Mbarikiwa ahoji. Je kikwete atakamatwa na simu yake...

  Рет қаралды 434,461

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

Күн бұрын

Пікірлер: 1 000
@sayunimkongwa9830
@sayunimkongwa9830 Жыл бұрын
R c o mbeya yatakurudia sio muda.
@mwalitv4555
@mwalitv4555 4 ай бұрын
Unahekima ila huna busara....
@HamzaFamily-sw4td
@HamzaFamily-sw4td Жыл бұрын
Machungu ya wa Tanzania 🇹🇿 yatajibiwa na mungu asiye lala .
@FidesferdinandikimtiKimati
@FidesferdinandikimtiKimati Ай бұрын
Hiiii nchi mungu atatoa majibu sahihi
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 2 ай бұрын
Wengine wanaona kama kichekesho ila subiri majibu ya mungu atakavyojibu. Rco mwogope mungu jitafakali.
@Focusm-se2sd
@Focusm-se2sd Жыл бұрын
Kikwete ni mtu mbaya sana ila mungu atasimama juu ya nchi hii
@khalfaniutaly1303
@khalfaniutaly1303 Жыл бұрын
wewe ni mtu jeuri mwache mzee apumzike acha roho mbaya itakusaidia nn
@rogersiddy
@rogersiddy Жыл бұрын
Ameeen yawarudie wenyewe kwakweli🙏🤲
@mzuandamlalli8654
@mzuandamlalli8654 Жыл бұрын
🎉❤baba mungu yupo nasi
@emanuelkinoko9126
@emanuelkinoko9126 Жыл бұрын
Huyu ndo mtumishi wa Mungu sasa siyo hao wengine wasaka tonge! Hakuna wa kukugusa mtumishi watakufa wao kwa jina la YESU MWANA WA MUNGU ALIYE HAI.
@JosephKulwa-rc7en
@JosephKulwa-rc7en Жыл бұрын
Utawala ulikua kwa magufuli saivi maumivutu
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu Жыл бұрын
Kumbe Hata Rais Kikwete anajua Kuna Kukamatana Kuzuia Watu wasitoe Maoni, Kwa Hiyo Anajua Watu Wanagogwa!
@jacksoncharles5411
@jacksoncharles5411 Жыл бұрын
Walikuwepo watu kama HERODE nk,but mwisho wao haukuwa mzuri,hakuna aliyewaumiza watu wa MUNGU wakabaki salama,R.C.O mbeya na wenzako mnaotumia vyeo vyenu kuwaumiza watu kwa nia OVU,kuna haja ya kujitafakari,hayo madaraka hamjazaliwa nayo,hivyo hamtakufa nayo,kumbukeni nje ya vyeo kuna maisha mengine.NB:Mmezaa na mnavizazi,hawa mnaowatesa nao wamezaa na wanavizazi,kuweni makini sana ktk kila mfanyalo juu ya bin Adam wenzenu,yatakuja kuwaghalimu ninyi au vizazi vyenu.
@DanielOrkijape-qi4xk
@DanielOrkijape-qi4xk Жыл бұрын
Na nikweli amekamatwa au niongo tuu kama nikweli alikamatwa makofi kwa kila mwananchi
@gwaatemaalaay
@gwaatemaalaay Жыл бұрын
I'm
@marleymwampashe8896
@marleymwampashe8896 Жыл бұрын
​@@DanielOrkijape-qi4xkpum 3:11
@leahmhanze611
@leahmhanze611 Жыл бұрын
Vita yetu si juu ya damu na nyama
@zainabumohamed8541
@zainabumohamed8541 Жыл бұрын
Mungu ana Siri nyingi tumwachie yeye
@getitdoneright1938
@getitdoneright1938 Жыл бұрын
Huyu msoga anacheza kete anajua kuwa swala la a bandari limenuka na litawalipukia na anatafuta mahala pa kujinasua yeye na familia na genge lake.
@aristidesvedasto7855
@aristidesvedasto7855 Жыл бұрын
Kabisa kanafiki tu kumbe unakajua eee!
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 Жыл бұрын
Pamoja na yoooote anayohusishwa kikwete lkn ktk utawala wake alitoa Uhuru wa kukosolewa Kwa SERIKALI yake
@getitdoneright1938
@getitdoneright1938 Жыл бұрын
@@mashramadhani1989 uhuru wa kukosolewa hautoki kwa raisi bali katiba ndiyo inayoruhusu freedom of speech
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@getitdoneright1938 kweli, ila wakati wa magufuli hakuna freedom of speach. Jee katiba ilibadilika au?
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 Жыл бұрын
Ni sasa unamsikiliza??
@SamweliZaburi
@SamweliZaburi Жыл бұрын
Wape vidonge vyao kwani serikali hii inaonea sana kuanzia serikali kuu hadi vijijini mungu anawaona
@Msakati-b1z
@Msakati-b1z Жыл бұрын
Ila huyu mwamba nimeekuwa nikimfatilia kwa karib sana ila mwisho wa siku kwa udogo wa elimu yang na ufaham wang nahis huwenda afya yake ya akil haiko vizur ,sawa umefanyiwa ubaya lakn ww umekuwa mtu wa kulaum kila siku ,na siku zote unaambiwa unapo laumu usimalize maneno mana kuna siku utashindwa pa kuanzia ,we n mtu mzima eb kuna mambo jarb kuyapotezea mana hata mtu akikufatilia inafikia hatua anakuchoka mana unaongea upumbavu ,ni mtu wa guru chuki zimekujaa ww eb tupumzishe mchunguj unazingua...hata hy clip ukiangalia n ya mda sana ila una ungamisha unganisha ili kuwaaminisha watu na unachokieleza
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile Жыл бұрын
@user-oh8sk4wy3r. Yeye katuma ujumbe wewe unaanza kumsikiliza si utakuwa mpumbavu? Ukiona clip yake we pita. Hivi kuna haja gani kumfuatilia mtu anaye kukera?
@philemonkageleja3858
@philemonkageleja3858 Жыл бұрын
Kaa kimya kuhusu Mwakipesire wewe! Tunampenda na wamtoe gerezani haraka sana!.
@GraceMhoja-zc7yg
@GraceMhoja-zc7yg 9 ай бұрын
Mungu ndo ajuaye
@titonsimbazi5532
@titonsimbazi5532 Жыл бұрын
Mikataba ya badali hatuitaki.
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Жыл бұрын
Sema bandari siyo badali
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
​@@edsonnelson4464writing error
@mussaamourmussa
@mussaamourmussa 16 күн бұрын
Acha kudogosha akili zetu wewe,
@ThadeoJohn-or2uw
@ThadeoJohn-or2uw Жыл бұрын
Kweli mtumishi wa mungu hawatakuwa salama na hio bandali maana wananchi wengi wameumizwa
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Жыл бұрын
Sema bandari siyo bandali
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 Жыл бұрын
Tumeumizwa sana wa Tz mioyo yetu inavuja damu.lkn mwenye dunia yake yupo,naye ni Mungu naye atahukumu kwa haki.Amen
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 Жыл бұрын
USITUMIE MANENO YA KIKWETE VIBAYA KIKWETE ANAONGRLEA UONGOZI KWA UJUMLA UNAVYOPASWA KUA
@shahiidabdallah3579
@shahiidabdallah3579 Жыл бұрын
Hakuna tatizo hapo tatizo niufahamu walugha ,mchungaji afunzwe kiswahili,na sanaa yalugha.
@SOLOMONADAMS-v6q
@SOLOMONADAMS-v6q 4 ай бұрын
Kaka Mchungaji amechanganyikiwa
@AyubuRashid-j7g
@AyubuRashid-j7g 2 ай бұрын
Huyu mchungaj kavulugwa huyu mzee jakaya mbona yuko sawa kabisa
@davisnkoba2683
@davisnkoba2683 Жыл бұрын
Mtumishi wa BWANA Mbarikiwa Daniel wa sasa God be with you in all in Jesus mighty name amen
@Deusbenedicto
@Deusbenedicto Жыл бұрын
Taarifa kwa yeyete aliyeshiriki kifo Cha mtoto huyu wa mtumishi huyu malipo haya hapa hapa duniani😢
@agustinohizza1395
@agustinohizza1395 Жыл бұрын
Kama unauwezo wa kuona mbali muiteni mmalizane kutatokea kitu kibaya mbele
@eleonorabokewarioba4420
@eleonorabokewarioba4420 Жыл бұрын
Sikutegemea kama Tanzania inaweza kutesa wana inchi wake kwa namna hiyo juteni kabla siku za Bwana hazijatimia kwani Bwana alisema ukiua kwa upanga kwa upanga itakufa
@MbarakAhmedAbdalla
@MbarakAhmedAbdalla 5 ай бұрын
Huyu jamaa anaongea kwauchungu sana naujue kama nikweli yatafanyika kweli hii kweli inauma sana
@AndreaNzunda-f7o
@AndreaNzunda-f7o Жыл бұрын
Samia ni dictator na ni jambazi alishauza nchi hii long time
@OnesmoStephano-mk8wj
@OnesmoStephano-mk8wj 2 ай бұрын
Wambie nass tunajua kila Mungu atawanyosha tu..awa ndo.watakua kuni tupate joto uko mbinguni na wachukue dhambi zetu mahana wana of ya Mungu ila wakae wajue.kwamungu ajui ulikua nani duniani Mungu anajua tu.mtumishi.ubarikiwe
@ashaomari-rb1uu
@ashaomari-rb1uu Ай бұрын
Sema kweli daima
@juliusjohnii7823
@juliusjohnii7823 Жыл бұрын
Mungu mkubwa, Tunakaribia kufika, na tuta fika kwa kishindo kikubwaaa.
@EliasMoleley
@EliasMoleley 5 ай бұрын
Pole Sana mtumishi wa mungu japo mungu yuko upande ya watumishi wake soma yeremia 29,11 usijali mungu yuko upande wako
@WillBat-gc9ex
@WillBat-gc9ex 4 ай бұрын
Mbarikiwa kakaangu umtumishi wa mungu wa walio hai mungu akulinde sana watoto wako wako salama kwa jina la yesu usihangaike nao maumivu uliyo nayo ni makali sana najua unafahamu kwa habari ya mungu wa dunia hii hagai alishaongea mungu anasema usiogope
@aymanhusseinaslam7266
@aymanhusseinaslam7266 Күн бұрын
Wewe ni nani mbele ya kikwete? Hubiri dini, acha uchochezi mchungaji. Utabiri wako ni wa shetani.
@linkreuben3108
@linkreuben3108 Жыл бұрын
Serikali ingeyamaliza tu na huyu Pastor; UPANGA unaokuja mbele ni HATARI!!!
@Pharadge
@Pharadge Жыл бұрын
kama ya Mackenzie
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 Жыл бұрын
​​@@Pharadgea Mackenzi amekujaje hapa??
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 Жыл бұрын
@@sifawayesu7079 Amekuja kwa bajaji😆😆😆
@mohdsaid7488
@mohdsaid7488 Жыл бұрын
Sasa wewe mungu humuogopi then yeye tu ndie atakaekuokoa hebu tuliza fuvu kwanza
@yohanayohana5558
@yohanayohana5558 4 ай бұрын
Hakika huyu baba ameongea kwa ukali sana
@petermwenda6470
@petermwenda6470 Жыл бұрын
Hawa watu wanataka kujamba wajambe wao Tu, tukijamba Sisi tunaharisha
@omarhemed448
@omarhemed448 Жыл бұрын
Watanganyika waoga. Muche ni mbarikiwa atememadini
@PiusMapunda-gx8pu
@PiusMapunda-gx8pu 3 ай бұрын
Na woga wetu ndio unaotuumiza,Nchi inatawaliwa na wapemba. jamani watznia tuamke wachache wanauza Nnchi jamani tuamke.tuamke.
@PiusMapunda-gx8pu
@PiusMapunda-gx8pu 3 ай бұрын
Rais wa katika huyo hatufai hatujamchagua cc.Oooh Bai bai Tanzania tukija kushtuka hatuna kitu.
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Жыл бұрын
Kikwete ametuuza ila MUNGU yupokaribu kukulipa
@OmbeniLuka
@OmbeniLuka Жыл бұрын
Viongozi wa serkali wanacheka watanganyika wanalia
@honoratamafala6968
@honoratamafala6968 Жыл бұрын
Huyu Mchungaji,alifiwa na mwanae ,badala ya kuliwazwa aliendelea kuchomwa moyo.anahitaji sana kutulizwa na kusikilizwa kwa ukaribu.
@princemahamba242
@princemahamba242 Жыл бұрын
Atulizwe na mme wake tuko busy
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 Жыл бұрын
@@princemahamba242 ww choko ujafiwa
@popekatalango9409
@popekatalango9409 Жыл бұрын
hebu nifahamishe hapo kikwete kamchomaje moto huyu bwana?
@kavulatikivurunzi
@kavulatikivurunzi Жыл бұрын
Sanasana unachokisema kweli MUNGU Ana ahadi nakikwete mnaemchukia
@AbdulqadirChamakope
@AbdulqadirChamakope 4 ай бұрын
Wapi kamtaja Samia, acha kuchanganya mafile mchungaji. Wewe, mara humuogopi Mungu 😂
@NywageTv
@NywageTv Жыл бұрын
R c o mbeya mabaya haya anayopitia mchungaji huyu yatakua juu yako
@greysonmalila1296
@greysonmalila1296 Жыл бұрын
Unaongea ni Kama ni wewe tu ndio unahaki ya kuongea na Mungu kuwa utamwambia awafanyaje pastor Mungu ni wawote na hakuna mahali anatufundisha kuhukumu sijui hawa wachungaji wa sikuizi wanasoma biblia gani hata kama kweli wamekukosea acha Mungu ajidhihirishe mwenyewe acha wanasiasa wafanye yao na wa Mungu wafanye yao hii mitandao isiangushe uhusiano wetu na Mungu so niulize baada ya kupiga kelele mitandaoni na viclip umepata haki yako ? Hebu watu wa Mungu tujue Mungu tunaemuabudu ni nani? Tutambue umuhimu wa mapito na mitihani Katika maisha yetu isiwe tu kuitwa mchungaji ni sifa au kuwa kiongozi kanisani ni sifa no !hivyo vyote havibadikishi chochote katika maisha yetu . Bali uhusiano kati yako na Mungu ndio unabadilisha maisha ya mtu ndio maana inafika hatua wakristo tunaonekana matapeli na tunatapeliwa kwasababu hakuna tifauti kati ya mtu anayemjua Mungu na asiyemjua Mungu hii inafanya mtu anapoenda kanisani anasema labda atakuwa mtumishi wa Mungu 😂 kwasababu hakuna tofauti kati ya watu wa dunia na wanaojiita Wa Mungu
@moseskasereka6834
@moseskasereka6834 Жыл бұрын
Unafanya uhusiano na Mungu usiyemuona? mwanadamu unayemuona akikuumiza muambiye Mungu?akikufanyia meme mushukuru Mungu?
@Justinmwamasage
@Justinmwamasage 2 ай бұрын
Achan nasiasa simam naiman yak utapotezwa Kam mtot wak siasa inawenyew wee hay😅😅😅😅
@YonaMgata
@YonaMgata Ай бұрын
ACHA unafiki wewe ninani uongee upumbavu huoni uovu ndani yanchii siasa unaijua wewe
@wilsonchallange4420
@wilsonchallange4420 Жыл бұрын
Halafu unataka Teknolojia iogopwe.!! Mungu wewe HAUMWOGOPI.! What a stupid man wewe.. Simkubali kikwete lakini NAMWOGOPA MUNGU Wewe mpumbavu acha usenge. Kama kweli no mkristo TUBU
@NellyMadeni-yv6fd
@NellyMadeni-yv6fd Жыл бұрын
Mbarikiwa ni mtu mwenyehaki, Mungu hawezi kumwacha. Poleni mnyemtesa mtu huyu kwakua hamjui nguvu ya Mungu, mtajuta sana
@Abubakar-cb1er
@Abubakar-cb1er Жыл бұрын
hakuna muislaam mpambavu kiwango hicho ww waislaam ni watu wenye utulivu wa akili
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 Жыл бұрын
Wewe tu usieweza kuishi na kufikiri sawasawa ila waislamu waliopongeza ni kuliko mliokwisha kujazwa akili za wazungu wasioitakia mema Afrika.
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 Жыл бұрын
Wamemkosea Mtumishi wa Mungu Sasa watakula ujinga wao tuko pamoja mtumishi
@SalehLofy
@SalehLofy 5 ай бұрын
Sasa wewe mchungaji Magufuli na kikwete na Samia nani DICTATOR kuna mangapi watu wamefanyiwa kipndi cha MAGUFULI mbona mchungaji humuogopi hata MWENYEZIMUNGU? Wewe ungemuomba Mama Samia kuna moja mbili sio unaanza kumlaumu na kumuapiza na kulaani hizo ni chuki sio uchungu wa kukosa mwanao hizo ni sababu tu ulioipata
@laurentngussa1735
@laurentngussa1735 Жыл бұрын
Apandaye ubaya atavuna ubaya anaoupanda kwa wakati asioutarajia, Mungu ni mhukumu wa haki siku zote.
@IbrahimuJaphet-hx2ns
@IbrahimuJaphet-hx2ns Жыл бұрын
Haki ya kuwa hai sheria ya 1984 na. 15 ib.6, Kama serikali wameshindwa kusikiliza kero na malakamiko ya huyu mtu ni dhahiri kuwa wanajua alichokifanya mtu wao wa usalama wa taifa na badala yake kumpa mtu wa MUNGU kesi ya jinai N.k hiyo sheria wametunga wao Hakuna mwenyehaki ya kutoa uhai wa mwenzake inakuwaje huyo jamaa bado yupo uraiani na kwenye ajira wakati mwenzake analalamika kamuulia mtoto alafu kunawatu wapuuzi humu wanakujaku comment utumbo aise kama haki haita tokea kwa kuongea kunawatu watajilipua nawaambia tunaomba haki ionekane maana jambo hili lipo wazi.
@personalitiesan9806
@personalitiesan9806 Жыл бұрын
Human beings of this caliber are very few and they're ever straight away, discerned and very strong in their spiritual world......he literally speaks from his very bottom of his heart and He's been injured internally please jmn mwacheni Aishi vizuri kama watanzania wengine.#let Mr mbarikiwa live peacefully and let's not hold grudges over each other please please please 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@AbdulqadirChamakope
@AbdulqadirChamakope 4 ай бұрын
Huo ni uchochezi nyamaza.Mdomo uliumba.
@PMMakula
@PMMakula Жыл бұрын
Zaburi 89:7 [7]Mungu huogopwa sana barazani pa watakatifu, Ni wa kuhofiwa kuliko wote wanaomzunguka.
@RobertGwelela
@RobertGwelela Жыл бұрын
Hiyo Zaburi 89:7 Mungu huogopwa Sana barazani pa watakatifu wake.Anachomaanisha hapa Ni kwamba Mungu anaheshimiwa Sana.Mtu wa haki hatakiwi kuwa mwoga.2Tim 1:7 Mungu hakutupa roho ya woga.hata ufunuo 21:8 Mungu anawakataa waoga.Sisi tunatakiwa tuogope kutenda dhambi ila Mungu tumheshimu Sana.Mtu utamwogopa Mungu endapo unatenda dhambi,,Kama ni mwema Basi Mungu utamheshimu na kumfurahia Sana,na hauwezi kumfurahia unayemuogopa.Hata ktk familia mtoto anayemuogopa sana baba ni yule anayetenda mabaya lkn anayetenda mema Sana anakuwa rafiki mkubwa wa baba.Mungu anapenda sisi tuwe huru Sana kwake kwa maana ya kwamba kila tunaloliona gumu kwetu tuwe radhi kumweleza ili atusaidie,Sasa tutamwelezaje Kama tunamuogopa?.Hata falsafa pastor aliyosema ame copy kwa Marehemu Ruge Mtahaba kuwa Muogope Sana Mungu na teknolojia,Maana yake tumuheshimu Mungu,yaani tuwe makini na tunayoyafanya ili tusikosane na Mungu.Lkn tuziheshimu teknolojia kwa maana ya kwamba tuwe makini na tunayoyafanya kwenye teknolojia kwakuwa yanaweza kuhifadhi kumbu kumbu za tuliyowahi kuyafanya kwenye teknolojia.Kama yalikuwa ni mabaya kisha sisi tukakataa basi teknolojia inaweza kuyaonyesha kwa dunia nzima.hata ukisikia mtu anakwambia wewe uwe na hofu ya Mungu,anamaanisha Mheshimu Mungu,au uwe makini ktk matendo yako usimkosee au usimkere Mungu,Maana unayemshimu ni lazima utapenda utendee mema sio mabaya.
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 Жыл бұрын
Mungu huogopwa na waovu ila wema humsogelea na amesema maovu ya wanadamu ndio hufanya Mungu aonekane ni mbaya.
@EsterNdalu
@EsterNdalu 3 ай бұрын
Amina
@MussaYusuph-p5h
@MussaYusuph-p5h 5 күн бұрын
Kikwete amezungumza ukweli hakika huyo ana IQ ya uongozi.
@prisilakimario2102
@prisilakimario2102 Жыл бұрын
Kila mtu aombe kwa iman yake,maan MUNGU ndo hana mpinzan.Nimwanzo na mwisho.🙏🙏
@ShafiiJumaa
@ShafiiJumaa 19 күн бұрын
Kuna watu wanachukulia maskhara ila uyu jamaa anapitia kipind kigum sana ila naamin mungu yupo pamoja na wenye kusubiri mwachie mungu kazi yake wew muombe mungu acha wao watumie nguv ya pesa na vyeo. Mfano mzuri ni firaun alikuwa katili kias cha kujiita yeye ni mungu yote na yote ni kwasababu ya uwez aliokuw nao alikuw ni mfalme, ana majesh, ana pesa, ana uchaw, n.k lakin hakujua hata vile alivyo navyo ni kwa uwez wa mungu mwish wa siku mungu akaona amtie adab lakn hakusikia had anakufa bad haamin. Tangu dunia iumbwe ni watu wangap wenye nguv leo hawapo? Jaman viongoz muogopen mung nyie mmebeba amana za watu watu wote wanawatazemen nyinyi hiv mtajib nn kwa Allah ck ya mwish achen kutesa watu cheo cy kitu ila heshima nd inajenga heshim mdog mdog amheshim mkubwa mungu anapenda hiv. Subhannallah
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 Жыл бұрын
Huyo RCO Mbeya anashindana na Mungu mwenyewe na apandae ubaya atavuna ubaya alioupanda.
@daviddaniel4810
@daviddaniel4810 Жыл бұрын
Nchi ya ovyo sana hiii..ubabe unatumika kwa mgongo wa democrasia
@alexkalonga5323
@alexkalonga5323 Жыл бұрын
Brother mi nakushauri kitu kimoja haya mambo ungeyaacha tu, utapotea pastor!
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
Kweli kabisa
@PASTOR_SHITINDI
@PASTOR_SHITINDI Жыл бұрын
Wameua mtoto wake hawezi KUNYAMAZA hata kama ningekua mimi
@mestonisimzosha203
@mestonisimzosha203 Жыл бұрын
Tangu walipo uwa MTOTO wake walimpoteza hawezi kunyamaza
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
@@mestonisimzosha203 mtoto wake aliuwawa akiwa kakaa kinya au akiongea!?. Na akiendelea kuongea ndio wataogopa wakae kimya!?. Dsasa endeleeni kumpa moyo yakimkuta mabaya sijui kama na nyie yatawahusu
@kiatu
@kiatu Жыл бұрын
Kuna kitu bongo hakiko sawa.
@MwazoaMwazoa
@MwazoaMwazoa 2 ай бұрын
Huyo mkuu wa mkoa Rais Amuhamishe tu.Visasi sio kitu kizuri.Na mkuu wa Mkoa Afanye uungwana Akaombe msamaha Au hata amuite waongee Amueleweshe tu ilivyo.Kikwete haja mkusudia Rais Samia kwa Baya lolote.Na hawezi kufanya hivyo milele
@mghuna
@mghuna Жыл бұрын
Huyu r.c.o analalamikiwa sana ajiangalia sana hata km ni kiongozi watachokaa watu
@EDDYMWASHAMBWA-c4q
@EDDYMWASHAMBWA-c4q 21 күн бұрын
Hueleweki wewe Kama popo asivyoeleweka Archana na din uende siasa unachafua ukristo
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz Жыл бұрын
Huyu mwamba aise anaongea kwa hisia sn
@fahmysawafi1263
@fahmysawafi1263 4 ай бұрын
Kiongozi wa dini ukiwa hivi je kondoo wako wakoje?? Kwa sababu dini inatupasa tuwe na heshima na viongozi wetu. Jiangalie usiingize siasa ndani kimvuli cha dini........ Punguza kiburi.
@alfrediaugustino1026
@alfrediaugustino1026 Жыл бұрын
Hii tabia ya police kunyang'a cm ipo Tanzania tu pekee
@SaSa-n2t1w
@SaSa-n2t1w Жыл бұрын
Nchi zingine haina haja ya police kuchukuwa cmu wao wanadukiwa cmu tuu na kuchukuwa ushaidi na km wakichukuwa kesi ikiisha au ukimaliza kifungo wanarudisha cmu yaani lever ya kuiba cmu hakuna
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 Жыл бұрын
Labda wanafidia na kulipa hasira zote kwa raia yaani hawatosheki na mishahara yao.
@alfrediaugustino1026
@alfrediaugustino1026 Жыл бұрын
Wana singizia et wanaenda kufanya uchunguzi kwenye cm kama unawasiliana na wahalifu wakija wanakuambia eti ulikuwa ulikuwa unawasiliana na magaidi kwaiyo cm yako utaacha Kwa uchunguzi zaidi .yaani hii nchi mahaskari wengi ni wezi Sana vituoni wanakuibia bila kukunyang'a cm unawapa mwenye, kituo cha mbagala maturubai nimeacha cm kituoni na laini yake Hadi leo sijarudishiwa toka mwaka 2016 na ukipiga haipatikani yaani hii nchi ujinga mwingi upo Kwa mahasikari wengi wao ni wezi wananyang'anya Mali ya mwananchi kupitia nafasi ya uongozi alionayo kuonea watanzania sababu hawana nguvu ya dola .
@SaraGidioni
@SaraGidioni 7 ай бұрын
Pastor uchungu ulionao mwambie MUNGU ndo msaada wako, mwanadam hata Mbingu ya kukupeleka nyamaza tu baba yangu katika kuzungumza unaweza kujikuta umemkosea MUNGU wako, naelewa umepita kwenye moto.
@emmanuelmodest7457
@emmanuelmodest7457 Жыл бұрын
Kikwete alisema kweli kbsa
@jamesbayo1910
@jamesbayo1910 Жыл бұрын
VIONGOZI SIHIARI. Kila utawala lazima Uwe na UKOMO. OLE WADHULUMAJI NA WATESI WA WATU WA MINGJ NYAKATI ZA FALME ZAO. RAISI WETU SAMIA USIWAACHE WATEULE WAKO KUWA WATESI WA RAIA WETU.14:27
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 Жыл бұрын
Tanzania tunakoelekea kubaya wazi wananchi walishaumia sana na wizi mkubwa kwa mali ya umma na hasa pale wanapoona baadhi ya viongozi wanashiriki kuhujumu uchumi
@abi-onlinetv4181
@abi-onlinetv4181 Жыл бұрын
Ndugu yangu. Unafuata hizi propaganda bila kujua
@Jal210
@Jal210 Жыл бұрын
Hasa hao walikuwa wakiendesha nchi hapo awali
@mnanasuly2585
@mnanasuly2585 Жыл бұрын
Yes tena kanisa katoliki wapetuibia sana kwa kupitisha vitu vingi bandarini bila kulipa kodi
@SalimuShaban-t9q
@SalimuShaban-t9q Жыл бұрын
Mchungaj anaongea. Kwahman kubwa ,lakni watu ambao nimapepo ,wanaon mchngaj anaongea hovyo , we unaemkosoa mchungj ndio hovy ,,,,,
@timboxlee919
@timboxlee919 Жыл бұрын
Amen mtumishi wa mungu, ongea mtu wa mungu,,
@FahmiAbdalla-oi8ed
@FahmiAbdalla-oi8ed Жыл бұрын
SAMAHANI'NAFKIRI BOS HUJAZALIWA(THIRD WORLD COUNTRIES)HAKI SHERIA KWETU NA LEO AFRICA?JEE WW MWENYEWE NI MTENDA HAKI'?(HUWEZI KUTETEA HAKI 'KM WW MWENYEW SI MTENDA HAKI)AFRICA ITABAKIA KUA AFRICA(UNLESS HUTOYAJUA KM UMEZALIWA STATES 'UNYAMWEZINI
@gloriousmwankotwa882
@gloriousmwankotwa882 Жыл бұрын
Vita si yenu bali ni ya Bwana , Bwana atawapigania nanyi mtanyamaza kimya. Nyamaza kimya mtumikie Mungu aliyekuita naye atapigana vita yako mtumishi wa Bwana. Haya yanatokea kukutoa kwenye mstari, mwache Mungu akutetee.
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 Жыл бұрын
Mbona sasa wewe haujanyamaza na komenti haijajiweka yenyewe??
@gloriousmwankotwa882
@gloriousmwankotwa882 Жыл бұрын
Ni neno LA Mungu ndo linasema hivyo mpendwa, kwamba Bwana atatupigania nasi tutanyamaza kimya, sio maneno yangu.
@msellemseif3102
@msellemseif3102 Жыл бұрын
WEWE MCHUNGAJI. KATI YA MH. RAIS DR. SAMIA SULUHU HASSAN NA ALIYEWAHI KUWA RAIS DR JOHN POMBE MAGUFULI NANI ALIKUWA DIKTETA???
@issaabdi9129
@issaabdi9129 Жыл бұрын
Wewe nyamaza acha kutafuta umaarufu. Baki sehemu yako ulipo.
@kawiche4911
@kawiche4911 Жыл бұрын
TUNALAANI UGANDAMIZAJI NCHINI WATANZANIA TUNALAANI UFISADI NCHINI TUNALAANI UBADILIFU WA FEDHA ZA UUMA TUNALAANI MKATABA WA DPW USIOKUWA NA TIJA KWA WATANZANIA HATUTARUDI NYUMA KUTETEA TAIFA HILI WIZI WA MALI YA UMMA TUTASIMAMA WANAMAPINDUZI NI WATANZANIA
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 Жыл бұрын
Mbona haujanyamaza wewe chawa??
@IbrahimuJaphet-hx2ns
@IbrahimuJaphet-hx2ns Жыл бұрын
Wewe hauna haki ya kumyamazisha mtu anapo onesha hisia na maumivu aliyopewa Kwa udharimu wa serikali wewe ni nani umyamazishe mtu unahaki gani,?
@ZablonGlove
@ZablonGlove 6 күн бұрын
Nchi hii Hata usipopiga kula kula yako washakuandikia mda sana Hata ukikaa kimya kweli ni kifo ukiongea ndo usiseme kabisa
@kombo8785
@kombo8785 Жыл бұрын
Aaaaaa hii Sasa Ni hatari nikwa ajili ya tamaa.ila bwana mjue hakuna aliye juu ya wote
@MosesKiula-c3y
@MosesKiula-c3y Ай бұрын
Mungu WA Haki Katika Kila Mmoja Mmoja Wetu Tuliopo chi chini ya Jua
@GeraldYamoya-hx3wc
@GeraldYamoya-hx3wc Жыл бұрын
Pole sana kuishi kwetu ni Kristo kufa ni faida usiogope
@MosesKiula-c3y
@MosesKiula-c3y Ай бұрын
Mungu WA Haki Katika Kila Mmoja Mmoja Wetu Tuliopo chi chini ya Jua
@psgospel3490
@psgospel3490 Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu, Mungu akutie nguvu zaidi ulivuke hili nalo. Naweza pata mawasiliano yako kama hutojali🙏
@mnanasuly2585
@mnanasuly2585 Жыл бұрын
Mtumishi gani mpumbavu kama huyu
@HashimYahaya-l9g
@HashimYahaya-l9g Жыл бұрын
Wewe nimjnga una haibu una rakufanya
@NokorenKuluo-xd7wn
@NokorenKuluo-xd7wn Жыл бұрын
Pole San mtumishi wamungu kwaunayo yapitia hao wote mungu atawajibu kwayote yanayo fanya kwa mtumishi wa mungu na kwa watanzania wote mungu yu hai
@ernesthungu
@ernesthungu 2 ай бұрын
Unatafuta Kiki msaka Tonge wewe sio mchungaji wewe
@GabrielPetro-qj2mk
@GabrielPetro-qj2mk Жыл бұрын
Amen masihi wa mungu
@akeloonyango1987
@akeloonyango1987 Жыл бұрын
Hivi? Ni nani aliezikwa na mali? Hizo mali ulizo nazo hazitoshi? Utaziacha hapa hapa duniani Bora mali zako uwasadie maskini wazee wajawazito uweke Hazina mbinguni Kama Mpendwa wetu marhem MENGI
@RaphaelMlaga
@RaphaelMlaga Жыл бұрын
Wewe Acha kupiga mikwara povu la nini? Unamapepo? Mtu mzima unaongea hovyo? Acha afande afanye kazi yake kama unamakosa uachwe?
@fredrickjohnson2692
@fredrickjohnson2692 Жыл бұрын
wewe unaongea hivo kwakuwa usha kufa, na unakufa sikusio nyingi. ajari, bunduki, magonjwa ya kansa, na wanyama pori, mbwa mwitu, vitakutafuna
@MUSSAPAUL-qo8hj
@MUSSAPAUL-qo8hj Жыл бұрын
Nyie bila shaka chakula chenu ni Damu za watu et!!!?????? Nyie ndio mapepo na majini Wala Damu ila Mungu wa kweli wa haki atayalipa tu
@josimo7083
@josimo7083 Жыл бұрын
Kakojoe kalale
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 Жыл бұрын
Mpumbavu wewe
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 Жыл бұрын
Sawa mtakatifu usie na mapepo unaeiwazia mema Tanzania hata hutoi mapovu kama yeye
@emanuelandedela7901
@emanuelandedela7901 Жыл бұрын
Mtumishi kafanyaje jamani mbona sielewi!! Hadi naogopa anavyoongea
@mohdkhamis1031
@mohdkhamis1031 Жыл бұрын
Mbona makanisa yanatoka povu kipindi hiki😂😂😂
@katwigayona8041
@katwigayona8041 Жыл бұрын
Acha watoe povu shida yako nini
@kawiche4911
@kawiche4911 Жыл бұрын
Makanisa Ni jingo Wananchi wamechoka ufisadi tangu uhuru Sasa ndugu tetea haki . Pigania haki za Taifa hili Serikali yetu mikataba hovyo kila kukikucha sasa tusimame pamoja. HAKUNA WA KUTUTETEA TUSIMAME WENYEWE KUOKOA TAIFA LETU
@abi-onlinetv4181
@abi-onlinetv4181 Жыл бұрын
Wamechanganyikiwa hawa
@agustinohizza1395
@agustinohizza1395 Жыл бұрын
Yanaong'ozwa na roho wa bwana nyinyi mnaongwa na nani.
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 Жыл бұрын
​@@abi-onlinetv4181 na wewe je???????
@LameckMalo
@LameckMalo 13 күн бұрын
kes ya nyani ukampe ngedele? kweli nikukumbushe tu ushawai kusikia kiapo chao nikukumbushe tu wanapo hapishwa nipo tayali kutetea chama nakulinda katiba kwaiyo sijui tutafanyaje maana hata wakifanya vibaya watateteana na kulindana tu sijui unaelewa? mtumishi
@LydiaMuhoja
@LydiaMuhoja Жыл бұрын
Mungu wangu akulinde na maadui kila wakati mtumishi wa Mungu, vita ni vya Bwana mwenyewe
@mwalitv4555
@mwalitv4555 4 ай бұрын
Usimhusianishe mzee kikwete na ujinga wako unalalamika tuu kama mwanamkee....clip ya kiwete haiendani na unachosemaaa...wewe ni mwokovu ila likorofi haushape na Mungu....anahekima ila huna busara...nadhani shida ni shule...ndio maana maandiko yanesema mshike elimu usimuache aende zake...
@popekatalango9409
@popekatalango9409 Жыл бұрын
kuna mtu anaweza kunieleza uhusiano wa clip ya kikwete na hiki anachozungumza huyu bwana? kauli ya kikwete ilikuwa ni kupinga na kukosoa wale wenye kuzuia mawazo ya watu kifupi wale wenye tabia ya kuwanyima watu uhuru wa kutoa mawazo yao,na yeye ndivyo alivyokuwa hakuwanyima watu fursa ya kutoa mawazo yenu,sasa kosa la kikwete ni lipi hapo? jiepusheni na chuki zisizo na msingi, chuki ikizidi huondoa maarifa, kama kuna mambo yalimpata huyo bwana pole zake lkn amejaa chuki na ghadhabu tena inazielekeza au kuzihusinisha na clip ambayo haina uhusiano wowote na anachokizungumza,wengi humu wanasapoti na kupongeza eti sababu anaezungumza ni mchungaji au ni shekh,tukatae haya mambo kama shekh au mchungaji amezungumza lililo sawa yapasa kulipokea kama sio la sawa yatapasa tulikatae,sio kupongeza tu sababu ni mchungaj
@mohamedmagongo9348
@mohamedmagongo9348 Жыл бұрын
Huyu Jamaa ni chizi, anadai hamuogopi Mungu.
@mimimimi-pg5uk
@mimimimi-pg5uk Жыл бұрын
mohamed huna akili. tafakari maana ya alichokisema sio unajamba tu@@mohamedmagongo9348
@thomasrichard7465
@thomasrichard7465 Жыл бұрын
Si arudishe sim zao, Serikali hii ni honevu sana
@MaxyimillianyValelian-ey6hl
@MaxyimillianyValelian-ey6hl Жыл бұрын
Et hat mie nashangaa cion uhusiano
@ibrahimallyweunaijuahiyoco8608
@ibrahimallyweunaijuahiyoco8608 Жыл бұрын
huyu mwehu bila kufanya uchungaji huko kondoo wako wanapotea
@kagetaabdallah3712
@kagetaabdallah3712 2 ай бұрын
Kipindi cha magufuli mlikuwa wapi watu wanauliwa kina Ben saanane wamepotea ulikuwa wapi. Acheni chuki udini mmeuweka mbele sana kwa ilo amtofanikiwa ata siku mmoja
@MurunguwetoshaDeheaven
@MurunguwetoshaDeheaven Жыл бұрын
Broo inatosha nyamaza
@williamsenkoro2210
@williamsenkoro2210 Жыл бұрын
Kauliwa mtoto wake mkuu
@noeleliasi8401
@noeleliasi8401 Жыл бұрын
akinyamanza mawe yataongea
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 Жыл бұрын
Mbona haujanyamaza wewe na komenti yako ya kipumbavu hapa??
@juliusjohnii7823
@juliusjohnii7823 Жыл бұрын
​​@@sifawayesu7079ibu kistahaa mpendwa sifa. comment ya huyu ndugu haina ubaya wowote, hata Mimi ningemshauri mtumishi wa Mungu kuwa tabu hii sasa inatosha,, hivyo tumlilie Mungu wetu pekee , twende mbele zake kwa hoja tumkumbushe tunavyo simama upande wake siku zote,na yeye sasa asimame upande wetu ye ni mwaminifu anafanya kabisaaaaa sawa na haja zetu. Kuliko kuwapigia gitaa mbuzi, wasipocheza tunawaona wapuuzi. Wakati wao hawaelewi mziki. Tunakosa maarifa, fahamu wengine hawamjui Mungu wetu kama farao, hivyo wataendelea kupingana na mapenzi ya Mungu,, hawa wanahitaji saaana miujiza inayo tokana na maombi makuuuu ya kumlilia Mungu bila mzaha.
@USACAUDIOVISUALMATERIALS
@USACAUDIOVISUALMATERIALS Жыл бұрын
AFYA YA AKILI IKITETEREKA UNAJISIKIA KUROPOKA TU.
@nassoroyahaya821
@nassoroyahaya821 18 күн бұрын
Wewe ni mchochezi tuu kwa chuki za akiyeko madarakani kwakuwa ni Muislamu kwani wewe ni kiongozi wa siasa au ni mwanaharakati wa msalaba?
@masoudamini8623
@masoudamini8623 Жыл бұрын
Mbarikiwa una mapepo ya chadema Una mapepo ya chadema Nenda ukaombewe😂😂😂
@BlessingsBaraka-x6j
@BlessingsBaraka-x6j Ай бұрын
Wewe unajua .uchungu wa kufiwa na mtoto tena utubu
@neemanziku5403
@neemanziku5403 21 күн бұрын
Yan mtumishi hapa Tanzani tukiongea ukweli kesho tumetekwa au tunasingiziwa kesi ubadifu wa fedha hatakama ni muuza kalanga
@jumamnemo8383
@jumamnemo8383 Жыл бұрын
Huyu ni mgojwa anaumwa akili.
@mnanasuly2585
@mnanasuly2585 Жыл бұрын
Wachungaji wamekasirishwa sana na bandari kwa sababu sasa hawatopitisha tena mali zao kijanja kijanja. Shenzi kabisa. Dp world chukuweni bandari muwakomeshe mafisadi wachungaji
@manjoriwakunesa7006
@manjoriwakunesa7006 Жыл бұрын
Ninegundua wewe nimwehu
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile Жыл бұрын
Wewe sio mwehu. Umeshinda anza kushangilia
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 Жыл бұрын
Jinga ww subr yakukute utamuunga mkono
@AnnoyedBowtieCat-tw2ec
@AnnoyedBowtieCat-tw2ec Ай бұрын
Ilo lizee litakufa vibaya nikweli bana inatuuma sana watanznia kumpoteza hayati magufuli inauma sana sana
@mathiasmanonga3939
@mathiasmanonga3939 Жыл бұрын
Pastor bora ungehubiri tu siasa itakuponza huiwezi waachie wanasiasa wewe hubiri tu ndugu
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
Kweli
@modestapeter2997
@modestapeter2997 Жыл бұрын
wewe unajua maana ya neno siasa? au umekalili tu hata hujui kua hata baba yako au wewe kama unafamilia na kunamambo una amua basi nawewe ni mwanasiasa
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
@@modestapeter2997 neno hubadilika maana linapokuwa kwenye sentesi fulani. Alicho kikushudia ni serikali. Anamaanisha aache kuisema serikali ahubili dini yake.
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile Жыл бұрын
Ujuacho wewe kuwa ni siasa mimi najua ni injili. Kwani kwangu injili ni kupinga ubaya tu mwanzo mwisho. Hivyo hicho ujuacho wewe kuwa ni injili hubiri wewe.
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
@@Mbarikiwa_Mwakipesile nitumie link ya video zako nione na wewe mahubili yako ili niweze kuelewa kweli na wewe unapenda injili
@lubatikoseme6613
@lubatikoseme6613 Жыл бұрын
Kikwete ndie anaongoza nchi... kipindi cha magufuli alifyata mkia
@kombomakame5778
@kombomakame5778 Жыл бұрын
Mchungaji gani ambaye huna adabu kama unajisifu unajisifu humuogopi Mungu,unaonekana hata akili inahitaji kupimwa, Mtumishi feki uliyejaa hasira na chuki, unatoa povu lisiloisha, umeshindwa hata kuficha chuki zako, una gubu kama mwanamke, unatoa clip ya kikwete ambayo haina uhusiano na Mh.Rais Samia, hiyo habari inahusiana na uongozi wa mwenda zake. Utawatisha wasiojielewa, huna lolote, njaa inakusumbua, Mungu hapangiwi kwa utumbo wako.
@luganomunuwavanu9369
@luganomunuwavanu9369 Жыл бұрын
Kama huyu ni mchungaji feki basi tunayo kazi ngumu kuwapata wachungaji wa kweli
@JohnManyilizu-b6h
@JohnManyilizu-b6h Жыл бұрын
Huyu ndiye mchungaji wakweli siwengine watafuta ugali
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile Жыл бұрын
Kaifuatilie full ukaone maswali alikuwa anaulizwa kuhusu nani? Adamu alimwogopa Mungu kwa sababu ya dhambi. Hata wewe unamwogopa Mungu kwa sababu ya midhambi. Ila kwa watu wake ametaka wasimuogope bali wamkaribie. Mwogope Mungu ikiwa unatenda midhambi. Fuatilia clip nzima uone swali lilihusisha uongozi wa samia au Magufuli kzbin.infoxrP98R31iDc?feature=share
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 Жыл бұрын
Mpumbavu huchangia kipumbavu.yuko sahihi
@allylumba8860
@allylumba8860 Жыл бұрын
BASI SASA NASEMA BADALA YA .MTUMISHI WA MUNGU MBARIKIWA NIMELAAN MAISHA YAKO MAGONJWA NA TAAB YATAKUWA JUU YAKO USIMGUSE MASIHI WA BWANA
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
小丑妹妹插队被妈妈教训!#小丑#路飞#家庭#搞笑
00:12
家庭搞笑日记
Рет қаралды 38 МЛН
The joker favorite#joker  #shorts
00:15
Untitled Joker
Рет қаралды 30 МЛН
HUYU MZEE KAJIZILA NA KUONGEA HAYA ANAJIONA KWELI?
6:38
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 660
GODBLESS LEMA AKIZUNGUMZA NA RAIS SAMIA MAMBO MAZITO
21:28
Chadema Media TV
Рет қаралды 149 М.
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17