LISSAH WA JUA KALI AFUNGUKA NIPO KWENYE PENZI JIPYA LENYE AMANI/LAMATA KANIBADILISHA KIMAISHA/MAGARI

  Рет қаралды 53,591

Carrymastory

Carrymastory

Күн бұрын

Пікірлер: 96
@EuniceJoseph-ol5us
@EuniceJoseph-ol5us 18 күн бұрын
Ila mimi naona Eva anapendeza sana akiwa nature kuliko kuvaa mawingi😊
@UsuiliMilangitoni-gm.c
@UsuiliMilangitoni-gm.c 26 күн бұрын
Sisi wa Nyumbani tunakujua ASIA TARIMO, Hongera class mate kwa kazi nzuri 🎉🎉
@jamilayona6770
@jamilayona6770 21 күн бұрын
Hongera sana lisah mungu akvangulie katika kaz zako ,ila me nakujua kama sia tarimo tumesoma wote mpka form 4' mungu akutie nguvu uzidi kufanya vizur zaidi.
@uiptv365
@uiptv365 20 күн бұрын
I like her personality, yaani character ya Mahi wangu Eva inamfaa sana na anaitendea haki 💯💯❤️🙌🏽
@SyliviaMbuya
@SyliviaMbuya 27 күн бұрын
Huyu dada anafanana na Saraphina, yule mwanamuziki Ninamfananisha japo siyo sana, Nakupenda Mahi wangu Heva❤❤❤
@MulumbaJane
@MulumbaJane 27 күн бұрын
Eva we love you soo much here abroad
@henrykhonde1656
@henrykhonde1656 21 күн бұрын
More love from Kenya 🇰🇪elimu nzuri san ya vvu big up kwa lamata
@user-hb3su1ec3p
@user-hb3su1ec3p 27 күн бұрын
Eva kama Eva nakupenda sana
@user-db1fb7ob8b
@user-db1fb7ob8b 26 күн бұрын
Kumbe vituko na busara ni uhalisia wako ❤❤ yaani vile vilee navokuona ukiwa na mahi wako
@upendojohnson1106
@upendojohnson1106 20 күн бұрын
Anafanana na Lulu sasa havi, ka mekap kamekaa vizuri, umekuwa mdada hata majibu yako yanaonyesha umekuwa mdada hongera unafanya vizuri sana kwenye jua kali EVA wa BILL.😅
@niyonsabasaada234
@niyonsabasaada234 27 күн бұрын
Mungu akup maisha marefu mahi wang nakupenda sana sana sana Eva Wang eke Ay lisa
@user-um8lt3vx3u
@user-um8lt3vx3u 27 күн бұрын
kilweli dada umeni furahisha kwenye kauli yakusema waumia kuona mtoto walelewa bila baba yani nakuunga mkono dadangu mm yaniumiza iyo ktu ww
@meryorotha671
@meryorotha671 19 күн бұрын
Nakupenda San Lissa mungu azidi kukuinua na hongera San kwaunachokifanya
@user-xc8gm7vv1x
@user-xc8gm7vv1x 24 күн бұрын
Kiukweli we bidada nakupenda bure❤❤❤❤❤
@user-gk3sy9lu3t
@user-gk3sy9lu3t 27 күн бұрын
Nakupenda tu ulivyo❤
@yasintamwinuka7150
@yasintamwinuka7150 27 күн бұрын
Nakupenda sana eva
@ashamahadi5281
@ashamahadi5281 27 күн бұрын
Pole hata Mimi nilipitia maisha ya kuhama kuhama na nilisema kama unacyosema mwanangu Lisa sintapenda wanangu wapitie makuzi niliyopitia mimi kikubwa kuwa na msimamo jitume hofu ya Mungu na hofu ya maisha na Leo naitwa bibi na nilivuka, history huwezi kusahau lakini jitahidi kusamehe, fanya kama ulikuwa darasani wamekufunza mengi.
@IrakozeAssia
@IrakozeAssia 27 күн бұрын
Upo kam mim kbx😢😢
@mariamisack_hardcore2010
@mariamisack_hardcore2010 25 күн бұрын
❤❤
@neemamwakasape1630
@neemamwakasape1630 22 күн бұрын
Mm sisemi😂😂😂
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 23 күн бұрын
Eva kama eva nakupenda sana dadangu ❤❤❤❤❤
@MohamediKalanje
@MohamediKalanje 27 күн бұрын
Et Lisa achafua hali ya hewa 😂 sema kichwa cha habari cha moto sana ukiona hvyo basi ujuwe kabsa hali ya hewa imechafuka kabsa 😂😂all in all nchedange nakupenda sana
@FilbertAmon-ni6eb
@FilbertAmon-ni6eb 7 күн бұрын
jaman mwambieni lamata atuluxhie jukali ya kuazia tarehe 28 wa 8 jaman
@user-mr7bc7tx6r
@user-mr7bc7tx6r 27 күн бұрын
Ila muoane mnapendezana sana mimi kipande chenu nakipenda sana
@esterMahenge
@esterMahenge 20 күн бұрын
Duuu hapo kwa upande wa mtoto kaongea point sanaa👏👏
@hariethsamwel8948
@hariethsamwel8948 27 күн бұрын
Nakupenda Eva❤
@pyelesyamwakatika540
@pyelesyamwakatika540 27 күн бұрын
Interview yako haiboi 😂😂❤ nakupenda Nchedange
@anethonesmo6390
@anethonesmo6390 26 күн бұрын
Hamisa Mobettoanafunza weng sasahv tutegemee mtu anapokuwa baloz anavaa mavaz yanayoendana, mambo ya unaitwa taifa gesi unaenda umevaa pink yataisha
@SaraMalando
@SaraMalando 27 күн бұрын
Mahi umetisha xan kumb unajua maisha
@user-kp6lz7zs1w
@user-kp6lz7zs1w 27 күн бұрын
English inapanda Eva mashahallah mrembo ❤❤❤❤❤
@Elizakilisipinilikolika1996
@Elizakilisipinilikolika1996 27 күн бұрын
Nakupenda sana lissa jaman💋💋💕💕💕💕💕💕💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞
@BerthaModest
@BerthaModest 27 күн бұрын
Mapenzi aya eva aliacha na masenga walikuw wanapendezana🙌
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 27 күн бұрын
Na kenyewe kazinifu
@rebekaadam7211
@rebekaadam7211 2 күн бұрын
Ana akili sana evaa
@JudithKimaro-r5t
@JudithKimaro-r5t 4 күн бұрын
💕💕
@FauziaFarah-h3i
@FauziaFarah-h3i 7 күн бұрын
🎉
@HappyVictor-x8o
@HappyVictor-x8o 19 күн бұрын
Nakupendagaaaaa bureeeeee Evaaa
@sharifamahamudu182
@sharifamahamudu182 27 күн бұрын
Ila eva nakupenda bure❤❤❤❤🎉🎉🎉
@StellahDavid-l4c
@StellahDavid-l4c 19 күн бұрын
Eva wew me nakupenda bure
@GalaxyA-ve8tu
@GalaxyA-ve8tu 21 күн бұрын
Nampenda sana uyu mdada mie
@HhosnaRashid
@HhosnaRashid 27 күн бұрын
nakupenda Eva wangu❤❤
@edinamathews7717
@edinamathews7717 27 күн бұрын
Eva uko vzur hiv
@jamesnyaulingo673
@jamesnyaulingo673 23 күн бұрын
Unaweza sana
@Mjuni3
@Mjuni3 20 күн бұрын
Jamani mimi nakupenda natamani ungekuwa ndugu yangu au mshikaji wangu napenda unavyoongea
@subbyraibrahimu250
@subbyraibrahimu250 25 күн бұрын
nimekupenda bureee lisa umenyookaa❤❤❤
@SakalaAbdilahi
@SakalaAbdilahi 26 күн бұрын
Nilimjua huy dada kwenye tamthilia ya Rebecca
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 27 күн бұрын
Sema uzinifu wangu sipendi kuonyesha
@vumiliarichard9347
@vumiliarichard9347 27 күн бұрын
😂😂😂 ukorof tu
@user-el5jk7eq4q
@user-el5jk7eq4q 21 күн бұрын
Much lv mahi wetu Eva ❤❤❤❤
@lovenesibj
@lovenesibj 24 күн бұрын
nakupenda sana evaa❤❤❤❤
@RaphaelMsakila
@RaphaelMsakila 26 күн бұрын
Eva nakuhitaji jmn unaigiza vzr sana nakuhitaji mm jmn japo una ukimw
@chachajoseph-q9y
@chachajoseph-q9y 21 күн бұрын
lisa nimekupenda bure mdogo wangu,asiimia ya wengi wamepitia,ila nikwambie ktu,we na nabili mnaendana sana,😂😂😂
@tobiasmarcoscornelio7134
@tobiasmarcoscornelio7134 26 күн бұрын
Mm na mjua kama SAQUINA wa movie ya REBECA.❤❤😂😂🎉🎉🎉
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 27 күн бұрын
Heva mahi wangu umependeza diha
@GraceNjile-c5y
@GraceNjile-c5y 27 күн бұрын
Nakupenda bure tu @lissaactress
@AshuraAhmed
@AshuraAhmed 17 күн бұрын
❤️❤️❤️
@JamilaJuma-kl2em
@JamilaJuma-kl2em 27 күн бұрын
Mahi wa juma
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 27 күн бұрын
Inaonekana unamsema paula bado una mpenda ex wako marioo
@user-sn6dc9gh8k
@user-sn6dc9gh8k 26 күн бұрын
Duh kumbe aliwahi kudate na Mario 🤷‍♀️😂
@esterMahenge
@esterMahenge 20 күн бұрын
@@user-sn6dc9gh8khili jipya😂😂
@VachouVachou
@VachouVachou 26 күн бұрын
Kumbe Ni kafupi Kweli
@NeemaKiria-wz5gh
@NeemaKiria-wz5gh 22 күн бұрын
😂😂😂❤❤Mahi....unavituko wewe
@NeysmophathMopha
@NeysmophathMopha 27 күн бұрын
Love❤❤❤
@rosekinunda3481
@rosekinunda3481 23 күн бұрын
mahi wangu💞💞
@abuuhufhayfakagimbo-e9w
@abuuhufhayfakagimbo-e9w 27 күн бұрын
hv huyo eva ni kwel anavirusi vya ukimwi au vp?
@vumiliarichard9347
@vumiliarichard9347 27 күн бұрын
😂😂😂😂ni movie tu bhn
@user-di8hg8ri4h
@user-di8hg8ri4h 27 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅😅ni muvi
@agnessbahamu3931
@agnessbahamu3931 24 күн бұрын
Jamani ni movie 😂😂😂😂😂😂
@MariamSekwao
@MariamSekwao 20 күн бұрын
We nae si anaigiza
@HusnaSwediy-mp1wb
@HusnaSwediy-mp1wb 27 күн бұрын
My diha❤
@sabiwiteness-dk8gd
@sabiwiteness-dk8gd 25 күн бұрын
Jamani eva nimekupenda san😂😂
@SaraVenance-j8m
@SaraVenance-j8m 23 күн бұрын
Sawa mahi wangu msalimie juma😂😂😂
@GraceNjile-c5y
@GraceNjile-c5y 27 күн бұрын
Lissa
@zawadihozza3500
@zawadihozza3500 26 күн бұрын
Mahi wangu ❤❤❤
@catherineherania
@catherineherania 27 күн бұрын
🎉🎉🎉❤❤
@user-xq2oz2kh1v
@user-xq2oz2kh1v 25 күн бұрын
mahi❤
@LuganoMwakalo
@LuganoMwakalo 27 күн бұрын
Unatisha sana bimdada
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 22 күн бұрын
Sawa sasa amevaa nn jaman siz yak hakuna 😂😂
@leylamziray6042
@leylamziray6042 10 күн бұрын
Mahi penda ww
@Pretty_Tayana
@Pretty_Tayana 27 күн бұрын
Mwaeva😂😂😂
@user-wu8qe4fv4j
@user-wu8qe4fv4j 26 күн бұрын
Making sn
@aminaabdulrahman5184
@aminaabdulrahman5184 22 күн бұрын
Paula anatrend KWA ngono tu
@user-xw8om1qd1g
@user-xw8om1qd1g 21 күн бұрын
Wapi umemwomaa,ila sisi wanawake,adui WA mwanamke ni mwanamke,au ulitaka ile mimba aitoe, alafu ukute ana Maisha kukuzidi
@user-mr7bc7tx6r
@user-mr7bc7tx6r 27 күн бұрын
Usimuonyeshe mtandaoni mpenzi wako hivyo hivyo
@esterMahenge
@esterMahenge 20 күн бұрын
Duuu hapo kwa upande wa mtoto kaongea point sanaa👏👏
@chachajoseph-q9y
@chachajoseph-q9y 21 күн бұрын
lisa nimekupenda bure mdogo wangu,asiimia ya wengi wamepitia,ila nikwambie ktu,we na nabili mnaendana sana,😂😂😂
@FatumaMzava-i4r
@FatumaMzava-i4r 17 күн бұрын
@DayanaSospeter-sy8wl
@DayanaSospeter-sy8wl 24 күн бұрын
❤❤❤
@JenivaAbel
@JenivaAbel 16 күн бұрын
@MussaFederika
@MussaFederika 11 күн бұрын
@emmasara2681
@emmasara2681 20 күн бұрын
@nellymtambo8432
@nellymtambo8432 27 күн бұрын
@Latifa123Latifa12
@Latifa123Latifa12 26 күн бұрын
@HawaBachu
@HawaBachu 26 күн бұрын
@safinamdingi7912
@safinamdingi7912 25 күн бұрын
❤❤❤❤
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 208 МЛН
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 96 МЛН
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 15 МЛН
LAMATA DIRECTOR ATAJA VIGEZO VYA KUINGIA TAMTHILIA YA  'JUA KALI'
3:14
Tanzania Talents Media
Рет қаралды 1,2 М.
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 208 МЛН