Aslmalekum Ndugu zangu poleni sana Tumwombe Alla afanye wepesi Wajukuu hawa popote walipo wawe Salama mama mtumaini Alla Watapatikana Salama
@AidathRweyongeza11 сағат бұрын
😭😭😭 dah pole sana ndugu yangu Imani yako ni kubwa mno kwa ALLAH na Imani ataweka wepesi 🤲🤲
@Mamkubwa8 сағат бұрын
ILA UKIWA NA IMANI YA MUNGU HAUCHANGANYIKIWI UKIPATWA NA BALAA. ROHO INAKUWA TULIVU. TUWEKE IMANI KTK DINI.
@fatumadiwani40987 сағат бұрын
Inshaallah kwa uwezo wa allah hao watoto wawarudishe na wajutie kitendo walichokifanya wawarudishe wakiwa salama inshaallah
@samayrakindago994711 сағат бұрын
NNAKUOMBA RAISI SAMIA TUJ 9:56 T UJENGEE DAY CARE KILA KATA WATOTO WASHINDE HUKO ,WAZAZI WAKATAFUTE, ILI TUSIAJILI HAWA WADADA WAKAZI KTK MAJUMBA, PLEASE PLEASE TUONGEEZEE AJIRA WAKINAMAMA WALIMU TUPO TUTAWALEA WATOTO VIZURI
@Mamkubwa10 сағат бұрын
Vitui vya kulea watoto ni muhimu. Kuanzia miaka miwili hadu watapoanza vidudu. Kweli hii tasaidia sana kina mama wanaojitumq kutafuta. Zisiwe mradi shule. Walezi wake waandikishwe hadi nida zao... ikitokea uhalifu washtakiwe kisheria. Ukinzi kwa watoto ni muhimu
@FekiHappy12 сағат бұрын
Allah Atawalinda kila pembe hawataweza kwa ulinzi wa Allah Mungu Ampe upofu
@RoseKillian-b8k8 сағат бұрын
Pole mama upate wanao wakiwa salama in Jesus might name Amen
@kinyangulishabani939612 сағат бұрын
Dada azia kwamsichana alie ondoka mkamate halafu yeye atakusaidia kumpata huyo dada kiukweli inauma san
@safiakiruta872311 сағат бұрын
Allah awatangulie wapatikane wakiwa hai
@gracemsaki15619 сағат бұрын
Wamepatikana tayari
@Mamkubwa9 сағат бұрын
Alhamdulillah
@MwanadiaMkufi12 сағат бұрын
Ifwatiliwe namba ya smu imesajiliwa na nida ya naniinaweza kusaidia
@maimunamselemo84274 сағат бұрын
Mungu tusaidie 😢
@NitweleKalinga-m9e4 сағат бұрын
Kabisa day care zijengwe NAMI nasapoti watimishi wasio mama wa nyumbani tunateseka
@RoseKiria-o6z12 сағат бұрын
Lahaula walakuwata ila bilaa
@aminafesaliaminafesali8105Сағат бұрын
Congo walianza hivi hivi gadi kuuana ikawa jambo ya kawaida hivi kwanini awam hii watu wanafanya matukio hadharan na hayeshi wala kupungua makuyo ya ukatili kabsa tena bila watu kuogopa kuwa kuna serkal ? Jee kisa rais hafoki ama kisa rushwa imekua ndio haq ya awam hii ? Kwanini miyaka 4 inch imekuwa zaid Vietnam ???😢😢😢😢sasa kama raisi kakaa kimya unyama unaendeleya na hana time je hiyo miyaka 5 ingine itakuwaje ? Yaani tanzania ya miyaka 4 niyaukatili bas
@samayrakindago994711 сағат бұрын
Dada turejeshee watoto tunafanye umepote nyumba na njia jamani
@gracemsaki15619 сағат бұрын
Wameshaatikana tyr asanteninempigia bb yao
@FekiHappy12 сағат бұрын
Huyo aliyewaleta
@FekiHappy12 сағат бұрын
Sasa wasiwasi
@OmbeniMwalupindi11 сағат бұрын
Halafu nyie mnaotafut mabint wakazi.achaneni na mabint wakigoma.yule bint aliemkat mtoto kolomeo.nibint wa kigoma
@fatmaalnabhani360910 сағат бұрын
Jamani wafanya kazi wafanyiwe mpango wakaandikishane maboss kwenye ofisi hapo mvurugano utatulia . Wakati umekuwa mbaya sasa.