KIVUMBI LEO RC MAKONDA AZUWIYA NYUMBA YA KIFAHARI KUTOKA MIKONONI KWA MATAPELI

  Рет қаралды 48,082

Adil TV

Adil TV

Күн бұрын

#AdilTV

Пікірлер: 42
@hbdina
@hbdina Ай бұрын
🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 Makonda neno moja tu kutoka kwangu.Baba Mungu Jehovah akulinde akupiganie kwa jina la Yesu Kristu Amina
@MansourAbubakar-l2b
@MansourAbubakar-l2b Ай бұрын
Makonda masikini mwamba huyu Mungu akulinde mwamba
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Ай бұрын
Asante sana mama Samia kwakumchagua Makonda.
@justinelukumay5308
@justinelukumay5308 Ай бұрын
Mh Makonda Mungu akulinde Moyo wako dhidi ya Hao wanyonyaji wa Wanyonge
@RutaEmmaMachumu
@RutaEmmaMachumu Ай бұрын
Kwanza n Tapeli kawadanganya eti ni officer wa Police, na huyo mwanasheria nae n Tapeli hata Elimu yake haitomsaidia maana hasimamii haki, anajidai eti wamemsikiliza... Mtu msomi kwl kw maelezo ya mkataba hata km ungekuwa sio msomi unaona sio sahihi kabisaa! God bless you Rc, Makonda
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 Ай бұрын
Mtaa mzeesha Makonda jamani😂😂😂😂.maskini mama wawatu pole mama
@manaseliberatus1347
@manaseliberatus1347 Ай бұрын
KAMA NDO HIVYO HII TANZANIA WATU WENGI SANA WATAKUWA WAMEDHULUMIWA
@TabithaObellykasangila
@TabithaObellykasangila Ай бұрын
Mungu tunaomba ulinzi wako kwa mwanao Makonda umlinde na mtunze kila hatua
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk Ай бұрын
Makonda kama Traore na Magufuli...Mungu akuongoze ufikie malengo yako kuwa Rais..Huyo tapeli mkubwa apigwe spana na afunguliwe mashtaka...Mr Makonda hongera kwa kazi
@minanielikana
@minanielikana Ай бұрын
Makonda endelea na ukabithi Mungu aliogukathi. Shika taa la Mungu undelete utawala Wa hekima.
@mohamedwwnurumasagcom8171
@mohamedwwnurumasagcom8171 Ай бұрын
Ahsante rais Samia kwa uteuzi wa Paul Makonda, hakika ni mtetezi wa haki za wananchi
@BoisDonkoil-rk8lr
@BoisDonkoil-rk8lr Ай бұрын
Nimeipenda..... Makonda akiona mnataka kujichanganya kuvurugana anawatumbuiza hisia zinakuwa zingine inahamasisha utulivu
@mandileykiritokangai3042
@mandileykiritokangai3042 29 күн бұрын
Makonda mungu akulinda mweshmiw
@AureusLupogo
@AureusLupogo Ай бұрын
Mungu Akubariki Kwa kazi ya kuwasaidia nakuwatetea wa nyonge
@olivermassau5695
@olivermassau5695 23 күн бұрын
Mungu akubariki, Sana
@jkifutu7936
@jkifutu7936 Ай бұрын
Makonda mungu akupe maisha malefu
@user-ex9gt9np8i
@user-ex9gt9np8i Ай бұрын
Fanya kazi makonda
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 Ай бұрын
MAKONDA MUNGU AWATANGULIE KATIKA KAZI ZAKO ASANTE KWA KUONA HAKI YA HUYU BIBI❤
@HamisMasele-tb7lj
@HamisMasele-tb7lj Ай бұрын
Nahitaji sku1 Tanzania ikuchangue uwe rais
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 Ай бұрын
Arusha .kweli Makona shafisha shafi hao
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 Ай бұрын
Ayubu amegushi nyaraka anataka amzurumu mama 😢😢😢😢😢 eeeeeejamani
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 20 күн бұрын
Ndio waliokupa sume hao. Mtenda haki siku zote hawapendezi kwa watu.
@ibrahimrutta464
@ibrahimrutta464 Ай бұрын
Nikisikiliza mkuu wa mkoa napata kugundua mama ana kazi ya ziada ana wafanyakazi hewa wengi hawatatui shida za wananchi
@juliusntandu4302
@juliusntandu4302 Ай бұрын
God bless Sir 🙏🙏
@MusawitsonskanaMusawitso-iy4vh
@MusawitsonskanaMusawitso-iy4vh Ай бұрын
Makonda mungu akubaliki sana
@thuweiybab3338
@thuweiybab3338 Ай бұрын
Na kama ananyamazishwa hataki umenyamaza. No bora aruhusiwe anarudi nyumbani. Mana hakuna hapo kwa julia ili a kenge mkubwa' PUMBAVU
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 Ай бұрын
Kweli kazi kazi moyo wangu naukuimbie jinsi 😂😂😂
@oneonego705
@oneonego705 Ай бұрын
Ase unatisha kwa kutenda haki
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 Ай бұрын
Dhuluma mbaya
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Ай бұрын
Wa awake wa nchi hii wanateseka jamani. Wametuzaa hatuna heshima mpaka wana kufa. Ni Kaan’a tupu. Tuna Raisi na speaker mwanamke. Tutafanyaje tupate mabadiko nchi hii.Tunahitaji sheria zitende kazi na si kuomba dini wakati wa kazi Za serikali. Sheria safi, haki na katiba mpya. Udisi gize dini.
@user-mw9md1iq1n
@user-mw9md1iq1n 20 күн бұрын
Kunawingine kweli
@user-is6np5vf6b
@user-is6np5vf6b Ай бұрын
Namuona afisa mtendaji aliyepandishwa cheo nafarijika sana
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 Ай бұрын
Wapige spana hao wamezidi😂😂😂😂😂
@gildopitapita1383
@gildopitapita1383 Ай бұрын
@thuweiybab3338
@thuweiybab3338 Ай бұрын
Najua huyu mama analia kwa uchungu..
@elipokeaakyoo6858
@elipokeaakyoo6858 Ай бұрын
Mweshimiwa makonda na wanyakazi wa sgr atujaingiziwa pesa zetu nssf Kwa mwaka Moja na nusu sasa unatusaidiaje na Kila mwezi tunakatwa mkuu
@sujaiazicani9510
@sujaiazicani9510 Ай бұрын
ok
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Ай бұрын
Huu si Maktaba, ni utapeli mtupu. Kamtapeli bibi.wote maw akili hawana şifa yoyote.
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 Ай бұрын
Arudishiwe kilo 5 yake asepe
@JosephMwaipopo-px4wi
@JosephMwaipopo-px4wi Ай бұрын
Mama amrudishe huyu kwenye uwenezi ni kamanda kwelikwel
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Ай бұрын
Piga spana hao
@mariomachecajoaquim1921
@mariomachecajoaquim1921 Ай бұрын
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 51 МЛН
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 2,4 МЛН
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 43 МЛН