Рет қаралды 151
Utoaji wa chakula kwa Wanafunzi wawapo Shuleni umesaidia kuboresha hali ya lishe , ufauluwa wanafunzi na kupunguza utoro wa Wanafunzi Shuleni, Halmashauri ya Wilaya yaChunya imeendelea kusimamia suala hilo na kuhakikisha wanafunzi wote wanapata chakula Shuleni.