Chumvi nyingi tupo pamoja sanaa na siku moja utakuwa umelishikilia soko la sanaa. 💪💪💪
@rachelkihaka92042 жыл бұрын
Kwani chumvi ulikuwa unafeli wapi? Mbona umeweza kusimama mwenyewe bila mtu bhana unaweza Mungu akuzidishie uwezo mzuri zaidi
@timebakar2 ай бұрын
Mwanzo mgumu
@shakirajafali22762 жыл бұрын
Chuvi nyingi I'm gonna for you what ever u go nakupenda Sana chuvi nyingi ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🇲🇼🇲🇼
@omariathumaniathumani25082 жыл бұрын
uo ndio ukubwa ili ujionee umekua uwe una jitegemea uko vizuri sana Masha biki zako twa kupenda
@manenogimbi242 жыл бұрын
Komaa mwenyewe chumvi mi binafsi nakukubali komaa sapoti inakuja mkuu
@dottohami2 жыл бұрын
Chumvi nyingi ww ni msanii nzuri sana fanya kazi zako Mkojani yeye sio mgawa liziki Insha Allha mwenzi mungu atakufungulia
@reynaaalrawahi41372 жыл бұрын
Pole chumvi mungu yupo pamoja na wewe pambana 2
@moshimnyeda94352 жыл бұрын
Chumvi nyingi plus ➕ Mambwende boy daaah aisee 😪😪😪hiyo kapo ilikuwa pambe sana akili zao zilikuwa sawa 👊👊👊😃😃😃unaweza sana Mwanangu Never give up 👊👊👊👊👊✊✊✊✊Ugai gai ulikuwa unaipatia sana Mwanangu mwenyewe 👊👊
@akidahamad1422 жыл бұрын
Hapa mkojani umezngua unataka kuanza kujickia bwa acha ujinga chumvi anaweza sana mm cja ipenda hyi daah
@donlinechanell47602 жыл бұрын
Em kua na busara ustoe hukumu kabla hujaskiliza pande mbili Labda nkuulize wewe hvi hayo maswala unahisi ni sahihi kuyazungumzaa gafla kwenye media ??? Chukua mfano wa wasanii wengi hua mambo kama hayo hawaongei gafla hvoo.... chimv katoka mwez uliopita leo anakuja kuongea story nzima kweny media ktu ambacho wasanii wengi hua hawafanyi... Usimuhukum mkojani bila kumsikiliz na yeye wew unauhakika upi kua chumvi yupo sahihi au anaongea ukweli? Usihukumu ...... kisa umesikia upande mmoja
@manchesterunited60762 жыл бұрын
Ndio nikashanga ndoa ya mabwende kwenye ugaigai hukuja chunvii ila mbona fundi wa umeme inawezaaaaaa ukiwa solo
@BadryahMussa-hp6mk Жыл бұрын
Chumvi nyingi ur the best simama mwenyewe usipo simama mwenywe hakuna atakae kusmamia unajua na unaweza
@Nimriysbabe9842 жыл бұрын
💕💕🥰kaza moyo Kaka chumvi nyingi uko vizuri sanaaa kwa ugaiugai na umeacha pengo kubwa sanaa so Kaka usjal mto rizki ni MoLa kipaji unacho kakapambana
@mcdanta62392 жыл бұрын
Umejibu kiufundi sana chumvi sema unajua tuna kuku bali
@nuriatihdjasumin15482 жыл бұрын
I love you so much chuvu nyingi usijali utafaulu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@purityneema2182 жыл бұрын
Chumvi nyingi ucjali ni mitihani ya dunia tuu nakukubali sana
@respikiusbwemi31462 жыл бұрын
Unaweza sanaaaaa chunvi tuta kusapoti nakukubali
@josephmakonga32012 жыл бұрын
Nakukubali sana chumvi nyingi
@salmamohd82022 жыл бұрын
Oh Chumvi tunakupenda ata iwe nn mm shabiki yako namba one
@jumamwera66602 жыл бұрын
Broo mm nakukubali sana
@matataoneproduction53552 жыл бұрын
Shida hapo ni wanafiki waliokua hawapendi ukaribu na mkojani ila watajulikana na yataisha mtarudi pamoja mwamba yule ni ndugu yako sana
@katotopesaofficial2 жыл бұрын
Songa mbele maisha lazima yaendelee Mkojaji Sio mungu we Piga show Wataelewa tuu Ulikuwa na umuhimu wako pale Mkojan Gang wakati wewe sasa Gari lishawaka Mfano mdogo kwa Mkali wenu Saiv Wale maboss zake wa zaman ndo wamepotea yeyw bado anadunda
@athumanisilaha98472 жыл бұрын
Brada chumvi usijali,riziki popote ,pambana na mungu Yuko nawe,utafika kilele
@makambokambale3502 жыл бұрын
Chunvi una jua mze baba pangana tupo nyuma yako una weza mzeee
@juressemabili51332 жыл бұрын
Da mungu akuokowe kaka nakuamini
@saidiabdul16352 жыл бұрын
Chumvi nyingi mm shabik wko nmb1 nakukubal sana .. From morogoro
@sentsent14842 жыл бұрын
Chumvi nyingi usijali penye tumefikisha mkojani Ata wewe tutakufikisha sisi hatuna ubaguzi
@mzalendoentartainment32 Жыл бұрын
Chumbi usikate tamaa , Mungu atakusaidia uendelee mbel, kikubw ukipta nafas piga Kaz haswas, Kaz Ako tunaielwa kinaomaa , tukutqne level za juu
@aminatwalib3182 жыл бұрын
Utafika mbaliiii chumvi nyingii ww NDio the best of All
@hamzantawinyaga26542 жыл бұрын
Chumvi hata Burundi 🇧🇮 mashabiki tupoo tulikuw tume ku miss kweny ugaigai ila ivi itabidi tukutafte kwako
@manenogimbi242 жыл бұрын
Aina shida mkuu tuko pamoja
@habibtyhabibty8402 жыл бұрын
Tupo shabiki zako usijali, mimi move kama hayupo chumvi siangalii maana yy ndie anafurahisha🔥🔥👍
@kapesamjenga89712 жыл бұрын
Huyu jamaaa ndo kanifanya niipende ugaigai
@abdalasaidi21792 жыл бұрын
Mkojani ana tatizo haiwezekani watu watoke kwake yeye tu ngoma nagwa n chumvinyingi anafeli
@emmasonanjawe90422 жыл бұрын
Acha usenge pambana unaweza sana tena sana usitie huruma mdogo wangu unaweza na usiende popote pigania uwezo wako na usiludi huko hiyo ndo njia yakutokea
@isneyathuman2 жыл бұрын
Mbona matusi
@hassanabdul71412 жыл бұрын
Pambana kivyako dogo mbona unaweza hrf w2 wengi wanakukubali
@mbwaralali50492 жыл бұрын
Mara nyingi hawa huwa niwaongo wanakosea alafu wakija kwa media watunga kama harmo
@omaridarous30192 жыл бұрын
Duh kumbe katmliwa ndio mana hatumuon et tunaambwa kaenda Dubai kumbe wamemtimua duh sio fresh wallah
@ameirdarueshi25932 жыл бұрын
Wakwanza namkubali kinoma chumvi na mkojani anapijwa chini hamuezi chumvi ila jitahidi baba utafika
@edwinmiriti3352 жыл бұрын
Chumvi nakukubali,juu ndio mwanzo wa nyota Yako kung'aa
@patricktegea14302 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 jmn presenter kondegang tena daah harmonize popote yupo🤣🤣🤣🤣
@isejemedia67602 жыл бұрын
Mimi ni shabiki mkubwa sana wa Chumviiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,,Weeeeeee!:;;;
@yama_virginhairthequeen10652 жыл бұрын
CHUMVI WE LOVE U WE UNDERSTAND YOU KEEP GOING. AND ALWAYS REMEMBER TO BE HUMBLE U WILL GET THERE....
@shallmolownicodem47342 жыл бұрын
Sure
@jumamwera66602 жыл бұрын
Broo tupo pamoja sana nakukubali sana
@softsoftbby80132 жыл бұрын
Chunvi nyingi hayo ndio maisha kila kitu kina mwisho na mwanzo,wewe nenda upambane kivyako ulisha julikana na watu wana kupenda
@jaymwinyi69572 жыл бұрын
Hilo jambo ni lakutatulika bro safi shanieni roho bro musonge mbele
@Jaimbo_2 жыл бұрын
Chumvi Nyingi familia yangu inakukubali kutoka Kenya bro, kumbe mkojani ajisahau
@alexluckyfunnytiktok1892 жыл бұрын
I miss Chumvi Nyingi
@hamishadhamishad05332 жыл бұрын
Big up Chunvi nyingi
@tanzaboy48242 жыл бұрын
mkojani anashida sana amezinguana na nagwa leo chumv inshu mwamba anaroho mbay
@yama_virginhairthequeen10652 жыл бұрын
May be he is feeling threatened 🤔 mkojani n watu km chumvi nyingi na nagwaaa
@Chombezaflava2 жыл бұрын
watu wanakukubali tengeneza contect bora tu
@northerntanzaniatv40332 жыл бұрын
Tutakusupport kwenye chumvi nyingi tv ndomaana ugaigai sahv haieleweki
@mbuvamedia1952 жыл бұрын
Huelewi wewe broh, ugaigai mziki mnene
@isaacotieno79002 жыл бұрын
Mwanangu pambana
@nelsonandanyi2 жыл бұрын
Every end is the beginning Chumvi fundi umeme soon... Utakuwa juu
@ramadhanichuka35832 жыл бұрын
Alafu wee mtoto mbona uko wazi wewe nko waz nn mdomo mdomowaka uko waz Sana ww nakubal Sana Mr chumv nyng
@qtrqtr80162 жыл бұрын
Ugaigai mumefanya mpaka kwa maisha ya kawaida
@manp90912 жыл бұрын
Mimi namshauri mambwende akufwate muwe pamoja mpige kazi
@hemedykayonko41092 жыл бұрын
Tatizo mkipata jina mnajiona mnaweza kila kitu
@nelsonandanyi2 жыл бұрын
Global 📌 Chumvi Nyingi TV hapo juu
@franknzowa222 жыл бұрын
Chumvi unaweza sana jamaangu
@badmanno.16502 жыл бұрын
We endelea na channel yako .. uko vizuri
@mateuspoisbentomateuspiusbento2 жыл бұрын
Brown pambana Mimi nakukubali sana natoka Moçambique mueda makonde
@mariamndayishimiye13242 жыл бұрын
Aliye skiya mwandishi anamecha gonga laik
@chybuwagwantaz80542 жыл бұрын
Chumvi wewe ni chumvi bro keep it up ila kukukosa Tena kwenye ugai ugai it's so sad
@noelbernard63902 жыл бұрын
Jamaa anajua sana
@timotimo55012 жыл бұрын
Mwamba hilo jina lako tu nichumvi chumvi ikikosekana kwenye chakula una fikiri ina kuaje ni kwambie tu ww una jua sana endelea kumuheshim mkojani ww piga kaz kivyako utakuwa mkubwa zaidi ya hapo UNAJUA SANA MWAMBA
@musamasika96032 жыл бұрын
Nakukubali Sana many salt mkubwa pambana sana
@ingenieurkarim3355 Жыл бұрын
Chumvi nyingi unaweza sasa fanyakazi kwabisii tena kama wewe ila usitamani kushindana na mtu. Utafikambali wakati ukitimia Mungu akubariki
@salimallysalim67732 жыл бұрын
Chunvi nyingi wew ni zaidi ya mkojani 🇴🇲
@eliaskasambala34082 жыл бұрын
mvute mwanao garasa mfanye kazi mko vzuri mambo ya riziki ayo mivutano lazima.
@JosephCharles-mj2gs8 ай бұрын
mungu akulaze maali pema peponi PALAGA 1:46
@shallmolownicodem47342 жыл бұрын
Sukar nyingi endeleza fundi umeme
@salamaabuu77342 жыл бұрын
Chumvi Mimi shabik ako namba moja sn nimekuelewa kinoma kaka
@ErickyChuwa7 ай бұрын
Hahaha chimvi nying ,mwambende ,chado ase hii combination hatare
@alexandrebucumi73762 жыл бұрын
Chumvi nyingi let's gooo
@saidilome21102 жыл бұрын
Chumvi Nyingi komaaa uko vzr kbs japo mi ni mshabiki wa Mkojani kindaki ndaki.ila kazaa buti usikate tamaa wenda ni chura kapigwa teke.
@asmarajabu57862 жыл бұрын
komaa mwenyewe bhana
@shavanyyahya51532 жыл бұрын
Mkojan ana roho mbaya
@uklife52322 жыл бұрын
Broo life ni mtihani so kaza sana hakuna namna maana hata wao walikua chini
@bakarimakamba67142 жыл бұрын
Maisha bwana unashikwa mkono then unashindwa kuaheshim wanaokupush dogo huez kwenda jina lako dogo kwenye jamii jua litakuakia rudi ufanye kaz ukubwa haukimbiliwi upo tuu janja
@bleezytalentmusic59122 жыл бұрын
Fact kaka kuna watu wanadhan dogo katoboa kumbe ndo alikuwa anatengenezwa ili akue anapotea
@munasaid14292 жыл бұрын
Me mwenyewe nimemjua kupitia mkojani angekaa kimya afanye kazi zake ili maisha yaendelee
@kapesamjenga89712 жыл бұрын
Huyu jamaa ni mtu muhimu sana kwenye ugaigai kumtoa mmepoteza laza
@yeasrmsafi71522 жыл бұрын
Sio kweli
@tegemeongalama67372 жыл бұрын
@@yeasrmsafi7152 ni ukweli usiopingka
@donathasimon80512 жыл бұрын
@@yeasrmsafi7152 ni kweli kabisa Tena ukwel usio pingika chumvi ana Radha yake
@isejemedia67602 жыл бұрын
Chumvi Kama chumvi nyingiiiiiiiiiiiiiiii
@allyissa11742 жыл бұрын
Usihukumu Jambo kwa kusikiliza upande mmoja
@yohanamgaya45032 жыл бұрын
Pambana chumvi nyingi unajua
@Numberkhalifa2 жыл бұрын
Che🎉🎉
@nelsonandanyi2 жыл бұрын
The only way we can support Chumvi is by subscribing his KZbin channel... Pin 📌 we do it hadi mkojani tulimtoa toka kipipwe hadi sai bin dawash
@albadawiamour8509 Жыл бұрын
Chumvi nying kitend chawew kutolewa mkojan gang ni kumshkur mung kwasabab amekufunglia kwengine na utafik mbali sanaa
@jameskachalasimfukwekachal94592 жыл бұрын
Kumbe mkojan k2 sjapenda
@wanaupendotv71832 жыл бұрын
Jamani chunvi nyingi kila siku namuuliza mangwende chunvi yuko wapi kwenye ugaigai mlikua mnanoga
@hassanambarakmbarak8759 Жыл бұрын
Yani wameharibu ugaigai series walivyo mtoa chunvi Ile gari mwisho tulifikiri ndo chunvi amekuja kutoka Dubai mkojani unatukosea sana ukiwa hivo utawafukuza wote.mkojani usiwe boss kuwa kiongozi
@Batul-vx7rt7 ай бұрын
Well done❤❤❤❤❤❤❤
@abdulmohammed98252 жыл бұрын
Sitizami tena ugai ugai chumvi nyingi nakuamini sana
@MRJ1308 Жыл бұрын
Uko vizuri sana na series ya FUNZO
@roudhamahmoud7632 жыл бұрын
Tunakusapot chumvi.pole na hilo Kaeni mmalize tofauti zenu
@TALLUBOY2 жыл бұрын
MKOJAN GANG NI GROUP LA MOTO AMKOJAN AMEPATA PIGO KAMA ALIVYO PATA DIAMOND KUONDOKA KWA HARMONIZE LAKINI BRO CHUMVI UMEONDOKA VZL AUJAONDOKA KWA UBAYA AUJAMUONGELEA UMEJITROJUZ VYEMA SANAAA
@TALLUBOY2 жыл бұрын
haya safi upo vzl Umejibu vzl kuhusu upande wa mkojan
@issamtolwa2 жыл бұрын
Sana'a mzee
@griphinmwassatv2 жыл бұрын
Fanya kazi pambania vijana kama yule dogo white asiyakanyage maneno Hila unajua sana
@jailosibrahim882 жыл бұрын
Chumvi nyingi kitu cha kutambua kuwa nja za Mungu hazichunguziki hilo unaloliona kuwa ni tatizo dogo mkojani aliliona kubwa ili kkufikisha kwenye mafanikio makubwa zaidi
@jumakandy20752 жыл бұрын
Chumvi nyingi huko sawa kabisa kipaji hunacho hunawenza
@ushindibyamungu3352 жыл бұрын
Naku miss kwenye ugaigai bro
@jasonchanzi10232 жыл бұрын
Mlete mambwende bhana!.
@donathasimon80512 жыл бұрын
Daaahhh ugaigai ishafel bhana sasa ndo nini yaan chumvi mnamtoa daaahhh naanza na kuichukia kila siku nilikuwa naangalia nijipa moyo Leo chumvi yupo
@hemedykayonko41092 жыл бұрын
Bro wamekuja ulihitaki kujitafuta maana ulikua umeanza kujipata
@isejemedia67602 жыл бұрын
Hivi ile ngoma iliyoko mwashon mwa epsod ya fundi Umeme kaimba nani,,..
@aliamirbakar55802 жыл бұрын
Hawa wazee wote Ugaigi tukiwanza na hiyo mtu mzima mkojani ni Kibaka ni hasadi samofi hawa wote mahasidi waona unawachanua wasanii chip kizi tangu ulipoacha ugaigai haina shamra shamra bila chumvi nyingi dogo pambana kivyako na Allah atakungarusha mkojani mshamba zile mbwebwe Zake nyingi inaharibu kwenye mchezo amezidi Sana tooo much of thing is poisone
@jesusiscoming2372 жыл бұрын
Mkojani bring back chumvi nyingi we real miss him, ana kitu unique sana
@chybuwagwantaz80542 жыл бұрын
Tunaenda kukoment kule mpaka wakome
@yama_virginhairthequeen10652 жыл бұрын
@@chybuwagwantaz8054 yes 👍 I want to say so too this is real sad
@chybuwagwantaz80542 жыл бұрын
@@yama_virginhairthequeen1065 🏃
@wanaupendotv71832 жыл бұрын
@@chybuwagwantaz8054 mi Kila siku na coment Namuuliza chunvi