🔴LIVE: ALLY KAMWE ANAZUNGUMZA MUDA HUU AIRPORT/SAA SITA USIKU BALEKE ANATAMBULISHWA?/NCHI INA RAHA!

  Рет қаралды 72,258

Mpenja TV

Mpenja TV

10 күн бұрын

Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga Ally Kamwe Leo July 7,2024 amezungumza na Vyombo vya habari,punde tu alipotua kwenye uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere International Airport akitokea Mbeya
Aidha amefunguka kuhusu usajili unaoendelea huku akigusia kuhusiana na usajili wa Prince Dube.

Пікірлер: 61
@athumansaidi7663
@athumansaidi7663 8 күн бұрын
Anae mkubali semaji ally kamwe gonga like👇
@kolosii4351
@kolosii4351 8 күн бұрын
Ila kamwe nakuelewa kwa kubiri. Nakumbuka zile mechi ulizowatabiria makolo watapoteza na kweli zote hawakutoboa.
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 8 күн бұрын
Yanga mpoooooo!!🎉🎉🎉
@mariajames5558
@mariajames5558 8 күн бұрын
Yanga hiisio powa😊
@Izzoh2021
@Izzoh2021 8 күн бұрын
Bg up kwa team nzima ya uwendeshaji wa mpango wakusajili wanachama kwa idadi hiyo 806,msiishie mbeya tu hiyo amasa iyendelee mkoa hadi mkoa
@ChenchiKing
@ChenchiKing 8 күн бұрын
Mwamba Akiwa Nanguruma Kweny Mpenja Tv Semaji La Mabingwa💚🇹🇿
@NdevuKamdini
@NdevuKamdini 8 күн бұрын
Semaji kama semaji🎉🎉🎉
@devothaignatius5256
@devothaignatius5256 8 күн бұрын
Kazi nzuri semaji
@Heniryahaz
@Heniryahaz 8 күн бұрын
💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚 yangaaaaaaaaaa mwaaaaaaaa
@charlesmoshi9987
@charlesmoshi9987 8 күн бұрын
Vip ubora wa baleke pale yanga..?
@JumaRachide-kn2vx
@JumaRachide-kn2vx 8 күн бұрын
Nakubar
@DondoPilla
@DondoPilla 8 күн бұрын
Iko poa saaaaana
@abdulplatinumz2299
@abdulplatinumz2299 8 күн бұрын
Ali yule mbuz hata mm nilimuona anashangaa
@moiseszacariasmoisesmoises
@moiseszacariasmoisesmoises 8 күн бұрын
yanga inazidi kupanda samani
@AmaniMadata
@AmaniMadata 8 күн бұрын
Hahahaha eti mpaka wanyama wanashituka
@DenisSanga-bj5ud
@DenisSanga-bj5ud 8 күн бұрын
Wanambeya walituheshimisha sana Yanga hatuna jambo dogo
@PastorMipango-y2n
@PastorMipango-y2n 8 күн бұрын
Huna baya mwamba
@kiboshokiboshomungumkubwa7789
@kiboshokiboshomungumkubwa7789 8 күн бұрын
Ally wacha maneno tutembelee mikoa yote tuko wengi mno
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 8 күн бұрын
Tunawaomba mje mwanza
@amaniomar1755
@amaniomar1755 8 күн бұрын
Mwamba huyu hapa 🎉🎉🎉
@chunkurikachondo5820
@chunkurikachondo5820 8 күн бұрын
Big up....
@josephsamwel2845
@josephsamwel2845 8 күн бұрын
@ kama kweli ni mwamba usiweke kifup@ jina ili tukutukane vizur
@mhinajerome5964
@mhinajerome5964 8 күн бұрын
Prince clatous ki pacamwe saasita usiku inaongezeka baleke
@daudimichael7338
@daudimichael7338 8 күн бұрын
Eti prince clatos ki pakamwe😂😂
@KarokiaNdirango-lj3wf
@KarokiaNdirango-lj3wf 8 күн бұрын
Nakubali sanaaaa 🎉🎉🎉
@vedaigobe
@vedaigobe 8 күн бұрын
Ha2lali
@FrankFrankThobias
@FrankFrankThobias 8 күн бұрын
Sana semaji
@robinisack8092
@robinisack8092 8 күн бұрын
😂😂Mwindaji na mbwa sabini c hata mnyama anaewindwa Atakimbia kwa kelele😂😂😂
@SaidMwampashi
@SaidMwampashi 8 күн бұрын
Good
@JackoboEliasi
@JackoboEliasi 6 күн бұрын
Tupe raha
@user-gn8mq8bw4n
@user-gn8mq8bw4n 8 күн бұрын
😊😅😅😅😅🎉🎉🎉nakubal
@josephsamwel2845
@josephsamwel2845 8 күн бұрын
Shaffi kufa tu hayakuhusu
@barackmoses7003
@barackmoses7003 7 күн бұрын
Hiki kinjiti ipo siku atalia na kusaga meno
@rajabumsuya-hg8jd
@rajabumsuya-hg8jd 8 күн бұрын
😂😂😂😂😂panya road
@upgo6112
@upgo6112 8 күн бұрын
Panya 😂😂😂😂
@Papycon22_
@Papycon22_ 8 күн бұрын
VPN onana ni mali 😂
@azadimwakabonga7026
@azadimwakabonga7026 8 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣DAH VIONGOZI wao matapeli
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 8 күн бұрын
Kama Mo Dwj 😂😂
@bulunjumjuli9572
@bulunjumjuli9572 8 күн бұрын
Kwani wewe unapenda kushika mifupa au
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p 6 күн бұрын
Xavi mtupu
@shaffimsaidy699
@shaffimsaidy699 8 күн бұрын
Angeshikwa mamaako
@jacksonenock5231
@jacksonenock5231 8 күн бұрын
Hahahaaaa😂🤣🤣🤣🤣🤣
@MzeewaYanga-hm8jq
@MzeewaYanga-hm8jq 8 күн бұрын
Ngj ni2lie semaji linaongea
@christophersimwimba
@christophersimwimba 8 күн бұрын
Kaka wewe ni fundi sana aisee
@mosah2851
@mosah2851 8 күн бұрын
Ex akikutana na hogo badala ya kibamia unafikiri itakuwaje?
@Mumlion2624
@Mumlion2624 8 күн бұрын
Haya sajilin ma x zetu
@amaniomar1755
@amaniomar1755 8 күн бұрын
Yaani mpaka useme
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l 8 күн бұрын
MNYAMA KUTOKA NYIKA YA KARIAKOO ,SIMBA
@allydaud612
@allydaud612 8 күн бұрын
Mnyama anakujaje kwenye shughuli yetu subiri yako ndo u comment
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l 8 күн бұрын
@@allydaud612 tulia wewe utopolo fc
@jankenkasambala7687
@jankenkasambala7687 8 күн бұрын
Kigoma wanatamani kuliona Kombe
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 8 күн бұрын
Alilykamwe anamsikiliza nani
@biggievandar254
@biggievandar254 8 күн бұрын
Hahahaha vpn Ali wewe
@user-pj4mx2ro4h
@user-pj4mx2ro4h 8 күн бұрын
Angekua dem huyu sjui angeshikwa wapi maana kamekondeana hako ka mfupa uliooza🤣🤣🤣🤣
@st.jamese.r6941
@st.jamese.r6941 8 күн бұрын
Inabid ww uwe dem wke 😂😂😂
@preciousprince9159
@preciousprince9159 8 күн бұрын
Mwaka huu simba asipojipanga vizuri ghalika litamkuta
@user-be1ld2bb1b
@user-be1ld2bb1b 8 күн бұрын
Unampenda eeeh
@mhinajerome5964
@mhinajerome5964 8 күн бұрын
Kama mamaako
@Heniryahaz
@Heniryahaz 8 күн бұрын
Acha makasiliko utakufaaa 💚💚💚😆😆😆👻👻👻👻👻
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 1,9 МЛН
Cat Corn?! 🙀 #cat #cute #catlover
00:54
Stocat
Рет қаралды 14 МЛН
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 25 МЛН
[WANANCHI]💚💛amapiano_vibe_type beat  🔥🔥
3:26
TATE MASTER PLAN
Рет қаралды 56 М.
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 73 М.
Ronaldo with Kids ❤️
0:27
best futball
Рет қаралды 15 МЛН
Ronaldo with Kids ❤️
0:27
best futball
Рет қаралды 15 МЛН
Players React to FiFa Cards
0:40
Foot Mood
Рет қаралды 3,9 МЛН