeshackMayenga 6 күн бұрын
Pole sana binti,kazi ya shetani ni kuchinja na kuharibu,lakini pia karama yake kubwa ni kushindwa hadi hatua hiyo kesha shindwa.Naungana wengine wote wanaokuombea maana naombi ya wengi yana nguvu.Mwenyezi Mungu atakuponya na haja ya moyo wako itakamilika.
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@marialivingstone1781
@marialivingstone1781 5 күн бұрын
Mungu atamponya
@halimaally2918
@halimaally2918 4 күн бұрын
Pole Sana mdogo wang
@SalomeNzowa
@SalomeNzowa 2 күн бұрын
Mungu akuponye Binti yetu mzuri usilie Mungu hajawahi shindwa utasimama tena utarudi shule mama Mungu akutie nguvu ya kusimama hongera kwakuwa mama Bora Mungu atamponya hizo ni hila za shetani mti wenye matunda ndio hupigwa mawe
@mamags8828
@mamags8828 6 күн бұрын
Vita ya mzaliwa wa kwanza ni kubwa Mungu atusaidie wazaliwa wa kwanza. Tunakuombea binti mzuri.tutachanga tulicho jaaliwa🙏Mungu atatenda.
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@DIVINEPROMISE-c1n
@DIVINEPROMISE-c1n 5 күн бұрын
Kweli kabisaa wazaliwa wakwanza vita yetu ni kubwa Mungu muweza wa yote aliyetuumba akuponye
@SarafinaJaphet
@SarafinaJaphet 5 күн бұрын
Kweli kabisq
@musachimbah6800
@musachimbah6800 5 күн бұрын
Kweli najiona mimi
@AminaYasser-y6j
@AminaYasser-y6j 4 күн бұрын
Eeeeeh mungu atusaidiee naipitia mm😢😢😢 haswaah wazaliwaa wa kwannza ni tunayapitia kweli
@janelyatuu1135
@janelyatuu1135 7 күн бұрын
Nimejikutaa machozii yananitokaa kwa kasi mungu wewe wajuwaa mponye mtoto huyu mtegemeni mungu kwa kila kitu anawezaa
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@moyojubeki6330
@moyojubeki6330 6 күн бұрын
Kataa neno ugonjwa wangu,mwanangu mungu akufanyie njia pasipo na njia,akutoe kwenye hiii shida, kwajina la Yesu
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 6 күн бұрын
Pole sana binti yangu, Mungu ni muweza, wala sio ugonjwa wako usiupokee,utoke kabisa Damu ya Yesu iliyo mwagika alipo pigwa ikuponye. Mungu akuinulie watu sahii wakukusuport 🙏🏽
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 6 күн бұрын
🙏🏽
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 6 күн бұрын
Soo sad km mzazi machozi yamenitoka Yaah Allah mpe shifaa bint huyu ni mdogo sana ana ndoto kubwa 😢😢
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@everlyne8595
@everlyne8595 Күн бұрын
Dahh ujafa ujaumbikaa jmn wanadam sisi c kitu mbele za mungu. Mungu ulie tuumba wanadam tunaomba msaidie uyu bintiii kwaimanii yetu leila atainukatenaa hili ni jaribu lako mungu tunaomba ulivushe 🙏
@SmilingFuchsiaFlower-jl7dg
@SmilingFuchsiaFlower-jl7dg 6 күн бұрын
Namdogo wangu nae alipokuw chuo cha kilimo dumila alipata ugonjwa adi Leo kapooza upande mmoja n ndoto zake zikiishia nyumbani mungu awatangulie mabinti wadogo km haw bado taif linawaitaji
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@priscajames1467
@priscajames1467 5 күн бұрын
Mama mwenzangu usilie futa machozi,miaka mingi iliyopita nilipata changamoto kubwa,binti yangu akiwa kidato cha tatu,aligundulika kuwa na tundu kwenye Moto,nilichanganyikiwa sana.Tulihangaika Hospital mbali mbali,na kuna wakati tulipewa majibu ya kukatisha tamaa.Lakini tulipambana kumsihi Mungu aingilie kati,na kweli tuliuona wema wake,mtoto alipata ufadhili akapelekwa India kwa matibabu,alirudi akaendelea na masomo yake,akamaliza vizuri,mpaka leo ni mzima wa Afya,nataka tu ujue kuwa,kuna majibu ya madaktari pia kuna majibu ya Mungu,Madaktari wanatibu bali Mungu anaponya,sasa katika hayo mapito unayopitia usiache kumshirikisha na Mungu,kama alivyo tenda kwangu hata kwako atatenda pia.Uwe na Imani tu.
@priscajames1467
@priscajames1467 5 күн бұрын
Tundu kwenye Moyo sio moto.
@victorianchimbi8640
@victorianchimbi8640 5 күн бұрын
Simama ktk kumuamini Mungu hakuna linaloshindikana kwa Mungu, na ukimtafuta kwa bidii ataonekana na ataponywa
@ShukurkollAngel
@ShukurkollAngel 20 сағат бұрын
Pole sana Leyla Mwenyezi Mungu Allah SW Atakuponya. Raia wetu mpendwa ni mwenye huruma sana. Hakika endelea na Subra utarejea kwenye afya yako njema.
@ChikuHamisi-o8p
@ChikuHamisi-o8p 7 күн бұрын
Ni mtazam to lakin muende pia kanisani sometimes binadam hawapendi kuona watoto wawenzie kwakifanikiwa nakuwatoa wazazi wao kwenye shida😢ushirikina is really jaman mkisibiri msaada pia maombi yawe mengi na yesu atakuinua tena dada mzur 🙏
@SangaGroly
@SangaGroly 6 күн бұрын
Mungu atakuamsha utasimama endelea kumuamini
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@ZakiaSwai
@ZakiaSwai 5 күн бұрын
Mama samia mamangu ili lako mama msaidie uyu mtoto wetu jmn jmn naombaaaaaaaaa uuuuuwiiiiiiiiiii uiiiii uwiiiiiiii tanzaniaaaaaaa
@GasparMlay
@GasparMlay 3 күн бұрын
Pole sana mdogo wangu Leila, naomba utafute kanisa lolote la kiroho kwa ajili ya maombi, huo ugonjwa ni mpango wa shetani tu. We amini tu, kwa mamlaka ya jina la YESU utasimama. Mungu anaweza.
@gracapk10
@gracapk10 3 күн бұрын
YESU KRISTO, BWANA WA HURUMA ULIMFUFUA LAZARO, SIKU NNE KABURINI, MPONYE HUYU BINTI, MWINUE ATIMIZE NDOTO ZAKE. KW JINA LA YESU AMEN
@KhairyaKhairya-v6b
@KhairyaKhairya-v6b 6 күн бұрын
😢😢Dunia hii daa pole bint napole mam kwayote mnayopitia bint mdogo aisee hata miaka 25 bado mim nashukuru tuu Anaongea vizr naamin ipo siku atapona Alhamdulillah kwanza nanamuombea kwa ALLAH amponye 🤲🤲
@neykidoti102
@neykidoti102 2 күн бұрын
Nyieee 😢😢😢 wanadamu wana mengi eeh Mungu mponye huyu binti nmeshindwa kimaliza hii interview
@courtesyisaya5615
@courtesyisaya5615 10 сағат бұрын
Pole Sana , Mungu anaweza, natamani angeletwa kwa maombi kanisani kwangu nimeona wagonjwa wengi wakiponywa bore kabisaaaa
@NeemaUrasa-u4y
@NeemaUrasa-u4y 2 күн бұрын
Pole sana ukiwa unasubiri mchango wa kwenda kuwekewa pingili mwambie mama akupeleke Kawe ukaombewe Mungu ataleta njia pasipo na njia fanya hivyo kwa imani utamwona Mungu
@Somoo220
@Somoo220 7 күн бұрын
Pole sana mtoto mzuri utapona tuu na utarudi shule tabasam lako ni ushindi tosha mtoto mzuri
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@nelsonmataba1426
@nelsonmataba1426 6 күн бұрын
Haujafa, haujaumbika Mungu atunusuru na atujalie heri na ulinzi wake vita ni kubwa sana.
@Mamshika
@Mamshika 7 күн бұрын
😭😭😭 hii imeniuma sana nimelia sana
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@colethangwale9175
@colethangwale9175 7 күн бұрын
Damu ya Yesu ikuzingire mwanangu. Upate uponyaji kwa Damu ya Yesu. Mama uwe na imani Yesu mwamba wetu, Mponyaji atamponya. Amen
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@NeemaMwashambwa-s4g
@NeemaMwashambwa-s4g 2 күн бұрын
Usiseme ugonjwa wangu My dear Mungu mwema atakusaidia hakuna mtu aliyeumbwa na magonjwa dunia hii dah😢😢😢
@rukiyamohammed2945
@rukiyamohammed2945 7 күн бұрын
Dah pole sana binti, Allah ni mwingi wa rehma na atakuponya usichoke kumuomba Mwenyezi Mungu kila sekunde kila dakika kila saa. InshaAllah.
@FatumaMwage
@FatumaMwage 7 күн бұрын
hiyo husband lafanyiwa au kijicho
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 6 күн бұрын
Ni kweli Allah ndio kila kitu katika maisha yetu
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@MwanaharusiMkubwa
@MwanaharusiMkubwa 4 күн бұрын
Pole sana kipenzi hakuna linaloshndikana mbele ya mwenyezi mungu kikubwa ni kumuomba mungu na atakusaidia bint yangu... nuru mungu aendelee kukupa ujasili na hakika bint atayashinda majaribu yayomkabili imeniuma sana sana kuona post hii yaan nimeshindwa kujzui nimejikuta natokwa na machozi yaani nimeumia sana sana
@TatuMkeso
@TatuMkeso 6 күн бұрын
Duh nimejikuta nalia,Ewe Allah mpe shifaa hy dada aweze kusimama tena
@GiftAbduly
@GiftAbduly 6 күн бұрын
Duuu eeh Mwezimung mponye huyu bint bado mdogo atimize ndoto zake daaah 😢😢pia hasad jmn hasad weeeeee jmn heee pole utapona inshallah❤ tutajichanga
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@CeciliaRichard-j3d
@CeciliaRichard-j3d 4 күн бұрын
Pepo shindwa mwachie huyu bint kwa jina la yesu 💪💪
@AnnaMhina-p8l
@AnnaMhina-p8l 7 күн бұрын
Dah jaman ee mungu mponye Leila karejeshee tabasamu na ndoto zake jaman dah
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@charitymwema6604
@charitymwema6604 3 күн бұрын
Laia Mungu anaweza kukuponya. Mwambie mama akupeleke kawe wakati pia munatafuta ufadhili. You're a strong young woman my dear
@fredyolle4586
@fredyolle4586 3 күн бұрын
Mungu akufanyie wepesi mdogo wangu..Eee Mwenyezi Mungu tunakuomba umponye binti huyu.Tunakuomba umrejeshe afya yake. Amen
@cosmasmilanzi7117
@cosmasmilanzi7117 7 күн бұрын
LUKA 18:1 "Akawaambia mfano,ya kwamba imewapasa kumwomba Mungu siku zote wala wasikate tamaa.!"
@SalmaSamiry
@SalmaSamiry 6 күн бұрын
Duuh pole sana mdogo wangu Leyla Allah atakufanyia wepesi hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho na utafikia ndoto zako Allah akuponye 😢😢😢😢inauma sana duuh soon utakua sawa Allah humma Ameen
@shanikhalidi8415
@shanikhalidi8415 6 күн бұрын
Mungu atafanya jambo juu yako mtoto mzuri Leila umekuja kwa watananzania Wenye huruma na hofu ya Mungu jua tatizo lako limekwisha
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@NeemaUrasa-u4y
@NeemaUrasa-u4y 2 күн бұрын
Mama nimekusia umeshakwenda kumwonbea binti yako makanisa mbalimbali nakushauri usikate tamaa kwenda kwenye maombi nenda tena na tena acha kulia anza kuamini yote yanawezekana kwake aaminie nakushauri mpeleke binti yako Kawe Utamwona Mungu. Ataleta njia pasipo na njia
@florariwa3475
@florariwa3475 7 күн бұрын
Pole sana Leila Mungu yupo nawe utapona
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@theodorasalvatory7613
@theodorasalvatory7613 7 күн бұрын
Pole sana mdogo wangu Mungu akufanyie wepesi ukapokee uponyaji kwajina la Yesu
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@LuluSuleiman-w3j
@LuluSuleiman-w3j 6 күн бұрын
Pole sana Leyla, nimetokwa sana machozi, lakini usikate tamaa, muombe sana ongea na Mungu kimoyomoyo, mwambie Mungu wewe ndo uliniumba, na haya maradhi umenipa wewe, naamini haya maradhi hakuna mtu anayeweza kuyaondoa katika mwili zaidi yako wewe, omba kila siku, Mungu atakusikia na utapona mwanangu.
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@sandejacob623
@sandejacob623 Күн бұрын
Mungu akuponye ndugu yangu, ningekuwa Kama Elia ningekuponya tu bure Ila tunaamini Mungu yupo akusaidie upone.
@NorahKagemulo
@NorahKagemulo Күн бұрын
Mama yetu Mheshimiwa Samia suluhu Hassan Kwa mara nyingine msaidie huyu Binti na Mungu akuwezeshe,Amina
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 6 күн бұрын
Pole sana binti MUNGU atafanya wepes upate mdhamini wa matibabu na kwa neema ya Mwenyezi MUNGU atafanya njia poleni sana mama 😍
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@هبهالثيوبيه
@هبهالثيوبيه Күн бұрын
Pole sana kipenz usikut unaangaik ivy kote kumbe kuna mtu ujamkosea chocht ila bx tu kaon afany uwe na hali iyo Usikat tamaa kumuomb mungu vipim vyot iy kumbe mkon wa mt pole kipenz ipo sik mungu atafny weps utapon
@asiastive3364
@asiastive3364 12 сағат бұрын
May God see you through and give you health and quickly healing my sister ❤
@sharifaaliy1519
@sharifaaliy1519 3 күн бұрын
Allah atakupa ahuweni utarudi kwenye ndoto zako ulokusudia lnshallah hakuna lisilo wenzekana yeye ndo kila kitu kwetu usikate tamaa utanyanyuka lmara never big up my cute girl love ❤❤❤🎉
@bellaseverua609
@bellaseverua609 Күн бұрын
Mungu mrehemu huyu bint na mdogo wake wapone wawe na maisha duniani
@MaryGoldence
@MaryGoldence 6 күн бұрын
Daah MUNGU akuponye binti mzuri❤ jitahidini sana kumpeleka kwenye Maombi Mama Angu,Na Raisi Wetu Mama Samia tunaomba Msaada Juu ya Huyu Binti jamani bado ana Imani kubwa ndani ake na ndoto Yakufika Mbali😭😭Mugu Wasaidie sana Wazaliwa wa Kwanza Wanavita sana🙌
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 7 күн бұрын
Uzao wa kwanza ni vita tusiachee kuomba jamaanii Mungu tusaidie🙏
@noelbryson7840
@noelbryson7840 7 күн бұрын
Nakubaliana na wewe mtumishi wa Mungu! Silaha yetu ni maombi bila kukoma..
@helinahenry2363
@helinahenry2363 7 күн бұрын
Kabisa, siku zote shetani anapenda kuharibu wa kwanza maana anajua atakuja kuheshimisha familia yake. Waendelee na maombi pia, wamuaibishe shetani
@hadijaismail3619
@hadijaismail3619 7 күн бұрын
​@@helinahenry2363ndugu yangu wee acha tu,cmalizi wk mm lazima nifanywe maombi kwa familia yangu hasa watoto Mungu awaepushe na mabalaa ya maradhi na majanga mbalimbali
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@happinessmwisse1152
@happinessmwisse1152 3 күн бұрын
Jamani pole Sana mwanangu Mungu hata kuacha ,,,,Amina
@GloryMahuna-kz3rg
@GloryMahuna-kz3rg 6 күн бұрын
Mtwike Yesu Kristo hiyo fadhaa. Yeye anajishughulisha sana na mambo yetu. Nakuombea uzima katika jina la Yesu Kristo
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@janelyatuu1135
@janelyatuu1135 7 күн бұрын
Pole sana mtoto mzuri mungu ni mwuaminifu atakuponyaa usikate tamaa kila Jambo linawezekana kwa mungu
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@FatumaSuleiman-ti7vq
@FatumaSuleiman-ti7vq Күн бұрын
AĹLAH AKUPONYE.MAMA SAMIA WATANZANIA MSAIDIENI HUYU MTOTO USILIE MWANANGU ALLAH ATAKUPONYA. UTANYANYUKA INSHAALLAH. POLE MTOTO WANGU MZURI.
@zaituniomary9946
@zaituniomary9946 6 күн бұрын
Pole sana dada angu pole sana Binti yangu naamini M/Mungu yupo naamini utasimama Tena.
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@ismail-vf4zw
@ismail-vf4zw 18 сағат бұрын
Mimi ni mwanaume, lakini nimeshindwa kuvumilia Kwa hili analopitia mdogo wangu Leyla, ngoja nichanjiea hata kidogo nilicho, ee mungu msaidie mwenzetu, 🙏🙏🙏
@ilankundakamenya3171
@ilankundakamenya3171 7 күн бұрын
Pole sana Dada ...nenda na kwenye maombi utapona ...kuna magonjwa mengine niya sirini sana.
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 6 күн бұрын
Pole sana Mama Leila, pole sana Leila Mwenyezi Mungu yuko jirani na wewe anakuona na anakusikia na kwa uwezo wake hakika utapona, Mwenyezi Mungu Mkubwa na nimjuzi wa Kila kitu. Amina
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@BridgetNgeiyamu
@BridgetNgeiyamu 6 күн бұрын
Pole Sana Leila na mama , Mungu asimame katika changamoto hii. Maombi ni silaa, ninakuombea Mungu afungue milango uweze kupona. Nimependa binti anavyojieleza, si rahisi kujua kua ni mgonjwa. Nitatuma kidogo kwa ajili ya sabuni
@antiagaspary9208
@antiagaspary9208 9 сағат бұрын
Mungu ashushe uponyaji juu yako kwani hajawahi shindwa na lolote🙏🙏
@victorianganyagwa2467
@victorianganyagwa2467 7 күн бұрын
Eee Mwenyew MUNGU nisamehe me kwa kukufuru kila mda ninapopatwa na Tatizo. pole Leila Yesu akupne 😢
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@Patriotism-x3v
@Patriotism-x3v Күн бұрын
Pole Leila, MUNGU akujalie uzima❤
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 7 күн бұрын
Yesu akuponye binti mzuri. Kila aliyemtakia heri akitoa chochote itapendeza
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@hiki242
@hiki242 2 күн бұрын
Duh pole sana family pole binti Insha'Allah Allah yupo pamoja nawe Insha'Allah utapona kwa uwezo wake
@luckyongiri4521
@luckyongiri4521 5 күн бұрын
Poleee sana kipenzi changu, Mungu ni muweza wa yote🙏🏻
@nitwelesimon4303
@nitwelesimon4303 7 күн бұрын
Pole Sana Dada, Nenda Kanisa la kiroho Uombewe ni swala la kuvamiwa. Kiroho
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@neemabright3635
@neemabright3635 7 күн бұрын
duh pole mdogo wangu ... God is Good and able akuponye urudi shule jamani 😢😢 dah
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@annabashasha1409
@annabashasha1409 Күн бұрын
Nimehisi kuumia sana,Mungu wangu ninayekuamini mponye mtoto huyu Mimi ni mama nahisi uchungu sana,, viongozi wa Nchi yetu ya Tanzania tunaomba msaidieni huyu binti wachungaji muombeeni huyu binti naamini atapona
@janechengula2833
@janechengula2833 6 күн бұрын
Pole sana Mungu akuponye mwanangu
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@josephvenus3259
@josephvenus3259 6 күн бұрын
Poleni sana mama Leila. Tunawaombea sana Mungu ayakumbuke machozi ya sadaka yako. Hata sasa Mungu ni mwema sana kwenu.
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@bettymirama4061
@bettymirama4061 Күн бұрын
Mungu nakuomba tafadhali Baba yangu, mponye Binti Leila.
@Tatty-u8p
@Tatty-u8p 4 күн бұрын
Mungu akuponye mtoto mzuri utimize ndoto zako uje uisadie jamii unakitu ndani yako wewe mmoja tuu ni zaidi ya madaktari mia moja .
@tupokengwala2027
@tupokengwala2027 3 күн бұрын
Pole sana mwanangu.Bwana Yesu akuponye. Endelea kujipa moyo mkuu.
@Halimagungwa-p6u
@Halimagungwa-p6u Күн бұрын
Pole Sana Dada mungu atukfnyie wepesi
@sheilalolila2233
@sheilalolila2233 Күн бұрын
Pole sana binti mnzuri Allah akupa uponaje wa haraka inshallah
@Godbless-o6c
@Godbless-o6c 17 сағат бұрын
Mungu ni mkuu sana usiogope binti
@debrahmlay
@debrahmlay 5 күн бұрын
Huyo ni pepo anachezea na afya yako dada .. ww kimbilia kwa YESU huko ndiko majibu yako yalipo 🙏🙏
@praisesteven7774
@praisesteven7774 7 күн бұрын
mim nimesikiaaa vzur saan maelezooo nikichoelewaaaaa mtto alipoonaaa dalil zote alifichaaa 😩😩nazan angewaaaah tb isingekulaaa Uti wa mgongooo mabint wen zangu ukionaaa dalili zozote kua muwaziiii wahi hosptal pole mtot mzur Mungu akusaidieeeee 🥹🥹🥹
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@Deedee88110
@Deedee88110 6 күн бұрын
Pole sana ndugu, Mungu amekusikia na atakunyanyua.
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@DaheerK
@DaheerK 6 күн бұрын
Jamn sina. Lakuongea mm niseme tu mungu asant kuna wenzetu wanapitia mambo magumu katika maisha yetu utapona mwanangu
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@philipinamchomvu4826
@philipinamchomvu4826 2 күн бұрын
Mungu mwenyenzi ampe uponyaji binti huyu🙏
@yohanamollel1565
@yohanamollel1565 7 күн бұрын
Pole mama naami mkono wa mungu sio mbali usiweze kumponya sasa binti wako omba bila kuchoka mama
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@MaryamKhamisi-d7f
@MaryamKhamisi-d7f 7 күн бұрын
Kama hujafa hujaumbika. Mungu tupe afya njema na umponjee huyu dada arud kwenye hal yake ya kawaid😢
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@AnatoriaRwabatwa
@AnatoriaRwabatwa Күн бұрын
Poleni sana mwanangu Mungu atakuponya
@rahelgeleta4043
@rahelgeleta4043 Күн бұрын
Pole sana Mungu anakupenda utanyanyuka tu ni kitambo na ndoto yako lazima itimie.
@maufoung
@maufoung 5 күн бұрын
Asante global,Muendelee kutuletea video nzuri zaidi kutujaza imani na kutofanya tutoe.
@Husna-x1d
@Husna-x1d 6 күн бұрын
Pole mdogo wangu allah akufanyie wepesi upone urudi shule upate kutimiza ndoto zako
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@janethsalutary8991
@janethsalutary8991 6 күн бұрын
Mungu wa Mbinguni akuponye mrembo. Shetani ameshindwa🥹
@MushimbeiMushimbei-r4v
@MushimbeiMushimbei-r4v 5 күн бұрын
Mungu ni mwema kila wakati tusikate tamaa na tusichoke kuomba 😢😢
@FayzFayçal
@FayzFayçal 6 күн бұрын
Allah atakuponya kwa utukufu wake , Yaaaah Rabbi yaaaah Rabbi yaaaah Rabbi wewe ndo muweza wakilajambo utukufu ni wako ya Rabbi mjaliy shiffa ya haraka binti huyu ya Rabbi tuko mwezi mtukufu tunaokuomba ya Rabbi tukumbaliy dua zetu na piya umponye bint huyu wewe ndio daktar usio shindwa nakitu yaaaah Rabbi.
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@anoldamkumba3208
@anoldamkumba3208 7 күн бұрын
Pole sana,Usikate tamaa Mungu yuponawe Mwamini yeye Atakuponya.
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@devotafrances1876
@devotafrances1876 6 күн бұрын
Pole Sana binti yupo Mungu asiyeshindwa Amini kwa jina la Yesu kristo utapona kwa damu ya Yesu wewe ni mzima hata sasa hautakufa bali utaishi
@AlphaIssaya
@AlphaIssaya 3 күн бұрын
Nimeumia sana pole sana leyla Mwenyezi Mungu atakuinua tena
@LydiaKibona-zn1px
@LydiaKibona-zn1px 2 күн бұрын
Nimelia sana Tena sana,mungu akuponye Leila kwa jina la yesu
@SafiaOmar
@SafiaOmar 6 күн бұрын
Pole Sana Allah atajaalia utapona Biidhnillah. Wewe ni Muislam tafuta ma sheikh wazuri wakufanyie Ruqya. Mfano Sheikh Kondo Tabata
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@batilda4920
@batilda4920 3 күн бұрын
Pole Sana Leila mwenyezi Mungu atakuponya utapona.
@zuwenaMiraji-zy5fq
@zuwenaMiraji-zy5fq 6 күн бұрын
InshaAAAALLAH UTAPONA MWENYEZIMUNGU NI MKUBWA😢😢😢😢❤❤❤,USIJALI KPENZ,INSHAAALLAH
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@matronmkenda3510
@matronmkenda3510 Күн бұрын
Mungu wangu jaman kuna mtoto mwaka jana alipatwa na hiyo hali chumba cha mtihan hakuweza kufanya mtihan Mungu akuponye jaman inaumiza sana tusiache kuombea watoto wetu
@ronjickmelita
@ronjickmelita 7 күн бұрын
Mtegemee sana mungu utapona Leyla pole sana
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
NAMBA ZA MAMA MZAZI: 0679282278 au 0756809334 NURU SALEHE JUMBE
@christinamtey9816
@christinamtey9816 3 күн бұрын
Pole sana binti Mungu atakuponya
@GraceJohnson-f8y
@GraceJohnson-f8y 6 күн бұрын
Pole sana dadangu Mungu akuponye na kukufungua uskate tamaa Iko siku Mungu atayafuta machozi yako
@seneu.2128
@seneu.2128 3 күн бұрын
Leyla wewe ni genius kweli na Mungu atakusaidia na utashinda jaribu hili na kurudi kuwa imara.
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
M23 waandaa mkutano Goma
8:44
BBC News Swahili
Рет қаралды 23 М.
KICHWA BOX
8:54
Joti TV
Рет қаралды 5 М.
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41