Nenda kwa tinwhite hana makuu mtafanya kazi vzr jaman chumvi nyingi
@RehemaSalim-d3g Жыл бұрын
SUBHANALLAH.JAMANI CHUMVI WETU WANAKUROGA.MUNGU ATAKUONGOZA ISHAALLAH.HAWAKUWEZ BANA.MUNGU YUKO PAMOJA NA WEW🙏🙏🙏 nakupend sana chumvi
@FatumaRashid-w2iАй бұрын
Uko vizuri sana brother
@chiefnumborecords48197 ай бұрын
Awakuwezi mwenyezi mungu atakulinda mimi mwenyewe shabiki yako nakuombea saaana duwa njema japo uwezi kujua wangapi wanakarama kuubwa wanakugagi wewe kwani kazi unazo zifanya zinatutoa tree's na kutuburudisha tupo tunao kuombea duwaa wewe kaza sana awakuwezi hao
@chinaboyzanzibar5328 Жыл бұрын
MY BROTHER I AM PROUD OF YOU MY ALLAH ALWAYS MAKE U HAPPY AND ALSO MAKE UR DREAM TO BECOME TRUE INSHALLAH AMEEN AMEEN AMEEN ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@chiefnumborecords48197 ай бұрын
Aisee mimi ni shabiki yako kazi zako zooote nimezifuatilia ktk youtube
@ramajuma4063 Жыл бұрын
Muandishi Bana Uko kwa Rader zangu Sana in short nimeku love 😍
@rizoibrahimovich605 Жыл бұрын
Ahsant JUMA Kwa kunipenda haha
@DaudoMata Жыл бұрын
🎉🎉🎉 chumvi nyingi kwe chumvi nyingi karibu kwetu mozambique.
@rizoibrahimovich605 Жыл бұрын
Team mkojani TUJUANE
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
Chumvi nyingi tizama mchezo wa fagio series, yule mtanga makofia na bakora yule, yule noma sana, ana kipaji kuliko maelezo. Shirikiana nae utaona mafanikio makubwa. Yule jamaa sjaona kwa sasa ikiwa atajifahamu haswa atashinda.
@reinatave780 Жыл бұрын
Kaza buti chumvi mie nakuombea kaka angu pia ogopa la mungu tu la mwanadam never...
@saadamoshi1478 Жыл бұрын
Nampendaga sana huyu kaka
@Mbuzi_Mcheshi Жыл бұрын
Wakwanza kutazama nipeni like zangu hapa
@jenniferanton15173 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 yaani nikimwona nabanwa na kicheko maana nakumbuka vituko vyake
@billylovebillybillylovebil580 Жыл бұрын
Chumvi nyingi nampenda sana anavyo igiza pianili kuwa napenda san wakigiza pamoja na mkojani
@eliasonsomu1491 Жыл бұрын
My comedy ,lve u chumvi
@slimmuhabesh2400 Жыл бұрын
Pole sana
@Oman-nu2kc Жыл бұрын
Nakukubali sana chunvi
@mwanahamisbeku4094 Жыл бұрын
Mkojani anatakiwa afikilie man Kuna tini kuna nagwa kuna kirangaso na chumvi wote awapo na yeye mmmh
@SalmaChaulembo3 ай бұрын
Pambana mwangu one day ntakuja kucheza na ww by nyamwela 😅😅😅😅
@JumaLubugu-l1r Жыл бұрын
Pongezi kaka Kwa kazi zako
@LameckMnyika Жыл бұрын
Nakukubal sana chumv nakuombea ufike mbal
@matataoneproduction5355 Жыл бұрын
Wewe mtangazaji jifunze kuongea vizuri kiswahili unaboa unapotia herufi L kwenye R acheni mbwembwe nyingi kwenye kuongea mpaka mnaharibu tathnia ya habari
@saidmwinyi7062 Жыл бұрын
Mkojani na chumvi ni hatari bwana
@furahamandai6628 Жыл бұрын
Chumvi tuna kukubali Sana Mzee wa Kula ubuge
@edwinmiriti335 Жыл бұрын
Wachukue mabwende na chando master
@ismailnongwa6332 Жыл бұрын
Amwenye Mimi niko pamoja na wew nakukubali 100% pambana mndenge mwenzangu
@latipherHussein-ig8uk Жыл бұрын
Mkojani tatz komed nyingi paka anaboa
@shadaphnalinga1661 Жыл бұрын
Daah! Aisee mtangazaji ni mzur Sana tena ni muislamu huyu bint na popote alipo nahtaj kumfaham na cjuw Instagram anatumia jina gan Ila dada nimekupenda Kwa kwel
@Isaackilunda-jp8km3 ай бұрын
Nilimjua chumvinyingi kutoka kwa ugaigai na nikawa fan wake ni jamaa akona talent, niko kenya
@geraldmwangira.4978 Жыл бұрын
Chumv rudi kwa Mkojani mkayamalize, yaan sai ungegua kwenye Umbamba ingeniga zaiidii.
@kadeshchege7455 Жыл бұрын
Kumbe uchawi upon😱.sielewi yaani mtu anaeza kudropisha bahati ya mwingine
@romeoabdul7499 Жыл бұрын
Umeondoka WCB?duh uchawi upo
@jacklinejacklinejonh6530 Жыл бұрын
Me nakupenda sana
@gilbertkalanda9354 Жыл бұрын
Kumbe Mkojan ni mchawi kiukweli kweli ? 😀😀😀 Maana mmetaja uchawi hapo
@ushindibyamungu335 Жыл бұрын
Ongera sana mwandishi kwa kumtafuta chumvi
@maasaimkisii9089 Жыл бұрын
Good work bro
@VidyutJamwal-y7f Жыл бұрын
Chumvi nakukubali san mwngu
@ibraimoissiaca6058 Жыл бұрын
Bro usifanye sana interview utaonekana unalalamika lalamika watu watakuchoka
@reinatave780 Жыл бұрын
Ni Kwer kabisaa
@jacquelineadrian6436 Жыл бұрын
Umeongea point kubwa sana
@mashramadhani1989 Жыл бұрын
Muache afanye mladi aongee ukweli
@rakinaabdalla7193 Жыл бұрын
Kabisaa yanii
@samiyasaidirindo19699 ай бұрын
Msifanye ivojamani
@qtrqtr8016 Жыл бұрын
Yuwafanana na rayvanny
@abuuabdillahtv8457 Жыл бұрын
Chumvi kwann uskae na mkojan mkayazungumza na mkojani kuliko kuyasema mtandaon
@makamekombo8243 Жыл бұрын
Wandereko mmmmmmh
@shukurulazaro8688 Жыл бұрын
Safi sana
@mashramadhani1989 Жыл бұрын
Chumvi uko vzr sana
@LulachaCharles Жыл бұрын
Mkojani gang vp 😮😢
@mariocharque7066 Жыл бұрын
nakuelewa sana
@rugendorunene545 Жыл бұрын
Ushirikina hata kwa uigizaji jameni... hii hatari!!
@nassjr6566 Жыл бұрын
Bambane ww uckubali saw
@furahamandai6628 Жыл бұрын
Mkojani akuwezi bwana kaotambawa mshamba
@selemankishuga948 Жыл бұрын
Uyoo mwamba anajua
@jalinachilala8465 Жыл бұрын
❤❤❤❤
@Anton-t5g4 ай бұрын
Hi
@binthkhamis8042 Жыл бұрын
Ndio maan sikuoni kwa ugai gai
@jamalmnema8334 Жыл бұрын
We muandishi ubadilike unaongea sana kuliko anae hojiwa
@levythadon6387 Жыл бұрын
Mkojani mpumbavu sana
@yogwemwakulola1634 Жыл бұрын
Nagwa hayupo tayari simuoni kweye umbambamba
@aishaomarry6996 Жыл бұрын
Hata chado hayupo
@ShoboboBoy-s6w4 ай бұрын
Kaza unajua ww
@JoseHarod Жыл бұрын
Bila kuchoka
@twahirushabann9788 Жыл бұрын
Hata mm nishabiki namba 👆 wachumvi nyingi
@OpecSadick Жыл бұрын
🤔🤔🤔
@movieseries11 Жыл бұрын
Unaongea san mwandishi
@alimkumbukwa8363 Жыл бұрын
Mtngzaj bdo sana
@kwangwaluboy8923 Жыл бұрын
Chumvi nyingi wewe unaweza kaza
@rajabdullaz1026 Жыл бұрын
Peleka umalaya wako huko unawasema mafundi
@amidjaja5695 Жыл бұрын
😂😂😂
@ibrahimmahidaya7124 Жыл бұрын
Dogo nakuona mbali sn
@chiefnumborecords48197 ай бұрын
Ivi kitunguu maji ni wewe au?
@qtrqtr8016 Жыл бұрын
Ugaigai haina maana ulivyotoka haina maana ata siiangali tena
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
Yaani saivi yule jamaa aloect fagio. Kibandiko😂. Yule burudani. Sjaona kwa sasa