This BabaLevo is genius, kweli mwijaku hafai kwenye mambo ya mondi, ubunifu wakuongea kwakutafuta kiki au vyovyote vile yule mwijaku hafai. Wasafibet yenyewe alikuwa ambassador but alikuwa hafanyi promo kama ipasavyo kwakuvuta Watu Wa BET... Ulifanya vizuri kumtoa mwijaku.
@faidhacute Жыл бұрын
Baba levo Yuko humble sana and then genius trust me
@MS.independent8934 Жыл бұрын
Mambo jmn long time
@BIGBOSS-hl3bu Жыл бұрын
Ohhh faidha wetu we love you♥️
@BarakaIssa-dy5rn Жыл бұрын
Hapo kulukuga sasa😂😂😂 baba levo bwana nakupendaga sana huwa haupepesi maneno❤❤❤
@SaidSaid-ef8md Жыл бұрын
Straight and clear, B levo B
@FromTanzaniatoNorway Жыл бұрын
I love this guy maaan 😂😂😂😂🤣🤣 Baba Levoo ❤️❤️🤣🤣🤣
@sulekato4330 Жыл бұрын
Ukiwa na chuki hutoweza kumuelewa Babalevo
@gamerstech5689 Жыл бұрын
😂😂😂😂 Baba levo ana akili sanaaa
@salimbakunda250 Жыл бұрын
Baba levo nakukubali sanaa
@LeahDamas-n1t Жыл бұрын
nakukubar xan baba levo ww ni msema ukweli unasifa ya kuwa rais
@animallovers3473 Жыл бұрын
Ila baba levo bana interview yake lazima ukufurahishe muda wote😂
@AbiTech96 Жыл бұрын
Ah baba levo, yaani mpaka unajua mambo yetu wa Congolais 🇨🇩 ? 😂😂😂😂 LUKUGA kabisa😂😂😂😂
@swalehesaad1143 Жыл бұрын
Baba levo huwa hakuachi hvhv kwenye intervyu yake lazima ucheke😂😂😂