LISSU AJIBU MAPIGO CCM WALIOMCHANGIA KUNUNUA GARI NA KEJELI ZAO | TUTAWAPELEKEA MOTO NA MSIGWA WAO

  Рет қаралды 32,773

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Күн бұрын

Пікірлер: 64
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh Ай бұрын
Baba tupo tayari kukununulia gari lolote unalolitaka baba achana nao baba sema unataka nini baba tunakupenda sana mungukutunze baba
@OdiloMagungu-uf5is
@OdiloMagungu-uf5is Ай бұрын
Ccm ni wepesi tu without police force no ccm
@anthonymgina3893
@anthonymgina3893 Ай бұрын
Lissu chukua pesa. Angalia maisha yako sasa usafiri gani huo ulio nao, changamka tumikia nchi na matunda kiasi yawepo kwako.
@FintanBlasius
@FintanBlasius Ай бұрын
0:10 0:11
@FintanBlasius
@FintanBlasius Ай бұрын
0:28 0:29
@FintanBlasius
@FintanBlasius Ай бұрын
2:44 e 2:51
@hamisahtuman5595
@hamisahtuman5595 Ай бұрын
❤❤❤❤
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 Ай бұрын
Acha usenge mtoto wakiume uzaifu wakiume
@user-kr2qr8vx1x
@user-kr2qr8vx1x 11 күн бұрын
Msipo mwangalia lisu ni kinyonga atabadilika wakati wote...Aiza ccm au chadema uyo ni mamruki angalieni sana. .nani apendi Hera..anaumwa uku anapuliza.
@lipojibuministry8061
@lipojibuministry8061 Ай бұрын
Hapo kwenye kuwapelekea moto!
@RhodaKibona
@RhodaKibona Ай бұрын
Mmmmmm,jamani!! Haaaa,haya Yehova,yupo mwenye majibu yetu mwanadamu..
@jonathanakhabuhaya1693
@jonathanakhabuhaya1693 Ай бұрын
Kitendo cha wana CCM kumchangia Lissu gari ni kukubali Lissu anafanya kazi nzuri. Ni kuunga mkono juhudi za CHADEMA..Akisha nunua gari jipya, awaendee na kuwashukuru na kuwaambia kuwa mchango peke yke hautoshi. Asiwapelekee moto, bali awakaribishe wamfuate kwa kujiunga na CHADEMA. Wapande gari walilomnunulia.
@IGANASCOSMAS
@IGANASCOSMAS 10 күн бұрын
Hakikisheni Mnamtanguliza MUNGU Kwanza. Msitumie akili zenu hazitawasaidia na hazitawafikisha mnapotaka kufika.
@GodfredAlfredNgarama
@GodfredAlfredNgarama Ай бұрын
Mm binafisi ningefurahi kama wangetii sheria kwa kuchunguza nani na nani alihusika kukushambulia na wakamatwe na sheria ichukue mkondo wake. Kwa nn wakuchangie wakati wao wana uwezo wa kuisimamiaserikali ichunguze tatizo Waache🎉usani watanzania kwa sasa wengi wanaelewa sio enzi za kivuli na picha ya mtu.
@obednyagani506
@obednyagani506 Ай бұрын
Dawa ya moto ni moto
@charlesSomeke
@charlesSomeke Ай бұрын
😅😅😅wewe lisu wewe moto gani huu
@cyprianboniphace-oz5lw
@cyprianboniphace-oz5lw Ай бұрын
Hawakumbuki Samia alikuja kukuona hospitali Nairobi lakini bado unamkosoa.
@akidajulius1581
@akidajulius1581 Ай бұрын
LISU KAZINGUA, 😮
@cyprianboniphace-oz5lw
@cyprianboniphace-oz5lw Ай бұрын
Siasa ndivyo ilivyo Samia alienda kumsalimia hospitali Nairobi lakini anamkosoa kila siku.
@BulayaEliasipimilo
@BulayaEliasipimilo Ай бұрын
Huyo jamaa yupo karibu na Tondu lisu aliwahi kugombea udiwani kata ya matundas mwenye ndevu nyingi.
@ntegrity277
@ntegrity277 29 күн бұрын
Lissu alikosea, angeomba mchango kwa wana CHADEMA zingetosha! A national harambee Nchi nzima CCM wanakupa pesa duh!
@BulayaEliasipimilo
@BulayaEliasipimilo Ай бұрын
Michango ni jambo njema tu lakini ukilalamika kukujeliwa ni suala la imani yako tu mweshimiwa Tondu lisu.
@ANGELUSLIJUJA
@ANGELUSLIJUJA Ай бұрын
KATIKA SIASA NI KAWAIDA KUCHAFUANA KUSEMEANA UONGO KAWAIDA TU
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh Ай бұрын
Wanacheze sharubu za simba hawavccm lisu hana njaa wala hana mpango wa kurudi ccm mnapoteza muda ccm endeleeni kuzunguka kila mkowa na hilo limsigwa lenu livuvuzera lipungufu litaahila lisu siyo levo yenu
@Mosmwampa
@Mosmwampa Ай бұрын
Kejeli ni lazima na kawaida kwa wanasiasa, mchango lazima tuupokee na hiyo haimanishi Lisu kanunuliwa. Wanaonunuliwa akina msigwa hawakupewa hela majukwaani
@polpaul8432
@polpaul8432 Ай бұрын
Hapo inshu ni msigwa na kejeli Kwa mwenyekit mbowe wew lissu akiguswa msigwa huwa hukubali hivyo mfate ccm tu
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 Ай бұрын
Siasa sio vita wew ubinadamu alipata matatizo acheni kukuza mambo
@SophiaKamgunda
@SophiaKamgunda Ай бұрын
Kuchangia nisehemu yaupendo naupinzani sio uhasama ni aina fulani yakulijenga Taifa letu
@MsuyaSereckys
@MsuyaSereckys Ай бұрын
Baniani mbaya kiatu chake dawa
@PastoryConrad
@PastoryConrad Ай бұрын
Nasikia anahamia CCM
@elishandagala8677
@elishandagala8677 Ай бұрын
Kwa maoni yangu Chadema ni Chama Kinachokubalika ndani na nje ya CHADEMA. Hata kama fedha hiyo imetolewa Kwa masimango. Vipo vyama vingi Ukiachilia mbali chopa sijui hata kama vina magari. Maana pamoja na kutoa mchango huo dhiki ya madaraka haiwezi kuwaisha ndiyo maana ukizungumuza kuhusu katiba mpya, ukazungumza kuhusu tume huru ya uchaguzi hata kama walikuwa wanakuchekea sura zao zinabadirika. Ingawa hawatakuambia utawasikia polisi tusaidie. Sijui Ikulu kuna Nini. Baba wa Taifa alisema Wenye dhamira safi hawapakimbilii.
@ntegrity277
@ntegrity277 29 күн бұрын
Lissu umejidhalilisha
@NickJuma-x4d
@NickJuma-x4d Ай бұрын
Lakini ingekuwa ni jambo jema hata wakati alipo pigwa risasi wange mchangia vile vile! Upuuzi mtupu wa kiwango cha PhD!
@samuelmbogo7448
@samuelmbogo7448 Ай бұрын
Kumbe kejeli zina gusa!
@GodfredAlfredNgarama
@GodfredAlfredNgarama Ай бұрын
Kaka lissu mm ni miongoni mwa watu ninao kukubali kwa uelewa wako na misimamo yako, huo mchango achana nao kwani mbona hawakukupa msaada wa kuchunguza change cha tatizo
@thobiasmarandu214
@thobiasmarandu214 29 күн бұрын
ASILETE USANII ANGEKUWA HAJAKUBALI KEJELI ZAO ANGEKATAA MCHANGO... KUPOKEA MCHANGO WA AINA ILE SIO AKILI NI MATOPE.
@peterjusine8509
@peterjusine8509 29 күн бұрын
LISU CHUKUWA TU HIZO PESA.ILA HILO GARI KWANINI LISINUNULIWE JIPYA? HAIWEZEKANI KUNUNULIWA JIPYA? NIMESHANGAA SANA KUONA CCM IKIKUCHANGIA CHUKUA HIZO HELA KAMA UNATENGENEZA UNANUNUA JIPYA VYOVYOTE SAWA.
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu Ай бұрын
MSIGWA ANIKUSANYIE MCHANGO CCM NA NIPOKEE? I SEE WHY HUYU BWANA AKIULIZWA SWALI KUHUSU MSIGWA ANAISHIA KUMPAMBAPAMBA!
@kakanicodemus3632
@kakanicodemus3632 Ай бұрын
Sijaona tatizo....muhusika aliomba mchango na akachangiwa,,shida ni nini
@rithaurassa
@rithaurassa Ай бұрын
Unaongea UKWELI kamanda kejeli haijalishi peleka moto wakutosha kabisa usogope
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu Ай бұрын
WHAT A BS! ISSU NI MSIGWA ANAMTUKANA NA KUMKASHIFU MBOWE NA ANATAFUTA WATU HUKO CCM WANAKUCHANGIA PESA UNAPOKEA, WHAT A BS IS KUWAPELEKEA MOTO!
@MrigoJohn-ps8dk
@MrigoJohn-ps8dk Ай бұрын
Tanzania hakuna upinzani wa kweli ni njaa ndo kali
@umlaith5202
@umlaith5202 Ай бұрын
Wewe lissu huna adabı. Tunaomba umkome Rais wetu ,kumtaja kumtaja ovyo.
@monicamwita7865
@monicamwita7865 Ай бұрын
Kama ametukosea!? Tujiulize sababu za kwa nini haya yote yanatokea. Kuna mahali panashida tuwe wakweli
@SamweliZaburi-fk3qj
@SamweliZaburi-fk3qj Ай бұрын
Hakuna ccm anaechangia chadema ni uongo
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Ай бұрын
Usaniiii tuuu
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 Ай бұрын
Hayo wauliza maswali mafala. Kweli. Wanamuogopa lissu kama mungu.
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Ай бұрын
Ulitaka waulize kwa kumfokea au kumtukana ? Wamemuogopa vp yni
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko Ай бұрын
5 izo chukuwatu Ila pereka moto
@andrewassey5108
@andrewassey5108 Ай бұрын
Kula CCM KURA CHADEMA
@Vike333-l8o
@Vike333-l8o Ай бұрын
Ccm acheni upumbavu mnamchangia Mh.Lisu kwa dhiki gani?Wewe Msigwa una utindio wa Ubongo njaa itakuuwa wewe na Mumeo Makala kuweni na Adabu la sivyo tutawanyooosha Kawachangieni Familia yenu Masikini sanaaaa komeni
@samsonmwijage1869
@samsonmwijage1869 Ай бұрын
Msikilize Tundu mwenyewe anasema aliomba mwenyewe mchango wa pesa wa gari na hajali kejeli...........lakini atapeleka moto !!
@DavidNjenga-m4l
@DavidNjenga-m4l Ай бұрын
Pokea gari usitishike
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Ай бұрын
Hiyo ni Siasa ikifika jioni wanakaa pamoja na wanaelewana vizuri tu
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 Ай бұрын
Mbona mazishi ya wanasiasa vyama vyote hushirikiana. Wanasiasa jengeni siasa za mashirikiano ktk raha na shida Tanzania . Na kilioni msiwe na siasa mle.
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu Ай бұрын
IMAGINE MBOWE ANGEKUWA KACHANGIWA PESA NA CCM KUNUNULIWA GARI.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Ай бұрын
Thobias Marandu hawana jipya hao chadema Saccoss
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Ай бұрын
Huo ni mchango hata kwenye misiba hakuna vyama
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv Ай бұрын
Hata mbowe alichangiwa million 100 kwenye ujenzi wa kanisa machame na alipewa na mama samia tofauti ya lisu ni gari ni lake na mbowe kanisa ni lao so hakuna hela haramu
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 Ай бұрын
Umejibu sawa
@anthonymgina3893
@anthonymgina3893 Ай бұрын
Lissu kumbuka fadhila ni mama Samia ndiye mwana CCM pekee aliyekuja kukusalimia hospitali ulipopigwa risasi bila kujali makucha ya mkuu wake wa kazi japo naamini aliletewa shida katika hilo, amini huyu mama ana utu na nia njema na wewe.
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 49 МЛН
At the end of the video, deadpool did this #harleyquinn #deadpool3 #wolverin #shorts
00:15
Anastasyia Prichinina. Actress. Cosplayer.
Рет қаралды 19 МЛН
Chadema NYIMBO  MPYA YA SIKU YA VIJANA DUNIAN
5:21
Ki home home Tv
Рет қаралды 15 М.
Mbarikiwa ahoji. Je kikwete atakamatwa na simu yake...
20:02
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 412 М.
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 49 МЛН