Jamani watanzania njooni tuumie na huyu. Muuguzi wa Dodoma
@user-wq2fh5rx4s14 күн бұрын
Naish naye jilan Dom kwa rose mhando kwa pemben yake
@user-xh8kd9ze7o10 күн бұрын
Kwakweli ww mama mungu akubariki Sana na atakupa maisha marefu sana
@austinmcharo92810 күн бұрын
Very emotional...Mungu awajalie kheri katika vizazi vyao,,,
@paschalmagai75115 күн бұрын
Mungu ni mwema sana siku zote
@abdulhakeem95914 күн бұрын
Na mijitu hata haishughuliki na jaribio hili la mauaji
@josephmkinga950913 күн бұрын
bora wakuu wa mikoa wachqguliwe na wananchi kwa sababu wanasimamia lasimali na kuongoz wanachi mkoa mzima na sio wasichagukiwe na mtu mmmoja ajabu sana masisiemu hayo.
@williammwamalanga106514 күн бұрын
Pole sana wewe muuguzi wa dodoma nimeumia sana sana Mimi Askofu William Mwamalanga namuomba Mungu Atakuinua sana sana lakini Mhe Rais samia suluhu Hassan atakusaidia
@TitoRufizi-xb2ub13 күн бұрын
Hii nchi ina watu mashetani yaani viongozi wanaonea wanyonge sana
@driss495715 күн бұрын
Hiii nchi Ina uonevu sana...
@timothnkhambi318814 күн бұрын
Hongera sana dada Kwa kumsaidia,kaka yetu Lisu,Pole sana dada
@kennedykassian526914 күн бұрын
Kwa aliyewah kuishi dodoma lazima anamjua huyu nesi ,ni mcheshi na jasiri sana namkumbuka sann,Mungu amsaidie sana
@robisonikadogo737114 күн бұрын
We mama mwenyezi mungu skuongezee,na wote muriyo muudumia rissu
@uredmwasembo857914 күн бұрын
Mungu yupo kwa ili tupo pamoja
@user-rn9og1rk3l15 күн бұрын
Huyu jamaa aise ni tunu ya taifa
@elialugano167915 күн бұрын
Nice and humanity talk
@williammbuzimai574414 күн бұрын
Nahisi kutokwa na machozi mie😢😢😢 Anyway Mungu yupo Na anaweza
@user-qz2cs5wm5u15 күн бұрын
Anglia kiongozi unaweza ukamponza maana waliousika awakutaka upone
@kibasamohamedi802910 күн бұрын
Duh jamani Mungu atakusaidia
@mugemainyas524114 күн бұрын
SIASA SIO SAWA HATA KIDOGO. SIKU ZOTE NILIKULAUM KWA KUWATQJA MADAKTQRI WA NAIROBI NILIHISI KAMA HUTAMBUHI JITIADA ZA MADAKTQRI NA MANESI WA TANZANIA. POLE LISSU NA ASANTE KWA KUONGEA NA HUYO DADA NIMEFARIJIKA.
Ilipangwa Lissu afe na sio kuwa hai !! Hivyo wote waliomsaidia kuishi waliipata fresh !!
@dn.n498315 күн бұрын
Jamani kweli miujiza pole sana pia asante waguzi kweli mnatakiwa kupewe Nobel kwa kweli huyu unatakiwa kufanyia kitu
@HannaSamson-nq3hc6 күн бұрын
Weka namba yake tumchangie afungue biashara. Ila kizazi chake kime barikiwa milele yote.
@salama111313 күн бұрын
Mungu mlinde huyu mama mana huu ukweli utakuwa mchungu kwake
@RwegoshoraPatt-os2ik14 күн бұрын
Mama tunakushukuru kwa uzalendo katka kutimiza wajibu wako maana yataka moyo pia mko wengi mliokos maisha ya mh. Lisu
@georgemwapela165415 күн бұрын
Haya majambo yanatutokea sana.Mimi ni Mwl George W.Mwapela mwajiriwa wa ualimu sekondari 2007.Nilitolewa kwenye Payroll 2014..Nimefuatilia jambo langu kwa muda mrefu sana mpaka Leo nafuatilia jambo langu na sijafanikiwa.Naambiwa ni mtoro na sijawahi kusikilizwa sehemu yoyote.Kuna watumishi wanatumia madaraka yao vibaya....
@directorkaswale804714 күн бұрын
Pole Sana
@jilalamaligisa485414 күн бұрын
Dah inaumiza sana jamani
@ourearthmatters520614 күн бұрын
Pole sana mwalimu Tutaftane NIKUSAIDIE
@rehemakanyere418814 күн бұрын
Pole sana
@chage9714 күн бұрын
Ripoti ofisi ya chadema Makao makuu haraka tutaita vyombo vya habari
@teddygabriel566214 күн бұрын
Hizo pete vp All in all ulifanya vzr kusave life
@cyprianpetetmbonde637414 күн бұрын
Kwa tukio la Lissu na huyo mama ni ushahi di kwamba kuna baadhi ya watumishi ni wapumbavu sana na wanajiamini kiasi kwamba hawatakuwa nje ya ajira kwa sababu yoyote.
@leoncebenjamin810714 күн бұрын
Dah pole
@christophermakunzo423211 күн бұрын
Daaa pole sana...
@LeonardSiame14 күн бұрын
Mungu atakulipa
@user-bn4br7qm7r14 күн бұрын
Cheki huyo mtoto alivyotulia lissu ni mbarikiwa
@philipongenzatv14 күн бұрын
Safiiii sana
@rugemalilalucas453314 күн бұрын
Wewe muuguzi ubwarikiwe na BWANA mno. Jina la BWANA wetu lipewe sifa na heshima zote.
@saidiathuman-og6bc15 күн бұрын
Tanzania tumekosa viongoz wazarendo ,so mungu atupe walio bora
@feruzmato442214 күн бұрын
Pole mheshimiwa
@zebedayokatamaduni967610 күн бұрын
Kamanda Lisu tuko pamoja
@mwijagejoseph167514 күн бұрын
Acha Mungu aitwe Mungu
@ngalamawecheslous997614 күн бұрын
Mungu akutangulie mama
@SalamMasanga-hb4lt9 күн бұрын
Mungu akulinde sana zaidi ya sana
@user-md7sd3hk6l14 күн бұрын
pole dada
@InnocentCharles-hm3ff14 күн бұрын
Tukio hili ,Linahuzunisha sana ...still kuna usemi upo unaitwa " tunajivunia amani yetu"...jah see n know!...
@godfreybitakama984515 күн бұрын
Hakika mungu wetu ni mwenye nguvu
@Nicolasmosereta14 күн бұрын
Weka mkeka watanzania wafanye jambo Kwa akili ya huyu mtu mwema
@user-md7sd3hk6l14 күн бұрын
pole dada pole lisu
@EmanuelMwambu14 күн бұрын
Hapo hakuna cha manesi, Wala dakitari ni mpango wa mungu tu.aTundu lissu uendelea kuishi.
@exprodigitaltechtv557114 күн бұрын
Mbona we ukiumwa cha kwanza unakimbilia hosptal au duka la dawa sinl utulie kwako usali tu😂😂😂, then mungu ndo mtowaji wa vipawa na vipaji vyote
@GIFTKIWELU15 күн бұрын
Dah
@SamsonLubimbi15 күн бұрын
Inaumiza sana jmn
@odoieriasmonga659115 күн бұрын
Hiyo ndiyo Tanzania mnayoisifia kua Nchi ya amani
@jamessiame516914 күн бұрын
Kweli kabisa
@dennisezakiel338014 күн бұрын
Tanzania hakuna haki
@sangomamourice353914 күн бұрын
Hakika ukuu wa mungu
@TitoRufizi-xb2ub13 күн бұрын
Huu ndo utawala wa ccm
@user-bp7nb7yp2o15 күн бұрын
Jamani inasikitisha sana.
@coms264015 күн бұрын
God
@stevensteve751914 күн бұрын
Weka vizuri cv yako mama 2025 utakuwemoo
@victorphilipo15 күн бұрын
Mama pore uritimaza wajibu wako rakini hawakufurahia hivyo kwa Sasa naye afanye kazi yakisheria akusaidie
@JosephatNziku14 күн бұрын
mungu mkubwa sana
@leothardngonya484211 күн бұрын
Ili iweje.
@edsonmnego403014 күн бұрын
Watu wengi naona mnasema amsaidie sasa mnavozani atamuacha hvohvo
@Mauya2314 күн бұрын
Kuna haja ya Diet balanced Mh. mana hiyo ndambi inaelekea kubaya
@benedictmrisho180015 күн бұрын
Jamani tuwakumbuke sana manesi na madaktari na watumishi wa hospitals wanafanya kazi kuokoa masha. Mungu atawalinda tu.
@samsonmweta504014 күн бұрын
Hawa wauguzi na madokta waliokoa maisha yake
@marcokaroje898012 күн бұрын
Ndiyo maana Mungu hatoi taarifa ya kufa kwetu waovu wanapoteza na kuuwa kwa tamaa ya madaraka wajifunze baada ya shambulio lililomkuta Lissu bila shaka walishakufa ndiyo eti wakaitwa mashujaa wa Afrika kwa uovu huu Mungu aliwaonesha ukuu wake kuwa na wao hawastahili kuishi kama ambavyo wao wanawaambia wanasiasa wenzao kuwa anaewapinga hastahili kuishi wanasahau kuwa na wao ni binadamu kama wanaopingana nao kuna siku nilimwona kijana mmoja anawabia Askari wasiulize kama kutakuwa na watu watakaopotea huyo kijana ameshapewa ruhusa na Mungu muovu kuwadhulumu maisha wanaopinzani wake
WEWE MAMA TULIA HAPO UNAONGEA NA RAIS AJAYE JITUNZE KIAFYA NEEMA IKO MBELE ACHA PAPALA JITUNZE KWA MUNGU ALIYE KUKUTANISHA NA HUYO RAIS AJAYE MH: TUNDU LISSU NI MUNGU TULIA ATAKAYE KUPATIA HAKI NI MUNGU HUYO HUYO KUPITIA TUNDU LISSU
@ukweliunauma457014 күн бұрын
Masjabu mambo yote haya unayo yasikiaa mabaya mqbaya nashangaa na bado CCM inashinda bora na mie nimfate huyu shetani ana nguvu kweli hamna njia, napenda uonevu chama kinanifaa hichi 😂😢
@deluxwoiso99915 күн бұрын
😢😢😢😢😢
@user-yw3qh6qj8g14 күн бұрын
Huyomtoto aliepakatwa, malezi,nynyanyanya
@TMTZONLINETV14 күн бұрын
hatari sana
@simonshimba775914 күн бұрын
Ila inchi imejaa watu waoneaji
@oswaldtemba277014 күн бұрын
Hivi nyie mliodhamiria kumuua,mnajisikiaje mnavyomuona lisu yuko hai.
@floriankiiza753315 күн бұрын
Lissu hawa manesi ungewapa zawadi kidogo kama shukrani ya kutambua mchango wao.
@danielmakundi892714 күн бұрын
Kwani akimpa hata zawadi kidogo ww una haja Gani kujua?
@philipongenzatv14 күн бұрын
Serikalini pabaya sana usiombe
@dianamakyara421014 күн бұрын
Yaani lisu nimuujiza unaotembea jamani🤔
@mugemainyas524114 күн бұрын
POLE DADA DU JAMANI
@user-qv4jb7mt5q14 күн бұрын
Atakuwa na uhakika Gani kama ni wewe uliemuhudumia? Muda wote alikuwa wapi? Pengine ni propaganda zime pangwa
@BonaBonala-bp5qm15 күн бұрын
Huyu ni mtumishi wa serekari ya ccm wewe uriee serekarini unaiteetea ccm mtakufa Kwa shock
@daviekleva185615 күн бұрын
Tumtag @mtaka
@MussaSimeon14 күн бұрын
Mungu hashidwi najambo lolote
@ananiamwatebela315914 күн бұрын
Mbn hamna saut
@fransicmushenyera930214 күн бұрын
ukweli utaujua siulisema magufuri hakukusaidia waliokusaidia ni wakenya sasa ukweli umelipa uwongo unajitenga unaona haibu
@johngerald467714 күн бұрын
CCM oyee
@dennisezakiel338014 күн бұрын
Binadamu tunajidai bure leo unamfanyia mwenzio mabaya kwani utaishi milele?? Watu wanyonge ndio wanao kandamizwa alfu leo watu bado wanaishangalia ccm mnaona watu wanvyoteseka?? Tuungane kwa pamoja 2025 ccm itoke madarakani
@francissimwinga-gb2vd15 күн бұрын
Hapo ndio huwa namshangaa MUNGU maajabu yake lakini MUNGU ni fundi kafanya yake lissu anaishi
@JacksonFrances15 күн бұрын
Milìma Haikutani ilà Binadam huķtanà"
@chage9715 күн бұрын
Jamani tumchangie huyu mama
@MiriamAbdallah15 күн бұрын
Kweli inabidi tufanye hivyo, ati Tanganyika Kuna haki na amani😢😢😢
@deokimena516815 күн бұрын
Naunga mkono hoja
@MiriamAbdallah15 күн бұрын
@@deokimena5168 👍
@davidkawesa359415 күн бұрын
Haki yako umepata Mungu mwema
@johnmwanyika14 күн бұрын
KAMA SISI, TUNAUMIA HIVI TUKIONA ANAVYOCHECHEMEA KWA SHIDA AKITEMBEA. JE KWA FAMILIA YAKE WANAUMIA KIASI GANI NA WATU WAKE WAKARIBU?. Kuna siku itafika watajulika waliofanya hicho kitendo hakuna kitakacho fichika tena.
@deokimena516815 күн бұрын
Haki ya mtu haipotei.Tundu do something
@user-ij2lp1om6i14 күн бұрын
Huyu mama hizo pete za nini
@franciscoivo159114 күн бұрын
Anton mtaka udescent wote ule kumbe naye yupo hivyo....tumejua mengi asee
@davidkawesa359414 күн бұрын
Wamejificha tu ssm hawezi kaa nawewe kama huendani na m Wao
@fredyjeremia707414 күн бұрын
Huyu muuguzi asiporusishwa kazin hakika mkono wa MUNGU utashughukika na hao wooote waliomtoa kazini kimakususi.
@msabahaali75814 күн бұрын
hakika Mungu ni mkubwa pole dada kwa yote yaliokukuta pole lissu kwa yaliokukuta sana ndio maisha na ndio mipango ya Mungu yuko wapi Magufuli leo wako wapi watesi wako