Tundu lisu ni mpinzani tu hatoi hoja ya kulinda nchi
@albertlokoya79374 жыл бұрын
Lissu Kichwa sana, ila nasikitika hichi ndicho kilichopelekea yeye kuumizwa na watu wasiojulikana. Mungu amuepushe na maadui
@imbamohamed3584 жыл бұрын
Kwa maneno ya lissu Leo sijui atasemaje kuhusu madini ...JPM Baba lao
@johnndahani78104 жыл бұрын
Hana
@audifacejosephat7071 Жыл бұрын
Uliyasema haya mh lisuu miaka 6 nyuma wakakupiga risasi leo wale wale ndo wanaona madhara ya kile ulichokisema
@sadikidaudi12234 жыл бұрын
Hapandipo Lisu alipoanzakupotelea halafu baadae anautaka Urais 😀😂😂😂😂😂
@saidseleman60044 жыл бұрын
Kenge
@eveliusdaniel75877 жыл бұрын
yan kati ya sehemu ambazo lissu ameonekana kilaza ni hapa
@hamisikaisi4615 жыл бұрын
wale wapiga dili sasa hali mbaya..huu wakati wa magufuli sio....
@ramadhanisadiki56384 жыл бұрын
Madin xaxa hv ni vp
@gizakazeno16884 жыл бұрын
Huyu mwehu hakustahili kuwa hai mpaka leo hii kwa maslahi mapana ya tanzania..
@abdullahjuma92063 жыл бұрын
ha ha hah ha lisu bhana eti naongea na wanaoelewa kwel achana na maboya hayo lisu
@kabalozeking38794 жыл бұрын
We don't know nothing?🤔 ooh no! no! no! 😂😂😂😂
@trilionea_online_TV6 жыл бұрын
Upinzani uko vizuri sana, maana ingekua sio upinzani hata ccm isingebadilika, tukumbuke ccm ilikua imehama reli, Rais ndie alieifufua ccm, baada ya kupita kule wapinzani walipokua wanapigia kelele, lakn hata hivyo Rais anastahili pongezi kwa kazi kubwa aliyoifanya,,, kama sio upinzani ccm wangeendelea kujisahau,,, wapinzani wanatakiwa waendelee kuwepo,,, wapigepige kelele siku zisogee,,
@christophertarimo50473 жыл бұрын
Wapiga debe tu🤣🤣
@sofialinus82414 жыл бұрын
Kweli wewe, ulienda shule Ukaicha shule shuleni Jinga kabisaa wewe
@sitellamatni68783 жыл бұрын
Lisu nimpumbavu sana silipendi
@lucassailevu2753 жыл бұрын
Lisu Kila Kona uko viziri na ndiyi maana mungu amekuponyesha
@ramadhanndemeye69327 жыл бұрын
wakati wa dili ume kwisha
@jacobsumaye85604 жыл бұрын
Umesema kweli ndg yangu
@olaislogiru27787 жыл бұрын
Mungu na awajalie watoto wako wawe na akili kama hizi za kwako.
@fx-farm68883 жыл бұрын
Yaani ni mbwa mkubwa kabisa
@mustafaally2744 жыл бұрын
Hahahaha!!!! Kwa asiekuwa na akili atamuona bonge la msomi kumbe unatia mikwara kwa kingereza cha kuokota dah!! We Yuda uliwalisha sana sumu watanzania ila tumekusamehe tunamuomba mungu akusamehe na akuongoze wherever you are!!
@saidramadhan59614 жыл бұрын
Vp ww cyo yuda
@eliyakapaya58587 жыл бұрын
lisu nilikuwa namwamini lkn naanza kuwa na mashaka naye nakama anatazamia nchi yetu itaingia kwenye shida asahau milele Tanzania tumepewa na Mungu lisu yeye kama anawaogopa wazungu wachina sisi hatumuogopi mtu tunayemuogopa ni Mungu tu aliyetupa rasiliamali lazima tuitetee na kuiombea nchi yetu na raisi wetu sio kuanza kusema nchi itaingia kwenye shida hiyo tunakataa kwa jina la Yesu
@DottoMussa-fx8pn Жыл бұрын
Hahahahah🎉🎉🎉🎉🎉🎉 lisu big up
@zenassylvester1254 жыл бұрын
Mungu hamfinyi mnafiki leo unasimama wapi na unafiki wako wa kuwatetea mabeberu wako? Mwizi wewe uliyetumwa na mabwana zako aibu kwako mjinga lissu wewe
@zenassylvester1254 жыл бұрын
Lengo la wazungu afrika iendelee kua ombaomba ndio maana wanawapenda watu dizaini ya lissu.. Leo afrika nzima imeona na kuelewa maamuzi mazuri ya Tanzania kutoka kwa viongozi bora wakiongozwa na Amir Jeshi Mkuu John Joseph Pombe Magufuli
@tzcodesentertainments40484 жыл бұрын
leo upo wapi
@denisfidelismapunda43167 жыл бұрын
sijaona mbunge jasiri kama lissu kamwe...
@zenassylvester1254 жыл бұрын
Unazani Jpm ni zwazwa kama wewe ? Jpm ni kichwa kingine kabisa leo tunaona faida yake mambo yananyooka mambo mpeto TANZANIA yasonga mbele na JPM
@chaomadedo5 жыл бұрын
With due respect I will refute or oppose Mh. Lissu's argument on TZ laxity on diplomatic relations with the rest of the world, particularly China. China could be in close ties with Kenya but in essence of the amount invested to major infrastructures we see today in Kenya. As a result, huge amount is sitting as debt tht the country can't even pay. They are now strategizing of confiscating her port which is the critical source of her economy. Look at Zambia today, half of ger land is now owned by China. Who in her right sense wants tht? Magufuli is doing the right thing so far; investing in the major infrastructures using the natives pocket n the small difference he takes loans from super powers of the world. Unless I don't understand Mh. Lissu.
@philimonambilikile66453 жыл бұрын
Wabunge wangekuwa wanapewa mitihani
@zenassylvester1254 жыл бұрын
Elimu yako ni bure kabisa ww lissu nenda ukouko kwa mabwana zakotuache na nchi yetu...
@stevobomaxon85714 жыл бұрын
Leo Kenya ni slave wa mchina JPM oyeeeeeeeeeeeeeeee Fanya kazi baba maneno sio mkuki
@elis22dears687 жыл бұрын
jizi hili
@freddokuckelmann85024 жыл бұрын
Jinga kweli hili. Litauza nchi.
@helencyprian8745 Жыл бұрын
Tumeahastakiwa zamani sana
@sportsentertainmentvideo66334 жыл бұрын
Huu utabir utatimia liniii!??
@Sadamukisuju5 ай бұрын
Umeshatimia
@bahamadiali50493 жыл бұрын
Una akili za kutawaliwa
@mawazochanya20817 жыл бұрын
Haimpasi kumtukana Lissu...anatoa ushauri mzuri sana....anachosema ni sheria mbovu na mikataba mibovu tuliyoingia wazima wazima ambayo kwa vitendo vya JPM tutaula wa chuya...hekima ni kuchukua mawazo ya Lissu na kuyafanyia kazi na si kumtukana...ili nchi iendelee lazima kuwepo na mawazo tofauti.Tujifunze kuheshimu ukosoaji
@daimuamidu63127 жыл бұрын
hivi lisu amelishwa nini mbona hataki kabisa kuzungumzia upande wa pili kwa maana kama ni kweli mchanga ule una kiwango kikubwa cha dhahabu kuliko wanachokilipoti,kuorodhesha madini ya Aina Tatu tu na kuachwa mengine, kujaza tani nyingi kwenye kontena kuliko kawaida, haya hayaoni anaona mikataba misaada na dipromasia ivi kumbe vibaraka bado wapo OK! wanasheria si watu wa kuwaamini hata kidogo jiulizeni mtu anaweza kumuua ndugu yako hadharani lakini mwanasheria akipewa fedha anamtetea, mwezi jana Kuna mtu akulipa kodi na akadanganya pale Bandarini kwamba kabeba mitumba akakamatwa lakini lisu ndiye mtetezi wake, tusimshangae anatetea tumbo Lake, mwanasheria YOYOTE husimuhamini wengi wapo kwa maslai.
@tishanulanga32794 жыл бұрын
I miss u so much brother ,,,your great indeed,,Whom our country is blessed
@thomastarimo Жыл бұрын
Asante sana mweshimiwa lisu
@chobaray7 жыл бұрын
God bless lisu. huyu mzee mtamkumbuka
@chaomadedo5 жыл бұрын
This is not true in his argument. Atasema china wako karibu sana na Kenya ki diplomacia, lakini ni vile wameekeza pesa nyingi mno kule kwa njia ya mikopo...Kenyatta alienda juzi hapa marekani akakaa na Trump kumuomba mkopo ili awachane na China akisema marekani wao watakuwa wapole kulipwa. Trump akamuambia pole sie hatuna pesa. China wanaambia Kenya, vile mnachelewa kulipa tupeni bandari yenu..na iwe for 99 lease term to operate any way we want. Sasa nani atakubali toa bandari yake na nchi ibaki hivi hivi na vile ndo inaongezea kipato nchi kwa %50...no way. Lissu hapo hana facts kwa kweli. Hez talking the opposite of what should be done. To deploy his facts n suggestion will put our nation into a pit full stop..
@issackchalahani12354 жыл бұрын
Huo ndio ukweli japo kuna wasio kubali ukweli.
@plachidiusrenatus58344 жыл бұрын
ndo tumeshaanza kumkumbuka sahiv
@zenassylvester1254 жыл бұрын
Leo tunamkumbuka kwa ujinga wake na aibu kwake kiko wapi sasa kama sio kuabika kwake.? Atakumbukwa Magufuli daima aliyoyafanya ni zaidi ya miaka 30 iliyopita
@gwamakamartin70904 жыл бұрын
Mbona hatujaona haya unayoyasema sas
@almasjuma68723 жыл бұрын
Sikia maiti hiyo
@tatoorashedi17873 жыл бұрын
Hujaona mbunge kama lisu kibaraka wa wazungu tungempa nchi huyu alikuwa anaturudisha ukolonikufungwa minyororo
@twalibsalehe97453 жыл бұрын
Hilo halina lolote
@mhifadhi797 Жыл бұрын
We do not know nothing
@samsonmwijage53017 жыл бұрын
lisu ni mbabaishaji tu. anapiga kelele. toa hoja za msingi siyo chuki zako. kwani wewe tu ndo unayejua sheria!!! JPM songa mbele wenye vyeti halali tuko nyuma yako.
@chaomadedo5 жыл бұрын
Kweli..Lissu anachosema kitatuumiza kama kitafwata..Kenya wanahangaika saa hii
@johnb18427 жыл бұрын
Gwajima kasema kweli Huyu lissu karogwa. Mie naona karogwa na uchawi WA kizungu uitwao USD. Wampiga na dollar iliawe mtetezi wao.vita vyovyote havikosi wasariti. Huyu Ni msariti WA vita vya kiuchumi
@chinaomy1306 жыл бұрын
Huyu lissu anahisi kama yeye ndio msomi aliyebobea kwenye sheria, kumbe wasome wapo kabla yake. Alafu ukimsikiliza kwamakini utagundua anaegemea upande mmoja wa mabeberu.Inamana hao acacia nao hawakukiuka mkataba?Sijaona cha maana alichokizungumza zaidi ya kutisha watanzania kwa terminology tu.eti China belt,European union sijui Japan.yani kama fala flani hivi.Atakua kapewa pesa.
sasa tukubali tuibiwe??? watanzania tunataka makubaliano yenye faida kwa pande zote. ..sasa kama hao wachina, wamarekani, europeans, canadians watakasirika sisi itatusaidiya vipi! ! wakati hao hao tuliowaamini kufanya biashara nao ni wezi, laghai, waongo etc ...tunataka viongozi jasiri siyo FISI.....
@tariqothman58727 жыл бұрын
wee lisu utakuwa unabanduliwaa na wa zungu choko weee sio kwa ujinga huo unao uongea
@yohanaleopord81916 жыл бұрын
Yutakukumbuka
@chaomadedo5 жыл бұрын
Ni hatari kuwasogeza wachina kwetu. Wachina ni wajanja kuliko vitu tujuavo; very strategic. Kenya wanaambiwa watoe bandari yao sasa hivi ili iwe njia yakulipa madeni yao yanayosuasua. Kenyatta anahangaika kuomba pesa Europe na America kuwalipa amekosa
@sinaubavu28102 жыл бұрын
Nice
@omarhemedmohamed79387 жыл бұрын
Hahahahaa washangiliaji wanataka kuja juu.
@clinthonjaphet6334 жыл бұрын
Nakubali
@bernardoleonard73313 жыл бұрын
Diplomasia yakuibiwa we mmbwa.
@godblessjrtz.86522 жыл бұрын
Hujui kitu zero brain
@ndebilemathias31017 жыл бұрын
ww la hovyo kabisa kumbe ni kondoo usipende maneno maneno
@SelemanMohamedi-l8l9 ай бұрын
Dah lissu ni kichwa Sana.Kila anacho ongea hutokea
@jeromemsagala12204 жыл бұрын
Hongera sana mh Lissu kwa kuwa mkweli
@janewacera78127 жыл бұрын
Sawa
@kakabaraka10584 жыл бұрын
raisi tundu lisu.
@adamkasselabantu29314 жыл бұрын
Duuuuh God bless you lissu wherever you are
@edwardmsaso73117 жыл бұрын
kweli ww ni kichwa box.endelea tu kulamba viatu vya hao watu wako unafikiri watakujar.hawa ndo wale waliowauza waafrika wenzao enzi zile
@peterregy66606 жыл бұрын
Man educated spika anaomba atumie lugha za kibunge hajui kiswahili
@thomaskonga10675 жыл бұрын
Jinga ww
@leonardjohnson20585 жыл бұрын
Edward msaso ssa hv nan ni kichwa box ssa hv???
@tkahwili7 жыл бұрын
Tundu Lisu, Dah!! yaani hiyo Silk road (China One Belt, One Road Initiative) haijui kabisa, anaongea pumba. Kujifanya kujua kwingi mbele giza......ndo mana anaonekana anapewa hela. Pumbavuuuuu.
@chaomadedo5 жыл бұрын
Wachina ni wajanja sana. Ku implement anachosema lisu tutaumia. Magufuli ndo mjanja hataki urafiki na mchina maana watamchukulia maeneo nyeti ya nchi yake. Kenya sasa wanacheza mziki wao..bandari yao iko mezani kwa mahojiano kati yao na China. Mchina anaitaka Ile bandari maana wamesuasua kuwalipa mikopo yao mingi walochukua. Zambia inamilikiwa nusu na mchina..mmmh mie sijui
@suleshileshina15787 жыл бұрын
Jambo muhimu na la upendo na la ukweli na mzalendo au kidogo unao uzalendo ni maneno ya dhati ni alieongea kiongozi wake na yeye lissu bado anapinga umuoni bado wa ajabu Mimi nampa Sana big up mh rais na jopo lake ila lissu atufahi katika jamii hii yetu na Kama taifa hili la watanzania wakati wa hewala bwana ushapita kwa watanzania lissu ok
@godfreysanga60914 жыл бұрын
I miss u bro ...
@chamomedia9203 жыл бұрын
Mzee chizi uyu
@stevensimon61583 жыл бұрын
Mambo
@DottoMussa-fx8pn11 ай бұрын
Mhe kavurugwa vibaya mnoo
@meshackkwigize98483 жыл бұрын
Mi huwa napenda anavosema SISI TUNAOJUA
@gordfreysangawe75354 жыл бұрын
Kibaraka cha wazungu
@jackisonwiliam91677 жыл бұрын
lisu we piga debe sisi tunasafiri tumesha panda bas we baki kituoni upige debe maana ndio kazi yako siyo siasa ,kila kitu unapinga hauna la kusema unaropoka tu bora unyamaze maana wewe ndo waajabu
@godfreychristopher67583 жыл бұрын
Kuanzia hapa ndipo nilipoona wewe haufai kuongoza Tanzania
@hoglabonifasi95762 жыл бұрын
kwahyo bora tuubuwe ili tulinde mahusuano mazuru
@edmundmakoye73227 жыл бұрын
Huyu ni wakili,hata kama mtu ametenda kosa akiajiriwa lazima amtetee huyo mtu! Kwa hiyo Lissu kalipwa ili atupe hofu ili tuogope kumuunga mkono jemedari wetu,raisi wetu Magufuli.
@fadhililihinda64916 жыл бұрын
edmund makoye Mkuu bado unao msimamo huo huo wa kumpinga huyu jamaa? Nasikia kuna kesi tayari huko London, nimesikia Zitto akisema
@mosesedwardmagembe96575 жыл бұрын
Najaribu kuendelea kupitia mambo ya hovyo hovyo ya huyu jamaa ambayo amekuwa akitetea njaa yake. Mla rushwa huyu yupo wazi kabisa. Alipewa pesa ili kuwatisha watanzania wenzake. Sasa yupo nchi za watu akiendeleza upuuzi wake kwa aliokuwa akiwatetea. Kwa wale wasioelewa kitu wanaendelea kum-support kwa comment. Wanadhani kama akisikilizwa na wazungu na kuyafanyia kazi malalamiko yake watamsaidia kitu gani ambacho hakitawadhuru Watanzania? Yaweza kuwa silaha watu wauane.. Aidha vikwazo vya kiuchumi. Mtu huyu ni wakuogopa kama ukoma.
@abbasmapfa5445 Жыл бұрын
Mkuu, Leo yametimia kesi zote za madini, Hatukupata hata mia mbovu ndege zetu kila siku zinakamatwa. Watanzania tunafikiria umbali wa PUA
@geraldmwanakatwe62377 жыл бұрын
lisu anaumwa.
@erickbeneth45184 жыл бұрын
yang
@yusufumbwanamagembe14714 жыл бұрын
Yajayo yanafuraisha
@meshackkwigize98483 жыл бұрын
Missing you sana mbeba maono
@bahatisanga86643 жыл бұрын
2021
@davidmushi67707 жыл бұрын
ninachofahamu kitu cha kwanza anachoangalia muwekezaji ni upatikanaji wa bidhaa anayoihitaji...waache wasiwekeze leo na kesho na mali zetu zibaki baadae watakuja kuwekeza wengine wataohitaji kuliko kuogopa kumpoteza muwekezaji ambae kiundani si muwekezaji ni mwizi
@chaomadedo5 жыл бұрын
Safi sana David. Maana Kenya wanalia saa hii. Bandari inataka kuchukuliwa na mchina maana wamesuasua kuwalipa madeni yao. Zambia nayo hivohivo...walivokuja TZ wakashindwana na Magufuli maana mikataba yao mingi amekataakusaini
@leonardchoma11417 жыл бұрын
Lissu, sisi hatutishiki na hao wazungu wako.Tunawasubiri waje ili tuwakamate kwa kosa la wizi.
@leonardjohnson20585 жыл бұрын
Leonard Choma hv wameshakamatwa hee
@ramadhanashibai8704 жыл бұрын
Ndugu ulijuaje,maana umesema ukweli kabisa wazungu wenyewe wamekubali kama walikuwa makosani
@ngwanafabian75324 жыл бұрын
Haya manyumbu yaliyokuwa yanamuunga mkono huyu mpumbavu yangerudi yasikilize alichotetea huyu bogas na hali halisi hv sasa kuhusu ule mgogoro na acacia
@wiza23097 жыл бұрын
Pamoja na hayo yote, bado tulitakiwa kufanya jambo, sasa tutafanyaje? Tusaidie wewe kama Mtanzania halisi, take action on this, get chance to talk to Raisi na Waziri wa mambo ya Nje. Wasaidie kupata mbinu za kuondoka na hili jambo kubwa. Ili tupite na tubaki na mchanga wetu. Kweli Sheria imevunjwa - tunatokaje?
@davidmushi67707 жыл бұрын
Esther Mushi hilo ndilo lililotakiwa kama kweli na yeye haridhiki kuibiwa angepongeza basi kwanza then kwa ustaarabu amfate hata waziri amueleze namna ya kuliweka sawa huu haukua muda wa kuongea aliyoyaongea tena ndani ya muhimili mkuu wa nchi unaofatiliwa almost the whole world..hiyo ndiyo inayofanya watu waone kashalishwa vya kulishwa sina hakika kama lisu asili yake ni hii nchi kwakweli ni kama hana uchungu kwa tulivyoibiwa ila anauchungu na mikataba
@davidmushi67707 жыл бұрын
inasikitisha sana badala ya kutumia muda wake kujadili nini kifanyike kujitoa huko anazidi kuwapa nguvu upande wa pili
@ngwanafabian75324 жыл бұрын
@@davidmushi6770 alilipwa ili tushindwe lakini Mungu alikuwa upande wetu tumeshinda na zaidi ya kushinda na corona chali kwa jina la Yesu
@جميلهخميس-ط5ث7 жыл бұрын
Nilikuwa nakuona wa maana ila leo nimeona kumbe na ww ni mburura 2 huna lolote na kaa ukijua kuwa ujuají ukikuzid mwishowe unaharibu mpaka ss umejipunguzia imani kwa wa2 wenye akili timam, Rais Magufuli wee fanya kazi hizi kelele za chura haziwezi kumzuia tembo kunywa maji
@danielnyaonge95387 жыл бұрын
جميله خميسhebu punguzen mihemko mlisaidie taifa miaka yotehiyob hamkujua kuwa mnaibiwa Leo madin yanaisha ndo wanakuja kusema tunaibiwa kunatizo hapo
@جميلهخميس-ط5ث7 жыл бұрын
Daniel Nyaonge Ttz viongozi waliokuwepo ndio hawakuwa makini walipenda sifa kuwa ni wazuri hawa kutaka kuzuia baadhi ya mambo kwa kuhofia kuchukiwa, Magufuli kwenye haki tenda haki atakaekuchukia tupilia mbali tunataka watanzania wote wafaidi mali ya nchi yao na sio baadhi, kama bado hamjamuelewa Rais nn anakifanya juu ya Tz ongeeni sn ila iko siku mtaelewa2
@vascokasambala21597 жыл бұрын
جميله خميس mjingamkubwalisu
@vascokasambala21597 жыл бұрын
lisupepoamemwingia
@hamisindoki94857 жыл бұрын
mtu mwerevu hudadasi mambo huwa hapingi kila kitu nyie wabongo lisu hajasema kama hatupigwi ila hatua zilizochukuliwa sio sahihi kisheria kwani kuna mikataba ya kimataifa humu
@abbiecox17 жыл бұрын
MIKATABA YA KIMATAIFA INARUHUSU WIZI?
@جميلهخميس-ط5ث7 жыл бұрын
Abdallah Bugano yani wa2 hawana uchungu kabisa na inch yao et mkataba, mkataba huku unaibiwa duh! Tz bwana cjajua ni nani aliye waloga
@chumatzchumatz30264 жыл бұрын
Umweledi na una uelewa syo Hawa ngedere hawana wanacho elewa wanao IPA serekali ushauri Wana wait wasaliti lissu he is genius always
@franciscogosbert96035 жыл бұрын
Hivi sasa akiiangalia hii clip hajishtukii kweli?
@johnsonkisamba77974 жыл бұрын
uyo nin'gombe Sasa mbona wametulipa
@johnsonkisamba77974 жыл бұрын
uyo nin'gombe Sasa mbona wametulipa
@ngwanafabian75324 жыл бұрын
Wakala wa shetani hashitukagi sababu amefungwa ufahamu wake
@calabash42214 жыл бұрын
@@ngwanafabian7532 umenena ukweli mtupu
@boazshalili88903 жыл бұрын
Wewe ndiyo unatakiwa uje uiangalie comment yako
@machaggechacha34224 жыл бұрын
Mpumbavu huyo. Wazungu wanamfira huyo.
@vladiminlenin88835 жыл бұрын
Leo tunagawana 50 kwa hamsini mshenzi lisu ulikuwa unatetea tumbo lako fala kweli
@ericksamwel16574 жыл бұрын
Kwenye huo mgawo ww umepata kiasi gani????
@vladiminlenin88834 жыл бұрын
@@simonalmas9614 sidhan kama unachokisema ni sahihi
@chugachugambuli88794 жыл бұрын
SIMON ALMAS ww na lisu wote hamjielewi kabisa akili zenu zimeinamishwa kama kondoo anayetembea kwenda marishoni
@ngwanafabian75324 жыл бұрын
@@simonalmas9614 mwongo mkubwa ina maana wewe tu ndiyo mwenye ufahamu wengine hatujui kilichoafikiwa!?
@daniellyimo6364 жыл бұрын
Hivi Hao Wabunge sio kuwa na Elimu Wana Elewa nini?Haki ya Mungu kama ni mimi Nita jiuzuru...😄😄😄😄😄
@NoahKamete-o9x8 ай бұрын
😅😅
@reubenbusanji29045 жыл бұрын
Mpumbavu Lissu haya sasa tuambie leo kimetokea nini?
@mr.kigomaujiji61225 жыл бұрын
We ndoo fara kwel
@ngwanafabian75324 жыл бұрын
@@mr.kigomaujiji6122 wewe ni mpumbavu kama Lissu hatuwezi kuongozwa na jitu oga kama huyo shoga mwenzenu alisema tutashitakiwa haya sema tumeshitakiwa wapi? Wapumbavu kama nyie kamwe hamna nafasi Tanzania.
@josephmwita5646 жыл бұрын
Ndo kazuia, au ndo kafungua mlango wa wezi kuiba vizur
@philipowyinjones96454 жыл бұрын
Daaah hii ni mashine
@arafatimjungu25107 жыл бұрын
lissu hapo umechemka,unataka tuendelee kuibiwa dahaaa!!! kweli wewe wa hajabu
@miriamkenedy62117 жыл бұрын
wewe nimwehu hujui peleka kichaa chako huko kilakitu unapinga tu
@avetealimasi22627 жыл бұрын
arafati mjungu lissu ni mnafiki wa inchi ya tz
@avetealimasi22627 жыл бұрын
arafati mjungu hahaaaaaa kweli watanzania munajizarilisha kweli kweli kwa hayo anayo yazungumza huyo munayemhuita mh.lissu daah eti anayapinga maamuzi ya raisi eti si sahii duuh balaaa huyo jamaa ni hatari kweli naye anataka awe kiongozi raisi wa inchi hatari kwelikweli
@جميلهخميس-ط5ث7 жыл бұрын
Avete Alimasi ni shida na bado kuna wa2 wanamshabikia kweli Tz kuna wa2 hawajielewi
@annacarlos79257 жыл бұрын
Avete Alimasi tatizo makubaliano ya mikataba ndio inayokosti sio hatua alizochukua tafakarini lisu anavyosema
@danielluvunzu5537 жыл бұрын
hapa issue ni ukiukaji wa sheria Lissu yuko sahihi kwani mikataba mingapi ambayo baadaye inatugharimu kulipa mabilioni kwa uvunjaji sheria na katika hili sijui kama tutanusurika nampongeza Lissu kwa kuchambua Hilikwa dhati
@جميلهخميس-ط5ث7 жыл бұрын
Daniel Luvunzu nina wasiwasi na ww yawezekana ww sio mtanzania
@raphaellyapembile75277 жыл бұрын
Daniel Luvunzu Mkuu,hapa lisu kachemsha.jamaa ajazui kusafirisha but anataka kujua nn kinasafilishwa.watanzania tutambue nn kinachopelekwa na hakuna aliyevunja mkataba.tatizo lisu anajua sana
@davidmushi67707 жыл бұрын
Daniel Luvunzu kwani huo mkataba unazuia mtu kuchunguza kama kiwango kilichokadiriwa ni sahihi ?
@yustokindago24257 жыл бұрын
Kwahiyo tufanyeje sasa kama taifa,au ndo kachambua na kuishia apo tu!! Mim niltegemea wao ndo watatoa njia nzuri ya kiachana na umangungo huo badala yake nao wamekua wakilalama tu,afrika kweli tumerogwa tukarogeka
@an577 жыл бұрын
Daniel Luvunzu Mpe hi Lisu baada ya ripot ya pili
@kapondamsita4762 жыл бұрын
Uyujamaa nimashine
@an577 жыл бұрын
Tunakusubir uongre baada ya ripoti ya pili
@Felix722827 жыл бұрын
Huna lolote, unaropoka tu
@nassorsaid23317 жыл бұрын
Felix Mrisho nyie ndo wapiga debe anao sema lissu hamjui mnaropoka tu
@thomastemu33324 жыл бұрын
Weee fala unaibiwa dhahabu halafu unatetea waizi mabeberu your Real stupid
@meshackkwigize98483 жыл бұрын
Ndo maana akasema anaongea na wanaojua , wewe kalale
@bugusambalinga36037 жыл бұрын
kila siku lisu lisu ? waandishi wameishiwa swaga
@raphaelsamwel26405 жыл бұрын
Wakufuate wewe una nini kichwani??? Kengeee
@kaijagefredinand74477 жыл бұрын
huyu lisu mbona anaongea pumba
@barbranabakooza95894 жыл бұрын
Shule wewe una wache walioenda shule waongee
@ramadhanndemeye69327 жыл бұрын
wewe usio mtanzania rudi kwenu Congo watu lipe haki zetu
@leonardjohnson20585 жыл бұрын
Ramadhan Ndemeye hv tumeshalipwa??? Ushabiki ni mbaya sana
@albatrose98656 жыл бұрын
Leo hii baada ya Total kusitisha kuwekeza pipe ya mafuta inayotoka uganda kwa sababu ya sheria mpya na kutokuiamini Tz,watu watakumbuka maneno ya lisu.