Ahsante Yesu kwa mafundisho mazuri ya mpakwa mafuta wako, na barikiwa na Injili yake, Mungu amtunze na kumpa maisha marefu.
@geofreymasija7170Ай бұрын
Mwenyezi Mungu Yesu kristo naomba nifunguliwe kiuchumi 🙏 na nikutumikie maisha yangu yote ni suludi nyuma Tena.
@TatuKimario2 ай бұрын
Napokea uponyaji wa majin yanayonisumbua yaondoke yakae mbali nami na familia yangu amin
@BatureBega2 ай бұрын
Mataifa walionitesa sasa ni muda wa kunitumikia ktk jina la Yesu, hasa kiuchumi, kiafya , Yesu ponya maisha yangu, mchana wangu na uonekane Nuru mchana,na hata usiku wangu uwe na Nuru kuu, ahsante Yesu.
@TatuKimario2 ай бұрын
Mungu awaongoze vyema watoto wangu katika masomo yao na awalinde na shal za dunia
@marymary83132 ай бұрын
Napokea uponyaji na familia yangu ifunguliwe in jesus's name
@BatureBega2 ай бұрын
Amen kesi ya laana kwangu na Mwanangu Vanessa ameisha, Vanessa kielimu na kiafya, na kiroho, mimi pia kiroho, kiafya na kiuchumi.
@JengohassanJeast2 ай бұрын
Ameeen nakombolewa leo napokea uponyaji
@Ross-t2c2 ай бұрын
Kwedagadari,qatar
@Thehunchoz2 ай бұрын
Asante mungu kwa muujiza wa leo na nitaendelea kupokea kila siku iendayo kwake yesu mungu akubariki kwa kunifungua sjui nimshukuru mungu kwa namna gani 🙌
@Thehunchoz2 ай бұрын
Amen
@Thehunchoz2 ай бұрын
Mungu nisaidie niwe mtaaramu wa nulu na mi nisaidie walio kalibu yangu
@Thehunchoz2 ай бұрын
Amen napokea 🙏
@kapeljjkapeljj54072 ай бұрын
Napokea ndoa,mapacha mwaka huu ❤
@FarajaSarwat2 ай бұрын
Najiungamanisha na komboa familia katika jina la Yesu Kristo
@LightnessMsifuni2 ай бұрын
Kupity operation komboa famliya namuombey bib yngu aliye hospital Leo akapte Nuru na kufunguliwa katik jin la yesu Kil kichomi kilicho mshik kikamwachyi katik jin la yesu nikombe na kuamin mungu unaskiy na skio lako so zito kusikiy fny njia pasipokuwa na njia amen
@SuleheremaneRemane2 ай бұрын
Amen napokea leo
@EugeniaMartinsFeliz2 ай бұрын
Naomba mungu mume wango arundi nhombane
@SimonSeni-z2i2 ай бұрын
Amen nakombolewa leo
@DanielRaphael-rm1jf2 ай бұрын
Amen nakombolewa leo
@MikaelaKomba2 ай бұрын
Ukombozi wafamilia ikaniinuekichumina❤
@MikaelaKomba2 ай бұрын
Wamtotowangu wainukekichumi
@EusouCapaz-s4i2 ай бұрын
Najiunga pamoja na komboa família Katika jina la yesu Cristo
@TatuKimario2 ай бұрын
Napokea mafanikio makubwa katika familia yang
@frost4life302 ай бұрын
Naomba kibali cha kusafiri kwenda Tanzania 🇹🇿 kwafuatilia permit yangu na ya mtoto yangu zote nizipate kirahisi, alama ta kibali iwe kupata pesa nyingi kirahisi na kuzidiwa na wateja ,nyota yangu ingae nionekane mipendwe na hata waliokua wananichukia
@MussaPaulo-gk2du2 ай бұрын
Upo wapi ndugu mm nipo Tanzania
@MingYou-o9w2 ай бұрын
Leo kesi yangu yakutokuonekana inaisha
@MussaPaulo-gk2du2 ай бұрын
Nimedhulumiwa na Jokate mwigelo akisema anakopeshaa nataka kabla ujaja kongamano la arusha awe amerudisha mara mbili ya alichokudhumu kwan mungu amuhukumu na sio mm
@mmasisellah18232 ай бұрын
Amen
@mmasisellah18232 ай бұрын
Operation komboa mume wangu kutoka kwa mitego ya giza
@EllyNnko-u4d2 ай бұрын
Ameen
@JaphetDaniel-l9b2 ай бұрын
Nakomborewa reo
@HusnaBwire2 ай бұрын
Naomba npte kibali cha kuongezwa Mshahara
@aminachiziamina2 ай бұрын
Na mm na pokea ujezii waraka nkila mabya nlio tamkiwaa na wale wazee zimefutwa nitaolewa na ntafauluu enejeses name
@ShukurMkan2 ай бұрын
Najiungamanisha na madhabau nifungulie kiuchumi kiafya na tumbo langu lipone na Jamal aludi fasta