Рет қаралды 141
Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mhe. Mbaraka Alhaj Betenga amesema kuwa kwa awamu hii ya pili ya uchunguzi na matibabu ya mtoto wa Jicho matarajio ni kuhudumia zaidi ya wagonjwa 500 ambao wanatoka katika maeneo tofauti tofauti ya Wilaya ya Chunya kwaajili ya kupata huduma ya matibabu ambayo yanatolewa bure na Madaktari bingwa katika Hospitali ya Wilaya ya Chunya kwa muda wa siku 5