Watanzania ni watu wenye akili sana unabwabwaja hapo wanakuchora tu ,ukiyakoroga unawakimnbia ba kwenda uberigiji.
@gracekagoma32312 күн бұрын
Hebu fikiria Lissu kama ataweza kugombea urais,itakuwa balaa. Lissu anataka ushindi kwa nguvu.tu.japo hana sifa za kushinda😢
@melch30972 күн бұрын
Anataka hata katiba ya chama ivunjwe, eti leo Waleed hakuna
@melch30972 күн бұрын
Anataka hata katiba ya chama ivunjwe, eti leo Waleed hakuna
@robertphilip3852 күн бұрын
Kwahiyo wewe unaona wenyesifa ni wauza bandari siyo
@gracekagoma32312 күн бұрын
Poleni sana C h adema.😢kwa kuwa na dikiteta kama Lissu😢😢Ke I ele zake sisi raia na wazalendo tumezichoka.Lissi mwa n aume suruali tu😢😮 Mwachieni lissu chama chenu atawale bila uchaguzi.enough is enough😢Kasuku😮
@robertphilip3852 күн бұрын
Peleka uchawa
@michaelmaterego24892 күн бұрын
Kama hujui siasa aja KULETA uchawapofu
@simbarajabu41572 күн бұрын
Mpeni lisu
@fredrickmwakalinga63902 күн бұрын
Akamchukuwe.timu msigwa wawe wasimamizi Lisu ni mamluki wa ccm hii haina ubisha mtamwina miaka 2 ijayo
@fredrickmwakalinga63902 күн бұрын
Mbowe mitano tena
@HijaSaid-t6c2 күн бұрын
Tunahitaji kingozi wa haki sio Chawa Mamluki
@MarygetrudeKyauke2 күн бұрын
Yaan mm naona unasumbuka tu kiongozi, sasa umaarufu wako ulioujenga Kwa muda mrefu unaenda kuanguka vibaya sana
@EliyaNgilangwa2 күн бұрын
Mifumo Inamruhusu kufanya anacho kufanya kikatiba hakuna Baya aliloongea isiyoshe Kati yetu Sote hakuna mjumbe mjumbe WA mkutano Mkuu hivyo tuwaachie wapiga kura wakaamue Kwa niaba yetu
@MohammedHimba2 күн бұрын
Sasa tatizo ni wenzenu wanashiriki uchaguzi hata nyinyi mkikataa
@soudmoshmnyika58132 күн бұрын
Mimi najiuliza mda wote akiwa makamu mwenyekiti chadema kwa mda wote huo hakuweza kugundua madudu hayo aje kuyagundua leo? Tunavyofaham makamu mwenyekiti huwa anasimamia majukum ya chama yote pindi ambapo hayupo mwenyekiti je hilo hakuliona na kwanini alikaa kimya? This is politics
@ObeidChamila2 күн бұрын
Mvinyo uleule kwenye chupa mpya
@ObeidChamila2 күн бұрын
Huyu lisu anapiga kampeni au ?? Anaongea kama mm semaji mkuubwa chama au anatafuta huruma? Alikuwa wapi na mambo haya uoote anayoongea?
@husseinkonz51922 күн бұрын
Hii ni vita nzito wacha tuone
@ObeidChamila2 күн бұрын
Viongozi wa dini waingievkwa mfumo wako wasche kazi walioitiwa? Su kwasbb madhabuhu za mungu zimegeuka majukwaa ya sissa na kuscha kuhubiri neno la mungu?