Mimi shabiki wa Simba, lakini kwa Ally Kamwe nawapongeza watani. Hongera pia Ally Kamwe, you unastahili kuwa msemaji wa Yanga.
@davidwatson68212 жыл бұрын
👍👍👍👍honger Ali Kamwe ila usipandikize chuki kwa mashabiki kama yule nanihii
@adilsaid53902 жыл бұрын
Safi sana tengenezeni vilabu vyetu viwe naumoja tuondoshe utani tukicheza kimataifa tuweke udugu
@calvinmlay50292 жыл бұрын
Mungu akufanyie wepesi kaka
@bakarimwachanga88032 жыл бұрын
Mm ni simba damu,kijana karibu lkn kuwa faster katika maongezi lkn sio maongezi ya roporopo,hata ukijoke,joke kisomi sio kama yulee domokaya mpenda sifa sisizo za msingi,we are watching you
@bakarimwachanga88032 жыл бұрын
Sijui lln, nakuona umepoapoa hivi,ungefit sana kwa nafasi ya Organising Secretary wa matukio muhimu ya Yanga halafu unamtupia msemaji au muhamasishaji,lkn anyway,hio nafasi pengine itakuchangamsha na uta fit,Allah bless you inshallah,,,,,,lkn naona kama part ya Benz kwenye Landrover
@iddfundikira97612 жыл бұрын
Ally kamwe umenikumbusha Sana hiyo klabu ya jeshi uliyoitaja 82 Rangers ilikuwa shinyanga ilikuwa Moto enzi hizo kina lubigisa Madata alikuwa hatari sana,kumbe we wa kitambo Sana Safi sana
@halidimgonza59452 жыл бұрын
Ali komwe wa UTOPOLO 🤣🤣🤣
@lightyanga38782 жыл бұрын
Semaji la FIFA 🙌💚
@nassormbarouk2 жыл бұрын
Ata angeajiriwa Simba angesema anaipenda Simba tangu mdogo hao ndio watanzania,
@charlesjoseph10812 жыл бұрын
Watu wa utopolo mabwege eti huyo dogo semaji la fifa
@gabjoni43062 жыл бұрын
Dogo kwa kamba huyu😃😂
@gabjoni43062 жыл бұрын
Semaji la TFF
@pilatoonlinetv96602 жыл бұрын
Njooo kiumeni tukunyooshe tena umeenda Utopolo. Jiandae na mitusi rukuki.