Sasa huon ka.a wao wanahonga ili kupata matokeo rahis..tunawambia Kila siku GSM kudhamin team nyingi kunakosa ushindan halis hamsikii mnalalamika nn saiz
@trustcosta952511 күн бұрын
Shida ya yanga ni kununua mechi ndo mana wanacheza dakika 25
@HamisiKayala11 күн бұрын
Ni sahihi mazungumzo yako
@meshackmihayo748011 күн бұрын
Kumfukuza Gamondi ndio lilikua kosa kubwa
@DoryGeorge11 күн бұрын
Jaman nyie mnao sema nane hamjui hesabu nitim 9 simba mbn mnaisahau gsm kiboko yao
@RidhwanfakiRifa202011 күн бұрын
Kwani kusema dhaifu ndio nn? Kinachowaumiza nyie ni kuelezwa ukweli maneno hayabadilishi maana yyte acheni ujinga wakati mumeshafuta zamani huo ujinga kwani kusema dhaifu kinakupunfuzieni nn ?? Acheni uswahili na kujiona wajuwaji Sana .
@bernardmboma146111 күн бұрын
Hii yanga yitashuka viwango vya cuf hadi nafasi ya 20.maana mashabiki wa yanga wanaona mpira nikumiliki tu. Mpira wa club bingwa nihesabu akiri nyingi kuliko kumiliki😂😂
Sasa kama kigezo ndohiko vipi yule mkubwa mwezao ambae anafanyavizuri huko cafe mbona anapakatwa na Yanga kila siku?????
@OscarTimotheo11 күн бұрын
Malefa basha
@Kiva161011 күн бұрын
Mechi iliyopita hukuiona 😂😂😂
@SaumuSaidi-z2v11 күн бұрын
Bahasha za gsm na injinia na supu ya mchongo
@VentureMbilima8 күн бұрын
Mliifunga simba kwa uhalisia lini...karudie ya kayoko utaelewa yanga kuifunga simba mpka ifanyike siasa yanga ni tim ya kawaida tatizo wanayanga uelewa akilin mwao ni mdogo sana
@bernardmboma146111 күн бұрын
Nyinyi kimbienikimbieni tu kama nyumba eti ndo mpira. Bc arsenal angekuwa bingwa wa UEFA mara kibao. Gusa achiaa twende makumbusho 😂😂
@bernardmboma146110 күн бұрын
Simba yitabaki kuwa yakimataifa tu nyinyi endeleeni kununua vilabu tuonane mtafika wp ndo maana club bingwa munafeli kule huwezi nunua marefa zinafanyikiwa timu top 10 tu upooo 😂😂😂
@SaumuSaidi-z2v11 күн бұрын
Gamboni alikuwa anaficha sili,gsm na njinia wanaharibu mpila wanahonga pesa ili point wachukue
@bernardmboma146111 күн бұрын
Yanga mbovu ndo maana club hawezi kufika mbali . Hapa yanga anafanyikiwa kwasababu tajiri wao kanunua vilabu 8 ili aokote point kiraisi. Kama yanga ni timu nzuri kwann club bingwa anachungulia tu kwenye makundi? Marefa wa cuf sio wa TFF 😂😂
@ototek803711 күн бұрын
Sio timu 8 zipo 9. Simba unaiachaje wakati inachangia point 6 na magoli 7