Sijawahi kumpenda mpare ila mpare huyu ni mwalimu mwema. Sichoki kumsikiliza. Mungu akubariki sana, mafundisho yako yamenifungua mno.
@silvestarlema722 жыл бұрын
Ameen pastor
@yohananyamaruri91053 жыл бұрын
Pr barikiwa sana , Ila pia Biblia haijasema wenye karama moja wawe na kanisa au dhehebu lao! Maana naona Siku hizi wenye Kunena Kwa Lugha wako pamoja na wwnye kukemea mapepo wako pamoja na wenye unabii wako pamoja kimadhehebu ! Hili nalo Mungu akuongoze siku moja utoe na hili somo Amina
@mwajumasakina95993 жыл бұрын
Oooh my God is a good God, Pastor Roho mtakatifu akuzidishie ufunuo, moyo wangu unabubujika kwa ufunuo huu
@kabalizasekanabomarko6063 Жыл бұрын
Asante sana kwa mafundisho na maneno mazuri sana.
@tachaado96533 жыл бұрын
amina sana mchungaji wetu uliye barikiwa sana na BWANA kwa njozi na maono juu ya kanisa letu make hatui kabisa kuhusu somo hili la roho mtakatifu na kunena kwa lugha.
@raelbosibori7131 Жыл бұрын
God bless u pastor umenijenga kiroho
@mozesamizi931 Жыл бұрын
Mchungaji nimekupenda bure,ume balance vizuri, unapiga wa torati,unapiga wa neema pasi na sheria, nakitamani,kipawa hiki, zaidi sana Matunda yatokanayo na kipawa hiki
@nancyabura7433 жыл бұрын
Mchungaji mmoja aliandaa mhadhara ,basi wakati Wa mahubiri akahitajika mkalimani kwa manufaa ya waazi Wa eneo lile,lakini hakupatikana,pakatokea mlevi mmoja aliyesikia mchungaji akiuliza yeyote anayeweza kutafsiri ajitokeze ,basi yule mlevi aliyechakaa akajitokeza mbele ya watu .mchungaji hakusita Bali aliruhusu roho Wa Mungu amtumie huyu mlevi wakupindukia ,LA ajabu alihubiri naye alitafsiri kwa uhakika... Watu waliongoka na kubatizwa ..
@GuzuraGuzura13 сағат бұрын
Amina
@shukranjulius59103 жыл бұрын
Amina hakika naendelea kuuona ukuu wa Mungu maishani mwangu mbarikiwe nyote wanamgololo Bwana awabariki sana
@keziaranga63293 жыл бұрын
Asante sana mchungaji nimebarikiwa sana nami naanza kuomba karama za roho ili niitumie kulijenga kanisa lake. Bwana akubariki
@lazarosilas2912 жыл бұрын
Mungu akubaeiki m2wababa
@tirokeya9909 Жыл бұрын
balikiwa mtumishi wa Mungu
@KuratiMarwa8 ай бұрын
KUJAZWA ROHO MTAKATIFU SIO KALAMA, NI UTIMILIZO WA AHADI YA YESU MAANA ALIAHIDI KUTULETEA ROHO MT BAADA YA HAPO NDIO KALAMA ZINAFUATA
@GuzuraGuzura13 сағат бұрын
Mmmh, rafiki hata mafungu yaliyosomwa, hukuyasikia?
@phinawatwego72603 жыл бұрын
Aminaaaaaaa. Asante mchungaji Bwana Mungu akubariki
@josephinelusambo45933 жыл бұрын
barikiwe mtumishi wa MUNGU nakupata vema kwenye mafundisho yako
Nimekuelewa sana Pastor....ilishanitokea Ila mara moja tu
@mossesjoseph22023 жыл бұрын
Nimekuelewa sana Pastor.
@bahatibakenga82363 жыл бұрын
Amen amen 🙏 Mungu akubariki sana muchungaji
@anastaziaemily47082 жыл бұрын
Anhaa, kumbe kunena kwa ile lugha isyoeleweka nayo ipo
@t7zkc5tpxgim283 жыл бұрын
Mungu akubariki sana pastor
@onesmuswekesa91302 жыл бұрын
Nami nabarikiwa kutoka kiminini Kenya
@claudineshimirimana8822 жыл бұрын
Amen amen umenibariki
@fredrickgitonga19723 жыл бұрын
GOD bless you pastor
@victoriajames61903 жыл бұрын
Amina nimebarikiwa na soma
@damefundi50253 жыл бұрын
Safi injili ya kweli sana tupone
@divvanajohnson48953 жыл бұрын
Beautiful 💕 song hallelujah amen
@wishitwinzi80672 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi umetumika vizuri, lakini pia Samahani mtumishi, mimi naomba kuuliza kidogo @mahubiri tv Je siku ya pentekoste ilikuwa ni siku ya namna gani? Je siyo kuwa ilikuwa ni siku ya sikukuu ya wayahudi? Ambayo walikuwa wakikusanyika? Au mimi ndipo naelewa vibaya? Je waumini wanaotajwa kuwa walikusanyika je si wale wayahudi kutoka mataifa mengine sawa na vile wachaga ambavyo hukusanyika katika sikukuu zao? Naomba kufafanuliwa kuhusu hao waumini ni waumini akina nani hiyo siku ya pentekoste? Naomba kufahamu
@johnhaule78633 жыл бұрын
Amen nazid kuelewaaa
@stanfordisrael42073 жыл бұрын
Pastor naomba unisaidie juu ya fundisho la utatu linanitatiza sana
@ZAWADIELELIAАй бұрын
Nmeelewa sasa
@pascalnicolaus69863 жыл бұрын
Allelluya
@samwelnyankena98733 жыл бұрын
Ameen
@beatriceomino62663 жыл бұрын
Amen be blessed
@renatuskanuthy57433 жыл бұрын
tunabarikiwa mtumishi wa bwna
@rahelchilale10753 жыл бұрын
BWANA siyo bwana
@thimothyelias81722 жыл бұрын
Nazidi kubarikiwa
@rebeccasulubu68393 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@nickomtweve57483 жыл бұрын
Barikiwa sana mchungaji kwa mafundisho Yako mazuri
@sarah.robert4283 жыл бұрын
Ameen pr
@susangraf61123 жыл бұрын
We're niwa kaniza Gabi ndugu?
@fredyomarimnkeni24273 жыл бұрын
Amina !
@justinejacob42403 жыл бұрын
Amen...be blessed
@rosepeter89963 жыл бұрын
ANINA🙏
@brunomirambi87923 жыл бұрын
MGOLOLO KWENYE KIWANDA CHA KARATAS HONGERA SANA KWAYA YETU MINGU AWABARIKI SANA NA ABARIKI HICHO KIPAJI CHA HUYO MTOTO NA MKIKUZE MSIKIACHE ILI HUYO MTOTO AJE AWE MUIMBAJI MZURI
@sarahwambui8793 жыл бұрын
AMINA AMINA
@winfridambulamagyo53433 жыл бұрын
God is able
@abrahammvungi10423 жыл бұрын
Be blessing
@KuratiMarwa8 ай бұрын
Wachungaji ; tambueni Kuna vitu vitatu , 1, KUNENA Kwa LUGHA 2 KUJAZWA ROHO Mtakatifu 3, kalama za roho , Vitu hivyo vinahitaji UFAFANUZI Kwa watu/ wakristo
@jacksule75572 ай бұрын
Kwan ww hujaelewa
@jacksule75572 ай бұрын
Kuna watu sku hiz wanaongea lugha za kuzim aina moja sio mbqlimbali tena
@braysonpatrick97623 жыл бұрын
Hallelujah
@alexamutawa53963 жыл бұрын
👍
@flaviandyamukama40103 жыл бұрын
🙏🏾
@clarawamonge16103 жыл бұрын
1kor 14:2,,, naomba kuelewa huu mstari hauwahusu wale wanaonena kwa Lugha peke yao wakati wa Kuomba? (ambao tunawaona wako wengi) Kwamba wakati huo roho zao huwa zinaongea na Mungu? Sijaona ukigusia hapo au sijaelewa...
@vicentndiholeye10673 жыл бұрын
mungu akuzidishie neemahiyo yakutufundisha pasita
@vanimam64423 жыл бұрын
Mchungaji nina swali,nili kua bado mdogo...tuli amka ndugu yangu ali kua mgonjwa siku nyingi, ila ali amka asubui tuka sikia ana ongea swahili sanifu tena tuli kue hatujui tuli kua mtaani lugha yetu ili kua Kindande...ila yeye ali ongea swahili, alipo pona lugha nayo ika potea....swali kuna ugonjwa namna hio? Ao niku ongea kwa lugha.???
@richardreuben3222 Жыл бұрын
😀😆 kunena kwa lugha ni changamoto kweli kweli. Kila mtu anasema lake
@maureenmgeni Жыл бұрын
...lakini Biblia inasemaje? Huko ndiko unatakiwa kujielekeza endapo utaona hawa wengine huwaelewi.
@richardreuben3222 Жыл бұрын
@@maureenmgenikweli kabisa, najua nn biblia imesema juu ya kunena kwa lugha. So niko na msimamo wangu.
@husseinchea55248 ай бұрын
Madhehebu mengi yanapinga kunena kwa lugha...ukiazama madhehebu yanayopinga kwa lugha utakuta washirika wa hilo dhehebu wamevia kiroho 😁😁😁
@davidonduko67023 жыл бұрын
Amen
@lameckmwita62873 жыл бұрын
Wanikolai tayari wameiisha dislike!!!.
@lucienbambu95233 жыл бұрын
Hiyo kunena kwa lugha ambayo imeandikwa kwenye biblia nitafauti ambavyo makanisa wananena kwa sasa sikuizi wananena vitu havieleweki sio hata lugha nikama wanacheza namidomo yao kwa maksudi hivyo vimetoka wapi? Biblia inamaanisha mitume walinena lugha ambazo zinajulikana kama lugha tena zinapaswa kutafsiriwa. sio shalapalalala bashololololo vitu havieleweki
@JacksonSwai-g2y2 ай бұрын
Pole sana sikiliza uelewe maana mbili za kunena kwa lugha, unapoomba kwa lugha Biblia imesema akili yako haina matunda yani wewe mwenyewe hujui unayoyatamka kwa sababu ni Roho mtakatifu anatuombea kupitia midomo yetu wenyewe ni mambo ya sirini ni lugha ambayo hata shetani hawezi kuambulia kitu ni direct kwa Mungu Baba ni maombi yenye nguvu ya ajabu, nakuombea neema hiyo na ukishapokea nguvu utakayoipata hutakaa uache "Waabuduo halisi watamwabudu Mungu katika Roho na kweli"
@JacksonSwai-g2y2 ай бұрын
Pastor nimekuelewa sana japo kwenye aina ya pili haujafafanua vizuri
@wishitwinzi80672 жыл бұрын
@MAHUBIRI TV
@nancyabura7433 жыл бұрын
Mchungaji mmoja aliandaa mhadhara ,basi wakati Wa mahubiri akahitajika mkalimani kwa manufaa ya waazi Wa eneo lile,lakini hakupatikana,pakatokea mlevi mmoja aliyesikia mchungaji akiuliza yeyote anayeweza kutafsiri ajitokeze ,basi yule mlevi aliyechakaa akajitokeza mbele ya watu .mchungaji hakusita Bali aliruhusu roho Wa Mungu amtumie huyu mlevi wakupindukia ,LA ajabu alihubiri naye alitafsiri kwa uhakika... Watu waliongoka na kubatizwa ..