ma sha Allah, Allah awalipe kheri pamoja na Sheikh wetu. Nlikuwa na ombi moja kuhusu titles za hizi video, tuwekeeni jina la sura na aya alizofundisha Sheikh inakuwa wepes kwa sisi wengine ambao hatuwez kufatilia live streaming mana tuko mbal na tofaut ya masaa ni kubwa
@alisaleh58639 ай бұрын
ALLAH AWADHOOFISHE MAADUI ZAKO WOTE ,NA AKUWEKE DARJA YA JUU YA WATU WEMA ZAID WATAKAORITHISWA FIRDAUS BILA YA HESABU, WW PAMOJA NA SISI, AAMMYN YA RABBY AAMMYN
@AlShabh-u8i9 ай бұрын
Amina na sisi wasikilizaji wke ste
@AlShabh-u8i9 ай бұрын
Masha Allaah shekhe mselem Allaah akupe nguvu na uzima ili utuelimishe
@HamiduMtandika-lc2tp9 ай бұрын
Jazaka Allah khaira
@baytumuqqaddas10 ай бұрын
Maashallah nafatilia vyema darsa ya sheikh wetu❤
@mwanasitibasho41409 ай бұрын
Masha allah barrakah allahu kheir shukran
@fisabillah-o7r9 ай бұрын
Jazakallahu khayran
@khalidtechnology3679 ай бұрын
Kazi kubwa mnafanya ila kuna baadhi za sura hatuziona katika juzuu ya Amma