Mungu wangu najiungamanisha na ibada hii nikapokee kumiliki na kutawala kiafya,kindoa,kiuchumi katika jina la Yesu
@Chrisfunny63 сағат бұрын
Kwa ibada ya leo naomba kufunguliwa njia zangu milango yangu eee bwana maombi haya 12 yafike mbele zako eee bwana naomba nipate kazi kiurahsi ee mungu naomba fungua mipaka yangu ee bwana naomb mme wangu awe mfanya kazi makubwa panua mipaka yake ee bwani pia nipate pesa kirahs ninunue uwanja ee bwana n niweze kujenga ee bwana naamin hautonicha niabike AMINA🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤
@JANETHMKULIA8 сағат бұрын
napokea miujiza juu ya maisha yangu amani ya maisha , napokea ndoa na maisha mazuri katika jina la yes
@nduwimanawarda18 сағат бұрын
Najiunganisha namazabawo ya yesu Cristo anifunguwe anivike nguvu zake anigeuze moto anivike holly Superty yake nimutumikiye anipe maco yapili naufahamu waroho aniangaze duniyani nabinguni 😭😭😭😭🙏🙏🙏
@GraceKavuo18 сағат бұрын
Mungu wangu kabla huu mwezi huishe nipokee pesa nyingi kirahisi sana kwa jina la yesu,
@GraceKavuo18 сағат бұрын
Mungu wangu kupitia mazabahu hiii nipokee ukombozi wa famillia yangu kiroho ki afia ki huchumi kwa jina la yesu aliye hai
@nduwimanawarda18 сағат бұрын
Najiunganisha namazabawo ya yesu Cristo anifunguwe anivike nguvu anigeuze moto anivike holly supurty yake nimutumikiye anipe maco yapili naufahamu waroho aniangaze duniyani nabinguni 😭😭😭😭🙏 🙏🙏
@ImeldaMwakingwe4 сағат бұрын
Najiunganisha na madhabao ya Mungu napokea Kwa jina la yesu
@GraceKavuo18 сағат бұрын
Mungu wangu kesi ya humasikini kutopata pesa nyingi na kutonunua gari na kuto maliza ugezi wangu yumba yetu iteketeye leo kwa jina la yesu aliye hai
@malongoweja15224 сағат бұрын
I receive in Jesus ameen🙏🙏🙏🙏
@InocentSoity-h6x18 сағат бұрын
Najiungamanisha katik kipindi cha komboa familia naamini familia yangu imekombolewa na imefikiwa na upako popote pale amen
@GraceKavuo18 сағат бұрын
Mungu wangu kupitia sadaka ya Wanafuzi ile siku ya kongamano la watoto, wanangu wafahulu shole visuri sana Jackson, exaucé, Christoph, Kennedy, victoire , plamedi wawe 1mpaka tano kwa jina la yesu aliye hai
@ombenimponji58219 сағат бұрын
Mungu akujalie maisha marefu mtumishi wa Bwana
@Nyinawabera-cy4be18 сағат бұрын
Chochote walicho kiweka ndani yangu kinyume na mapenzi ya mungu kirudi kiripotoka amina
@GraceKavuo18 сағат бұрын
Kupitia mazabahu hiii mimi na mume wangu tunafunguliwa kiroho ki afia na ki huchumi kwa jina la yesu aliye hai, tu n'a vuta kesi ya kukosa mtaji na kaki kwa mume wangu kwa jina la yesu aliye hai
Aaamen mtume monica from oman nilibarikiwa saana na baraka ulizo achilia kwangu aaaaaaaamen👏🧎🧎🧎🧎🧎
@ElianaAyoub-g8i4 сағат бұрын
Kupitiaa ibaada ya leo nami napokea vilivyo vyanguuu kwa JINA LA YESU
@ChristerbellaAngelo18 сағат бұрын
Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen 🙌💥🌲🙏💯
@ThadeoMaganga-d8y18 минут бұрын
Mungu wangu kupitia Ibada hii na sadaka.yangu naomba nifunguliwe milango ya biashara yangu niuze simu kwa wingi nipate mtaj mkubwa Make wangu arud nyumban tuish kama zaman na nyota yangu iwe safi ing'are amee
@GraceKavuo18 сағат бұрын
Kesi ya mangodja ya minguu kwa mume wangu ikome leo kwa jina la yesu aliye hai
@HamzaJafari-x8y2 сағат бұрын
namuomba mungua kaibada yareo nifunguliwe ofisini kwangu kuee nawateja wengi na wasiwe wakolofi
@GraceKavuo18 сағат бұрын
Nikataa kuyua kawa tangia leo kwa jina la yesu aliye hai
@Nyinawabera-cy4be18 сағат бұрын
Naangosha kira anaye miriki kirakitu changu kwajina rayesu Amena
@EverEver-j4q8 сағат бұрын
Kupitia maombi ya komboa family naomba familia yang ifunguliwe
@miliamalice10 сағат бұрын
Amena
@GisèleNkongolo-q8b18 сағат бұрын
Napokeya upako
@ombenimponji58219 сағат бұрын
Napokea muujiza wangu wa kufutiwa madeni, kuinuliwa kiuchumi. Na
@ElianaAyoub-g8i4 сағат бұрын
Napokea kufunguliwa leoo
@EDSONKAJUNA8 сағат бұрын
Napokea Upako
@EsterluisDavid18 сағат бұрын
Nápokea kufunguliwa leo
@MariadorostaDeogratias19 сағат бұрын
Reo natendewa
@EverEver-j4q8 сағат бұрын
Naomb nifunguliwe nitaftw kirahis na rafik yang leo siku isiishe kwa iman
@ElianaAyoub-g8i4 сағат бұрын
Kupitiaa ibaada ya leo maombi yangu 12 naomba yapate kibali mbele zako BWANA
@RobertPeter-k3r3 сағат бұрын
naamini nimefunguiwa kila idara
@Suzanabukuru17 сағат бұрын
Amen and amen...🙏🙏
@GraceKavuo18 сағат бұрын
Nikataa kuyua kawa tangia leo kwa jina la yesu aliye hai