# LIVE : [30.09.2024] OPERATION KOMBOA FAMILIA (MAOMBI 12)

  Рет қаралды 7,084

ARISE AND SHINE TANZANIA

ARISE AND SHINE TANZANIA

Күн бұрын

#2024mwakawakutembeachiniyambinguzilizofunguka #arisendshinetanzania
#tanzania #daresalam #afrika #afrikamashariki #ariseandshine #AFRICA#tanzania #dar #tanganyika #ubaloziwambinguni
Don't Forget to Subscribe to get The Latest Videos
From Arise and Shine Tanzania.
WATCH ARISE AND SHINE TV
AZAM CHANNEL 469
STATIMES ANTENA CHANNEL 117 | STARTIMES DISH CHANNEL 198.

Пікірлер: 86
@esterjackson9148
@esterjackson9148 3 күн бұрын
Amen, kesi zangu zimeisha zote kwa jina la Yesu
@JenifaSuga
@JenifaSuga 15 сағат бұрын
Amen napokea uponyaji wa upako Amen
@flahasparrow6489
@flahasparrow6489 3 күн бұрын
mungu nisaidie niweze kupata. ujauzito kabla ya mwezi wa kumi kuisha
@wastaraDaudi
@wastaraDaudi 3 күн бұрын
Mungu wa mwamposa naomba uguse biashara yangu inukuke isifilisike Tena mtaji wangu ukue usianguke Kila siku nizidiwe na wateja
@dorivamerdad7466
@dorivamerdad7466 2 күн бұрын
Naitwa Doriva Mungu akubariki familia yangu pamoja na kazi yangu
@mariamnzai8858
@mariamnzai8858 3 күн бұрын
Majiungamanisha na komboa familia family,vifungo nvyangu vyote napokea kufunguliwa in Jesus name
@esterjackson9148
@esterjackson9148 3 күн бұрын
Mungu wangu kupitia operation komboa familia naomba nipokee kazi
@wastaraDaudi
@wastaraDaudi 3 күн бұрын
Mungu naomba nimalize madeni kilaisi sana nabiashara yangu ikuewe
@mwanaidmaguto3321
@mwanaidmaguto3321 3 күн бұрын
Najiungamanisha na komboa family naomba mungu unifungue vifungo vyote vya giza naomba uwakomboe wanangu wawe kichwa na sio mkia ameen
@SuzanaJorge-ji8bw
@SuzanaJorge-ji8bw 2 күн бұрын
Paz do senhor Jesus Cristo Sto apedir Orações tenho muitas problema com meu marido meu marido não mí quer pôr caso não tenho filhos
@wastaraDaudi
@wastaraDaudi 3 күн бұрын
Eee mungu wa mwamposa naomba salimu wangu ache kuogopa kwajina la yesu
@wastaraDaudi
@wastaraDaudi 3 күн бұрын
Najungamanisha kwenye komboa familia naomba mungu unikomboe kiuchumi nisifilisike Tena
@PeterMarco-xz1gh
@PeterMarco-xz1gh 3 күн бұрын
Napokea uponyaji amen
@esterjackson9148
@esterjackson9148 3 күн бұрын
Napokea wanangu kurudi kwa jina la Yesu
@SikujuaDaud
@SikujuaDaud 3 күн бұрын
Naitwa sikujua. Daud Mungu kupitia komboa family's hii naomba nikombolewe na
@MamuJuma-p2d
@MamuJuma-p2d 3 күн бұрын
Naitwa Christina naomba mama mkwe wangu apone ugnjwa unaomsumbua naomba maombi yko kitu alichomezeshwa kitoke kwa njia ya kutapika analalamika kitu kimekwama shngon,na mm mwenyew nifunguliwe kibiashra na uchumi pia naomba mungu amponye mumeo wngu aponywe nguvu za kiume
@rahmasalim1989
@rahmasalim1989 3 күн бұрын
Familiya yng lazima ikombolewe
@wastaraDaudi
@wastaraDaudi 3 күн бұрын
Eeeh mungu wa mwamposa naomba umponye mwanangu sudi umponye enia kwajina la yesu
@rahmasalim1989
@rahmasalim1989 3 күн бұрын
Najiungamanisha na kipindi hiki napokea uponyaji kirahisi kabisa.
@JenifaSuga
@JenifaSuga 16 сағат бұрын
Kesi za magonjwa juu ya kizaz changu imekishwa
@esterjackson9148
@esterjackson9148 3 күн бұрын
Amina
@mariamumainde7129
@mariamumainde7129 2 күн бұрын
Biashara Zang zikazidishwe,ziende mbele zisilud nyuma ,ziende mbele
@rahmasalim1989
@rahmasalim1989 3 күн бұрын
Ameen
@rahmasalim1989
@rahmasalim1989 3 күн бұрын
Ameen
@MwanahamisiSuleimani
@MwanahamisiSuleimani Күн бұрын
Naomba nikapoke ujauzito kabula ya mwez wa kumi
@JosemarcelinoLemax
@JosemarcelinoLemax Күн бұрын
Peço ajuda irmãos aninha vida profissional não está andar bem.
@JenifaSuga
@JenifaSuga 15 сағат бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@mulolobis2488
@mulolobis2488 2 күн бұрын
Kwa jina la YESU nawomba chochote tume ibiwa kirudishwe katika jina la YESU
@geofreymasija7170
@geofreymasija7170 2 күн бұрын
najiungamanisha na operation komboa family Mwenyezi Mungu naomba nipokee muujiza nisiludi nyuma Tena
@SuzanaJorge-ji8bw
@SuzanaJorge-ji8bw 2 күн бұрын
Meu deus Sto apedir Orações não tenho casamento por causa não tenho filhos pôr favor pastor 🇲🇿
@LovenesJulias
@LovenesJulias 2 күн бұрын
Najiunganisha na komboa familia Mungu nitendee muujiza komboa family yangu kira kifungo kikafunguliwe kwa uweza na nguvu zako Mungu usiye shindwa na jambo lolote
@florenceakinyi56
@florenceakinyi56 2 күн бұрын
Kupitia kipindi hicho cha kukomboa familia mungu nakuomba ukumbuke familia ya omond na Florence,utupiganie
@esterjackson9148
@esterjackson9148 3 күн бұрын
Naomba nifunguliwe vifungo vyote nilivyofungwa na wachawi kwa jina la Yesu
@SarahJeremiah-wp8uy
@SarahJeremiah-wp8uy 3 күн бұрын
Najiunamanisha na komboa familia naomba MUNGU anifungulie vifungo vote vya kufungwa na mikono ya giza
@deoelias841
@deoelias841 3 күн бұрын
Nipone vichomi mwilini mwangu na ndoto mbaya ziishe katika jina la Yesu mwana wa Mungu aliye hai...🙏🙏
@deoelias841
@deoelias841 3 күн бұрын
Nipone vichomi mwilini mwangu na ndoto mbaya ziishe katika jina la Yesu mwana wa Mungu aliye hai...🙏🙏
@mulolobis2488
@mulolobis2488 2 күн бұрын
Nawomba MUNGU atusame mazambi yetu makubwa na madogo na atukinge na mwoto wa milele siye na familia zetu katika jina la YESU
@SikujuaDaud
@SikujuaDaud 3 күн бұрын
Naitwa sikujua daudi Mungu naomba uwazdishie mabos wangu ukawape moyo WA kunivumilia Mimi ktk uzalishaj WA biashara yangu nipokee kwa jina la yesu. Amina
@wastaraDaudi
@wastaraDaudi 3 күн бұрын
Kesi zote zimeisha Sina atia Tena kesi ya madeni imekwisha kesi yakufilisika imekwisha kesi ya mikopo Kila shilika imekwisha Leo kesi yakukosa wateja imekwisha yote
@esterjackson9148
@esterjackson9148 3 күн бұрын
Napokea miparachichi, migomba, kahawa kuzaa kwa wingi kwa jina la Yesu
@nkundwemwangomba
@nkundwemwangomba 2 күн бұрын
Najiungamanisha na komboa familia naomba Mungu umalize kesi zangu zote
@SikujuaDaud
@SikujuaDaud 3 күн бұрын
Sikujua daudi Mungu najiugamatisha maombi haya umkomboemwanangu joyse uchumba wake ukamilike katika jina la yesu
@GabrielIsaya
@GabrielIsaya 2 күн бұрын
Naniungamanisha namwomba mungu nipone uzazi wangu nanipate mimba nyingine kwa jina la yesu maaana mimba ilitoka namwomba mungu nipone nipokee
@rahmasalim1989
@rahmasalim1989 3 күн бұрын
Maisha yng lazima yaende mbele yasirudi nyuma, lazima niwe mshindi.
@SikujuaDaud
@SikujuaDaud 3 күн бұрын
Naitwa sikujua daudi naomba unitendee kila ninacho hitaji family's maisha afya biashara ndoa uchumi biashara narudisha nyota yangu iende mbele kesi zote mbaya naziharbu kwa Zia Leo amina❤
@MillyKhasoa
@MillyKhasoa 2 күн бұрын
Najiunganisha na mathabau ya mungu kufungua njia zangu za pesa utajiri uchumi ndoa kazi watoto wangu katika jina la yesu cristo amen 🙏
@wastaraDaudi
@wastaraDaudi 3 күн бұрын
Naomba mungu wa baba angu mwamposa nilipe mikopo kilaisi sana nimalize yote naniache nisikope Tena niwe na mtaji wangu
@IreneHatibu
@IreneHatibu 3 күн бұрын
Niongezeke na kuzidishwa kila mahal
@RoseElius-e4r
@RoseElius-e4r 3 күн бұрын
Najiungamanisha na maombi ya komboa family naomba mungu, aniponye ndoto mbaya ninazo ota kira cku naomba mungu, alie hai akaniponye haya maumivi ninayo yapata eeh yesu nisaidie ww ndiyo kimbilio langu kupitia haya maombi naomba mungu, akaniponye nimechoka na haya mateso yakubebwa ucku
@محمدالقايد-د6ب
@محمدالقايد-د6ب 2 күн бұрын
Nataka boss wangu aniongeze mshahara leo in name Jesus amen
@rahmasalim1989
@rahmasalim1989 3 күн бұрын
Ameen, lazima nyota yng ifunguliwe. Haleluyaa
@wastaraDaudi
@wastaraDaudi 3 күн бұрын
Mungu wa baba angu mwamposa naomba uniponye nimalize madeni kilaisi sana
@SuzanaJorge-ji8bw
@SuzanaJorge-ji8bw 2 күн бұрын
Bwana yesu asifiwe naumba Mungu Mume wangu anitafute muda site
@mariamumainde7129
@mariamumainde7129 2 күн бұрын
Biashara yang ya duka la dawa wateja wakajae wawe wengi wakafulike wakajae
@wastaraDaudi
@wastaraDaudi 3 күн бұрын
Mungu naomba uponyaji dada angu adija ache pombe kwa jina la yesu
@SikujuaDaud
@SikujuaDaud 3 күн бұрын
Naitwa sikujua daud Mungu umfungue huyu mwanagu lafa nyota yake ya elimu mtolee ngiza Ili masomo aendelee kwa jina la yesu amina
@flahasparrow6489
@flahasparrow6489 3 күн бұрын
naomba mdogo wangu aweze kuwa salama katika maisha yake na masomo yake yeyote mwenye nguvu za giza akiwaza kumzulu ajizulu mwenyew katika jina la yesu
@ViazyderassulRassul
@ViazyderassulRassul 2 күн бұрын
Bom dia eu correspondo nome de viazy peço que me ajude a engravidar meu pai
@PeterMarco-xz1gh
@PeterMarco-xz1gh 3 күн бұрын
Mungu niponye na mponye baba na shemeji
@SarahJeremiah-wp8uy
@SarahJeremiah-wp8uy 3 күн бұрын
Kesi yangu imekwisha napokea mwanaume sahih kabla ya wiki hii kuisha
@esterjackson9148
@esterjackson9148 3 күн бұрын
Naomba nipate mtaji kirahisi kwa jina la Yesu
@SikujuaDaud
@SikujuaDaud 3 күн бұрын
Naitwa sikujua daudi Mungu naomba mama angu umpe afya njema na ajenge nyumban kwa ulais
@esterjackson9148
@esterjackson9148 3 күн бұрын
Mungu wangu naomba uniinue kwenye ufugaji wa kuku, nguruwe na ng'ombe
@flahasparrow6489
@flahasparrow6489 3 күн бұрын
naomba mpenzi wangu aweze kunioa kuanzia sasa katika jina la yesu
@esterjackson9148
@esterjackson9148 3 күн бұрын
Napokea kukombolewa kwa jina la Yesu
@esterjackson9148
@esterjackson9148 3 күн бұрын
Napokea ushindi kwa jina la Yesu
@Chandelipwata
@Chandelipwata 2 күн бұрын
Napokea majibu ya maombi yangu 12
@IreneHatibu
@IreneHatibu 3 күн бұрын
Mungu nikumbuke namm nataka tuame hii nyumba
@RoseWilliamhokoror
@RoseWilliamhokoror 3 күн бұрын
Mung naomb mtoto Wang apone kuazia sasa
@esterjackson9148
@esterjackson9148 3 күн бұрын
Naomba Nuru iwe upande wangu
@RehemaMsuya-n8o
@RehemaMsuya-n8o 3 күн бұрын
Napokea uponyaji kwa jina la yesu
@rahmasalim1989
@rahmasalim1989 3 күн бұрын
Mambo yng yote lazima yawe sawa
@esterjackson9148
@esterjackson9148 2 күн бұрын
Amina, napokea kazi kwa jina la Yesu
@rahmasalim1989
@rahmasalim1989 3 күн бұрын
Kesi zimekwisha, sina hatia tena.
@SuzanaJorge-ji8bw
@SuzanaJorge-ji8bw 2 күн бұрын
Amém Amém 🙏🤲🙏😭🙏
@esterjackson9148
@esterjackson9148 2 күн бұрын
Amen
@esterjackson9148
@esterjackson9148 3 күн бұрын
Amen
@esterjackson9148
@esterjackson9148 3 күн бұрын
Amen
@esterjackson9148
@esterjackson9148 3 күн бұрын
Amen
@esterjackson9148
@esterjackson9148 3 күн бұрын
Amen
@محمدالقايد-د6ب
@محمدالقايد-د6ب 2 күн бұрын
Leo lazima nipone
@rahmasalim1989
@rahmasalim1989 3 күн бұрын
Ameen
@rahmasalim1989
@rahmasalim1989 3 күн бұрын
Ameen
@GiftyVassili
@GiftyVassili 3 күн бұрын
Niogezike nakuzidiswa kakiya jina la Yesu amnia
@SarahJeremiah-wp8uy
@SarahJeremiah-wp8uy 3 күн бұрын
Napokea mwanaume sahih kabla ya wiki hii kuisha
@wastaraDaudi
@wastaraDaudi 3 күн бұрын
Mungu naomba unipe ulinzi wa pesa yangu isipungue iyongezeke nakataa loho ya chuma ulete kwenye pesa yangu
PLAY THIS MIDNIGHT BATTLE PRAYER EVERY NIGHT AS YOU SLEEP | APOSTLE JOSHUA SELMAN
3:57:37
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 13 МЛН
The selfish The Joker was taught a lesson by Officer Rabbit. #funny #supersiblings
00:12
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН
#live  : [02.10.2024 ] OPERATION  KOMBOA FAMILIA ( MAOMBI 12).
1:07:06
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 8 М.
ARISE AND SHINE TANZANIA #LIVE MAOMBI . USIKU WA USHINDI
1:59:09
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 201 М.
NIMETUMIA MILIONI STINI NA SIKUPONA.
19:22
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 16 М.
FUATILIA MAOMBI HAYA AMINI UTAPOKEA .
14:10
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 81 М.
#live  : [01.10.2024 ] IBADA YA MAOMBI,MAOMBEZI NA KUFUNGULIWA (MWEZI WA UFALME)
4:50:39
MAOMBI YA KUVUNJA MADHABAHU ZINAZOPINGA FAMILIA .
14:05
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 46 М.
#live  : [01.10.2024 ] OPERATION KOMBOA FAMILIA (MAOMBI 12)
1:28:28
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 8 М.
5: IMANI KAMA MRATIBU WA NGUVU ZA SAUTI KIROHO KATIKA MIFUMO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE
3:47:26
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 24 М.
UMETEGWA KWAAJILI YA KUSUDI LA MUNGU - PASTOR SUBELLA KYANDO
25:03
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 5 М.
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 13 МЛН