Wezi WAKAMATWA ARUSHAA....UWIII....Ona KINACHOTOKEAAA!!

  Рет қаралды 220,555

SUPER TAMUTAMU

SUPER TAMUTAMU

Ай бұрын

Пікірлер: 209
@user-fl3yl4or3e
@user-fl3yl4or3e Ай бұрын
Gombea uraisi makonda tutakupa kura ushinde kwa kishindo 😊
@ErickBandushiEtien
@ErickBandushiEtien Ай бұрын
Chapa kazi Mungu akutie nguvu.Aminaaaa
@BraisonMeela
@BraisonMeela Ай бұрын
Hakika utendaji kazi wa huyu mhe. RC wa Arusha unafaa kuigwa na wakuu wote wa mikoa. He is a role model for Regional administration and leadership
@user-pi3sv8kz4f
@user-pi3sv8kz4f Ай бұрын
Barikiwa sana mtu wa mungu bay rev elimbingi lema
@Nedjadist
@Nedjadist Ай бұрын
Kuna watakaosema mtindo huu sijui ni uvunjaji wa haki za binadamu....lakini binadamu wanaowatetea ni wale wavunja haki, si wale wanaovunjiwa, kuliwa rushwa, kuteswa katika kupata haki zao.....nasema Makonda mtindo huo ndio unaowafaa majangili wa Tanzania, maana wamekubuhu katika impunity. Ningependa pia wataifishiwe mali zao, watiwe jela, wapigwe viboko 24 na kazi ngumu. Pambaafu hawa!
@gililwise
@gililwise Ай бұрын
Kabisaa tena ni wanafiki.Makonda piga kazi tunakuombea Mungu kwani anajua unachokifanya
@JafariHamisi-gu4ef
@JafariHamisi-gu4ef Ай бұрын
😅😅😅safi kabisa😅😅
@ezekielsabiyumva8048
@ezekielsabiyumva8048 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@EliasMollel-kl9hf
@EliasMollel-kl9hf Ай бұрын
Safi Sana mkuu wamikoa matendo Nia Baba makufuli mungu akufunike pia akupe ngufu yakuweesa kutetea haki
@user-vn3wi4dh2c
@user-vn3wi4dh2c Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@jeziofrancis5632
@jeziofrancis5632 Ай бұрын
Mh. Mkuu WA Mkoa, Paul Makonda, apewe Ulinzi. Anafanya kazi nzuri sana , lakini baadhi ya watu hasa WA aina hiyo anaowashughulikia, hawampendi. Mungu wetu akulinde, utetee maslahi ya Watanzania kwa haki
@EmanuelSafari-hi9ll
@EmanuelSafari-hi9ll Ай бұрын
very nice makonda
@bhokemarwa6114
@bhokemarwa6114 Ай бұрын
Hongera sana mk.wa mkoa wa Arusha wewe ni magufuli wa pili.
@filberthenrick
@filberthenrick Ай бұрын
Roho ya Magu kazini, Asante Mungu kunifanya Mtz
@nikoletaugi3247
@nikoletaugi3247 Ай бұрын
Mungu wangu akubariki sana ,nakuombea kaka Mungu akulinde
@isdolypaulo8822
@isdolypaulo8822 Ай бұрын
kuna watanzania baba zao ndii wezi wanasubil makonda akosee kidogo waanze kutuma mesegi kwamba makonda ana kibuli anatukana sasa mmeona kazi kubwa anayo fanya makonda ndio mjue makonda yupo kazini na ataendelea kufanya kazi mpak mwisho wake utakapoishia asante mungu aendelew kukupa pumzi ndefu mheshimiwa MAKONDA🔥🔥🔥✅
@jumannemagawa5095
@jumannemagawa5095 Ай бұрын
Fanya kazi baba mwenyez mungu atakulinda
@sudymohamedy9717
@sudymohamedy9717 Ай бұрын
Hakika makonda unayoyafanya Mungu akulinde
@barakamgimba5706
@barakamgimba5706 Ай бұрын
Team makonda like zenu apa❤
@makambamohamed3632
@makambamohamed3632 Ай бұрын
Siipendi ccm lakini watu wanaofanya vizuri kama hayati Magufuli na huyu Makonda bigap sana mwamba ninaona taswira ya Magu ndani yako
@JolotaErastoJuma
@JolotaErastoJuma Ай бұрын
Ni mwendo wa span tu span tu piga kazi kaka🎉🎉🎉🎉❤❤❤🎉🎉❤❤🎉🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉
@FloraIloko
@FloraIloko Ай бұрын
Naomba mungu akulinde makonda wezi apa wapo bize kukimbia mtakimbia kwa makonda lakini hamtakimbia jicho la bwana na maskini baadae nyie mtakuja kutubu ole wenu kwa laana mtakayoicha kwa vitoto vyenu na vijukuu
@gladysmugwa1859
@gladysmugwa1859 Ай бұрын
Mkuu tunakufwatilia sana hapa kwenye hongera unafhanya kasi nzuri
@nuramwamedy-yg6sd
@nuramwamedy-yg6sd Ай бұрын
Mung atakusimamia na atakulinda mpk mwsho wa maisha yako
@amirabdallah2827
@amirabdallah2827 Ай бұрын
Mhe Makonda piga kazi kaka kwani rushwa na uzembe ni adui wa haki !!
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Ай бұрын
Chapa kazi mwanangu na mtani wangu mungu atakulinda tu wala usiogope❤❤❤🙏🙏👍👍🎉🎉🎉
@gladysmugwa1859
@gladysmugwa1859 Ай бұрын
Mkuu tukuhamishie kwetu Kenya uje utuokoe Makonda Mungu akusidishie neema
@johnmgeni4860
@johnmgeni4860 Ай бұрын
Munguakubariki.makonda.usihofu.mungu anakupigania.wewe ndo kiongozi Bora mkiwa namamasamia mnafaa
@bakarimakalo7128
@bakarimakalo7128 Ай бұрын
Wote hao ni wezi. Genge ni Moja kama Makonda akikosa viongozi wa kumuunga mkono Nchi hii itaelekea pabaya. Lazima tunyongane!
@AbdallahKawambwa-lk4pl
@AbdallahKawambwa-lk4pl Ай бұрын
Mkuu wa mkoa ni mmoja tuu Tanzania nzima makonda tuu
@petermnenuka6968
@petermnenuka6968 Ай бұрын
Makonda ni magufiri wa pili tunaomba ikiwezekana ccm pendekezeni ashike urais.
@saidsai846
@saidsai846 Ай бұрын
Duuh! Viongozi wengi Wala rushwa Tanzania hii kazi tunayo kwel huo ni mkoa Moja tu wa Arusha JE hiyo mikoa mingine ambayo viongozi hawafuatiriwi yanafanyika mangapi natamani makonda aje mkoa wetu wa Tanga maana Kuna zuruma zinafanyika sana mungu akupe nguvu mjomba
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Ай бұрын
❤❤Hakuna kitu hapo mwanangu wanajuwana wote hao
@YonduSeleman
@YonduSeleman Ай бұрын
Piga kazi baba sisi kazi yetu kukuombea kwa Mungu tungeku wa na vingozi 10 tu kama wewe tungekuwa mbali sana
@AishayoutubeMoosa-zn1co
@AishayoutubeMoosa-zn1co Ай бұрын
Makonda angekuwa rais nchii ingeenyooka kama rula
@eliasjonathan1163
@eliasjonathan1163 Ай бұрын
MUNGU akutie nguvu mheshimiwa chapakazi,japo wengi wanachukia haki ila wewe mtangulize BWANA
@user-vp3ec6qv8n
@user-vp3ec6qv8n Ай бұрын
Mm niseme tu hii afrika haindi bila viboko nishauri tu huyu mama akitaka uongozi wake uende vizuri kama akipata awamu ijayo amchague makonda kua waziri mkuu afrika aihitaji masomi Africa inataka wachapa kazi kama magufuli makonda ni aina ya magufuli mfuatiliaji si mnaonaaaa
@leonardoddiaga4399
@leonardoddiaga4399 Ай бұрын
Talk of Mwalimu Nyerere's spirit at work. Hebu mafisadi na wezi wakipatepate.
@manaseliberatus1347
@manaseliberatus1347 Ай бұрын
WAKUU WA MIKOA WOTE WASAIDIENI WANANCHI, WATU WANATAFUNA FEDHA ZA MAENDELEO, WANANCHI WANATESEKA
@betsonkyabukoba-mu2wf
@betsonkyabukoba-mu2wf Ай бұрын
Mheshimiwa Mungu aendelee kukupa nguvu wewe ni mtetezi kweli wa wanyonge baba
@user-pi4dv3oh1u
@user-pi4dv3oh1u Ай бұрын
Makonda alindwe, anatetea wanyonge.
@HenryNuhu
@HenryNuhu Ай бұрын
Yaaan huyu jamaa anafiti kila sehem hata ukimtoa huko ukampa hata ujumbe wa wa nyumba10 nako kitanuka vile vileeeee
@VenerandaKundi-ph4hg
@VenerandaKundi-ph4hg Ай бұрын
Safi makonda mungu akulinde
@ClementJacob-sd8lf
@ClementJacob-sd8lf Ай бұрын
God bless you qualities of good leaders fire for 🔥
@lotimwansule5017
@lotimwansule5017 Ай бұрын
Pole Eliza Ngobei nakusalimia Dr.Loti Mwansule
@user-ny1tf2gg8g
@user-ny1tf2gg8g Ай бұрын
Inatisha,,,, nchi hii!!! MUNGU saidia. Wasomi wako mitaani, hawana kazi , wezi walikaa maofisinii wanaiba tu. Waachie ofis wengine waadilifu ,na wenye uchungu na watu wa chini, wapate kazi, Makonda , Mungu. Akupe ulinzi, mwanadamu hawezi, nchi nzima ina shida mno, kila kona ni kilio kwa hawa waliochukua dhamana zetu.
@angellambonika3002
@angellambonika3002 Ай бұрын
Kwanza Roho wa Mungu akulinde Ucku na mchana . Unachokiona mkoa wa Arusha ndo kielelezo cha utendaji ktk mikoa mingi hapa nchini. Je ,Utamsaidiaje mama kumaliza hiyo saratani ya ufisadi ???
@kennywasike2024
@kennywasike2024 Ай бұрын
Good job bro 👏🏽👏🏽👏🏽👍🏽🇰🇪🇰🇪🙏🏽
@PHARESVENANCE-ye8wh
@PHARESVENANCE-ye8wh Ай бұрын
Mungu azidi kukuinua Mkuu Pandishwa cheo zaidi
@elizabethcharles6527
@elizabethcharles6527 Ай бұрын
Mi nakuombea sana Makonda mi nakuona kama magu tu 😂❤ nakupenda sana baba
@mariakisinza
@mariakisinza Ай бұрын
🎉chapa Kaz baba tutetee wanyonge jembe letu songa tunaitaj wachapa Kaz kama ww magufuli wetu kafufuka tena
@user-ut7po2bf8o
@user-ut7po2bf8o Ай бұрын
Kweli kabisa MH watendaji ndio chanza cha kudhurumu haki za Raia
@fredericntihabose
@fredericntihabose Ай бұрын
kama unapenda SUPER TAMUTAMU bonyeza kwahiyo picture yangu ujuw mengi zaidi na ufanye like
@TAMUTAMUTV
@TAMUTAMUTV Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@EstherKajala
@EstherKajala Ай бұрын
Eeeh Mungu nasi wa congomani su tupatiye vyongozi kama hawa!!
@innobenzol4119
@innobenzol4119 Ай бұрын
Chapa kazi Mkuu
@MalackiEliasiluboho
@MalackiEliasiluboho Ай бұрын
Daah kweli ,unadhamira yakweli mkuu MUNGU akubariki sana🎉
@josephatleonard7262
@josephatleonard7262 Ай бұрын
Unanafasi huko juu baba 2030 nafasi yako mheshimiwa
@user-ih7zp7kc2u
@user-ih7zp7kc2u Ай бұрын
Mungu akurinde makonda baba nakuombea sana mungu apigane na vita inayokuja kwako ❤❤❤
@lulusenzia4807
@lulusenzia4807 Ай бұрын
Safi sana watanyooka sasa
@PaulLibent
@PaulLibent Ай бұрын
Chapa kazi baba
@yudanziku6030
@yudanziku6030 Ай бұрын
Kwakweli makonda mungu akulinde
@moiseszacariasmoisesmoises
@moiseszacariasmoisesmoises Ай бұрын
❤ mungu akuzidishie siku muheshimiwa
@AbouhHawah
@AbouhHawah Ай бұрын
ongeza mweshmiwa kwa kazi nzuri mungu akibariki. makonda❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Nedjadist
@Nedjadist Ай бұрын
Angalia polisi huyu mwenye sura mbaya. Mwizi wa kuku hapewi dhamana, mwizi wa milioni 300 apewa dhamana! Hii ndiyo Tanzania.Kama kakimbia si ana mali zake? Zikamateni. Nyie mnakula nao tu.
@LightnessUrio-fo7mq
@LightnessUrio-fo7mq Ай бұрын
Aki ungeenda ata kijijini kwetu wallah kule niufisad unyanyasaji dhuluma tuliwai kudhulumiwa aki yetu tukanyanganywa shamba letu aki uko akuna uruma
@user-in6sv4gh5u
@user-in6sv4gh5u Ай бұрын
Makonda njoo songea ujionee maajabu watu wanaumizwa uku
@ezekieldeus6022
@ezekieldeus6022 Ай бұрын
Mweshimiwa, mkuu wa mkoa makonda nimekuelewa, nchi hii ya tz, kwa hatua iliyofikia tunahitaji watu kama wewe ili kutuvusha, yatosha kusema MUNGU akulinde iliuweze kuyatekeleza majukumu yako ya kibinafsi, na yale ya kitaifa.
@godlistengodlisten7552
@godlistengodlisten7552 Ай бұрын
Piga Spana Makonda Mpaka Waite Maji Mma.
@kamandamlimaog3430
@kamandamlimaog3430 Ай бұрын
Hongera mheshimiwa ilaa unaposkilozaa hojaa za wananchi kuwaa makini na uwape haki zao kwa mujjbu wa haki na sheriaa Usiinglie maamuz ya taasisi yeyoote bilaa kujuaa sheriaa na kanunii inayosimamia
@swighagha
@swighagha Ай бұрын
Chapa kazi mkuu;
@nuramwamedy-yg6sd
@nuramwamedy-yg6sd Ай бұрын
Makonda mungu ampe maish marefu...
@karimmveyange280
@karimmveyange280 Ай бұрын
MUHESHIMIWA MAKONDA. HUWEZI AMINI YANI MAMBO YANAVYO FANYIKA NCHINI. TUMEFIKIA HAPA ETI MWIZI WA FEDHA ZA UMMA AMEKIMBIA HAPATIKANI. JESHI HILO LIMEFIKIA UWEZO WA KIWANGO HICHO. HIVI UNAAMINI HAONEKANI HUYU MWIZI KWRLI?? SIYO TZ NINAYO IFAHAMU MIMI ZAMA ZA NYERERE NA MWINYI. HAYA NIMAAJABU
@user-br7sf6ey9t
@user-br7sf6ey9t Ай бұрын
Mwamba wamaicrofoni 😂😂😂😂 mzee wamaicrofon ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@braitonilomo1635
@braitonilomo1635 Ай бұрын
kaazkazi mweshimiwa wanyoshee
@FadhiliLuhanda-tf9gj
@FadhiliLuhanda-tf9gj Ай бұрын
Umekubalika baba kuwa raisi miaka 100 utawala ni wako
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 Ай бұрын
Huyu binti ananipatia wazo jipya. Naona vyeo vingine vinahitaji afisa mzoefu na mwenye umri wa Kati Siyo hawa vijana wanaotoka vyuoni na kupewa madaraka makubwa kama haya kudhibiti watumishi wezi ndio maana unaona hawezi kujieleza na inaonekana anaogopa madaraka na uwezo wao wa kifedha wakati mwinginevanahofia be hata juu ya uhai wake
@user-ut7po2bf8o
@user-ut7po2bf8o Ай бұрын
Hayo unayoyasema ndio yanayofanyika hapa NAMTUMBO, familia ya gangisa wameporwa ARDHI yao.ile uliyo fika walitaka wakupe kilio chao jinsi walivyofanyiwa
@JosephatJoseph-eo8xj
@JosephatJoseph-eo8xj Ай бұрын
Mimi ni wakwako japo ni wachadema
@EricKaguo
@EricKaguo Ай бұрын
Wanyooshe Kaka makonda mungu akulinde mtetea haki
@angellambonika3002
@angellambonika3002 Ай бұрын
Makonda Pambana Mungu Atakulinda.
@evaakyoo3009
@evaakyoo3009 Ай бұрын
Natamni huyu kaka awe raisi kabisa jamani
@user-fw4yr5bt8p
@user-fw4yr5bt8p Ай бұрын
AANZE KUKAA PEMBENI HUYO DADA ANAJUA KINACHOENDELEA..
@idyjumanne9796
@idyjumanne9796 Ай бұрын
Naomba makonda apate uraisi maana namuona kama magu ivi
@johnnyambane889
@johnnyambane889 Ай бұрын
Ndugu zangu watanzania mko sawa lakini hapa kwetu Kenya tunaumia jini ya doctor ruto.
@juliaspantaleo
@juliaspantaleo Ай бұрын
Poleni sana mungu ataleta viongozi wazuri
@HamisiMauridi
@HamisiMauridi Ай бұрын
Mweshimiwa unaweza kuongoza watu
@tinukamlowe2134
@tinukamlowe2134 Ай бұрын
Hongera sana makonda
@YangaNews
@YangaNews Ай бұрын
Hapa kuna kitu mimi sioni ukweli wa hili hata kidogo
@KhumaisSoud
@KhumaisSoud Ай бұрын
Big up sana makonda wapige spana had mwisho
@charleskingimwakasagule5752
@charleskingimwakasagule5752 Ай бұрын
Mdogo wangu makonda umejitoa mhanga kweli make unajitaidi kwalibu mfumo wa ccm wa asili wa kulindana toka zamani hongera sana kama Arusha kuko Ivo Sasa mikoa mingine ikoje?
@nancyg8664
@nancyg8664 Ай бұрын
😂😂huyu baba kajikamilisha kwakweli
@EsterPaul-uc7ny
@EsterPaul-uc7ny Ай бұрын
Hongeraa sanaà mheshimiwaa napendaaa kazi yakooo sanaaa , nafuture yangu natamani au napendaaa kuwaaa kamaa wew mheshimiwaa nilikuwaa nikiombaaa ushaur mzitoo sanaaa
@ShabaniMbwilo
@ShabaniMbwilo Ай бұрын
Tungepata kama Hawa kumi TU tarifa lingeenyoka
@JugaBoy-nl5pj
@JugaBoy-nl5pj Ай бұрын
Good
@semesdaud6695
@semesdaud6695 Ай бұрын
Nnataman kukuona mh . Mkuu wa mkoa makonda!
@JM-eo3wo
@JM-eo3wo Ай бұрын
Huyu ni ocpd kweli ana shidwa kujibu kama moja ametoroka na wengine wako mbona haja wapereka kortini
@manaseliberatus1347
@manaseliberatus1347 Ай бұрын
HUYO DADA ANAJUA MCHEZO UNAOENDELEA
@mjungatv8172
@mjungatv8172 Ай бұрын
Tumpe2 Uraisi uyu Mjomba kabisaaaa
@allymhina-by9jq
@allymhina-by9jq Ай бұрын
Inasikitisha Sanaa pambana kamanda
@zeddepimark4482
@zeddepimark4482 Ай бұрын
Nakutabiria utakua rais
@KiambwaKiseki
@KiambwaKiseki Ай бұрын
Hongera
@SerenePyramids-um4ku
@SerenePyramids-um4ku Ай бұрын
Duh kweli huyu mkali anafaa kuwa raisi sio siri upepo wa JPM kabisa
@paulmassery-ku1nz
@paulmassery-ku1nz Ай бұрын
Hapa MUNGU yupo kazini
@elishamaginya6827
@elishamaginya6827 Ай бұрын
Kwa hii nchi jamn tunapigwa sana 🫢
@Nostress105
@Nostress105 Ай бұрын
WEZI WOTE KWISHA MAJENGO MANAYOJENGA YA PESA ZA WIZI KWISHA
@AbdulNassir-jk1jf
@AbdulNassir-jk1jf Ай бұрын
Hizi zambi za kuchomana moto zitaisha lini ? Kwani hamujuwi hukumu ya mwizi au nyinyi wehu?
@ZainabuSalim-iq8cz
@ZainabuSalim-iq8cz Ай бұрын
Viongozi wote wangekuwa kama RC MAKONDA nchi ingekuwa na maendeleo makubwa na wananchi tungeifurahia nchi yetu
@calvinmaro6445
@calvinmaro6445 Ай бұрын
😂😂😂😂dawa ya mchwa, kunguni,chawa ..viroboto msimamo ni ule ule ni cheo tuu kimebadilika
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 50 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 46 МЛН
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27
MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2024 MBULU DC
33:21
Manyara RS TV
Рет қаралды 365
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
0:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 6 МЛН
МЫ ПОХОДУ ЧТО-ТО НАПУТАЛИ
0:20
МАКАРОН
Рет қаралды 3,1 МЛН
ХАЙПОВЫЙ ЧЕЛЕНДЖ В ТИКТОКЕ🤣
0:13
MEXANIK_CHANNEL
Рет қаралды 9 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
0:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,4 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
0:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 2,9 МЛН
СЛАБОВИДЯЩИЙ и ПОЛИЦЕЙСКИЙ
0:15
Клаунхаус Kids
Рет қаралды 894 М.