No video

🔴

  Рет қаралды 16,167

Global TV  Online

Global TV Online

Ай бұрын

🔴#Live: DC MAGOTI ALIVYOTATUA KERO za WANANCHI PAPO kwa HAPO - AWAPA MAAGIZO WATUMISHI wa UMMA"....
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 32
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj 24 күн бұрын
This is such the kind how the leader hes supposed to do.this dc is doing very wonderful job.God bless you too hon Magoti.
@HamadaZubeirTahir
@HamadaZubeirTahir Ай бұрын
Huyu Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Wallahi ni mzuuri
@agustinogodfrey6583
@agustinogodfrey6583 Ай бұрын
Dc upo vizuri Mungu akulinde katika majukumu yako
@geofrypaul9960
@geofrypaul9960 Ай бұрын
Nilikuwa na ugum wa kuweka comment yangu lakini ukweli mh magoti yupo vizuri, amekuwa mtu wa mhimu sana na amechukua nafasi ya Mkuu wa mkoa. Mkoa wa pwani sahivi Mkuu wa mkoa hajulikani anajulikana Mkuu wa wilaya.
@WazirJuma-gd5oo
@WazirJuma-gd5oo Ай бұрын
DC uko vzri sana mungu akujalie unajitahidi Sana. Wewe na makonda mungu awabariki mnawajali watu wenu mnao waongoza. Kisarawe mmepata mtu
@hashimchepa
@hashimchepa 22 күн бұрын
Nafasi ya joketi sasa magoti Kaja kuhiziba sahii sasa kisarawe munabati kupata dc waziri ongereni sana
@user-ig5yn4zp2u
@user-ig5yn4zp2u Ай бұрын
Kitu ambacho nimekufatilia kindakindaki mkuu wa wilaya magoti wewe sio mnafiki kabisa mwenyezi mungu akuongoze ktk kazi yako.
@sautiyamunguduniani4620
@sautiyamunguduniani4620 Ай бұрын
Respect mkuu ukovizur sana na MUNGU wa mbinguni ☝️ akulinde na kukubaliki
@alexkonza4506
@alexkonza4506 Ай бұрын
Mheshimiwa speaker! Uko vizuri tuendelee
@buberwarugaiganisa5190
@buberwarugaiganisa5190 Ай бұрын
Wananchi wa Kisarawe ni mwendo wa furaha kwa Dc Magoti
@RutaEmmaMachumu
@RutaEmmaMachumu Ай бұрын
Aisee Kisarawe mmepata Jembe
@JumaAbdallah-gn5qu
@JumaAbdallah-gn5qu Ай бұрын
Dc Sina mengi 👍👍👍👍🤝🤝🤝🤝👍👍👍👍🤝🤝🤝👍👍👍👍
@AlphonceMagessa
@AlphonceMagessa Ай бұрын
Mhe magoti uko vizuri chapa kazi
@user-bs7cw1oi6z
@user-bs7cw1oi6z Ай бұрын
Mmh,rais tunaomba DC magoti aje nyamagana nitafurahi kabisa , jamani kaka magoti aje nyamagana ,asanteni
@RamadhanHamis-pz7gq
@RamadhanHamis-pz7gq Ай бұрын
Very good
@user-bs7cw1oi6z
@user-bs7cw1oi6z Ай бұрын
Kwenye wengine lazima mmoja abarikiwe,kaka Mungu amekuona kabisa ,DC huyo ni rais samia ana roho nzuri, Enzi za magufuri huyo
@mapereceofficial-ng9nn
@mapereceofficial-ng9nn Ай бұрын
akili kubwa inahitajika
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh Ай бұрын
Nilishangaa nicki wa pili kupewa hii wilaya yule ni msanii wp na wp ktk uongozi
@salumudir9087
@salumudir9087 26 күн бұрын
Namkubali cn napenda awe mkuu wa mkoa
@JumaBakari-ld5rr
@JumaBakari-ld5rr Ай бұрын
Huyu ndio awe mkuu wa mkoa
@MonayLai
@MonayLai Ай бұрын
Mhhh nchi hii kila kitu kinaingizwa siasa 😃
@SAMISAI.
@SAMISAI. Ай бұрын
DC: Anakuchezesha ngoma? Mzee:Anichezeshe ngoma vp tena! 😂😂😂😂😂😂
@MonayLai
@MonayLai Ай бұрын
Dc kama maigizo vile ............. 😄😄Benki wanawezaje kutokuwa na vikundi hewa na wakakopesha pasipo tatizo?? ............... Ni dili za watu hizo kutoka kwa hao hao wanaokopesha ndio wanaundaga vikundi hewa.
@machujamathias7165
@machujamathias7165 Ай бұрын
Apandishwe cheo, watuletee awe mkuu wa mkoa wa mwanzaa ,kijana mwenzetu
@solomondanny-1507
@solomondanny-1507 Ай бұрын
Magoti wewe ni msanii aisee.
@nicodemashaggite8429
@nicodemashaggite8429 29 күн бұрын
Homboza hoyeeeee
@Emmanuelmwafugo-xo7xl
@Emmanuelmwafugo-xo7xl Ай бұрын
DC wa mfanoooo
@kasimramadhani1502
@kasimramadhani1502 Ай бұрын
DC wa mfano tz
@bundaman8542
@bundaman8542 28 күн бұрын
😅😅😅😂😂
@matthewmichaelsylvester5612
@matthewmichaelsylvester5612 Ай бұрын
JEMBE
@alexjulius54
@alexjulius54 Ай бұрын
😂
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 18 МЛН
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 44 МЛН
Harley Quinn's plan for revenge!!!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 29 МЛН
小蚂蚁被感动了!火影忍者 #佐助 #家庭
00:54
火影忍者一家
Рет қаралды 53 МЛН
NDOTO NYINGI NI ZAKWELI // SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:05:14
arkas online tv
Рет қаралды 24 М.
UNASEMAJE WEWE ? TRA HAWAJUI HESABU, NJOO HAPA USEME VIZURI
10:56
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 18 МЛН