Mzee anaongea Kwa uchungu,jmn huyo kaka badala ya kutafuta vya kwake unakaa unawaza vya baba
@hamsikrasheedi17962 жыл бұрын
Alhamdulillah 😢daah pole sana mzee hakika kuzaa siyo kupata kama leo hii mtu unataka kumuuwa baba yako kwaajili ya mali alizo zitafuta yeye mwenyewe kweli dunia imekwisha 😢😢
@happylynguya34642 жыл бұрын
Hakika kuzaa sio kupata, kwa hili lililotokea.
@veronicajoseph26752 жыл бұрын
Eti jamn imagine ivi mtu ajenge nyumba yake kwa pesa zake wewe mugombanie kwer ivi watu wakoje
@NgaizaKimbeNgaizakimbe8 ай бұрын
Laana Hii...
@fatmasalim82932 жыл бұрын
Subhanallah maskini baba wa watu mungu akusaidie nyie watoto mtizameni baba yenu imani hamna wallahi
@cheiknamouna20582 жыл бұрын
Abdalah tafuta pesa usitafute laana kwa mzazi utakuja ujutie haya maisha broo haya mie napita nshasema omba msamaha angali hai🙏🏽 🙋♀️🚶♀️
@NgaizaKimbeNgaizakimbe8 ай бұрын
KBS🚶🚶
@succesjabari46182 жыл бұрын
Da nimekupenda bure wewe baba!......much respect 🙏 👏
@yukundapeter82002 жыл бұрын
Hongera sana baba! Majitu hayataki kutafuta vyao
@heyumi23402 жыл бұрын
safi sana sana
@shemelaruhinda61132 жыл бұрын
Safi mzee
@ziadamashallah4472 жыл бұрын
Safi maamuzi mazuli pole sana
@GMD8202 жыл бұрын
Wangoja wazazi wafe
@ishipalemypasco25672 жыл бұрын
Umeona eeh.unalikuta limtu zima mindevu kama osama ila kutoka hom halitaki
@leilahhassanomary71892 жыл бұрын
Jaman kuzaa sio kupata ! so sad 😢
@Zahrazahra-ue7bp2 жыл бұрын
Fanya araka mzee tena ningekuepo ningekusaidia kutafuta mteja💯💯💯
@kekiplus1andonly2 жыл бұрын
Safi sana ,baba umeweza..ila ungeziuza zote halafu ukahama mkoa/nchi ukaenda zako mbali kula bata na bebez🤣🤣🤣🤣
@misswilson71352 жыл бұрын
Jaman😂😂😂😂
@franklukazula2 жыл бұрын
From MALAWI 🇲🇼 home Burundi 🇧🇮 yani mwenyew nawez fany hivy
@welcometoeat1652 жыл бұрын
Afu lile Toto lilikua lnahojiwa lkadai halijui knachoendelea kumbe wao ndo wauwaji wapuuz kabisa! Safi mzee kwa uamuz wakatafute vyao
@AgnesMakunege11 күн бұрын
Vijana hatutaki kazi tunategemea urithi bomoa baba kama kiwanja kipo au shamba uza ni jasho lako❤❤❤
@selemanshechonge54562 жыл бұрын
Safi babu vijana tuchape kazi
@hamidaalhabsi85682 жыл бұрын
Subhanaallah mungu wangu tusitili yaarabi na vizazi vyetu yaarabi. Mungu akusamehe kwa hilo neno ulio sema wewe NI maskini jeuri mwenyezi mungu hapendi neno hilo ingawa wewe NI mwisilam
@ishipalemypasco25672 жыл бұрын
Amezeeka ila ana maamuzi magumu je alipokua kijana.big up sana mzee wangu kilichobaki sasa ukiona umeezeka sana hujiwezi tena na mitoto ndo kama hio uza kula vyote vikiisha kunywa sumu ufe na vyako
@mariasambi8622 жыл бұрын
Nimecheka😃
@AsiaKinega-ge9bv6 күн бұрын
Kma mazuri 😂 kweli mzee angeuza lkn pia angeuza labda wangemuua wachukue pesa @@mariasambi862
@yasodishonest97922 жыл бұрын
Babu wewe ni mwanajeshi hongera. Ila ungeuza ulebata na mwanao .Asie fanya kazi na asile mbwa awo mashetani
@geofray01322 жыл бұрын
Nawapenda sana mabinti zng 4, ....kwel Mungu anakupa unachostahili,
@maisarah68192 жыл бұрын
Umeonaeee,watto wa kike ndio mpango mzima🤣🤣
@janethmichael46902 жыл бұрын
Mimi ninavyotamani baba yangu angekuwa hai daah rest in peace my daddy engineer Michael 😢I still remember you six years now Ni Kama Jana ungekuwa hai akika ningekutuza baba tunakukumbuka and tunakupenda Sana ❤️❤️
@HatibuHhh7 ай бұрын
safi sana
@NeemaMateleka6 ай бұрын
Pole sana wanakichezea kwa sababu kipo kikitoweka he watajajutia
@isunga19646 ай бұрын
Hapo kwenye maviiiiiiiii hongera sana babu uamuzi mzuri na uza kiwanja kabisa kula pesa zako
@olivajoseph16972 жыл бұрын
Congratulations baba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nanyie watoto mmekuwa mijitu mizima mtoke hapo ndani
@science_fact932 жыл бұрын
Dah ni htr Sana aise mzee amechukua maamuzi mzr kbs waende wakatafute vitu vyao hao hawana utu kbs
@seinabelimi22962 жыл бұрын
safi mzee baba vzr sana wakatafute yao pumbavuuuu kbsa tna shenzi kbsaa sio watoto hao bali barazulii hao kenge wahid majan ya chai taka taka
@yunislemnge55582 жыл бұрын
Babu uko.vizuri safin sana mitoto haitaki kufanya kazi
@itNeza2 жыл бұрын
Mzee Heshima Yako Kabisa. ❤️
@maisarah68192 жыл бұрын
Mtoto akiwa na miaka 5,7 n mwanao,akifikisha miaka 20 sio mwanao tena nimwenzio...nmejifunza kitu babaangu apa🙆
@joycenicodemus.22322 жыл бұрын
Hata mm nimejifunza Jambo kubwa Sana kwahuyu mzee mtoto akifikisha miaka 20 anakua mwenzio😭😭so,sad
@aminamavura68342 жыл бұрын
Nimependa hiyo big ap kwa babuu
@valeriaally65842 жыл бұрын
Mai sarah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwa keel
@NgaizaKimbeNgaizakimbe8 ай бұрын
Sawa Mzee Nimekubali
@femiaw.mgongolwa39282 жыл бұрын
Safi sana baba.... Wewe mzee wa shoka... Wakatafute vyao...
@adamapollo9859Ай бұрын
Safi sana huyu mzee hakosi kuwa mrangi huyu😂😂
@binuqaasha675Ай бұрын
Ao watoto wasipo tubia mafanikio watayaskia mitandaoni tu... Tena maskini ni waislaamu .. dah malipo hapa hapa duniani. Allah awaongoze ao watoto ktk kutubia kweli na wamuombe radhi Mzee kabla hajafa....
@kulwarahmu50312 жыл бұрын
Safi Sana babu nimecheka 😁Bora ulivyoivunja iyo nyumba wakome
@emariusrush32852 жыл бұрын
kumbe hii story inachekesha ???
@ahmedanwar12102 жыл бұрын
SUBHANA-ALLAH 😭😭😭😭🥺🥺🥺 twaelekea wapi vijana ALLAH AKUPE UMRI MREFUUU Mzee uzaa kila kitu
@joycetairo89332 жыл бұрын
Kusema ukweli mtoto wa kike ana huruma sana juu ya wazazi wake. Mimi ninaweza fanya chcht ili mradi tu baba na mama yangu wasilie au kuteseka. Mungu atusaidie tunafundishwa Mungu wa pili duniani Ni wazazi.
@ExcitedChefHat-ef5jt12 күн бұрын
Allah amuhifadhi huyu mzee ya rabbi. Saa nyingine badala ya kuzaa watoto waxaa kokoto. Mzee angeuza number badala kubunja aisha ampe mtoto wake aliyemwangalia mpaka sasa.
@laynerngole21192 жыл бұрын
😭😭😥😥😥jamani watoto khaaa,unamfanyiaje mzazi mmmh 🙌,bora umebomoa tu,watafute zao
@Mpakauseme2 жыл бұрын
Sasa wewe unajenga kwasababu gani ? na je siku ukifa hiyo nyumba uliyoijenga ataishi nani ? . Sasa kwanini ubomoe nyumba uliyoijenga kwa nguvu zako kwasababu ya mtu mmoja tu
@heyumi23402 жыл бұрын
@@Mpakauseme hujaelewa alichoongea mzee
@rukaiyamohamed17642 жыл бұрын
@@Mpakauseme sasa si wangoje mpaka pale khatma yake itakapofika ndio wachukue nyumba kwann watake kumuua mtu kwa mali zake mwenyewe 🥺🥺🥺
@maisarah68192 жыл бұрын
@@Mpakauseme Bora kubomoa utata uishe.make kati ya watoto 6 ametokea 1 ndio kiherehere ataka kumuua babake Kwaajili ya nyumba aliyoijenga mwenywe na nguvu zake,jaribu uvae kiatu chake kama kitakutosha au kitakuminya mguu.
@ibraahmfw11472 жыл бұрын
A lesson , mtegemea cha Ndugu
@jumaame372 жыл бұрын
💪👍👌✌️Babu pamoja sana nimependa iyo.ukosahihi.
@mwigakatumpula56952 жыл бұрын
Huyu mzee ni moto wa kuotea mbali kwanza anavyo ongea tu utadhania reporter wa BBC radio 📻📻😀😀😀😀
@elisantemrita94902 жыл бұрын
Safi sana Mzee hongera kwakupata pia Mkwe alie kujali
@mariamgodfrey532 жыл бұрын
Safi sana babu amemwaga mboga umemwaga ugali tafuteni vyenu acheni kukaa kusubiri vya urithi tafuta mtu uza viwanja vyako kapambane mbele watakuua hao watoto.
@bennyjohn14122 жыл бұрын
Pole Sana Baba kwa Kula Mavi Bora yawe Mavi tuu
@geofray01322 жыл бұрын
Daaah...wakat mwingine mtt wa kike yuko na faida zaid ya Men,
@michaelsamson96632 жыл бұрын
Saiz uko kwa mtoto wakike iyo mitoto yakiume inakulisha kinyes kwa mtu mwenye akili utajifunza kitu watot wakike wana loh nzul
@j.c.maxima8162 жыл бұрын
Ni kweli...
@yasminoluoch16928 күн бұрын
Inategemea tu na mtoto mwenyewe mimi mume wangu anampenda sana mamake na babake huwa yategemea mtoto na malezo uliyowalea na wake watakao wapata...
@ramadhanimkude57442 жыл бұрын
Allah alishatuonya, hakika Mali zenu wake zenu na watoto wenu ni mtihani kwenu.
@mwanaimahassan5166Ай бұрын
Anko wangu nilikupenda sana mwenyewe ulikuwa unajua anko wangu endelea kupumzika Kwa amani 😭😭 hatuchoki kukuombea Dua🙏🙏
@muharamimpawane46672 жыл бұрын
Mzee yupo sahihi sana uyo Abdallah msenge sana uwezi kufosi kulithi kitu kinguvu au kutaka kufanya mauwaji ya baba yke
@Shekhahamed-v2fАй бұрын
Baba hongera Sanaa umechukua uamuzi mzri kbs
@ilovejesus6662 жыл бұрын
Mzee anavituko 🤣🤣🤣😂😂 ety anavuta sauti kama anasoma habari 😂😂😂😂😂😂
@ZenaMsumagilo7 ай бұрын
Saluti kwako baba,........... Umejua kuwashikisha adabu nyang'au wakubwa hao waliokosa haya hata hofu ya MUNGU hawana
@peterbaton17292 жыл бұрын
Safi Sana Mzee Jitu lishakuwa Baba Zima bhado linategemea Wazee Safi Sana Mzee
@kuschprince32162 жыл бұрын
Mzee alichukua hatua/uamzi mkali mno! Hata hivyo,nyumba ni yake. Hiyo iwe fundisho kwa watoto makatili/fedhuli wanao subiri kurithi kwa nguvu mali za wazazi wao.Nahofia watamuandama,walaaniwe wote na wasipate afueni mpaka ahera,washenzi hawa!!
@زيتونتنزانيا2 жыл бұрын
Asilimia 90 ndivyowalivyo. Halafu itakuwa watoto wakiume ndio wakorofi sana
@maisarah68192 жыл бұрын
@@زيتونتنزانيا mtihan kwel
@veronicajoseph26752 жыл бұрын
Kabisaaaa yaniii
@aishambise65292 жыл бұрын
Kwel baba pole pia mm yamenikuta hayo fukuza kabisa wakajipage na vyao umewakuza bas inatosha watajuta Sana 🇰🇪🇰🇪 mzazi ni nguzo kuu lakini hawajui nyoo
@maisarah68192 жыл бұрын
@@aishambise6529 hawajui kwamba tupo tuliokosa Cha kurisi isipokua majina ya ukoo.
@floramarinyo35172 жыл бұрын
Uza baba Julie pesa wakatafte uko madam mpenzi wako alishafariki hahaha
@AminaMkumba-u3z3 ай бұрын
Babu Yuko sahihi sana. Kuacha kutafuta vya kwao. Mimi ndio maana kipata sent nakula vixuri Kwa kwenda mbele. Maanake ujinga kama siutaki kabisa,fedha Yako,nyumba Yako wanataka kukuua.
@christinachriss92312 жыл бұрын
Uamuzi mzuri Sana watafute vyao,pumbavu wanangoja urithi Safi Sana baba
@zuwenaalamin89852 жыл бұрын
Baba kwanza pole.ila kwenye kula mavi umetupiga. Na kitu kizito kichwani🤣🤣🤣🤣🤣.na ghafla amekuwa mwandishi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka lkn pole baba angu
@malugukushaha67642 жыл бұрын
Ama kweli tuko siku za kiama hizi😪. Pole sana mzee wetu.
@macharosandra94672 жыл бұрын
Vijana tufanyeni kazi, tutafute vya kwetu
@abbykashuba4332Ай бұрын
Majina ya Abdallah huyu ana Loho mbaya sana usimpe hata kijiko ukiuza atafute zakwake adi ulikuwa unakula mavi 😂
@petermboje58392 жыл бұрын
Mzee yupo sawa mafala hao watafute zao
@deborachedieliy85012 жыл бұрын
Maziz upo vzuri wajenge yakwao
@christinamolell9432 жыл бұрын
Mungu nijalie watoto wa kike wengi
@neemaruben54272 жыл бұрын
😭😭😭😭jamaniiiiiiiii atariiiii mbona hiviiiiiii nyie watoto kwa nn
@bongorecaps35582 жыл бұрын
Mi nisingevunja nyumba ningewaweka ndani kwa kujaribu kuniua nitafute mteja taratiiibu kabisa nikiuza nyumba yangu naingiza hela zote bank nakula maisha🤣🤣🤣 na nnaandika nikifa hizo pesa zijenge hata msikiti na kidogo apate mwanangu anaenizingatia hao wengine wakitoka hawana chao
@madpusher20362 жыл бұрын
Kula mavi tena 😂😂😂😂 mzee huvuti bangi kwel na upo mkoan arusha..ila utan tu heshima yako mzee wang na pole sana..kizaz kibaya hiki..wakajenge za kwao mbwa hao
@claudiayohana65762 жыл бұрын
Godfrey l love kaka sauti yako inanipasuaa moyo wangu❣❣💞❣💞💞❣
@officialmimi2692 жыл бұрын
Mhhu jieleze vizuri 🥺🤭
@godfreymillardayoripota30022 жыл бұрын
Asante sana ndugu yangu tupo pamojaa 🔥🔥
@hamidaala28322 жыл бұрын
@@godfreymillardayoripota3002 NakulaMaviiiii😃😃😃
@godfreymillardayoripota30022 жыл бұрын
@@hamidaala2832 hatari sana
@Awatee2 жыл бұрын
@@officialmimi269 🤣🤣🤣watu wana mambo
@rukiaiddyyahaya95062 жыл бұрын
Asante Sana mzee bomoa na uwanja uza
@mugemainyas52412 жыл бұрын
Du hawa watoto au mi mbwa mwitu . ndo maana yatupasa kushukuru kwa kuzaa na asiyezaa pia anapashwa kumshukuru Mungu . unazaa wa kiume unajisifu mimi Mungu anijalie wa kike wengi
@husseinshabani95222 жыл бұрын
Allah Akusimamie Baba yetu....In sha Allah.
@sethstiven33932 жыл бұрын
Makubwa hii Dunia imeisha,,, upendo wa wengi utapoa ndo tushafka ivo
@manjaugodwin78342 жыл бұрын
Tafutenı vyenu wazazı wameshajıchokea mnataka mrıdhı na laana ıtawatafuneno hıyo ya baba mnataka kumuuwa.Baba umefanya vzr sanaaaa
@zainabzain34342 жыл бұрын
Uwiii nalia mie wallah Sina baba tangia miaka 9 hii leo watu wana baba wanawakataa Dunia kweli sio mbaya binaadam ndio wabaya
@trifoniambilo24002 жыл бұрын
Pole sana Babu ,,kuzaa sio kupata uwiiii jaman
@faudhiasalum72792 жыл бұрын
😢Mtihani sana ninavyo angaika kujenga IYO Nyumban huk! omani muscat Alfu badaee watoto waje kunifanyia hvy 😭
@stellamiyombe61173 ай бұрын
Baba hongera umetisha
@fetychina39692 жыл бұрын
Safi sana mzee abdallah huna hata aibu🙄😏😏tafuta chako abdallah nyoooooo
@ashuramussa20112 жыл бұрын
Hongera baba
@azizaabeid20552 жыл бұрын
Daa inahuzunisha jamani kweli unamfungia ndani Mzee wako afe kwa ajili ya Mali nyie watoto kwa kweli. Hamna huruma kabisa Mzee ni sawa kabisa ulivyobomoa uza nyengine kula nyengine pelekeka sadaka misikitini hawa watoto wanamna hii hata ukifa sidhani km hata duwaa watakusomea wakatili mno mama Samia msaidie huyu baba ulinzi hawa watoto wasije tuma watu wakamuua bure
@godfreysamson30692 жыл бұрын
Safi San mzee 👏🤝 utadumu fukuza jitu linachonga ndevu Kwa baba yakoo pumbavuu zao kafien uko hata mm nitafata nyayozako Mzee wanguu
@marthapeter82462 жыл бұрын
Kabisa hii ndiyo dawa yao
@ynyynyyny2 жыл бұрын
Safi sana mzee, keep it up
@samilhafidh60712 жыл бұрын
Masikini allah akufanyie wepes
@Rennyanselim2 ай бұрын
Safi babu umetisha
@mrishohashimujumajuma85392 жыл бұрын
Kazzee nimekuerewa xana mtafute ela kazi kamali tu
@BIGBOSS-hl3bu2 жыл бұрын
Mzee pole ,kikubwa ni kuwa Mali ulivyo ipata ndivyo itakavyo ondoka na ndivyo itakavyo kutesa lakini pia inaonyesha Mzee anaroho mbaya
@MaryTomito13 күн бұрын
Dah nimependa sana maamuuzi ya huyu babu watoto wakajenge zakao
@saleheheda45372 жыл бұрын
Dah! Pole Sana Mzee
@fatumakassimu69042 жыл бұрын
Safi Sana sasa tuone ataijenga au vipi mjinga mkubwa unataka kuuwa mzazi wako kisa nyumba yake
@martinlema41927 ай бұрын
Masawe namwomba Mungu akubariki!
@petercostakisoka2 жыл бұрын
daah kumbe yanatamaa mbaya sana vunja kabisa baba wakawe makapurwa
@uwezowamunguutendaokazi30432 жыл бұрын
WAZAZI NIWÀ KUHESHIMIWA SANA JAMANI. TUACHE MAIGIZO NA WAZAZI, POLE BABA,
@tingbatuuka72782 жыл бұрын
Watoto jina hao. Safi sana babu. Bomoa zote
@joycekalago53210 ай бұрын
Nimekaa ndani wiki nimekaa wiki nzima nakula maviiiiiiii😂😂😂inachekesha na kuhuzunisha kwa pamojaa,usiposhiba huwezi kupata choo yeye hajala wiki alipata wapi hajakubwa?😂
@lovenesskalenge26832 жыл бұрын
Aliye sema Huyu mzee hayuko timamu yeye ndiye hayuko timamu. Anacho ongea anakielewa . Ongera baba
@naomimiddleton19892 жыл бұрын
Hongera sana mzee wangu kwa maamuzi hayo wacha watafute Mali zao wangeweza hata kukuua
@NgaizaKimbeNgaizakimbe8 ай бұрын
Sàwa Mzee Naunga Mkono Hoja..
@EdinaRutelano3 ай бұрын
Yani hiyo ndodawa uko vizuri baba
@zabiyafahmikhamis48732 жыл бұрын
Mmh Mungu akikosesha watoto basi shukuru sana mana hujui ana kunusuru na nini ,, haya sasa ona balaa hili
@marthapeter82462 жыл бұрын
Kabisa
@aishaissa25122 жыл бұрын
Pole baba angu vijana wasikuhizi nihatari sana
@kimaronemes56892 жыл бұрын
Dah hao watoto wa kiume wamekosa subra kabisa ona sasa dada yao anaenda kula mavumba na mumewe kiulani baada kuuzwa hiyo nyumba na ikiwezekana washtakiwe kwa jaribio la kuua..huyo mzee ana akili nyingi sana ni legend
@fetychina39692 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣kwa arusha wange muua kweli BORA baba kama wao wanamikono na miguu na macho watafute vyakwao
@leilahasani31182 жыл бұрын
Kweli Mzee kaksi tunaboa nyumba then tawatafuta mteje
@sabihaibrahim1432 жыл бұрын
Hahahahahaaaaa nimechekaa kafanya vizuri
@yasodishonest97922 жыл бұрын
Sawa sawa babu🤝🤝
@mariecruz9212 жыл бұрын
Respect kwa babu, ila kwa alichokifanya babu msingemwacha asimame mda wote huo na viti vipo huko nyuma jaman khaa!"Wazee ni hazina"😊
@kamanapomo70292 жыл бұрын
Sahihi
@simiondaniel60102 жыл бұрын
Unahuruma wewe hadi umezidi Watoto wake
@dynamicpreschoolschool4342 жыл бұрын
Mzee uza Kila kitu..kama uliponunua mwenyewe...watoto wanunue zao