Nampenda sana Lissu, Hakika nafurahi jinsi anavyokuwa anajibu kwa hoja na kujiamini ✌️✌️
@margarethsaramaki39664 жыл бұрын
Lissu yuko ameambatana na Yesu mkubali mkatae ukweli ni huo. Be blessed Lissu🙏🏼🙏🏼
@newjesusnewjesus2544 жыл бұрын
Kama kaambatana na yesu yes alifanya hii 🤟🤟🤟ishara? ulionea wapi ,?⚠️ Afu sera yake kuu Nini baada ya kupata uraisi
@edwardfaustini67414 жыл бұрын
Msenge 🤗 you lisu
@fredymwenga23664 жыл бұрын
Songa mbele
@khalfanifarisy46644 жыл бұрын
Yesu nani Mungu au?
@lukasmathiusdsudi15104 жыл бұрын
@@khalfanifarisy4664 mnyamaaz
@daudmrembo50224 жыл бұрын
Waoo tundu lissu tukipata kama wewe watano basi tutakombolewa mungu akubaliki
@lordhilpolithrothschild59554 жыл бұрын
Safi sana unajua kutengeneza content nzuri
@josephatjonya69054 жыл бұрын
Hongera sana kamanda lissu watakuelewa
@mwantumuabdallah12614 жыл бұрын
Lissu ndo raisi wa inch anaetufaa
@stephanomarwa30634 жыл бұрын
Mungu akubariki Lissu siku moja tuione Tanzania inayofata sheria
@priskilakenedi94404 жыл бұрын
Uko vizuri mwanasheria nimekuelewa sana n mungu akutangulie ufike mwisho mwema
@elianzengekambaboy25434 жыл бұрын
Inaniuma sanakuona mtukazaliwa mzima leohii amekuambovu lisu mungu akulinde sana
@bobipopi52084 жыл бұрын
Lisu anajua sheria big up ilawe tunakuweka akiba acha amalize kwanza Magu ndo tutakupa urais tena vyamavyote viungane tukuteue wewe kama muwakilishi wa upinzani
@rocyncathbert45274 жыл бұрын
Sahihi
@davidssangi.29804 жыл бұрын
Kabsa aisee lissu anatufaa Tanzania aise
@JJ-fb9jp4 жыл бұрын
Hahahahaha nimecheka kwa sauti
@nashahmontanah68643 жыл бұрын
Mungu hawezi kutupa kiongozi mbovu na asiye na hekima mfanya fujo mgovi mkolofi mungu atatupa kiongozi boro mwenye hekima na busara
@edenbaraka75334 жыл бұрын
Doo maaskar wote hawa wanamshika MTU mmoja!! Ahaaaaaa kazi kwelikwelii
@abdulbogoyo12434 жыл бұрын
inachekeaha
@mohamedalawy77044 жыл бұрын
Hapa Kenya mambo ya kukamatakamata wapinzani yalikwisha tulipoazisha vyama vingi. Tatizo sugu tulilonalo mbaka sasa ni Ufiisadi ambalo Tz hakuna.
@emanueljisandu64874 жыл бұрын
Mungu Ambariki MTU huyu Amen
@elishaitv87034 жыл бұрын
Utashinda Uraisi baba yetu TUNDULISU NGUVU ya mungu utashinda raisi tundulisu
@adammwangatwa99144 жыл бұрын
Nyooooo kwishaaaa lissu wape sheria hai hawazijui hao
@yohanapetro49374 жыл бұрын
Ni YEYE uyo lisu Anajua sana msimamo waukweli
@jumaasaadun31824 жыл бұрын
Wwe mtangazaji hujielewi
@azizawadh59734 жыл бұрын
@@jumaasaadun3182 umeitwa humu
@mohamedturanardan88714 жыл бұрын
Nchi haina sheria, lissu usiiwache Tanzania kwenye giza. Mungu akusimamie
@zaitunadam70284 жыл бұрын
Kwan lisu ndo atakupeleka kwenye nuru? Hahahahhaha pole sana unako elekea sio
@emmanuelsulle9119 ай бұрын
Yaani hao police ni mbumbumbu, hawajui sheria,Lissu wafundishe kaka we Mwamba Kweli Kweli ✌️✌️✌️✌️
@ikoziboy44884 жыл бұрын
Hahaha hakiamungu kama unajua unajua tu! Lissu ni kichwa aiseeeeeee
@SumaOmary3 ай бұрын
Hongera sana kamanda lisu ujumbe umefika huwo🔥
@duoxmasisa65294 жыл бұрын
Ila #Lissu ni mwamba sana
@peacemollel23474 жыл бұрын
Thanks
@maliksuleiman11594 жыл бұрын
Napendasana hii Chanel 👍👍👍👍👍
@OmanOman-zc5dt4 жыл бұрын
Kweli kabisa nilazima apewe sababu ya kukamatwa
@aggreyenock12214 жыл бұрын
Right to be told the ground for arrest
@rajabkisebengo94064 жыл бұрын
Wanalijua ilo bc wao wakikukamata ukiwauliza nimefanya kosa gan et utaenda kujielezea kituoni dah hii ndo nchi yetu bhana mungu atusaidie tu 🤲🙏🙏
@kennethdc25774 жыл бұрын
Jamaa kichwaa sana TATIZO POLISI WANAKARIRI
@husseinstriker42114 жыл бұрын
Mimi binafsi nimekuwa nikimpinga Sana lisu lkni nimeangali clip hii AA lisu anajua Sheria baadhi ya policy warudi shule
@johnzephania85494 жыл бұрын
Sheria za matakoni?
@onesmoretz27854 жыл бұрын
We msenge kaa kimya
@danielmboya84244 жыл бұрын
@@johnzephania8549 akili huna
@johnzephania85494 жыл бұрын
@@danielmboya8424 siwezi kubishana na boya, badili kwanza jina halafu unifuate, nyanoko
@chrisog24984 жыл бұрын
Mshika bunduki na sheria,wap na wap
@emmanuelsulle9119 ай бұрын
Police fake hawajui hata sheria Mbumbumbu tu Lissu Hakika CHADEMA Mwamba,,,,✌️✌️✌️
@harmotv38184 жыл бұрын
Lisu ni mwana shelia haiseee
@JoshuaLaiza8 ай бұрын
Mungu ana musaidiya sana lisu
@yagi_level4 жыл бұрын
Hapa sawa haki IZINGATIWE
@mshindimshindi91204 жыл бұрын
Tatizo ni shule au elimu au ni kuvunja sheria hadharani... Tunahitaji utawala wa sheria
@rozinkinda16074 жыл бұрын
Kosa rake atarikuta hukohuko acha ubishi wewe
@annaobilaobila97054 жыл бұрын
Kuna wa tz wajinga mno sheria haimzuii police kukamata mtuhumiwa ila maafisa Wa police wanatakiwa wamjulishe mtuhumiwa anakamatwa kwa kosa gan.akubali akatae lkn lazima waseme sabab y kukamatwa kwake sio kuvamia t watu na kukamata UTUMWA ULISHAPITA MSITURUDISHE HUKO JAMANI. mnamuharibia mengi mazuri anayoyafanya mh rais JPM.kwa mihemko yenu sawa badiliken tafadhal
@abdulbogoyo12434 жыл бұрын
BILA SHAKA hujakosea
@elishaitv87034 жыл бұрын
Tunakuombea raisi wetu TUNDULISU mungu yupo
@emmanuelmwasenga16224 жыл бұрын
Nampenda mheshimiwa kwa kuwatetea wanyonge kwa kweli
@mauwaryam55604 жыл бұрын
Baba angu kipenzi mungu akulinde kwa kila jambo baya akuepushie
@alimasisalumu80384 жыл бұрын
Tukimchagua lissu waharifu wanaosemekana kuwa hawajulikani ,,watajulikana 2 ,
@imakitori3994 жыл бұрын
Haswaaaa
@hilalalhabsi20474 жыл бұрын
Ndio maana wanacoment sana humu wanasema lissu hafai kuongeza kumbe wanaogopa uovu wao doh!
@eliasjillanga31584 жыл бұрын
Ckupingi
@mapenzi_tz15114 жыл бұрын
Na wataongezeka majambazi panyaroad watarudi madini yataibiwa , mtaandamana Hamtaona hata tone la maji maaanahajaahidi na avipokwenye chama
@tawfiqissa61234 жыл бұрын
Kabisaaa
@mufladominic13314 жыл бұрын
Ukiwa umesoma laha sana nasheria ukiijua lissu pamoja sana chumaaaaa
@rajabpembe75464 жыл бұрын
Kumbe askar wenyew hawajui sheria wanajua kukamata tu kasomen sheria kwnz
@gracejohn8864 жыл бұрын
Kupiga tu watu adi kero
@bjzee19814 жыл бұрын
Hawasomi sheria wanafuata maagizo kutoka juu
@bahatevagre933 Жыл бұрын
Koment yangu ya kwanza kwa aliekua mwenyekiti wa sheria
@Zaidatu Issa unafikir kuna mwanasheria gni Tz unae ona uki compare na lisu kwenye haki weka haki wacha kuweka upenzi mbele
@mrraha06324 жыл бұрын
Ebitoki
@malingazeboss93514 жыл бұрын
Huyu kichwa, lisu nakukubali saana bro
@shebaminde76564 жыл бұрын
Ee Mungu ninaomba Aman yako itawale Tanzania!
@rajabkisebengo94064 жыл бұрын
Samahani Sheba Minde umeisahau haki hapo kabla ya amani maana sidhani wewe umemuona mwizi wako anaingia kwako kuiba unasema amani itawale huku mwizi anaiba utamuacha mwizi achukue ili amani itawale??mfano mdogo mipaka ya viwanja tu tunaiona adi watu wanauwana
@MashakaWambura Жыл бұрын
Mm namkubali sana lisu anafata haki sawa
@victormneney87894 жыл бұрын
Kuna watu hawapati usingizi wakisikia Lisu nyie nendeni mkajaze wasanii wa Bongo flavor uwanjani
@rajabkisebengo94064 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sio kdg sana tu
@rajabkisebengo94064 жыл бұрын
Dah Lisu mungu amekuleta Tanzania kwa makusudi zake nimeamini wewe ndo mtetezi wawanyonge wa dhat kbs kutoka moyoni kbs huyu sio wa kwanza wapo wengi uliowasaidia buuule kbs sababu hupendi mtu aonewe hata Lijuali kali anajua ilo sema watu hatuna Fadhila tu
@caindunke85264 жыл бұрын
Kazi ya Uaskari ni ngumu, jamaa wanajua kabisa kuwa wanakosea lakini lazima watii amri za wakubwa zao
@mageuzibarack92744 жыл бұрын
Hao sheria hawajui kazi kula rushwa tu.
@topotachilemba91964 жыл бұрын
NAMFAHAMU LISSU TANGU 1984 MKUTANO WA IRINGA MJINI JAMAA NI JASIRI KM YOHANA MBATIZAJI
@estermpagama96644 жыл бұрын
Jasiri mjinga mtu mzima aliyekosa nidhamu ya kuongea ndiye awe kiongozi mropokaji kazi inayomfaa ni kuwa mpiga debe
@newjesusnewjesus2544 жыл бұрын
Licha ya kumfaham akiri tiar Isha paralaiz maana katoka makimbilioni anarudi na sela moja2 ya kumkejeri JPM ngoja mwezi wa kumi atafute bara la kukimbilia na siasa kwake over
@saimonmanyerezi71694 жыл бұрын
Watu wanadhani askari police ni malaika na wanadhani wanafahamu sana sheria la sivyo hivyo,kwa kawaida mawakiri ndio wamebobea kwenye sheria lakini nao pia si malaika kuna maeneo wanakisea,mfano pale alipotuaminisha kuwa serikali ya awamu ya tano itashtakiwa kwa kuzuia makinikia,itashtakiwa kwa kufufua shirika la ndege,itashtakiwa kwa kuvunja mikataba ya madini.Lakini hakuna hata moja lililofanyika.Wanasheria wa ukweli na Wazalendo wa nchi hii wakaona Lissu anapiga blaa blaa,wakamshauri mzee wakamwambia Lissu muongo hakunaga kama hayo yakushtakiwa.Kwahiyo Lissu anatumia sheria kuwapumbaza Wtz.
@hilalalhabsi20474 жыл бұрын
@@saimonmanyerezi7169 kumbe hawajui sheria ya kumkamata mtu so kwanini wapewe kazi za kumkamata mtu?. Au wasomi mnafukuza kazi koz ni upinzani
@mapenzi_tz15114 жыл бұрын
@@hilalalhabsi2047 mbona mwisho kakubari akamatwe nn kilifnya akatae ndio kuwaainisha wajinga km nyinyi kupitia sheria kuwa anaijua sheria kumbe nae mbumbu tu Polisi hawezi kukupa siri kwa nn anamkamata MTU km anaenda kumfanyia uchunguzi hadi afikishwe kituoni ndio Maelezo huwa yanatolewa kwa nn walimkamata. Na Lissu iyo sheria anaijua ila anatumia mamlaka kuaminisha watukuwa ichokitu hakipo na kipo
@JanethSuleimanАй бұрын
Pole sana kamnda ila ugekuwa mxima chadema ugeikomboa
Tunampenda sana lisu anawatetea wananchi maana tunataka haki
@robertabely57944 жыл бұрын
Askali wanajua kbs, ujue hz kaz zngine unafata order tu, ila kisheria lisu yupo sawa
@JoyceKabula-in1sh4 ай бұрын
Tunakupenda sana baba mungu akulinde
@khalidballeth59574 жыл бұрын
Dahhh...alieskia otherwise akimbie😆agonge Like 👇daah maaskari sura zimewashuka
@rajabkisebengo94064 жыл бұрын
Yaan uyo Askari aliekuja katoa kioja et Icho kifungu kidogo dogo icho watu wakacheka ndo kamchukua Kiaina
@JumaHamis-g4z3 ай бұрын
Allah Akupe maisha marefu
@neemazephania90824 жыл бұрын
I just feel bad for Lissu, I wish he would've stayed away from politics. He's a good guy but seems like he got a lot of enemies.
@joetchatv14534 жыл бұрын
Hana enemies wowote anjua kujibrand
@neemazephania90824 жыл бұрын
@@joetchatv1453 why was he shot then?
@zainabumwagiroabdallamwagi974 жыл бұрын
No hate no fear lisu is Tanzanian he have full right to enjoy his freedom of speech. God can help him
@elyotikyando77174 жыл бұрын
@@joetchatv1453 ,,,,,,,,,,,
@abdukadiliissa80764 жыл бұрын
Staying a way my dear is not a solution for the freedom fighters so let him go we love him ni yeye 2020
@yonamwaweya58144 жыл бұрын
Daaah ukiijua sheria raha sanaaa
@mcjogopah85134 жыл бұрын
Lissu ameingia kwenye rekodi ya duni, ni MTU wakwanza duniani aliewahi kupigwa risasi16 na hakufa,
@ezekiambise25954 жыл бұрын
Glory to God
@Alexmerck23244 жыл бұрын
Unazipunguza wwe ni 36
@nsiamassawe30754 жыл бұрын
Risasi 36
@nicksonpontion71054 жыл бұрын
Nyie wapumbafuu wakubwa unabishana na mwanasheria mkuu mnapoteza mdah
@rajabghand79054 жыл бұрын
AKILI HUNA WEWE!MNAFATA MKUMBO!
@nawihadj66744 жыл бұрын
@@rajabghand7905 huhuhuhu
@ismailmabruki75894 жыл бұрын
Mwamba
@salehsuleiman12184 жыл бұрын
Tanzania ndio nchi pekee Yan unamkamata mtu bila kuongea kosa lake.
@izacktajiri-f7e4 ай бұрын
Tunakuamini baba make unatusaidia kututetea ase baba na mungu akubariki
@otchumastory26984 жыл бұрын
Namkubali sana lisu lazm nimchague urahisi
@ndarogamba1914 жыл бұрын
#NiYeye #SasaBasi💪💪✌
@sahilnaass50904 жыл бұрын
Moto wa Mungu hauepukiki
@professamuddy54074 жыл бұрын
Sasa polisi wanalinda amani na sheria au ndio wanaharibu!!?
@mwigakatumpula56952 жыл бұрын
Kwani huyo lisu ni Nani mpaka amzuie askari asitimize wajibu wake 🙆🙌🙌😃
@mosescheketela95054 жыл бұрын
Huyu ndie mtu tunaemhitaji awe Rais wetu, mtu anaependa haki na kuisimamia
@ZenaUsangi Жыл бұрын
HANA UWEZO WA KUONGOZA NCHI KAMA NI LISU HUYO NI KICHAA.
@maryammohd59944 жыл бұрын
Mimi naogopa vita tuu...jaman vita tu Mimi ndo sitaki tutateseka sisi wanawake na watoti
@stephenernest77134 жыл бұрын
That's right wanafanya kazi kwa mazoea
@aggreyenock12214 жыл бұрын
Sana kabisa
@salehmadawa70354 жыл бұрын
Sijapata kuona MTU madhubuti na mwenye kujiamini kwa kazi aliyoisomea ama kweli mh tundu kiboko ni hazina kwa taifa LA Tanzania Mimi na mwita kama ni martin luthaking yule wa marekani
@stevendominic89024 жыл бұрын
Mh:Lissu anajua sana;ona nguvu inayotumika mitandaoni kumchafua lakini wapi
@renatomaingu63704 жыл бұрын
Duuuuuuuh Jamaa Hana brake ya Mdomo YESU AMUEPUSHIE BALAA DUUUH
@dottocharles-rw7mi Жыл бұрын
Aiseee jmn cc tucjua Sheria huwa tunakamatwa tu kama kuku na hakuna kuhoji
@emmanuelkornel44404 жыл бұрын
Ukisikia ooohoooh gong like ap
@thomaspatrick10214 жыл бұрын
Haaahaaaha
@AbdulSebastian-q4j Жыл бұрын
Safi tusiwape chans
@mwanamutemi4 жыл бұрын
Tanzania hiyooooo !!! yaingia ubayani !!! Magufuli unaharibu nchi ya Nyerere kisha unamtaja Mungu kila mara !!! wacha wananchi wafurahie nchi yao !!!
@جنيتكينيا4 жыл бұрын
Innalillahi wainnaileyh rajaouni. hapa kinakitu Allah awafungue akili watanzani na mungu awachagulie raisi aliebora.Allah anajua zaidi
@johnedward24894 жыл бұрын
NI YEYE 2020
@jeremiadaudi57804 жыл бұрын
Lissu nakupenda na nakuamini sana ila sisi watanzania shule 0
@hadijasobo36954 жыл бұрын
Atariiii
@jeremiadaudi57804 жыл бұрын
@@hadijasobo3695 aje?
@hadijasobo36954 жыл бұрын
@@jeremiadaudi5780 unasemaa
@jeremiadaudi57804 жыл бұрын
@@hadijasobo3695 hadija Sobo kama nimesoma na jina kama hili we upo wapo?
@christermelaka56894 жыл бұрын
Chadema tujuane gonga like za kutosha hapa27/8/2020
@bjzee19814 жыл бұрын
Kuna kazi zingine jamani. Duh lazima utii amri hata Kama ni dhulma
@abduldandy30774 жыл бұрын
Kwenye nchi hii tunaumia kwa kutokujua sheria, ase
@musasabuu2808 Жыл бұрын
Soma kanuni ya adhabu kifungu cha 8 kinasemaje kuhusu kutojua sheria
@ikundamaleko55274 жыл бұрын
Kwakweli haki.uinua taifa na mwisho upo na mwisho wa ubaya aibu lissu mungu akuongeze
@thomasmario9504 жыл бұрын
Tundulisu Mungu akusaidie sana maana haki unajua
@hidayabakar70264 жыл бұрын
Dah muungu akuweke bwanaa hamumuwezii watu wanapenda nasheriya
@hidayabakar70264 жыл бұрын
Nedeni polisi hamuna mpango mumezoweya uonevu basi
@danielchambua96434 жыл бұрын
Nina imani Sana na tundu lisu
@happinessmwenda27734 жыл бұрын
Eheeee ni dunia hiii tunayopita wote?? YESU WETU TUPE HEKIMA NA MAARIFA
@onlinemateustv19254 жыл бұрын
Kujuwa sheria siyo kuongoza Ingekuwa hivyo basi mahakim wote wangekuwa Marais Uongozi Ni hekima, Unyenyekevu, utu, busara Kuna mahali hata sheria haifanyi kazi
@emmanuelnimbasa17544 жыл бұрын
Mungu wa watanzania ni Mungu wa haki, upendo na amani. Utuepushe na wasiopenda haki, amani na upendo.
@sidebuggat52004 жыл бұрын
Akuna mung wa tanzania
@barakamshiu71464 жыл бұрын
😂😂
@phineruge34804 жыл бұрын
Jamaa kakuna Kichwa na Peni mpk nikahisi atajitoboa🙈🙈🙈 akitafuta jinsi ya kumpoza Mwamba
@yahyamassawe80114 жыл бұрын
Alafu mtu anakuja kusema eti tanzania ina amani ingekuwa na amani huyu si angeishi kama makada wa ccm jmn
@immailecx53552 жыл бұрын
Munguakulindejemb
@kudraahmad60034 жыл бұрын
Askal tanzania mna huruma sana ,
@msetikebwasi68954 жыл бұрын
Siyo wana huruma naona kama hawajielewi.
@ivonaantony42784 жыл бұрын
Itabak story polen wa lisu wote
@rashidyally87154 жыл бұрын
Usipoijua Sheria utapata tabu Sana😄😄
@sojaruben17574 жыл бұрын
sku zote mchaw usimwogope kwahy ndug lissu pipozozzzzzzz uko vzr mung akuzidishie ujasir
@mekumeku24844 жыл бұрын
Nakuelewa Sana Tundu Tundu Tundu
@bakarimakunja94604 жыл бұрын
Police wakibongo hawajui sheria wao nikukamata tu
@grorygabriel2194 жыл бұрын
Lisu mungu akupe maisha marefu baba duh!!
@kassimunongwa54064 жыл бұрын
kabisa
@mohamedmkesha82934 жыл бұрын
Yaah Lissu ww
@jumawaziri50124 жыл бұрын
Tetea
@Izack-x1o3 ай бұрын
Kiufupi apo risu aliulizamaswali yalionyooka japo naipenda ccm adinakufa
@joshuaeliya85594 жыл бұрын
Nyie acheni kutuibia bundle kwa upuzi wenu. Kama mmekosa habari fungeni virago
@kennethdc25774 жыл бұрын
Safiiiiiii LISU LISU LISU LISU oyeeee TUSITISHANE
@jullykebeni64384 жыл бұрын
Izo taarabu tumezisikia saana kwa kina mzee yusuph lisu tuambie utatufanyia nini tukikupa uongozi sio furani kafanya hivi huyu kafanya vile mboona hatuelewi lete sera za kueleweka utushawishi sio taarabu tantalila nyingi kutupotezea mb tu
@mwambarock36964 жыл бұрын
Ujui duni bado inaendelea haijafika mwisho sawa CCM jitahidini kutumia vyombo vya usalama vizuli kuwa kabili wa pinzani 🤔🤔🤔 ebu chukulia kwamfano haijalishi itakua mwaka 2030 au 2035 au 2040 au 2045 🤣🤣au 2050 sawa Mimi Sina halaka ya #ACT kuchukua URAIS . una zani itakuwaje kwa CCM ... Jaman Tanzania.... niyetu wote uzalendo kwanza 👣👣👣#CCM#Chadema#ACT ....