MIMI MARS ARUDI KWENYE FILAMU, AFUNGUKA KWANINI SIO JUA KALI, ATOA COMMENT YAKE KWA LULU

  Рет қаралды 95,413

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер
@iptisamismaill-f6h
@iptisamismaill-f6h 3 ай бұрын
Ila mimi ni nzur sana jaman wangap wameona kama mm
@aserymziray9777
@aserymziray9777 3 ай бұрын
Shida lesbian
@marleshjimmy1972
@marleshjimmy1972 3 ай бұрын
​@@aserymziray9777whattt😮
@Namtumbo
@Namtumbo 3 ай бұрын
Kila mtu ana uzuri wake
@gloriakoku2766
@gloriakoku2766 4 ай бұрын
Nice interview.. Mimi Mars anajibu maswali vizuri na hyo dada wa Kihindi anaongea vizuri sana.. 👏🏾👏🏾
@awareminoe8325
@awareminoe8325 3 ай бұрын
Jamani mariya unatufanya tuhame juwa kari sasa tuyende gia duuu❤
@YusraSiyaleo-yk2fz
@YusraSiyaleo-yk2fz 3 ай бұрын
Kama unamkubali lulu gonga like hapa tujuane
@EsterNdalu
@EsterNdalu 3 ай бұрын
Nimefurahi sana maria ❤️🌹
@DOLMOCK
@DOLMOCK 4 ай бұрын
We miss u maria please come back to juakali😢
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 3 ай бұрын
Mtosheke na yule mlie nae duh bin Adam mtosheki
@DOLMOCK
@DOLMOCK 3 ай бұрын
@@zahraabdul9652 bado hajatuingia🙃
@DobroHenry3442
@DobroHenry3442 3 ай бұрын
😂😂
@aminabakari-c2n
@aminabakari-c2n 3 ай бұрын
Nafasi ya Mimi mars kwenye juakali hakuna kama yeye anaiweza ile nafasi ya maria anafit character vizuri
@harrietsutta2568
@harrietsutta2568 3 ай бұрын
Hakuna wa ku cover
@PeaceGao
@PeaceGao 3 ай бұрын
Yupo lulu ❤
@evageorge6480
@evageorge6480 3 ай бұрын
sasa naanza kuangalia Gia rasmi❤❤
@bahadurbahadur-ir4ub
@bahadurbahadur-ir4ub 3 ай бұрын
Sio Gia kipenzi ni jiyaseries😅
@nancyg8664
@nancyg8664 3 ай бұрын
​@@bahadurbahadur-ir4ub😂
@SalvatoryAdam
@SalvatoryAdam 3 ай бұрын
Jiya
@TheresiaCasmir
@TheresiaCasmir 3 ай бұрын
Mimi mars 💋💋💋💞💞💓💓
@JoelleRiziki
@JoelleRiziki Ай бұрын
Nakupenda wewe mars Rudi juakali
@josephinemwahula8710
@josephinemwahula8710 3 ай бұрын
Nashipay a.k.a Maria, ana katabasam kazuri, najikuta na mm ninayemtazama natabasam 🥰
@MonicaKhamis
@MonicaKhamis Ай бұрын
Mimi mars jaman ludi kwenye jua Kali
@SarahEzekiah
@SarahEzekiah 3 ай бұрын
Nimefurahi sana dada mi mars kurudi kwenye filamu karibu sana jua kali da maria I ❤❤❤❤❤❤so much
@GraceanaLenaika
@GraceanaLenaika 3 ай бұрын
Akaolewe na senteuu
@KagemuloKashumba
@KagemuloKashumba 3 ай бұрын
Mimi Ni mzuri❤❤❤❤
@RosetteKahuga
@RosetteKahuga 3 ай бұрын
Nampenda sana Lulu 🥰❤️
@carolineMaro
@carolineMaro 3 ай бұрын
Maria wetuuuu rudi juakaliiiii
@HappyLucas-mx9zb
@HappyLucas-mx9zb 2 ай бұрын
❤ Nakupenda maria
@Reylanny
@Reylanny 2 ай бұрын
Kama unamkubali mimi Mars gonga like hapa ❤❤❤❤
@zewelanjisikaonga8207
@zewelanjisikaonga8207 3 ай бұрын
Mimi mars I like you dear❤
@TheresiaCasmir
@TheresiaCasmir 3 ай бұрын
Mariaaaa💋💖💖💖💖💖
@RebeccaMboya-g2q
@RebeccaMboya-g2q 3 ай бұрын
Naishivai.. Happiness not nashipai
@zaynabmwanjovu8277
@zaynabmwanjovu8277 3 ай бұрын
No,,Nashipai
@AshuraJuma-m6o
@AshuraJuma-m6o 3 ай бұрын
mm rudi bwan jua Kali please jmn rudi bas jmn mm sjakubar
@VeeEhMgimwa
@VeeEhMgimwa 3 ай бұрын
Maria/mimi mars anaweza bhanaaa❤❤
@jofreydaud-066
@jofreydaud-066 2 ай бұрын
Ulinivuruga Sana kutoka juakal ulifanya Nika pembeni
@NageMsuya
@NageMsuya 3 ай бұрын
Mariaaaaaaaaaa mekumithi jmen
@zuramarakia8467
@zuramarakia8467 3 ай бұрын
Maria unawe sana kuliko lulu
@YusraMohammed-zj4ck
@YusraMohammed-zj4ck 3 ай бұрын
Jamanii mariaa wa Kaka fule ,😢kwaiyo jua Kali ndo Basi tena
@saimoniboniphasi2189
@saimoniboniphasi2189 3 ай бұрын
tusha mzoea lulu jua kali ko amna shd aendelee na Giya
@RehemaAthumani-cj2wj
@RehemaAthumani-cj2wj 3 ай бұрын
Bado amfikii uyu
@MwanaikiSwalehe
@MwanaikiSwalehe 3 ай бұрын
Maria mrembo mashallah
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 3 ай бұрын
MI NAFATILIA JUA TENA NI MPENZI VIBAYA,,,LULU BADO HAJAFIT PART YA MARIA;;;NI TUNAZOEA TU KWAKUWA NAYEYE NI FUNDI ❤
@Merry-ek5mj
@Merry-ek5mj 3 ай бұрын
UJUE KWA SABABU TULIZOA HII SURA NA UWALISIA WAKE LULU ANAJUA NA MUINGIZAJI WA MUDA KULIKO ATA HUYU MMARS ILA DA MM UWEPO WA HUYU NILIKUWA NAFURAHIA SANA
@joycemlewa3734
@joycemlewa3734 3 ай бұрын
Kabisa Lulu hajakaa kwenye nafasi Maria ukweli ndio huo,
@joycemlewa3734
@joycemlewa3734 3 ай бұрын
MARAIA ANAJUA BWANA , YAANI UNERUDI KWA JUA KALI UNGETUKOSHA SANA JAMANI, TUNAANGALIA ILI MRASI ILA NAFASI YAKO LULU HAIWEZI
@RehemaAthumani-cj2wj
@RehemaAthumani-cj2wj 3 ай бұрын
Kwenye jua kali bado atujapata kama wewe uwe ndo ukweli yan,,,ulikuwa unaweza sana mamdogo anty
@zawadihozza3500
@zawadihozza3500 3 ай бұрын
Dada mie nishalishika nashipaii wangu weeww
@fatmatraashidu8522
@fatmatraashidu8522 3 ай бұрын
Mimi Mars Jamani Rudiii Jua Kaliiii😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@fabiolairakize
@fabiolairakize 3 ай бұрын
Bola umerudia mama ivi nizani itakua sawa lulu wapi ilikua haimupendezi
@JoelleRiziki
@JoelleRiziki Ай бұрын
Natomasi je?
@NairahSaria
@NairahSaria 3 ай бұрын
Jamn pita na juakali Maria wetu tumekumiss sana 😢😢
@Reylanny
@Reylanny 2 ай бұрын
Ludi juakali please malia nashipai
@MwantumuKabwe-ds7tj
@MwantumuKabwe-ds7tj 3 ай бұрын
Kwa kifupi mm nampenda na uigizaji wake haijalishi avae uhusika gani
@Evenright-l6c
@Evenright-l6c 3 ай бұрын
Kalibu juakali
@sarahmollel8458
@sarahmollel8458 3 ай бұрын
Tejo nashivai nairoo tavala epaashariiii
@maryojungu8647
@maryojungu8647 3 ай бұрын
Masaini hatuna chief tuna laigwanani
@christinagervas2134
@christinagervas2134 3 ай бұрын
Bwana ukweli usemwe nafasi ya Maria inamfit maria
@WinbirdFrancis
@WinbirdFrancis 3 ай бұрын
Nampenda lulu
@DianaRichard-bu9tz
@DianaRichard-bu9tz 3 ай бұрын
mi natamani mimi mars aludi juakali huyu lulu sikuerewi kabisa
@emmyjohn9096
@emmyjohn9096 3 ай бұрын
Jumatatu hadi j5 saa moja na nusu jioni
@Natasha_beauty22
@Natasha_beauty22 3 ай бұрын
Sema umepumzika umenenepa mashallah
@FrenkMushi-i7f
@FrenkMushi-i7f 3 ай бұрын
Akaa kadada nakapendaga sanaa nakafananishaga na demu wangu ivyo ivyo wamefanana
@gladyrobbin
@gladyrobbin 3 ай бұрын
Wacha wéee 😅
@ManerhAl_alhenai
@ManerhAl_alhenai 3 ай бұрын
😅😅😅😅 sio kwel
@juliuskuluo8876
@juliuskuluo8876 4 ай бұрын
Nashipai
@harrietsutta2568
@harrietsutta2568 3 ай бұрын
Sijawahi kuangalia Jiya nitaangalia kwa ajili yako. Binafsi nilikumiss. Jua kali wenyewe wanakumiss ktk nafasi yako ya Maria inapwayaaaaa. Lulu ni mzuri ila kupambanishwa na wewe was mhhhh
@sirikisela1289
@sirikisela1289 2 ай бұрын
Rudi jua kali
@especherathuman2693
@especherathuman2693 3 ай бұрын
Back maria 😢
@JoyceMaziku-f8h
@JoyceMaziku-f8h 3 ай бұрын
Wewe Rudi jua kali tu huko hata hupendezi
@JanetteWilli
@JanetteWilli 4 ай бұрын
Amn jamani
@sophykivuyo
@sophykivuyo 3 ай бұрын
Sio nashipai ni nashivai
@fatmatraashidu8522
@fatmatraashidu8522 3 ай бұрын
Daaaaah 😭😭😭😭😭😭😭
@deboramushi5924
@deboramushi5924 3 ай бұрын
Sio nashipai 😂😂 Nashivai
@Sarahqueen788
@Sarahqueen788 3 ай бұрын
Yes ajui kutamka
@ElizaMnazi
@ElizaMnazi 3 ай бұрын
Kuna mov ya kihind nafatilia inaita Janaki Yan maria wetu kafanana sana na JANAKi wa mihindi
@husnahsq3288
@husnahsq3288 3 ай бұрын
Yea ni kweli japo jhanak ana aibu sana
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 3 ай бұрын
Mimi ebu cover nafasi zote please 🥺 unaweza sana kuigiza
@zuramarakia8467
@zuramarakia8467 3 ай бұрын
Nikweli uko muzuri kwenye sura nakwenye roho ndomana nikasema unamushinda lulu anajivuna sana
@zawadihozza3500
@zawadihozza3500 3 ай бұрын
Nahamia giya
@dhinatsimbano8854
@dhinatsimbano8854 4 ай бұрын
Naomba nihamie Gia sasa.
@VeronicaSteven-of1qe
@VeronicaSteven-of1qe 4 ай бұрын
Kwakweli tuhamie huko
@ElinaCedric-m4v
@ElinaCedric-m4v 3 ай бұрын
Sio gia ni jiya
@EsterNdalu
@EsterNdalu 3 ай бұрын
Tunahama kweli tunaomba nashipai vaa uhusika kama kule jua Kali tunakutegemea mimi mars
@Hallim-kp9mk
@Hallim-kp9mk 3 ай бұрын
Hamia 😂😂😂
@sumayaishengoma4543
@sumayaishengoma4543 3 ай бұрын
My Nashiiiiiii🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@emmyjohn9096
@emmyjohn9096 3 ай бұрын
Ni jiya cyo gia
@maryhaule5625
@maryhaule5625 3 ай бұрын
❤️❤️
@harrietsutta2568
@harrietsutta2568 3 ай бұрын
Twajaaaaaaaaaa, tuko na wewe hadi mwisho
@clovicemusobozi3891
@clovicemusobozi3891 3 ай бұрын
❤️❤️🌺🌺💋
@MariamIbrahim-h7p
@MariamIbrahim-h7p 3 ай бұрын
Unverified tu Juan kali
@MarkSulle-yg5lt
@MarkSulle-yg5lt 4 ай бұрын
Nashivai sio nashipai😂
@upendofute9262
@upendofute9262 3 ай бұрын
No,ni nashipahi
@upendofute9262
@upendofute9262 3 ай бұрын
May be na nyinyi mnatofautiana kiukanda ,Mimi mpenzi wangu wa kimasai alinipa mwanangu jina Hilo la nashipahi
@maryojungu8647
@maryojungu8647 3 ай бұрын
Naishipai
@JaneMollely-t8x
@JaneMollely-t8x 4 ай бұрын
Anaitwa nashivai kwakimasai
@stamillusatila9084
@stamillusatila9084 3 ай бұрын
Kwani huwezi kuigiza tamthilia 2 kwa wakati mmoja jamani?
@Renneykim1
@Renneykim1 4 ай бұрын
Team mimi❤
@lucyjohn1342
@lucyjohn1342 4 ай бұрын
Karibu sanaa
@nuhumuhami731
@nuhumuhami731 4 ай бұрын
apa kafanana na NANA DOLS
@Shakira-Nb
@Shakira-Nb 4 ай бұрын
Anafanana sana na Iman mtoto wa vanessa
@happysakuya7394
@happysakuya7394 3 ай бұрын
​@@Shakira-Nbbasi anafanana Na mim maana naona mnazid kufananisha sasa😂😂😂
@RosetteKahuga
@RosetteKahuga 3 ай бұрын
No nana ni mrembo, mzuri zaidi
@EdnerMahambo
@EdnerMahambo 3 ай бұрын
Maria tmekumis
@HalimaHusseni-h1p
@HalimaHusseni-h1p 3 ай бұрын
Tunahamia huko bhn mtu ni nyota tunakupenda dada minimars kwanza binafsi kukuona tu nimefurahi
@HappinesDanielisaya
@HappinesDanielisaya 3 ай бұрын
Mimi anafnna copy na mtoto wa Vanessa mdogo
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 3 ай бұрын
Ulipo tupo Mariah wetu au Nashipai mwanakondoo
@faithkaganda-k3s
@faithkaganda-k3s 4 ай бұрын
Gia ni lini mpaka lini?
@Sharmy_02
@Sharmy_02 4 ай бұрын
J3_J5 saa 1:30
@alleyjuniourtz
@alleyjuniourtz 4 ай бұрын
Ni jiya rafiki sio gia J3 - j5 7:30
@WinnRajabu
@WinnRajabu 3 ай бұрын
J3 mpaka j5
@faithkaganda-k3s
@faithkaganda-k3s 3 ай бұрын
@@alleyjuniourtz sawa asante nimeelewa
@accuratehallunaire8541
@accuratehallunaire8541 3 ай бұрын
Jiya
@keyla3641
@keyla3641 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@sbwest3023
@sbwest3023 3 ай бұрын
I wish Mimi Mars angerudi jua kali kuigiza na wangetengeneza scene ya Lulu ni IMPOSTOR, then Lulu na Mars waendelee kuigiza wote jua kali 😢
@HappyLucas-mx9zb
@HappyLucas-mx9zb 2 ай бұрын
❤ nakupenda maria
@nakygody7022
@nakygody7022 3 ай бұрын
Nashipai,
@harrietsutta2568
@harrietsutta2568 3 ай бұрын
❤❤❤❤
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
WASANII HAWA NI NDUGU WA DAMU KABISA UMESHAWAHI KUJUA??
10:15
THE THIRD TV
Рет қаралды 712 М.
Mimi Mars - For You (Official Music Video)
3:34
MIMI MARS
Рет қаралды 834 М.
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН