Dah usimuone tu Niffer tu kafanikiwa? Asimulia stori yake hapa! Utatoka machozi! Kuuza Mitumba,

  Рет қаралды 51,553

LilOmmyTV

LilOmmyTV

Күн бұрын

Пікірлер: 117
@natashasuleiman962
@natashasuleiman962 Жыл бұрын
Role model wngu 💯💯 go go girl babygirl❤️ proud of u Niffer🥰
@StephenWambua-qz1bb
@StephenWambua-qz1bb Жыл бұрын
Am so proud of her,yaani kila kitu anasema,she ahad to focuse on,,
@pendojeremiah1023
@pendojeremiah1023 Жыл бұрын
I love you Niffer,I’m Christian but I like your 🧠 ❤
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official Жыл бұрын
She's amazing, Bk moja hakutokagi mjinga
@IsHenryTz
@IsHenryTz Жыл бұрын
Real talk than but humble plus hustle
@christinachazy8644
@christinachazy8644 Жыл бұрын
Wew mzuri niffer acha Mungu akubaliki zaidi sio binadamu
@mujibumuskula1786
@mujibumuskula1786 Жыл бұрын
Mungu akujalie, upo kama dada yangu Mwanaisha unajiamini💪💪💪
@rahymaaa4357
@rahymaaa4357 Жыл бұрын
Apa kizungu tutakijua tu sio Kwa point izo niffer❤
@swariotibi6134
@swariotibi6134 Жыл бұрын
Mashaallah nimejifuza mengi dd asante
@DeusdeditByebalilo
@DeusdeditByebalilo 6 ай бұрын
Thank Niffer. its motivating story
@NeemaGrace123
@NeemaGrace123 Жыл бұрын
Her natural beauty is everything ❤
@esterdoriye8377
@esterdoriye8377 Жыл бұрын
Namkubali Niffer Tuletee shilole amefanyiwa interview sana ila hachoshi
@aznatfrida5577
@aznatfrida5577 Жыл бұрын
Gogoooo gooooo girl, keep t up
@fatumadiriye6162
@fatumadiriye6162 Жыл бұрын
Well done niffer.
@Nyaboke-123
@Nyaboke-123 2 ай бұрын
Du. Filters za usoni zinasaidia sana
@martharugwana2130
@martharugwana2130 2 ай бұрын
I Love u Niffer♥️♥️💕🔥
@farajamlonganile2601
@farajamlonganile2601 Жыл бұрын
Dada mpambanaji hongera sana❤
@MarthaGoodwin-t4m
@MarthaGoodwin-t4m Жыл бұрын
Proud of her always pamoja ni mwana Yanga
@chany9950
@chany9950 Жыл бұрын
Niffer una akiri mno👍🏽👍🏽👍🏽😘😘😘
@carolinejosephmnyaga8869
@carolinejosephmnyaga8869 Жыл бұрын
Good work.
@SikuKimaro
@SikuKimaro Жыл бұрын
Very Smart lady, hongera kwake sana sana ...
@bbsahl1242
@bbsahl1242 Жыл бұрын
Haniffa nakukubali sana kila sku nakuangalia na kukubali umepambana sana siwez amini umejitoa sana zidi kupambana na jitahid kuwa karbu na Alwa
@annethelias4351
@annethelias4351 Жыл бұрын
Niffer una akili sana... Kuna kitu nimekipata kwako hongera sana
@SalimRashid-cq2pi
@SalimRashid-cq2pi Жыл бұрын
Mashallah mdada mzuri
@TenglosNaaj
@TenglosNaaj 9 ай бұрын
Mtaji w masikini n nguvu zak, Big up san
@shaanaseeb9423
@shaanaseeb9423 Жыл бұрын
Mashaalah 😍
@gloryatv1779
@gloryatv1779 7 ай бұрын
Nimemuelewa sana
@swariotibi6134
@swariotibi6134 Жыл бұрын
Nikweli kabisa🎉🎉
@OrgenessMassawe
@OrgenessMassawe 10 ай бұрын
Good
@mgenikheri8006
@mgenikheri8006 Жыл бұрын
Very smart
@issatwaha2768
@issatwaha2768 Жыл бұрын
Nakupenda
@DamianAlphonce-ju4qw
@DamianAlphonce-ju4qw Жыл бұрын
Keep on sister,you wanna be someone special in this world,promise you 🙏
@iddiali6982
@iddiali6982 Жыл бұрын
❤❤❤So smart
@broka_genius3615
@broka_genius3615 Жыл бұрын
Hizi story bhana jaribu ushangazwe
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 Жыл бұрын
😂
@edrickniwamanya5665
@edrickniwamanya5665 4 ай бұрын
😅😅😅😅😅kmmmk
@charlesmasele8454
@charlesmasele8454 Жыл бұрын
The #MVP
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Nifffe nakupenda
@fadhiliradjab4860
@fadhiliradjab4860 Жыл бұрын
Think about insurance
@ZubedaMaulid
@ZubedaMaulid Жыл бұрын
Wow it's amazing interview,I get something that can push me forward
@sayeedfellah4706
@sayeedfellah4706 Жыл бұрын
Niffer keep it up we love from kenya 🇰🇪 👏
@Incrediblejona
@Incrediblejona 8 ай бұрын
Beautiful inside out
@mujunvicta6379
@mujunvicta6379 Жыл бұрын
Bukoba kwetu Kagera moja
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 Жыл бұрын
Mungu mkubwa watu wanao kussema awakujuwi
@JollyVicent
@JollyVicent 3 ай бұрын
Na swali mmoja kwako natamani siku mmoja utuambie garama Na namna umefungua chanell yako ya interview kuna wengine tunatamani kuanzia hapo na kufika juu zaidi na zaidi
@azizasleyman1670
@azizasleyman1670 2 ай бұрын
Unahojiwa tanzania na ww ni mtanzania mbona mnashoboka na lunga za watu sanaa.haipendez.unatakiwa uwongee kiswahili.ovyooo
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 Жыл бұрын
😢pole walikupiga treadmill ni laki 2-3 china
@aznatfrida5577
@aznatfrida5577 Жыл бұрын
Woooooooow wooooòw
@lareineminah1353
@lareineminah1353 Жыл бұрын
Uki amuwa ku vaa stara va kisawasawa Mungu aendeleye kukusimamiya😘
@MtanzaniaTz-d2c
@MtanzaniaTz-d2c 10 ай бұрын
I. Na me muuzaji wa vpoz nilifukuzwa kama ww iwish unisapot ni move on like u
@mbwawafillingstation
@mbwawafillingstation 7 ай бұрын
Kiswahili basi unawaelezea watu tofautitofauti tushajua umesoma mamii
@elizamichael8073
@elizamichael8073 Жыл бұрын
Kwani hiii interview inafanyika ulaya mbn kizungu sn
@sunrisekitchen1
@sunrisekitchen1 Жыл бұрын
Niffer ni mmoja tu
@AbdulSalim-wu8wo
@AbdulSalim-wu8wo Жыл бұрын
Ingia sasa ndio uone😭😭😭
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 5 ай бұрын
Real ommy unakitu, coz lilommy ni mwana sana lakin cjaona akitoboa pua, akivaa hereni.
@scollantandu2350
@scollantandu2350 Жыл бұрын
Naipenda story yako lakini kingereza kingiiiii, ila hongera tu
@bbsahl1242
@bbsahl1242 Жыл бұрын
Nikija dar nataman nifike dukan kwako lkn sijui lipo wapi nifahamishe
@nancymdemeka1876
@nancymdemeka1876 Жыл бұрын
Mwananyamala A
@rizoibrahimovich605
@rizoibrahimovich605 Жыл бұрын
Wadada WA bongo Kwa kubuni umri WA Miaka Yao hawajambo,but mashaaala ila mupunguze kudanganya Miaka yenu please
@mwanaidhamad8720
@mwanaidhamad8720 Жыл бұрын
Haya unaejua umri wake sasa ila binadamu bwana unataka akudanganye ndo uujue ukweli
@hamed_nassoro
@hamed_nassoro Жыл бұрын
Hajadanganya umri huyo, tumekua nae since mdogo na kweli ana 24 yrs
@davidkashaga7
@davidkashaga7 Жыл бұрын
dada we waaajab kwa ulicho comment au umeenda age ww😂
@madinamahuba
@madinamahuba Жыл бұрын
Kisura ukimuangalia nizaidi ya 24
@joyousjackson8352
@joyousjackson8352 Жыл бұрын
@@madinamahuba nikwel yuko na hyo miaka
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 Жыл бұрын
Kuna mtu nyuma yke anaye msapoti
@chany9950
@chany9950 Жыл бұрын
Yes👍🏽
@hopedaniel7360
@hopedaniel7360 Жыл бұрын
Anakitu ndo mana mtu yyte anaweza kumsapoti coz anajua she can do it
@nancymdemeka1876
@nancymdemeka1876 Жыл бұрын
@@hopedaniel7360 sure kabsa
@edrickniwamanya5665
@edrickniwamanya5665 4 ай бұрын
Wewe Huna mtu nyuma?
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 4 ай бұрын
@@edrickniwamanya5665yupo babayako
@mtaakwamtaa4425
@mtaakwamtaa4425 Жыл бұрын
Home boy najivumia sana kuwa na mnyamwezi mwenzangu pande za usafini na kila kona maana umetokambali hadi hapo ulipofika tangu CG fm
@wazirijunior3343
@wazirijunior3343 Жыл бұрын
No cyo CG FM alikuwa VOT FM ya rage
@jareengeorge5478
@jareengeorge5478 Жыл бұрын
Kwani omy wcb aliondoka
@mwanaherhussani7425
@mwanaherhussani7425 Жыл бұрын
Sasa we so mtoto no jitu zima mbona
@ShadiahAtwasi
@ShadiahAtwasi Жыл бұрын
N mbona huyu dada amekomaa uso hivyo alafu anasema anamiaka 24 khaaa😂😂😂😂
@pendojeremiah1023
@pendojeremiah1023 Жыл бұрын
Me Nina miaka 25 ila ukiniona utadhani Nina 30 so ni Kweli asemacho
@joyousjackson8352
@joyousjackson8352 Жыл бұрын
@@pendojeremiah1023 watoto wa sku hzi japo nkwel nmiaka yake sio mkubwa mm namfaham ila wanakomazwa mambo ya kikubwa mapema
@kibibisafi3331
@kibibisafi3331 Жыл бұрын
Mbona kama 30-32 ivo Wa bongo wanapenda miaka 24😂
@Heisdivan
@Heisdivan Жыл бұрын
GONGA LIKE TWENDE SAWA🎉
@josephinemosha5234
@josephinemosha5234 Жыл бұрын
Hivi niffer kafanikiwa? Duhhh nchi ngum san hii
@sifatiiman
@sifatiiman Жыл бұрын
😁😁😁😁😁🤔bongo mtu ukitrend tu tayari umefanikiwa🤣🤣🤣🤣
@priscamwabulanga5294
@priscamwabulanga5294 Жыл бұрын
Mafanikio ni subjective, wewe unaweza kuona sio mafanikio kutokana na utofauti wa vision zako ila kwa wengine wanamuona amefanikiwa coz hawajafika alipofika. Kwahiyo kuwa positive mpongeze na wewe utapongezwa katika yako
@georgerichard4902
@georgerichard4902 Жыл бұрын
@@priscamwabulanga5294 bora hata umemjibu vizuri mie ningemuwakia aisee sipendagi watu wasio apriciate moves za wenzao its not fair at all
@fatumakiwera7145
@fatumakiwera7145 Жыл бұрын
@@priscamwabulanga5294 upo na akili kubwa
@irenekarume1470
@irenekarume1470 Жыл бұрын
Amefanikiwaaa kuwa na watyu wanaomuamini na kusimama nae kwakila Hali hayo nayo ni mafanikio na sidhan khama hela aliyonayo we unayooo kafanikiwa alivokua zaman so sawa na saivi unatakiwa support na khama hutaki ungeachaa tyu usicomment
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 Жыл бұрын
Miaka 24ni mtu mzima huwez kusema mtoto wa miaka 24 sasa ulibadilisha kusema mwanamke nn 😅 kawaida niffer we ni mwanamke hatakama hujazaa bado
@sifatiiman
@sifatiiman Жыл бұрын
anapenda kujiita mtoto sijui utoto gan? alionao🙄🙄 na hilo li mwili
@joycenicodemus.2232
@joycenicodemus.2232 Жыл бұрын
@@sifatiiman hawataki kukua mbona Kama vile ana miaka 30?
@mwanaherhussani7425
@mwanaherhussani7425 Жыл бұрын
​@@sifatiiman simpendi huyu mdada me Kwa misifaa
@mwanaherhussani7425
@mwanaherhussani7425 Жыл бұрын
​@@joycenicodemus.2232 Jitu zima tu mbona
@sifatiiman
@sifatiiman Жыл бұрын
@@mwanaherhussani7425 😂😂😂😂umeona kila mara anapenda sana kujiita mtoto kwa utoto gan sasa
@estherminnahboaz6956
@estherminnahboaz6956 8 ай бұрын
Sasa hivi anauza tako tu asitudanganye ana hasooo😂😂😂😂😂
@EricTrillz
@EricTrillz 7 ай бұрын
wivuuuuuu mbaya😮😮😮
@mmn7480
@mmn7480 Жыл бұрын
intevw ya kinyama
@oneclick2023
@oneclick2023 Жыл бұрын
Civics, 🫱GS -General Studies,🫱DS -Development Studies tukae humo 🫴.
@NdigwakoMwasamengo-ro5hy
@NdigwakoMwasamengo-ro5hy Жыл бұрын
😂😂
@JacquelineMayowa-th3dm
@JacquelineMayowa-th3dm 10 ай бұрын
Namsaidia anayejisaidia naomba hayo maandiko yako kitabu kipi katika biblia
@Babygirl758
@Babygirl758 9 ай бұрын
Kumbe kana akili nyingi haka katoto, japo nimekazidi mwaka mmoja lakini kana maarifa
Robert Greene: How To Seduce Anyone, Build Confidence & Become Powerful | E232
1:54:48
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
Cook with Wema Sepetu - S07E03 Niffer
8:04
Wema Sepetu
Рет қаралды 79 М.
PODCAST Borak Dalam Galley EP 72 feat Datin Arianie
2:11:00
Zarul Umbrella
Рет қаралды 48 М.
BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI
12:39
Kelvin Kibenje
Рет қаралды 103 М.