Nazidi kubariķiwa na ibada hii ya leo na Mungu azidi kujaza mibaraka katika ibada ya kufunga kambi ..Amen.
@ShukranDaudikuzenza-lx1ce6 ай бұрын
Amina watumishi mungu ni mwema kupitia ibada ya Leo ni siku njema kupitia ombi hili mungu aguse watoto wangu waliopatwa na ugonjwa wa manjano Toka mungu alivyo nipa kazi nimekuwa mnyonge Sana nani nimepatwa na huu wito