Daaah wazazi walizaa kichwa kwelikweli Mungu akupe maisha marefu
@christophertarimo50473 жыл бұрын
Sio mchezo
@stephenmalilo98337 жыл бұрын
Hivi ukiongea baada ya Lissu kuongea unajiskiaje??
@rajabumapunda4164 жыл бұрын
itapita miaka mingi sana kumpata mtu kama uyu
@josephkisura88985 жыл бұрын
Dah baada ya kuchangia hapo alipigwa lisasi mchana mungu akuokoe na akulinde jembe
@helencyprian60444 жыл бұрын
Kwakweli inasikitisha sana, wanadamu tuache chuki bali tuwe na upendo na tukubali kukosolewa maana sote tunamapungufu
@AmosRugaimukamu8 ай бұрын
Huyu jamaa noma sana
@isayamachaine4705 Жыл бұрын
Lissu is always ahead of time
@geraldcargotransporters85447 жыл бұрын
Tundu Lisu nakukubari sana, kuwa mzalendo wa nchi yangu
@TegooMuhando7 ай бұрын
Ujambo mrembo Masha llah mungu kaumba mama kazaha ww ni mzuri umekamirrka kira hidara kuanzia utmishi mpaka utwara maishara mungu acha aitwe mungu na ware wote wanao kutakia mabaya basi mwenyezi awatie kiza very Nice baby
@SylvesterMakenzie3 ай бұрын
Lisu lisu lisu Mungu azidi kukulinda na waovu wewe ni mtu wa mhimu sana nchi hii
@RobertMashine2 ай бұрын
Huyu mama hajui anaonglea nini ila uchawa tu aliyosema yatashughulikiwa na Magufuli yalishughulikiwa mbona hadi kifo chake mambo yalibakia kuwa yale yale
@jensennashon61477 жыл бұрын
Lisu nakuelewa sana hasa unapoprove facts....salute
@meshackkwigize98484 жыл бұрын
Jensen Nashon ananikonga moyo pale anapoongea kwa facts ambazo amesoma na nyaraka anazo.shikamooo kaka
@iddisambalo84217 жыл бұрын
Napenda sana wasomi....lazma uongee kwa fact
@tithombilinyi30066 жыл бұрын
iddi sambalo a
@daybrelimite61267 жыл бұрын
Lissu we proudly at you Sir. { natamani sana siku 1niwe mmoja wapo wa watu, kama we we!}
@optatuslikiliwike1736Ай бұрын
Huyu ndiyo mtu mwenye akili timamu kuliko wote waliomuwepo bungeni wakati wowote wa bunge niliyowahi kushuhudia katika maisha yangu wengine niwapigafilimbi tuu wa hamelini hawana lolote lile
@isackmabanza49372 жыл бұрын
Tundu Antipas lissu the hero of the country 🔥🔥
@kwisa48993 жыл бұрын
Nani anasikiliza hii mwaka April 20121
@kwisa48993 жыл бұрын
👍
@babuwaziri7153 жыл бұрын
Sijaona kama huyu bado, unfortunately akapigwa risasi kwasababu hiyo
@yuzotv4583 жыл бұрын
hii ndio 7bu iliofanya mwamba apigwe risasi!!!!!
@SUPREMEDIGITAL7 жыл бұрын
Nakukubali hapo #TunduLissu unaenda na Reference na taarifa za kila kilichotokea na kufanyika.Lakini bado watu wanaendelea kubisha sasa sijui wanataka nini la ziada.Keep #UKAWA kwa Ukombozi
@sasha-ri7tf3 жыл бұрын
Mwanaume wa shoka huyo hatotokea tena jama Mhe Tundu Lisu.
@arnoldarnold62714 жыл бұрын
Lisu was smart..actualy maybe the smartest at tht time
@mwajumafadhily77126 жыл бұрын
Mnyama Lissu long life man
@BarakaWaya7 жыл бұрын
Shetani tu ndo atampiga Lisu
@Tutindaga7 жыл бұрын
ndio nilikuwa nasubiria hili jembe liongee roho yangu itulie sasa nimeshaelewambivu na mbichi VIVA TUNDU LISSU
@aggreyenock12217 жыл бұрын
V Allen una akili sana Dada angu
@emmanuelmsigwa7147 жыл бұрын
walioshindwa kuzifanyia kaz ropot zanyuma c Magufuli.Magufuli n Jembe babukubwa wtz tutaona jins atakavyoifanyia kaz ripot hii Mungu mpe ujasili Rais wetu.
@thetreasure22307 жыл бұрын
V Allen una IQ kubwa sana.
@getrudadodieck71647 жыл бұрын
tundu lissu
@DanielDaniel-ey8th7 жыл бұрын
No one like Lissu, God bless you!
@fnnyanda59933 жыл бұрын
Mr.Daniel."No one like Lissu".Ni kweli kabisa hakuna mtu mchafu, Mnafiki, Anatumiwa na Mabeberu, Mchochezi nk.Kama Lissu. Yaaani, huyu ametiwa Microchip na Wazungu ili awe chombo cha kupitishia mambo yao. Na bado, Kufikia 2025,mtakuja kumwelewa tu. Endeleeni kumsifia.
@robbiejerrson74372 жыл бұрын
Duuh, hii imenikumbusha mbali. Jamaa alimaliza tu kuzungumza asubuhi ile, mchana wa saa 7 akapigwa risasi na bahati nzuri Mungu akamnusuru, hakufa..!
@daniellyimo6364 жыл бұрын
Mungu akupe Nguvu urudi na Walio kudhuru Mungu awachukue Hakika Mungu ni Mwema.😱😱😱😱😱😥😥😥😥😥😥
@babuwaziri7153 жыл бұрын
Dua yako mungu ameijibu
@estambuya3901 Жыл бұрын
Mungu ni mwema kutupatia watu kama tundu lisu.
@benny43457 жыл бұрын
mchango wa Tundu Lissu. aliyefuatia sasa😭😭
@spiritualman_7 Жыл бұрын
😂😂😂😢
@severinepetro43955 жыл бұрын
Mungu akupe maisha malefu kamanda
@issackchalahani12355 жыл бұрын
Mungu mbariki MTU huyu aitwaye Lissu.
@thomaskiponda6079 Жыл бұрын
JEMBE LISSU MTUME WA MWENYEZI MUNGU KWA TANZANIA❤❤❤❤❤
@joxeesetty19807 жыл бұрын
Lissuuu saluti kwk
@gaspermassawe73977 жыл бұрын
SASA kweli MTU wa Faida km huyu mnamwuulia nini JAMANI,? FAIDA YAKE NI KUBWA KULIKO HIZO CHUKI ZENU KWA MANUFAA YA NCHI,
@helencyprian60444 жыл бұрын
Asante sana
@venancemsanjila18957 жыл бұрын
Tanzania mpya..Iiileee....Naiona....MAGUFULI NI AFYA YA WATANZANIA...Mungu bariki TANZANIA
@jumamsechu2 ай бұрын
Mataka yako
@geraldsanzala81195 жыл бұрын
Hivi kweli Tundu Lissu ana makosa kwenye hii nchi???! Kweli??
@abdallahantony95244 жыл бұрын
Hana hata kidogo
@thomaskiponda6079 Жыл бұрын
SIKUKOSEA KABISA NILIPOKUPA KURA YANGU NAJIVUNIA HILO❤❤❤❤
@saidjagger.55434 жыл бұрын
Tundu always iz back
@christophertarimo50473 жыл бұрын
LISSU the Legend
@ريهامالسريري-ل1ص7 жыл бұрын
Nakuelewaga sana kamanda wanguu wape ukwl japo wanakuponda
@priscamalima22767 жыл бұрын
افلح السريرس nakupenda bulee
@mohamedmnjeja61822 жыл бұрын
mwamba ndo huuyoooo hapo sas 💪💪💪💪 mh Lissu
@raibena26957 жыл бұрын
hivi sick we bongo tuna akili gani jamani hivi mtu unaona lisu kaongea pumba hivi kweli hebu kueni na akili bhana minichwa yenu imejaa mafuta ya taa lisu yupo sawa kabisa
@aggreyenock12217 жыл бұрын
Raibena ! hawana akili hao
@rosehillary87427 жыл бұрын
Na hatutabadilika kamwe
@fabianvenance28917 жыл бұрын
Raibena ! Hua nakuelewa sana hata nisipokula najisikia kama mtanzania
@sammysammy54834 жыл бұрын
Rebeka ww huna akili fala ww
@ngwanafabian75324 жыл бұрын
Asante Yesu kwa kutuletea Dr. John Joseph Magufuli. Umemshindia vita ya makinikia, uzushi, chuki, corona na mengine mengi. Umewaaibisha wasaliti wa taifa walituombea tunyimwe misaada kumbe wanatusaidia kujitegemea kama taifa hivyo wametusaidia kuingia uchumi wa kati mapema kabla ya malengo yetu. Bariki watanzania wote wenye mapenzi mema. Amina
@omarymbalala62247 жыл бұрын
Shikamooo tundu lisu
@paulowangoma49322 жыл бұрын
I had to revisit 😢
@salummawazo43243 жыл бұрын
Lissu kwanini umebadilika umekuwa pappet dah 😭
@babuwaziri7153 жыл бұрын
Kaka kauli yako nzito, unapaswa kuwa uhakika na sio kufuata political wagging. Tuseme kama asingepigwa risasi angekimbia nje ya nchi? Leo ungemuita puppet?
@manywelemanywele76216 жыл бұрын
Mama alitakiwa kuvuta pumzi kidogo maana ameongea kwa temper saaaana. By the way kile alichoongea Father Lissu we call it Factum Probandum
@doctorjuniour94597 жыл бұрын
SHIKAMOO LISSU
@erickrobinson88267 жыл бұрын
dah, yani watanzania inatakiwa tuelewe maana ya bunge VIVA LISU
@mrsawesso51093 ай бұрын
Iko sawa ❤
@thetreasure22307 жыл бұрын
JPM jishushe tu rais wangu. Hili jembe Lissu linakufaa sana.
@engbugomolajulius10187 жыл бұрын
The XYZ were jamaa umeona mbali sana.
@emanuelbelato75247 жыл бұрын
lisu laiti tungekuwa na watu 20 kama hii kuna mahali tungefika
@jamesmedard55387 жыл бұрын
Asante Mh.Lissu nakupongeza sana kwakusimamia ukweli
@frankmanga37217 жыл бұрын
Tundu lisu oyeeee
@shamssaid76327 жыл бұрын
Shikamoo TUNDU LISU. Huyo mama yupo nje ya mada
@hajihajiobery83176 жыл бұрын
Shams Said
@christantkitaka49464 жыл бұрын
Huyu jamaa n tunu yaa tanzaniaaa leo 2020 nAsema n yeye
@gichochore99903 жыл бұрын
Nakukubali sana lisu
@mh.samoladanielchikaka13704 ай бұрын
Huyu jamaa ni noma.
@fayeezomar82837 жыл бұрын
respect u!
@peninamartin98677 жыл бұрын
Ho ngera sana Jembe Letu Lisu. Mungu Akulinde Daima.
@zabronhamad95306 жыл бұрын
lissu Mungu akubariki na akujalie maisha marefu kamanda
@mwalimupaulosmengi69807 жыл бұрын
only the cursed oppose you viva Lissu
@justinemgomi95617 жыл бұрын
asante TL
@abduurassa23084 жыл бұрын
Kiukweli tundu lisu mm ninakuelewaga sana nitamani ciku moja tanzania wawatunze watu kama hawa lakini watanzania atutaki kuwa mbiwa ukwli kwa sasa tanzania atuna mtu kama tundu lisi
@marryshilla29227 жыл бұрын
sawa tindu lisu leo umewapa ukweli
@TheQaled7 жыл бұрын
Wawakilishi wa Chama tawala mnatia aibu,lkn ipo siku mtapigwa mawe majimboni...Mungu anawazoom
@luganokapula62677 жыл бұрын
Khaled Masondore mulize tindu lissu jimboni kwake kafanya nn
@beatusnestory11587 жыл бұрын
Lugano Kapula hata Huyo wa jimboni kwako kafanya nn
@samwelmwinyi78797 жыл бұрын
Kuna wakat unaweza ukihc Mwanasheria huyu Lisu haelewek! Lkn bnafc namuelewa sana! Lp neno la kumfaa zaid ya kumtakia KHERIZE MOLA zmtangulie ktk kuzfungua faham! na sharize shetan ZIMUEPUKE! haya n MAOMB yangu ya DHAMBI Tanzania mpya INAKUJA km haijaja tayar!
@noelasimon18784 жыл бұрын
kwanii usiwe rais lisuu kwann ww kura yng chukua
@johnmalembo64643 жыл бұрын
Mungu tubariki watoto wa Tz
@raphaelsamwel26405 жыл бұрын
Wenye akili na uwelewa mara nyingi hawaupati uongozi wa juu urais ila wababaishaji na wazee wa kubip!!! Mungu wangu keep this man alive!! Ana upeo mkubwa na misimamo inayoeleweka!!!!
@robertonaftal48567 жыл бұрын
Mzee lissu ww unajua yan
@johsun80184 жыл бұрын
my president 💙
@tanzaniatheroyaltour5182 жыл бұрын
The legend tundu lisu
@jumaedward71103 жыл бұрын
The MASTER!
@kovuchanelstar94466 жыл бұрын
MTU makin saana tundu lisu....mungu akujalie
@Adryfierce7 жыл бұрын
Shikamooo LISSU... No one like u... hahahah
@stephanothomas35857 жыл бұрын
Sema baba seeeemaaaa!!
@jumajasjas29257 жыл бұрын
point ya msingi n kubadir sheria zetu... na kingine Kikwete nae ahojiwe maana hata escrow pia mkataba wa iptl unamhusu... jamaa ni mwizi ila n mwanasiasa...tukitaka kufika lazma tufanye maamuz magumu... mda mwingne n bora tu nchi ingekua yakifalme... hawa marais walopita n lazma wahojiwe... haiitaj uwe na PhD kujua kua hao marais nao walinufaika... au bado wananufaika...
Hana kitu huyo, usimdhamini atakudis-appoint mbele, huyu rais wa sasa sio mkurupukaji kama wengi wanavyodhani...tumpe muda tutaona. Hakuna jipya hapo!
@Adryfierce7 жыл бұрын
Simba Dume Muda upi tena, mtu karibia anaingia mwaka wa tatu lkn hamna alichofanya zaid ya bla bla tu
@abdallahrenatus66777 жыл бұрын
+Simba Dume kaibua mambo mengi Na hayajakmilka
@samweldanford46607 жыл бұрын
Shujaa
@shekhekassim64027 жыл бұрын
Wewe ni kifaa Allah atakulipa
@boscojohn41205 жыл бұрын
Mashine ya kazi hiyo
@mussabulugu63195 жыл бұрын
Wew tundulisu ulichemka hapo mbona magufuli kaweza leo umeumbuka kweli wew
@youngchezo2744 Жыл бұрын
Mwamba uyo
@bonybabalao89214 жыл бұрын
Wew utapata uraizi mim chma chdema
@johaivenilutimba75877 жыл бұрын
we mzee jipya una kwa magu mtasubiri sana
@jongosalehe10363 жыл бұрын
Point
@almostgoro66047 жыл бұрын
Honestly..!! lazima watanzania tuwe makini na tutumiye elimu zetu..!! lazima tuwe na fact ktk mambo yanayo husu taifa letuu..!! Hii mikataba yotee imesainiwa na viongozi walopitaa hakuna asiyejuwa hilo..!! Our president Makufuli just be transparency to us Tanzanians..!! TUSAIDIYE kiukweli kama mzalendo..!!
@yohanamwamlima29996 жыл бұрын
Almost Goro sawaaliyekamata makinikia ninani kamasio magufuli
@kashindisimon52656 жыл бұрын
Lisu ni kichwa
@evaristedward85577 жыл бұрын
Uzalendo Wa kweli ni kusimama na taifa lako wakati wote na kuionya serikali inapokosea! Kua mzalendo sio kusimama na raisi au kiongozi yeyote wa serikali! Tunashukuru kupata sauti hizi katika taifa letu! Washabiki na wasio na maarifa ni ngumu sanaa kwao kuelewa! Mungu ibariki Tanzania!
@alexlyova51157 жыл бұрын
LISU WEWE NI KIBOKO YAO...... ACHA WAKUPINGE LAKINI WATAKUJA KUKUMBUKA ULIYO YAONGEA...!!!
@boniphasmvungi98077 жыл бұрын
tulikuwa tunakusubir wewe sasa tumeelewa
@johngavile51065 жыл бұрын
Watu na maliza chuo wanazurura mtaani we Una unga mkono wee mama umetumwa wewe
@raphaelandre9324 Жыл бұрын
Na kweli mpaka lio mambo holaa!
@jobmbwilo79606 жыл бұрын
woooh thatz great
@samuelmuhina31867 жыл бұрын
2onesheni kisomi wapi mnafki sio chuki zenu na ujinga 2 ulio watawala,msikilize vzr pnt zake wenyewe warowezi wanamuogopa muone evn spika sura yake haina furaha,wao kazi yao kumsifu rais hadi muda unaisha,CHADEMA kule kwa wasomi na waelewa
@helencyprian60444 жыл бұрын
Hujakosea kabisa, sikiliza alofuata baada ya lisu halafu jipe jibu
@hamisidaud99123 жыл бұрын
mnyama the don, mwenyewe ,lissu daah,
@sometimes56214 жыл бұрын
Lissu akisikia tena waneno aliyosema sijui atajisikiaje?
@patrickpaul56927 жыл бұрын
lissu anaongea point tena kwa fact hadi ccm humo ndani wanatamani wakimbie
@feyzalyusuph144 жыл бұрын
Tunakumis Mh Lisu
@consolatamaarufu67627 жыл бұрын
lisu love you so much
@shooterchriss95726 жыл бұрын
Lisu noma
@faidamanoni22857 жыл бұрын
siku Tundu lisu akaacha kupiga kelele Tanzania tutaibiwa hadi vichwa vyetu