Mungu ni mwema sana.... Hakika tu wadhaifu sana mioyoni mwetu.. Tumejaa hofu na mashaka. Mungu tusaidie. Amen
@tawimgaya25173 жыл бұрын
Mungu akutie nguv azid kutenda muujiza katika mafundisho yako ubarikiwe nas tunabarikiwa sana
@keziaranga63293 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana, nimecheka pia kuwa Yesu anaweza kutuongoza njia mbaya tuungane naye
@perisbosibori85243 жыл бұрын
LORD i praise you because you are holy and always ready to unite and forgive us our sins. Thank you pastor Mmbaga for your good teaching. Be blessed so much.
@maryjoseph15082 жыл бұрын
Am blessed....may God keep u pastor utuokoe wengi🙏🙏🙏
@loraumuhire47553 жыл бұрын
Asante Mungu awabariki, huo muyimbaji Mungu amuongezee sana, ana sawuti nzuri ya kuimbia Bwana.
@Grolia-i4y12 күн бұрын
Amen barkiwa na bwana
@elizabethmwaka29213 жыл бұрын
Barikiwa pastor mm nabarikiwa kila siku na neno lako
@williammndeme89512 жыл бұрын
God bless your much pastor mbaga
@julietromeo25393 жыл бұрын
Namsifu maduhu....... Ahsante
@saumhamisi73203 жыл бұрын
Amen pastor barikiwa sana
@japhetbidii35453 жыл бұрын
Nabarikiwa sana kwa mafundisho,nayafuatilia nikiwa Lamu-Kenya👍
@angelicagulake33613 жыл бұрын
A beautiful arrangement of this song be blessed sister
@namsifumaduhumwita24953 жыл бұрын
Amen
@nicolembangu23902 жыл бұрын
Merci beaucoup nous avons besoin d' unterprete
@shukranjulius59103 жыл бұрын
Mungu azidi kuku bariki mtu wa Mungu
@jikazeutoke-c3fАй бұрын
Dah Kuna mafundisho yanafariji sana, nakutupa nguvu kiroho
@fredrickgitonga19723 жыл бұрын
Kazi njema mtumishi ubarikiwe sana
@ElizaKasira7 ай бұрын
Asantee Sana mchungaji,Mimi nimebalikiwa na somo la Leo,ninachangamoto kwenye familia yetu shetan amevamia na anataka kuiteka kabisa ,kwa maombi naamini tutakombolewa ,tunaomba maombi yenu .
@kuyegakadomole41362 жыл бұрын
Aminaaa🤔
@saramasanda11223 жыл бұрын
Ubarikiwe mtu MUNGU
@AndrewMjahili8 ай бұрын
Am blessed 🎉🎉🎉
@eunicebukokhe68053 жыл бұрын
Asante sana Ndugu ubarikiwe nawe katika mafundisho haya
@saramasanda11223 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@eunicealfred12063 жыл бұрын
Aminaa...
@enanosyamwaijande95462 жыл бұрын
Shalom kitabu hicho nakipata wapi icho ktk ulimwengu wa roho
@mosespaul55573 жыл бұрын
KWAKWELI MTUMISHI HUWA UNANIBARIKI SANA NILIKUWA NIMERUDI NYUMA SANA LAKINI JINSI MUNGU ANAVYO KUTUMIA NAZIDI KUSOGEA KATIKA MSARABA WA KRISTO. HAKIKA NABARIKIWA NA MUNGU AZIDI KUKUBARIRIKI🙏🙏🙏🙏🙏🔥
@monniekevin93033 жыл бұрын
Amen amen amen 🙏🙏🙏
@marymaina60033 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@victorialewa4233 жыл бұрын
Ukweli kabisa Mungu atusaidie
@alexeliya78133 жыл бұрын
Nime jengwa sana
@anneteketi34653 жыл бұрын
Mahali panapo stahili ni hapa kwa mahubiri tv
@rhinakiza3 жыл бұрын
Amina kweli kabisa
@vincentvitalius93463 жыл бұрын
Mubarikiwe
@bellimarwa54543 жыл бұрын
Amina
@rwesimbibicharles89943 жыл бұрын
Alléluia
@messagerkambale58303 жыл бұрын
Aksente kabisa
@vincentvitalius93463 жыл бұрын
Hakuna mpanga wa Muhubiri tv kupitia Pr Mbaga kutufikia King’ongo?!?
@divvanajohnson48953 жыл бұрын
Imeandikwa alifunga magegu ya Simba kama sikosei
@emmanuelmbwambo65713 жыл бұрын
Very funny 🤔.
@elizabethgodfreytondo30523 жыл бұрын
Amen
@RamadhanIssa-c6k7 ай бұрын
Pastar mbaga mahubiri yako nimazuri sana ila mm na swahili kuhusu utatu nahisi unamjuwa pastar ndacha anafafanua vizuri kuhusu utatu tatuta muda je niukweli afu nakuomba ufundishe utatu au ukutane na pastar ndacha mtuweke wazi kuhusu utatu unachanganya sana afu sisi wote ni wasabato inakuaje wasabato wengine waamin utatu afu wengine hatuamin
@RamadhanIssa-c6k7 ай бұрын
Najuuwa hupend mdahalo ila ukikutana napacha ndacha mnaweza mkazungimzia utatu natukaelewa kabisa maan yule pastar ndacha anaongelea utatu hatoki enje ya biblia anasema hakuna mungu watatu mungu ni mmoja na sesu mwanawe yesu yesu anaasili ya uungu lakin kuna mungu mkuu ambae ni baba na uesu anathibitisha hilo anasema pale anaposema kama kikombe hiki kinaweza kuniebuka kiniepuke ila so kwamapenye yako ila wewe mingu fanya utakavyo na vifungu vingine ving
@RamadhanIssa-c6k7 ай бұрын
Je kuna mungu mwana ,mungu roho , na mungu baba ila mm najuwa rohom mtakatifu yupo ila so mungu na yesu ni mungu kiasili yaan kwaasili anauungu kwasababu yeye ni mwana wa mungu afu kuna roho wa mungu ambae anatuongoza sisi ila mungu ni mmoja two ambae ni baba