Mnaochagua mchagueni Lisu achana na Mgabe huyo hafai kuwa kiongozi kabisa
@NDEWARA3 күн бұрын
Lissu yuko kazini kuimaliza CHADEMA 😢😢na wasipoangalia huu ndiyo mwisho wa CHADEMA kama chama cha siasa 😢😢
@SabastianKazana3 күн бұрын
Mimi si mupiga kula chadema kitaifa lakini lakini maombi yangu ya kukutakia ushind mimi wa kwanza na nilazima unashinda maan una kila sifa ya kuwa mwenyeki taifa maana ulitowa damu yako kwa ajili ya sisi wanyonge lissu
@bernardshabanshija9244 күн бұрын
Mwanzo walikuwa ni mashujaa, lakini walipo samiti chama tuwaiteje hawawezi kuendelea kuitwa mashujaa. Kwani Msigwa hakuonekana Shuja akiwa chadema lakini alipo sliding chama tunamwitaje. Mzalendo hakimbii chama nabaki ndani kupambana na kubadilisha mfumo. Ccm kaeni pembeni katika hili.
@yahayalugongo48254 күн бұрын
Huyu ni wakumuangalia sana
@LovelyBrain-wz7si4 күн бұрын
Wewe ni mnafiki huwa unawaita covd 19 Leo unawaita mashujaa
@Leodimk-n5c4 күн бұрын
Covid 19 msiwarudishe japo tunajua huenda Mbowe ndio mpango wake hawa labda wakaunge juhudi ccm
@kingkendrickk4 күн бұрын
Mbowe achia kiti hicho
@MaximeMasinga4 күн бұрын
kumuelew TAL inahitaji akiri naon ccm wanahangaika😂😂
@Sahlomon-jp4jr4 күн бұрын
Yaani we ni lipumbavu lililopitiliza
@MaximeMasinga4 күн бұрын
@Sahlomon-jp4jr 😁😁😁😁we ndio kituko naona povuu km una undugu na mama abdul inawezekana hata chakula cha mchana kinakupga chenga maskini y mungu halafu nyooooo 🤣🤣🤣
@Sahlomon-jp4jr3 күн бұрын
@@MaximeMasinga usilolijua ni sawa na usiku wa Giza. Endeleeni kujifariji na huyo tobo wenu lkn ukweli ni kuwa ameachwa mbali mnooooooo na Wala haitokuja kutokea eti aje kuwa Raisi wa nchi hii......achilia mbali kuwa mwenyekiti wa hicho chama